NMB - Heri ya Mwaka Mpya 2025
4:59
NMB END OF YEAR PARTY - 2024
3:11
21 күн бұрын
NMB KWETU DUBAI
2:21
Ай бұрын
NMB CDF TROPHY - 2024
2:21
Ай бұрын
NMB Kwetu - UAE DIASPORA
0:55
Ай бұрын
SPEND TO SAVE
1:21
Ай бұрын
NMB KIJIJI DAY - MTWARA
2:41
Ай бұрын
NMB NONDO ZA PESA
1:46
2 ай бұрын
NMB QR PAY BY LINK - Zanzibar
2:05
NMB QR Pay Link
1:23
2 ай бұрын
NMB Scan QR International Link
0:51
NMB Kwetu - Diaspora Banking
2:56
NMB Yadhamini CDF Trophy 2024
2:41
NMB Yazindua Chat Bot - JIRANI
1:12
NMB wanasema "Gusa Usepe"!
0:50
4 ай бұрын
NMB yafungua Tawi Paje - Zanzibar
1:09
Пікірлер
@ayubumunisi7430
@ayubumunisi7430 14 күн бұрын
Kujiunga nmb mkononi
@HamisLeo
@HamisLeo 3 ай бұрын
Jaman niko mwanza magu, nauliza kwann card yang ya N.M.B imegoma kwenye huduma ya simbanki.
@HidayaMkude
@HidayaMkude 3 ай бұрын
Nmb ni motoo kazi inaendelea
@mugishasteve325
@mugishasteve325 3 ай бұрын
Naweza kuichukua jiwekee yangu mda wowote au ina mda mahalumu kuanza kuitoa??
@abdoolshakuruswalehe546
@abdoolshakuruswalehe546 5 ай бұрын
Kazi nzuri tumeifanya yassin& Son's kampuni ya kizalendo kutoka Zanzibar....Tupeni kazi nyingne jamn
@laddymghana
@laddymghana 5 ай бұрын
Mm nahitaj kuweka pesa kwa miaka miwili j kwenye laki moja napata shingap hapo faida yangu
@NiciAndrew
@NiciAndrew 5 ай бұрын
🎉
@NiciAndrew
@NiciAndrew 5 ай бұрын
🎉
@NiciAndrew
@NiciAndrew 5 ай бұрын
🎉
@patriciamlyomi2251
@patriciamlyomi2251 5 ай бұрын
Safi sana
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 5 ай бұрын
#NMBKaribuYako
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 6 ай бұрын
Mm nataka mkopo jaman nitaupata please
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 5 ай бұрын
Asante kwa kutuandikia na kwa kuchagua NMB Tunaomba kufahamu ulikuwa unahitaji mkopo kwa malengo gani tafadhali ? Lakini pia NMBbank Tuna aina ya mikopo mbalimbali -Mkopo Binafsi -Mkopo wa Wafanyakazi -Mkopo wa Wajasiliamali - FANIKIWA LOAN -Mkopo wa biashara -Mkopo wa kilimo -Mkopo wa Gari -Mkopo wa Bodaboda/Bajaji -MASTA BODA LOAN -Mkopo wa Ujenzi /Nyumba -Mkopo wa Elimu -Mkopo wa Mshiko Fasta (NMBmkononi) -Mkopo wa Advance Salary (NMBmkononi)^HM
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 6 ай бұрын
Mm nataka mkopo wa sijui nitawapataje
@rehema-le8gq
@rehema-le8gq 6 ай бұрын
Naomba kujua kua naweza kufungua akaunti nanika unganisha nauduma yacm wakati namba iyo iko mnje yamnchi 😊
@JIENASJWILY
@JIENASJWILY 6 ай бұрын
I need that
@eliajames1387
@eliajames1387 7 ай бұрын
Jamani me nataka kukopa pesa nipeni vingezo navyo paswa kuwa navyo
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 7 ай бұрын
Habari @eliajames1387, asante kwa kutuandikia. Je ulikuwa unahitaji mkopo upi kati ya mikopo hii? Tafadhali tuandikie na akaunti yako DM kwa uangalizi. Mkopo Binafsi -Mkopo wa Wafanyakazi -Mkopo wa Wajasiliamali - FANIKIWA LOAN -Mkopo wa biashara -Mkopo wa kilimo -Mkopo wa Gari -Mkopo wa Bodaboda/Bajaji -MASTA BODA LOAN -Mkopo wa Ujenzi /Nyumba -Mkopo wa Elimu -Mkopo wa Mshiko Fasta (NMBmkononi) -Mkopo wa Advance Salary (NMBmkononi) ^PRM
@eliajames1387
@eliajames1387 7 ай бұрын
@@NMBBankPlc mkopo wa biashara
