Рет қаралды 72
Ni salama, rahisi, ya kidijitali na ya kwanza duniani!
Kwa kushirikiana na @mastercard, tumezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click to pay), ambapo wateja na wale ambao sio wateja wetu kutoka popote duniani wanaweza kufanya malipo kwa kadi zao kwa kuscan QR za NMB.
Mfumo huu utaongeza wigo wa malipo kwa wafanyabiashara nchini ambao hawajajumuishwa kwenye mifumo rasmi ya malipo
kama vile mashine za POS, ambapo wataweza kutumia “QR Pay by Link” kama mbadala wa mashine za POS.
Sasa ukifika dukani, sehemu za bata, kwenye usafiri na sehemu yoyote ya malipo, scan QR link na utafanya malipo kupitia simu yako, na kuhifadhi taarifa zako kwa usalama ili uendelee kufanya malipo.
#KimastaZaidi #NMBKaribuYako #Tumekupata