Hinyimboo nairudia kila sikuu ninyimboo nzurii sana inaelewekaa sana
@MaryAwuor-j1g Жыл бұрын
Naipendaa sanaa hii song❤❤❤
@wema-g3s Жыл бұрын
Huwezi nipa upendo kama alionipa mamaaa yangu
@Nivvabless Жыл бұрын
Asante. Sanaa
@AdamDaud-yr6vj9 ай бұрын
@@Nivvabless naomba namba yako ya sim tufanye kaz
@WillkisterJRwoga-pg4zo Жыл бұрын
Nimekubali good music and message
@MakobaAmos11 ай бұрын
Hongera sana kijan huo ni unyamaa san yan so amazing
@matuboyclassic5 ай бұрын
Mwamba nimeikubali sana hii nyimbo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@divaidachboy2339 Жыл бұрын
Brother ngoma kali zidi kupambana
@GodloveGodsonfabian Жыл бұрын
Aisee nimewaza mbali kweli dah umeua sana
@NelsonMazengo-s7x Жыл бұрын
Nimeipenda san
@radgamechanger2547 Жыл бұрын
mnyamaaa
@kprincekenya Жыл бұрын
Saw this on Facebook nikasema lazima nifike hapa,,mziki uko finesse ✨💯
@mambothomas31835 ай бұрын
Daah bc2 jaman penda saana nyimbo hii✅🙏🙏🙏
@EvipperErady Жыл бұрын
Unyama sana blood goma kali kinomaaa🎉🎉🎉
@Nivvabless Жыл бұрын
Asantee ndugu
@mackmond92792 ай бұрын
dope😘
@MohamedMawji11 ай бұрын
Naipena sana hii nyimbo❤❤❤❤❤❤❤
@Nivvabless2 ай бұрын
Asante
@FabianoJumanee6 ай бұрын
ongela nivva kwa nyimbo yako ya nawaza mungu akubless
@joshuasaguda11 ай бұрын
Nyimbo nzur sana endelea kutuletea nyimbo zenye jumbe nzuri kama hiiiii❤
@amrintengasi97099 ай бұрын
Bro this is nice song I like it
@abubakary3323 Жыл бұрын
Una juwa sana kuimba
@johnmasanja1413 Жыл бұрын
daaah nakubar San hiii ngoma imenigusa San mwenyez mungu do ajuaye
@mwanakombojuma-st6hl Жыл бұрын
Nice song wonderfull with deep meaning ❤p❤❤
@BerthaRichard-fp5uh10 ай бұрын
Kikubwa kupambana my bloo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gladysmusaa6740Ай бұрын
Hii ngoma ni mwaaaaa naipenda
@MillykishaKavi6 күн бұрын
Good work
@ElijahShaban-e4r Жыл бұрын
Itafika time hata nguo hatutolulia tutavimba kiboss kaka nivva I like this
@zennamdachi4387 Жыл бұрын
Kanyimbo katamu.sn ❤❤❤❤❤😊
@Nivvabless Жыл бұрын
Asante sanaa
@DAUDISKAZWEDAUDiSKAZWE Жыл бұрын
Wewe unaweza
@Nivvabless Жыл бұрын
Asante mkuu
@mkjwajasiriamalikgr1267 Жыл бұрын
Kaz nzuri sana 🎉
@KevinFloliani Жыл бұрын
Kali
@ValerianaMgani Жыл бұрын
Nyimbo nzuri kaka❤❤❤
@osamasimba-em3lh11 ай бұрын
Umetisha kwakwel umenikosha
@hamzasaidi71585 ай бұрын
nilikuwa naitafuta hii nyimo broo unajuwa
@JoanaAntônio-m9tАй бұрын
Kali baba
@nicholusmule-g7r Жыл бұрын
Pure talent🔥🔥🔥when counting your top funs count me in✔
@godfreywilliam-nd2kx Жыл бұрын
Mungu naomba umuone na huyu 🙏🙏🙏
@princessliz964 Жыл бұрын
So nice, keep going happy for 🤗🤗
@Chambuzilenu Жыл бұрын
Pambana mkuu unaweza kabisa
@AbubakariSwedi-g8z11 ай бұрын
Nyimbo pw San alaf iko simple San i love u bro
@sahumaseka6921 Жыл бұрын
I like this nivvas very nice ❤
@Danielwashimbi Жыл бұрын
Nimeelewa sana aidia Yako kunavitu flan umegusa ni hatari sana Big up my freand zidi kupambana one day utatoka gizani na utakuwa mwangani
@JerdanJuma Жыл бұрын
Mziki mzur nmeipat hii pambana bro tuko pa1 sanaaa
@Mwajuma_kili Жыл бұрын
Unajuwa sana ❤❤❤❤
@Tz_Orrane2 ай бұрын
what a banger
@deodamasi6951 Жыл бұрын
Ngoma kubwa sana kaka komaa usikate tamaa
@ellianoah1416 Жыл бұрын
#Nivva bless,uko vizuri sana kaka and your very talented nimeanza kukufamu kutoka 2022 kweye nyimbo yako"yasinitoke" uko vizuri nakuona mbali bro don't give up
@Nivvabless Жыл бұрын
Asantee Sanaa ndugu yang
@DaniChamanga Жыл бұрын
Blaza umeuwa sana
@KiflimediaАй бұрын
Mambo vipi bro naeza pata hii beat
@Carolshii13011 ай бұрын
Congratulations bro utaenda Far
@Kembodicktz Жыл бұрын
Sawa Kaka kazi nzuli
@AfidhuJafali-gl7cl Жыл бұрын
Unyama sana 💪💪🦾
@GiftOlomy Жыл бұрын
Oya ww nyimbo tamu sana jmn nimeielewa sana kikubwa kuombeana na sapot
@mariakemunto3389 Жыл бұрын
Sina sponsor Sina CHAWA NA HESHIMU KAZI INAYO NIWEKA MJINI ❤❤❤❤❤
@plannet3126 Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kazi kubwa
@Nivvabless Жыл бұрын
Asantee mkuu
@chitesaidi7 ай бұрын
Respect bro
@ErastoMichael-g9y11 ай бұрын
Pamoja sana mwamba
@PauloSwalo Жыл бұрын
Good song
@izzycworldonlinetv9972 Жыл бұрын
Hii ngoma yafaa iwe trending jamaa
@Nivvabless Жыл бұрын
😂Asante mkuu umetishaa sanaaa
@AishaSalim-r9t Жыл бұрын
Viva nyimbo zako zinanipa hisia mbaya nikiwa nazisikiliza 😢 napenda vaibu Yako tik tok zipo