No video

Jinsi ya Kujenga Biashara ya Uhakika Online | Mambo 3 ya Kuzingatia

  Рет қаралды 19,153

Dr. Said Said

Dr. Said Said

Күн бұрын

Nenda onlineprofits.... kupata mafunzo ya BURE kutoka kwetu.
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet au kupitia mitandao ya kijamii (social media), basi unatakiwa kuzingatia mambo haya matatu (3):
1. Tafuta traffic: Hii ni idadi ya watu wanaotakiwa kuona bidhaa/huduma zako kila siku
2. Jenga jukwaa: Hili ni kundi la watu wenye kukujua kukupenda na kuamini. Ukijenga jukwa la namna hii, uuzaji wa bidhaa/huduma unayotoa itakuwa ni jambo rahisi mno.
3. Branding: Branding ni njia itakayokusaidia kujenga biashara ya uhakika kwa kipindi kirefu (long-term business). Bila ya branding utakuwa unauza bidhaa/huduma kitu ambacho kitakuingiza katika ushindani mkubwa sokoni.
Tags:
Jenga biashara ya uhakika, traffic, jukwaa, branding, mitandao ya kijamii, social media, pata wateja, fanya mauzo, tengeneza pesa, nasa wateja, dr. said, dr. said said,

Пікірлер: 97
@maqbulsaid2286
@maqbulsaid2286 2 жыл бұрын
mashaaAllah Allah akufanyie mambo yako sahali nimefurahi Sana mpaka mm nimetamani kufunguwa biashara na pia nipate mafunzi kutoka kwenu
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 2 жыл бұрын
Mashallah Dr Said , umeniongezea confidence
@user-kp6se9dc8m
@user-kp6se9dc8m 5 ай бұрын
Dr said asante naomba niwe mwanafunz wako nimependa hiyo speech
@philemonchristopher8715
@philemonchristopher8715 4 жыл бұрын
safi sana maelezo yako yamenyooka i recommend na watu wengine wenye ndoto za online businesses waje kukusikiliza
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 3 жыл бұрын
Asante sana
@janembuma7868
@janembuma7868 4 жыл бұрын
Natakiwa,sasa kutengeneza brand indenting, ubarikiwe Dr Said
@jonathanfanuel9126
@jonathanfanuel9126 Жыл бұрын
Ahsante sana Dr.kwa darasa zuri la biashara,nimekuelewa vzr sana,Dr.mm ninampango wa kuanza kutengeneza na kuuza Samani za kisasa,na tayari nimeshanunua mashine za kazi,,changamoto ni namna ya kupata wateja
@abrahmanabdallah7394
@abrahmanabdallah7394 2 жыл бұрын
Napenda unavyo tusaidia kwa kutuelimisha na usichoke mungu yuko pamoja nawewe.
@juliusemanuelmbise8395
@juliusemanuelmbise8395 Жыл бұрын
Hakika nimeshiba Dr. Nitakuwa karibu zaidi
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Usishibe. Njaa muhimu katika kupata mafanikio
@bensonsamuel9324
@bensonsamuel9324 Жыл бұрын
Okay, thanks
@user-zy6dz9ru6v
@user-zy6dz9ru6v 9 ай бұрын
Thank you Dr said said
@seifart984
@seifart984 2 жыл бұрын
Mashaallah nimekupata vizuri umeniongezea advantage flani ya kujiamini .
@mariamnkiya3434
@mariamnkiya3434 Жыл бұрын
Nawezaje kutengeneza jukwaa
@vanillah6975
@vanillah6975 Жыл бұрын
Nimependa sana darasa lako naahidi kulifanyia kazi nashkuru sana Dr na mungu atutilie wepes
@witnessjames3548
@witnessjames3548 3 жыл бұрын
Asante sana Dr Said ntajitahidi kuyafanyia kazi
@leonardshaban
@leonardshaban 11 ай бұрын
Dr said kaka sijawahi Kuna na mtu kama wewe unaeleweka Sana
@msabahkhamis9438
@msabahkhamis9438 4 жыл бұрын
