Marshall shekh abal QAASIM simulizi lina sisimua na ukitoa ufafanuzi wakisa kiukweli zina tugusa shekh kuna wanadamu wanaumia sanaa hususan wanawake yani nitatizo kubwa shekh mpaka watu wamekata tamaa
@justinejulius35445 жыл бұрын
Tuko pamoja ......Mungu akubarik nakupata vizur Swaiba
@whiteanglebaby7615 жыл бұрын
Masha Allah ustadh shukran sana kwa elimu simulizi mzr twafaidika vzr sana. Asante jazakallah
@hamisitoffiq94655 жыл бұрын
Shukrani kaka nimejifunza mengi
@salimsalum77965 жыл бұрын
Wallahi hii story naipenda sana
@lyelamwandu87935 жыл бұрын
nakukubali sana shehe
@judynduku63675 жыл бұрын
I have been addicted to this story...na leo u left us in suspence...#ABALQASIM..FROM KENYA.
@saumutsumo97605 жыл бұрын
Mmmh ndio maana kwetu panga haweshi ,shukran ustadhi
@princejonathan56025 жыл бұрын
Sheikh kongole kwa kutupa uhondo huu mtamu barikiwa sana
@manalibaby41925 жыл бұрын
Allah bariq
@jairatuhappy6345 жыл бұрын
Asante kipenzi chetu unatujali sana mashaallah
@naseer.shariff5 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie ndugu yetu
@diamondiplatnamztttrmcandg30125 жыл бұрын
Kazi nzuli sana
@josephharri90155 жыл бұрын
Ni nzuri sn, Tunaenjoy sn, Tunaelimika kwa kweli.
@MichelBingiclinton2 жыл бұрын
Mwalimu kweli kweli unasema kweli ,
@zuenakitundu93575 жыл бұрын
iko vzr sana
@iffahbahet14995 жыл бұрын
Shekhe tuna subiri
@halimarashid29055 жыл бұрын
Mashallah kisa kizuri sana
@khadijaemmanuel35632 жыл бұрын
Mashaallah 🥰
@migogelemkude74155 жыл бұрын
barakallah alaih
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Juzi kanitokea pepo na kunipa kitu lkn sikuweza kupokea nilimkemea sana na akashindwa uwa nina jina moja tuu nikilitaja uwa anakimbia.akika majini ni maadui zetu
@minahmussa92945 жыл бұрын
alot of thanks
@fatmashaban37495 жыл бұрын
Daah aiseee hatari sana sasa unatusaidiaje
@hamadmwendo92385 жыл бұрын
Kma unaenjoy kama mm hiki kisa gonga like
@mariamdama21865 жыл бұрын
Mm ningeomba hizoduwa ungetengeneza kitabu itakuwa rahisi kwetu
@TahirBakar-te2et Жыл бұрын
Bona hamna sauti
@aidongitau72145 жыл бұрын
Shukran kwa elimu sheikh mungu na akuzidishie hekima na ulinzi
@doricemsey81675 жыл бұрын
Iko vzr Sana
@khadijajabir64325 жыл бұрын
Masha allah naipenda sana hii hadithi mimi niko Emirates dubai masha allah
@doricemsey81675 жыл бұрын
Hakika
@salumcharles1275 жыл бұрын
Iko poa xana mpaka natamani ingeendelea japo kidogo. Shukrani Sana sheikh!
@mwajumamwishehe34235 жыл бұрын
Shuklani ostazi mungu azidi kukupa afya njema uzidi kutuelimisha
@ibrahimmwendo77035 жыл бұрын
shukran sheikh
@ramazubery83965 жыл бұрын
Shekhe nashkuru sana sana ila shekhe wangu nimeota nipo katika kisiwa chabahari.