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 7 ай бұрын
Ndugu @eliajames1387 NMB FAKIWA LOAN ni mikopo iliyobuniwa kumuwezesha mfanyabiasha mdogo kukuza mitaji wa biashara zao.Lengo la Mkopo huu ni kukuza biashara ya mfanyabiashara mdogo hasa kwa wajasjiriamali wadogo wenye mtaji mdogo. -Muombaji ni lazima awe za zaidi ya miaka (18) -Uzoefu wa miezi 6 au zaidi katika biashara unayoombea mkopo. Biashara inatakiwa iwepo karibu na tawi la NMB. -Dhamana ya mali zinazohamishika kwa kama mashine au vifaa kwa mkopo wenye thamani isiyozidi milioni 2. -Dhamana ya gari lenye Bima kubwa (comprehensive insurance). -Muombaji ni lazima awe na eneo la kudumu la biashara(Yakupangisha au anayomiliki). -Muombaji anatakiwa kuwa na barua ya utambulisho toka uongozi wa soko, kitambulisho cha wafanyabiashara wadogo,cheti cha TIN na leseni ya baishara yenye majina yake. -Muombaji anatakiwa kuwa na sifa nzuri kwenye jamii inayomzunguka. -Muombaji anatakiwa kuwa na akaunti ya biashara ya FANIKIWA ,NMB Business account AU NMB Business account Plus. ^PRM
@eliajames1387
@eliajames1387 7 ай бұрын
@@NMBBankPlc account ya NMB BACK ninayo pia
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 7 ай бұрын
Ndugu @eliajames1387, tunaomba kukufahamisha endapo wewe ni mfanyabisahara na akaunti yako ni ya binafsi. Akaunti hiyo itabadilishwa na kuwa akaunti ya biashara kisha utafuata maelekezo ya afisa mkopo tawini. ^PRM
@EmmanuelTyoe
@EmmanuelTyoe 7 ай бұрын
Nahitaji mkopo wa mshiko fasta
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 7 ай бұрын
Salamu kutoka benki ya NMB @user-gt9wd5dz3e, asante kwa kutufikia na karibu, tunaomba utupatie akaunti namba yako INBOX kwa uangalizi tafadhali ^IB
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 6 ай бұрын
​@@NMBBankPlcmm nataka mkopo lakn naona amjibu au naomba namba zetu maana niko serious
@rehema-le8gq
@rehema-le8gq 7 ай бұрын
Mm nata ka kujua huduma kwawateja Nita patavp nikiwa mnje yamch
@tadeingoye4183
@tadeingoye4183 8 ай бұрын
Nmb 🔥🔥🔥
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 8 ай бұрын
@tadeingoye4183 🙂 Endelea kufurahia huduma zetu za NMB. 👍 NMBKARIBUYAKO. ^CAR
@IdrisaShaibu-ps4sg
@IdrisaShaibu-ps4sg 8 ай бұрын
NMB karibu yako
@AnthonyRiwa-oc1lk
@AnthonyRiwa-oc1lk 8 ай бұрын
Nimeusahau namba yangu ya account na kumbuka ya cm tu mnanisaidiaje
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 9 ай бұрын
Je, huduma bado ipo? Kama ipo, je, kama sitochukuwa faida yangu , inaweza tumika kama mtaji kwa awamu ifuatayo?
@jamalibakari3683
@jamalibakari3683 10 ай бұрын
Naitaji fanikiw account
@tadeingoye4183
@tadeingoye4183 11 ай бұрын
Nmb 🔥🔥🔥
@SaidOmary-c8i
@SaidOmary-c8i 11 ай бұрын
Nimepoteza Namba ya Bank NMB yangu
@SaidOmary-c8i
@SaidOmary-c8i 11 ай бұрын
Nimepoteza Account namba yangu ya NMB
@salviusmhagama5951
@salviusmhagama5951 Жыл бұрын
Nataka kufungua account nifanyaje
@JohaAlly-tj7dm
@JohaAlly-tj7dm Жыл бұрын
Jamani kan umesahau pin inakuaje😢🙏🙏
@TinnahRichard
@TinnahRichard Жыл бұрын
Kama umesahau pin zako unazipajate
@SiolahMwakasekela-oh1ge
@SiolahMwakasekela-oh1ge Жыл бұрын
Hiyo asilimia 9.5 ndio inalipwa Mara 4 yake au sijaelewa?