Mashallah nakukubali dr.said Msabah gas K.majongoo.
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 4 жыл бұрын
Nimefurahi kuona msg yako 🙏
@msabahkhamis9438
@msabahkhamis9438 4 жыл бұрын
@@dr.saidsaid asante nambie mm niko fungu lipi hapo?
@kuyekajisandu
@kuyekajisandu Жыл бұрын
ahsante sana kaka Mimi napenda sana kuwa mfanya biashara mkubwa hakika napata madini kutoka kwako kaka ningependa tuyajenge
@SalhiaHussein-lt1ph
@SalhiaHussein-lt1ph Жыл бұрын
ahsante
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid Жыл бұрын
Your welcome
@user-zw7fc5mr5v
@user-zw7fc5mr5v 4 ай бұрын
Vzr sana ningependa nai imail yang uinganishe niwe titika uduma zako
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 4 жыл бұрын
Nimependa maoni yako ya biashara mazuri. Shukran
@mariyamdalas8091
@mariyamdalas8091 4 жыл бұрын
Asante sana
@zuhurafulela7007
@zuhurafulela7007 Жыл бұрын
Mashaallah Mimi naomba maelekezo zaidi elimu yangu darasa la Saba umri60+kigereza sijui vizuri utanisaidiaje hapo wazola huduma ya kutoa ninayo
@ernestmbala3609
@ernestmbala3609 Жыл бұрын
Xaxa dr je hii si commodity business explanation ? You prefer expert business so it means i have to mix both commodity en expert business to grow
@mamashanitimetv5378
@mamashanitimetv5378 2 жыл бұрын
Very inspiring weldone Dr Said
@kaliim2784
@kaliim2784 Жыл бұрын
Mashallah nahitaji mniunganishe nami nifanye biashara
@transfer4zanzibar119
@transfer4zanzibar119 Жыл бұрын
Asante sana Dr. Saidi
@salimkuziwa6293
@salimkuziwa6293 2 жыл бұрын
Nimekuelewa Dr Said.
@saada7499
@saada7499 Жыл бұрын
Nimeelewa
@gasernjellah5300
@gasernjellah5300 4 жыл бұрын
Nimejifunza vizuri
@rajabomary5280
@rajabomary5280 3 жыл бұрын
Nakuamini sana Kamanda you are the best
@hawardmhema9784
@hawardmhema9784 2 жыл бұрын
🙏🙏kuna kitu kimeingia kichwani mwangu thank you DR,
@yasintakasamwa3088
@yasintakasamwa3088 2 жыл бұрын
I like your efforts and be blessed
@khamistwalib2273
@khamistwalib2273 3 жыл бұрын
Ni shule nzuri hapo ni utekelezaji tuu,ambao ni changamoto kwa watanzania wengi
@user-ms1nt6it3x
@user-ms1nt6it3x 5 ай бұрын
Nikihitaji mafunzo zaidi nakupataje kaka nahitaji kuelewa zaidi
@theonestinachrispine3036
@theonestinachrispine3036 11 ай бұрын
Namepata kitu
@marcelinaghuliku6408
@marcelinaghuliku6408 4 жыл бұрын
asantee sana mungu akubariki sana dr said
@johncharles6188
@johncharles6188 3 жыл бұрын
Asante mkuu nimepata mapya Sana kwa ubongo wangu
@edwardmsanjala4376
@edwardmsanjala4376 4 жыл бұрын
nimeipenda sana Dr.said said
@shabani_kitemba
@shabani_kitemba Жыл бұрын
Nimpenda mafuzo. Yako
@bonymtui9596
@bonymtui9596 2 жыл бұрын
Asante
@fundyomar8192
@fundyomar8192 10 ай бұрын
Bigap
@arafabantu8098
@arafabantu8098 Жыл бұрын
Nimependa lkn sijuwi nianzie wapi maana mm mgeni Sana na mitandao ya kijamii naomba msaada wako
@CatherineMwapongo
@CatherineMwapongo 2 ай бұрын
Habari mimi nipo china mwanafunzi chuo natamani kufanya biashara mtandaoni lakini sifahamu chochote kuhusu namna ya kuuza mtandaoni pia namna ya kulipia matangazo na namna ya kua na jukwaa la WhatsApp
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 2 ай бұрын
