NIUMBIE NURU MAISHANI MWANGU - Japhet Magoti

  Рет қаралды 2,035

MAGOTI TV

MAGOTI TV

Күн бұрын

Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 7
@Roseokongo355
@Roseokongo355 Жыл бұрын
Amen,"Mungu niumbie Nuru Maishani mwangu,watching from Kenya.Thanks PR.Magoti be blessed .
@juliusmwaniki8984
@juliusmwaniki8984 Жыл бұрын
Powerful Pastor. Umetetea kichwa cha somo smart sana.
@upendotv2776
@upendotv2776 Жыл бұрын
Aminaaaa Mungu akubriki mtumishi nimebarikiwa sana
@selinanyilaga3053
@selinanyilaga3053 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@user-ix8tv6oz2s
@user-ix8tv6oz2s Жыл бұрын
Nashukuru pastor kwa mahubiri mema mi kweli nimeyapitia Hadi nashindwa kula Sina usingizi na nashindwa kuelewa mungu anikumbuke😂😂😂
@joycekemunto7862
@joycekemunto7862 Жыл бұрын
Amen Amen
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 Жыл бұрын
Aminaaa
UMEIANDAAJE KESHO YAKO? - Japhet Magoti
46:49
MAGOTI TV
Рет қаралды 1,2 М.
NGUVU YA SADAKA YA NADHIRI 2 - Japhet Magoti
1:18:45
MAGOTI TV
Рет қаралды 1,6 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
Kazi na Matokeo ya Neno la Mungu kwa Mwanadamu || Brown Mwakipesile
56:37
KWANINI MUNGU ANATAKA SADAKA KUTOKA KWETU? | ASKOFU SENTOZI
46:57
LIVE | Ibada ya Maombi
24:06
MAGOTI TV
Рет қаралды 1,1 М.
IMANI YAKO INAPOJARIBIWA - Japhet Magoti
1:05:22
MAGOTI TV
Рет қаралды 9 М.
NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili)
1:26:48
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 2,5 МЛН
NGUVU YA SADAKA YA NADHIRI - Japhet Magoti
1:12:52
MAGOTI TV
Рет қаралды 1,8 М.
🔴#Live: ARDHI na HATMA yako - Japhet Magoti
1:35:19
MAGOTI TV
Рет қаралды 1,2 М.