Nafurahia sana ulivyoamua kutumia Kiswahili ili kuwafikia wengi wasiojua Kiingereza, Hongera sana kaka! Vilevile una utulivu mkubwa kuhakikisha ujuzi wote unamfikia mwanafunzi! Kazi kwao, wewe umejipanga vizuri! Asante, ubarikiwe
@nk-computertrainingАй бұрын
Asante sana sana ndugu yangu kwa maneno ya motisha kwangu na kwa wasomi pia.
@jikutechtipsАй бұрын
Kazi nzuri mkubwa
@SMCTRADER-b4tАй бұрын
Asante sana kaka nimefurahi sana kwa kuona Maoni yako apa tupo pamoja
@SMCTRADER-b4tАй бұрын
Asante sana kaka nimefurahi sana kwa kuona Maoni yako apa tupo pamoja bingwa wangu