Hi Catherine. Jinyakulie program yetu ya Online Profits University. Utajifunza yote hayo. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp hapa 0679 536927
@SecretglowbymsBecky
@SecretglowbymsBecky 2 жыл бұрын
Mawazaliano yako boss napata vip
@exzaverymichale7673
@exzaverymichale7673 2 жыл бұрын
Asante sana mkuu👏
@jaysikilo9492
@jaysikilo9492 Жыл бұрын
Nimeenjoy sana
@ringlandmasters6830
@ringlandmasters6830 2 жыл бұрын
Nzuri nimependa hiyo app ni sh ngapi
@castorpanja2773
@castorpanja2773 2 жыл бұрын
Nimekusikiliza kidogo tuuu lakini nimekuelewa sana
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 3 жыл бұрын
Umenipa mengi sana,asante sana
@ekumedia8020
@ekumedia8020 4 жыл бұрын
Asante kiongozi
@davaxwear9881
@davaxwear9881 3 жыл бұрын
Good job
@sharifumasoud
@sharifumasoud 3 жыл бұрын
Great 😊
@omaryrama7530
@omaryrama7530 4 жыл бұрын
Good fantastic
@omaryrama7530
@omaryrama7530 4 жыл бұрын
@@dr.saidsaid vitu hivyo 3 ambavyo navifanya Sasa Traffic Jukwaa Branding
@sabylaby
@sabylaby 4 жыл бұрын
Nzuri Sana dr
@fahadiibrahim8253
@fahadiibrahim8253 4 жыл бұрын
SABY LABY good
@gaudensiabunga9017
@gaudensiabunga9017 Жыл бұрын
Nimeipenda sana
@dianadidasi8682
@dianadidasi8682 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana nimeongeza dhamani leo
@josephbenard138
@josephbenard138 2 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo video dr
@gaudensiabunga9017
@gaudensiabunga9017 Жыл бұрын
Nimependa mafundisho yako yananifanya nifikirie zaidi kuanza Tena biashara kwani nilishakata tamaa
@shax2007
@shax2007 2 жыл бұрын
Thank you Dr Said for the very helpful and insightful information. I would like to learn more from you. Also I have a question. I have IT skills and where I work people like to take advantage by asking for free favors au hawako tayari kunilipa kwa kupata huduma zangu. Namna gani naweza kuwashawishi kunilipa? Nikisema wanilipe wanakataa au wanasema nawaonea kwa sababu ni coworker au rafiki au ndugu. Nikikata kuwasaidia for free wanaanza kunichukia
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 2 жыл бұрын
Karibu sana. Go to onlineprofits.co.tz/bure to connect with us. Regarding your question, my advice is look for people with money eg business owners and do free projects for them. If you do a great job then they'll hire you for freelance service. Learn to say no to friends who don't appreciate your work.
@shax2007
@shax2007 2 жыл бұрын
@@dr.saidsaid thanks sp much for the advice, would like to join the course n learn more
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 2 жыл бұрын
@@shax2007 wasiliana nasi hapa 0679 536 927
@vincentmputa830
@vincentmputa830 4 жыл бұрын
ahsante sana kwa somo
@innocencejahari9772
@innocencejahari9772 3 жыл бұрын
Asante sana Dr..natamani kutengeneza Traffic whatapp fb na Instagram niko na netwark marketind business... ila sijui naifanyaje hiii
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 3 жыл бұрын
Nenda hapa 👉 onlineprofits.co.tz/bure. Angalia video ikisha fuata maelekezo
@user-yc1wx8gv7s
@user-yc1wx8gv7s 7 ай бұрын
