Tunashukuru sana Mwalimu kufika hatua hii ktk course hii ya Programing kwakuwa inaonekana hii Adobe Genuine client ni kama kirus aina ya spyware, sasa mwalimu tunaomba katika ijayo ya huyu program Asikari kama itakupendeza tuandalie somo, namna gani tunafanya programu hii kuwa Utirity pia iwe WORM au LOGIC BOMB Ahsante sana Mwalimu N.K
@nk-computertraining Жыл бұрын
Asante nawe Mr. Dominic, na tutajitahidi kuandaa somo hilo karibuni tu.