Dr. I had some challenges, I have used nutritional supplements and I have recovered. Now I need to help others because this challenge is very present in our society
@EdwinNduye3 ай бұрын
File gan kaka
@hashimkilama Жыл бұрын
Njia yanne nimeipenda ninzuri kwazama hizi kwakua idadi kubwa yawatu hutumia intanet hivyo nikitumia kiufasah inaweza kunitengenezea pesa zakutosha
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Kweli kabisa
@jumamazengo9604 Жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu, njia ya tatu nimeipenda.
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Kwanini umeipenda njia hiyo?
@KennyMassa Жыл бұрын
Nice
@homan_nkwama Жыл бұрын
Dr Said Saidy...
@ShaniMajidi Жыл бұрын
Fantastic
@successpathnetwork Жыл бұрын
Kipindi kizuri sana brother. shukrani
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Thanks a lot brother. I appreciate your comment
@Augustino_fulgence_ Жыл бұрын
Good Stuffs To Learn
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Umependezeshwa na nini katika video hii?
@ShaniMajidi Жыл бұрын
Njia ya nne nzur sana
@Haleem_07 Жыл бұрын
4.
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Good.
@mohamedleonard760 Жыл бұрын
good
@OdemariPita4 ай бұрын
Mmmm
@mboneaamani4316 Жыл бұрын
Mungu akusaidie kufundisha watu...
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Asante sana
@michaelelia7058 Жыл бұрын
Njia ya 4
@Sportsnewsfasteraroundtheworld8 ай бұрын
Ok
@mohamedleonard760 Жыл бұрын
imekaaa kitaalam
@munibullahmarunda7051 Жыл бұрын
Nimevutiwa na Njia ya tatu na ya nne
@glorypeter17214 ай бұрын
Naomba unielekeze hiyo njia ya kwanza ni apps zipi
@elishamwakihaba942 Жыл бұрын
Nimeipend njia ya nne...
@FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI Жыл бұрын
Nimeenda sanaa darasa nilikua nakufatilia tangia 2019 Uko VIZURI mjomba
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Tunajitahidi hivyo hivyo
@SeifHamed-tn5zk5 ай бұрын
Umejifunza vipi kutengeneza Tovuti? Online ama vipi
@denismosha8034 Жыл бұрын
It's nice nimeipenda sana ill challenge its plans of capital !!
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Hujaelewa video. Angalia tena
@fatmaally1240 Жыл бұрын
Naomba namimi unifundishi zaidi tafadhari
@fatmaally1240 Жыл бұрын
@@dr.saidsaid naomba namba zako
@jumamgaya-bv8tf Жыл бұрын
Mimi napenda darasa lako na napenda nianze na njia ya 2 Nina ujuzi lakn Sina mtaji! Pia ninamengi Sana nitakuchek kwenye emeil yako!!
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Karibu
@aminafesto93789 ай бұрын
Njia ya nne
@sajidutololo8417 Жыл бұрын
Kwakwli hii njia ya 4 ninzuli sana lakini nafkili itamfaa Kwa mtu ambaye tayar ana taruma yake je mm ambaye Sina taluma nitawezaje kunitumia hii njia
@@dr.saidsaid ok sawa mkuu na mm nimesubili mda ukifka nitaingia darasan Kwan tayari nirishaanza kulipia program
@ignasmbecha Жыл бұрын
Somo nzuri sana, binafsi hiyo njia ya 4 ya kuuza information kwa karne hii sasa naona ni nzuri sana ya kuitumia. Asante kwa kutufungua mambo mengi sana
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Your welcome
@saidkhalifa34 Жыл бұрын
Mashallah Allah aibariki Taaluma yako
@MalezzytalentedmashauliMashaul Жыл бұрын
Nielikeze
@MalezzytalentedmashauliMashaul Жыл бұрын
Nifundishe
@chikundayaula9684 Жыл бұрын
Kaka mm nashida na wewe kiofisi unapatikana wapi au Namba ya simu