Banger ngoma za zamani noma sana bana.. these guys were geniuses. Miaka Hiyo , hakuna mitandao so hakuna kucopy. This is real talent man 🙌🙌 ila Bado wasanii wa sasa machizi mziki 🔥🔥🔥. All in all bongo music to the world 🌎. I am proud
@CarlitacelestinoLimas19 күн бұрын
Nimekumbuka utotoni💃❤️❤️❤️🇲🇿
@young_brother277 ай бұрын
Hii ngoma leo nimejikuta nimeikumbuka tu
@lordnicky2 ай бұрын
Barnaba hapa aliingia kitaalam vizuri kwenye zamu yake yaani Barbara fundi ....aliingia katikati kinyama sana
@EDWARDMSAGATA2 ай бұрын
Hakika bongo ilikua zamany
@kasiniapotatoes9804 Жыл бұрын
Duh nimepita hapa 2023
@vldentertainment18 ай бұрын
Inanikumbusha mbali sanaaaa. Nostalgia nilikua na miaka 15
@JassanHelly5 ай бұрын
Ata Mimi hii Ngoma inanikumbusha mbali
@emmanuelahmedbyona235311 жыл бұрын
Wauuuuu, hii ni zero dislike na ina deserve haki....kwanza nafulaia saana ginsi alipojitokeza Barnabas katikati ya nyimbo...ule kijana, Diamond na Marlaw...love them saaana.
@Daudikasubi5Ай бұрын
Oyyyyy hao madansa niliwakubali saaaaana
@chikuketo4279Ай бұрын
My Dad Aliupenda Sana Huu Wimbo R.I.P Mshua
@peninaamour28023 жыл бұрын
17 dec 2021 saa6 usik gonga like kama umechek mwaka huu kwa muda wako..😅💚
@gloryshimi96443 жыл бұрын
Kuna mtu namskilizia tu akichelewa na mwambia mwenyewe
@ThasyMageta2 ай бұрын
Any one who watch 2024 like
@yvesyveldinhomzee.5682Ай бұрын
Nakumbuka 2011 ❤🎸🎵
@loveness64112 жыл бұрын
Wow that is greath song ..nice voice ..
@FilhodhaRegina Жыл бұрын
Nakubar Sana hii yimbo
@peterochesoen.3 ай бұрын
Mnipe likes za watu wametoka tiktok hapa😂
@EvvaMontana3 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbsha mbali cna niliibiwa cm ucku kunasehem nikaelekezwa niende ndo wanauza cm za wiz kweli nikakuta memoricad inajaribisha inawimbo huu nikajua ya.kwngo maana ndo ulikuwa wimbo pendwe kwangu
@lenamakosa96882 ай бұрын
Ooh it's trending in 2024 Hahaha ooh my God. It's amazing
@kibonastbr12 жыл бұрын
This is one of the best songs in Tanzania DYNA bravo
@mosesmgomb-vz6fq23 күн бұрын
Fact
@barwaniamani1951 Жыл бұрын
This song remind me my high school lover
@mohamedabubakar4694 Жыл бұрын
Exactly
@cbhofficial34328 ай бұрын
2024
@AbdallahHamisi-s4h10 ай бұрын
Love you song
@IreneMwita-fe9nd Жыл бұрын
❤❤ I like this song mwaaaaaaa 🥰
@Bevitbeverly12 жыл бұрын
all the way from kenya with love...great song best collabo and awesome dancers..kudos
@Nyento13 жыл бұрын
kazi nzuri sana....video saafi kabisa...combination bab kubwa...big u
@dieudonnemakila2516 Жыл бұрын
tanzania is blessed
@emhaule3666064213 жыл бұрын
yaani we acha tu nimesikilikiliza sana hii nyimbo tanzania yaani naipenda ile mbaya hongera sana dada!!!!!!!! i love y.
@gellygozbert199112 жыл бұрын
de song is intresting and attractive at all, big ups D$B ts Gelly INDIA
@MatridaGodfrey-xf1zn5 ай бұрын
Huyu dada Yuko wapi anakipaji jamani
@MistaVina13 жыл бұрын
SWEET SONG MY PRINCESS/ The singing is Just Awesome.
@zanzimaore214812 жыл бұрын
tre beau clip ^_^ vive la tanzanie
@carolinekemei73933 ай бұрын
Was the best❤
@prosperndelwa45602 ай бұрын
𝐖𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐣𝐮𝐳𝐢 mtuachie 𝐰𝐚𝐡𝐞𝐧𝐠𝐚
@dancanmaina164 Жыл бұрын
❤ song
@MistaVina13 жыл бұрын
Wimbo Mzuri kweli....I love the voices
@alfonce81033 ай бұрын
Hapo ndole ndole
@FridaySimutowe-ym5vk5 ай бұрын
I love you so much dayna
@zanzimaore214812 жыл бұрын
cool le clip belle musique
@amanimwalusambo50673 ай бұрын
😢❤
@damian_william3 ай бұрын
Hello 2030 😂 i was here 2024
@AlexMsanga8 ай бұрын
❤
@edwinbenja9453 ай бұрын
🎉
@kafwimbitv45412 ай бұрын
Mwimbaji ana 26 year's 😂😂
@FrolasindeSinde-sn1qg Жыл бұрын
Danlod
@zainabadam89922 жыл бұрын
2022
@mgogobeleko141120 күн бұрын
Ujinga kuangalia huu wimbo 2060 jua mi niliupenda sana