@ramachado5519
@ramachado5519 Жыл бұрын
Naomba nielewesheni vizuri kuhusu bond, ndiyo nini tafadhali na ina faida gani na ipi?!
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc Жыл бұрын
Habari Rama Chado, Asante kwa kutembelea ukurasa wetu. Bond ni aina mojawapo ya uwekezaji ambapo unakuwa umeikopesha benki na inakulipa kwa riba. Riba hulipwa kwa awamu nne kwa sasa hivyo unaipata kila baada ya miezi mitatu na muda wa ukomavu unapofika fika unaipata fedha yako uliyoikopesha benki hivyo unakuwa umepata faida ya riba.^PM
@ramachado5519
@ramachado5519 Жыл бұрын
@@NMBBankPlc Ahsante sana kwa kunielewesha na ninatamani hata mwaka huu nikikosa nijiandae Kwa mwakani,pia pesa yangu itakuwa salama zaidi🙏🙏
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc Жыл бұрын
Karibu sana Rama Chado na tunakutakia siku njema #NMBkaribuyako ^MM
@chaomadedo
@chaomadedo Жыл бұрын
Ila ukienda kwenye website yao huoni chochote kuhusu diaspora. Ni vibaya mno kutangaza halafu ukiingia huoni chochote. Hatujajua nia yao ni nn
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc Жыл бұрын
Habari Daughter of Zion, Asante kwa kutuandikia na pole sana kwa changamoto hiyo. Tunaomba tuandikie kupitia "[email protected]" ^MK
@AmohdMtangiEnterprises
@AmohdMtangiEnterprises Жыл бұрын
Plz naomba mnisaidie nijue nn tatizo
@AmohdMtangiEnterprises
@AmohdMtangiEnterprises Жыл бұрын
Plz naomba mnisaidie nijue nn tatizo
@AmohdMtangiEnterprises
@AmohdMtangiEnterprises Жыл бұрын
Habar mm MWAJUMA Mohamed nipo nje ya nchi nimeweka pesa kwenye acc yangu ya TZ pesa haijaingia why n huku inaonesha pesa nimetuma
@msafirially7849
@msafirially7849 Жыл бұрын
Good 6
@ElaLameck
@ElaLameck Жыл бұрын
Tafadhali mnatoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati? Nahitaj mkopo naenda kusoma chuo cha afya.
@mariamshabani769
@mariamshabani769 Жыл бұрын
Hellow samahan napenda kuuliza ety mtu anaweza kufunhua acc inaitwa dollar acc, .mana kuna mtu nimesikia akiuliza kuhusu hiyo acc
@shabanimatipa5515
@shabanimatipa5515 2 жыл бұрын
Nipo Matekwe ofisi ya karibu kwangu ni wapi
@shabanimatipa5515
@shabanimatipa5515 2 жыл бұрын
Ningependa kujua jinsi kufungua akaunti je zipo aina ngapi
@odoyootieno5281
@odoyootieno5281 2 жыл бұрын
Je hivi karibuni kuna atifungani nyingine....?
@giannachloe656
@giannachloe656 2 жыл бұрын
My anut
@patrickpiusmwilenga8274
@patrickpiusmwilenga8274 2 жыл бұрын
Napataj mkop
@joshuasadani9083
@joshuasadani9083 2 жыл бұрын
Kwani mtu anapokopa hiyo pesa kwamfano amekopa 200000 je analuhusiwa kurejesha kidogo kidogo? Aunimpakaifikeyote kwamkupuo?
@NMBBankPlc
@NMBBankPlc 2 жыл бұрын
Habari Joshua Sadani, kwa mkopo wa mshiko fasta, unaruhusiwa kurejesha kidogokidogo ndani ya muda uliochagua.^JJ
@nasramwenda7778
@nasramwenda7778 2 жыл бұрын
Samahan nikiitaji kukopa nmb kwa cm yangu na weza kuingia kwa namba zipi
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 жыл бұрын
🌳🌳🌳🌲🌲🌲🌿🌿✅
@maraklarafernando6507
@maraklarafernando6507 3 жыл бұрын
Jambo jema ila mimi ninashida na hii benki ya nmb sababu wamenifungulia akanti lakini siwezi kuweka pesa wala kuangalia salio nikiwa nnjee ya Tanzania yani nina sitress
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 3 жыл бұрын
Tukiomba uwakala tupewe kwa wakati ila mchukue nafasi za Miranda mfano Voda nk.
@malandufaustina1818
@malandufaustina1818 3 жыл бұрын
Tuelekeze jinsi ya kufungua akaunti
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Nice