Biashara gani haihitaji mtaji???
@salumushomarisalumu172
@salumushomarisalumu172 2 жыл бұрын
Safi sana
@jobzone5254
@jobzone5254 4 жыл бұрын
Nikiitaji unifundishe na unifanye kujulikana na watu wengi itanigalim kiasi gan cha pesa Mkuu
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 3 жыл бұрын
Nenda hapa 👉 onlineprofits.co.tz/bure. Angalia video ikisha fuata maelekezo
@exzaverymichale7673
@exzaverymichale7673 2 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@glorycheyo1081
@glorycheyo1081 2 жыл бұрын
Unapatikana wapi
@yusuphsteven260
@yusuphsteven260 2 жыл бұрын
Nimependa sn
@Amir-me3tw
@Amir-me3tw 4 жыл бұрын
Saluti bro
@irenejoachim8113
@irenejoachim8113 3 жыл бұрын
Na sisi tunaotamani kufanya bihashara ila tuna ofu ndani yetu tufanyeje
@kuchiethephenomenal7879
@kuchiethephenomenal7879 3 жыл бұрын
Dr mimi na wewe tunahitaji tuwasiliane
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 4 жыл бұрын
Dr Said nakuuliza je haujato kitabu chako na Kama umetoa nitakipataje ?
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 4 жыл бұрын
Sina kitabu kwenye soko kwa sasa ila nina program ambazo zitakusaidia vizuri zaidi kuliko kitabu.
@anethjoseph4542
@anethjoseph4542 3 жыл бұрын
Nimeipenda nafanyaje na hiki kichwa changu kigumu kuelewa namba yenu ya simu
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 3 жыл бұрын
0679536927
@harunione19
@harunione19 2 жыл бұрын
Samahani naomba namba yako
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 2 жыл бұрын
0679 536927
@valeriakabula8810
@valeriakabula8810 3 жыл бұрын
Naomba naomba tenu
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 3 жыл бұрын
0679 536927
@enesedward8450
@enesedward8450 3 жыл бұрын
Niunge
@annamwazembe4436
@annamwazembe4436 Жыл бұрын
​@@dr.saidsaidniunge
@user-dj3nf1wi2k
@user-dj3nf1wi2k 5 ай бұрын
Naomba number
@dr.saidsaid
@dr.saidsaid 5 ай бұрын
0679 536 927
@philomenahildephonce5898
@philomenahildephonce5898 2 жыл бұрын
Asante sana
@hajizonky6489
@hajizonky6489 2 жыл бұрын
Asante sana
Siri 5 ili kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio.
1:41
BBC News Swahili
Рет қаралды 207 М.
Njia 3 Za Kujua Biashara Inayokufaa
5:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,9 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 10 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 5 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 60 МЛН
Dave Ramsey Is Going To Get Hate for This
9:21
The Ramsey Show Highlights
Рет қаралды 115 М.
Jinsi ya Kuingiza Milioni Yako ya Mwanzo Mtandaoni
25:28
Dr. Said Said
Рет қаралды 808
I'm Buying These 3 Compounding Machines
20:25
Joseph Carlson
Рет қаралды 108 М.
Reacting to My Subscribers’ Finances
41:20
I Will Teach You To Be Rich
Рет қаралды 62 М.
Siri ya Kupata Wazo Zuri La Biashara
1:00:13
Dr. Said Said
Рет қаралды 982
Online report launch: Carbon for chemicals and the role of biomass
57:38
Supergen Bioenergy Hub
Рет қаралды 1,1 М.
Nguvu ya Giza Inayokuzuia Kupata Mafanikio
10:21
Dr. Said Said
Рет қаралды 647
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,9 МЛН