@hajatihajati53575 жыл бұрын
shukran kwa kisa tafadhali nataka ile dua kwani yaani izo aina ya majini yambani zote zipo
@richardtibikunda90935 жыл бұрын
Naomba kiunganishi na ile no za kijini
@alpeshially37365 жыл бұрын
A.alaikum shekh shukrani kwasababu umenitoa katka 0 to hero halafu vile ukiahadithia na kukitolea kitu mfano wake au maelezo yake kwa kina yani inapendeza saanaaaa
@athumanhassan93605 жыл бұрын
Shukran xheikh wng Allah akujalieh
@hamisitoffiq94655 жыл бұрын
Mm niko dubai nainjoi sana
@mtasma19945 жыл бұрын
Yafaa uwe mwalimu
@jumaevarist91035 жыл бұрын
Shekh upo sawa sisi binadam hatutosheki kwa kila jambo
@sombakiwengwalaundry5 жыл бұрын
Kila la heri shehe
@generalgg50745 жыл бұрын
Asante sana sheikh
@billalkaranja68005 жыл бұрын
Shukran ustath
@haysyssyhshs70215 жыл бұрын
Shukuri ya allah akubarik
@hamadmwendo92385 жыл бұрын
Nipo ughaibuni Qatar lkni naenjoy hiki kisa sana nili subscribe tu nilipo kisia episode ya kwanza shukran sana Allah akujalie kheir kwa kila jambo jema lako
@rosenaadolfu995 жыл бұрын
Safi sana shekhe
@salumzengula68415 жыл бұрын
Hazionekani vizuri shekhe
@mausamtawa32635 жыл бұрын
Shukuran sheikh
@mamymamy79383 жыл бұрын
Noma
@zubeda22f385 жыл бұрын
Tunapata mitian, Rb. Atulinde
@afandehassan15 жыл бұрын
Mtihani gani hio...ulipita hii mitihani
@jumaforodha25675 жыл бұрын
Shukurani sana
@mohamedsurur27265 жыл бұрын
Sheikh Allah alisema SHETANI ni adui yetu vipi tuta watumia ama ku shirikiano na wao
@vailethmoses35505 жыл бұрын
shukran
@ishaq99255 жыл бұрын
shukran sana
@shabanimbunifutv74995 жыл бұрын
Nice
@halimarashid29055 жыл бұрын
Nimeipenda sana inaelimisha sana
@hemedhaji68555 жыл бұрын
Shukran
@mawlidiabdallah72875 жыл бұрын
Osazi uko sawa masha
@rashidimohamedi4265 жыл бұрын
شكرن
@mohdabdalla95175 жыл бұрын
shukran😄
@veronicapeter92545 жыл бұрын
Dua I some kwa kiswahili tufaindike zote
@samixxsami81305 жыл бұрын
Wa kwanza mimi leoo
@aishanassibu81255 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😂 wakwanza kufanyaje
@ibrahimharun3107 Жыл бұрын
Kisa kizuri saba,ustadh je unapatikana kwa namba ipi ya Tanzania?
@mbarikiwambarikiwa39885 жыл бұрын
good
@nasrahabs35955 жыл бұрын
Aslmk mimi nataka namba ya simu tu
@jamilaali57415 жыл бұрын
hii sehemu ya 26 ni tamu sana hata siamini kwamba haya manamba za reli ,stars,@ ni za majini,kumbe kweli dunia inatawaliwa na ulimwengu wa giza,lkn sheikh mbona hunijibu comment zangu kuhusu madawa nitazipata vipi nikiwa nje ya E.A?....shukran
@salumzengula68415 жыл бұрын
Shekhe hicho kitabu tafsiri kwa kiswahili tukinunue
@abuammaar6215 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh leo mbona hamna sauti.
@judynduku63675 жыл бұрын
Pia nahitaji no zako..sheikh
@afandehassan15 жыл бұрын
Atsi Judy anataka kwenda ujinini kumbe
@judynduku63675 жыл бұрын
@@afandehassan1 unakaa kunifahau...tujuane basi
@judynduku63675 жыл бұрын
@@afandehassan1 I hv a personal prblm thats why I need his no...nevertheless I don't see a damn ado with that
@afandehassan15 жыл бұрын
@@judynduku6367 00254704386889 That's my whatsapp #
@mishitenga81455 жыл бұрын
Mashallah tabarakallh sheikh mbona number haina cod sikupati tafadhali naomba
@khadijasaid30815 жыл бұрын
My hiyo code +255 kisha unaweka hiyo namba
@mishitenga81455 жыл бұрын
@@khadijasaid3081 thanks
@khadijasaid30815 жыл бұрын
@@mishitenga8145 welcome my
@athumanmnguruta3385 жыл бұрын
Shehe weka vipande viwiliviwili bas
@OthumaniShungu Жыл бұрын
Sheikh namba zako nataka
@abuammaar6215 жыл бұрын
Ustadh kuna swali limeibuka hapa je? Tunaruhusiwa kushirikiana na majini kwa hali yoyote ile iwe kama unavyio sema ati kuna watu wanatumia majini kwa ubaya na je? Uzuri upi ambao tunaweza kusema kwamba tushirikiane nao kwa uzuri huu shukran.
@irynjoshua89215 жыл бұрын
Aki Mimi hii story imenifunza mengi sana... Lakini naomba dua uisome kwa kiswahili ndo tuweze kukielewa sote... Jamani dunia INA mambo....shukrani sheikh
@ninjaisma79835 жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarkat.. Hio nmber yako ya simu unayosema ni code ya nchi gani!?
@salumzengula68415 жыл бұрын
Shekhe tupe wazi wazi hizo dawa
@faizsalim75785 жыл бұрын
Hicho kitabu cha "Talasimu"chapatikana wapi??
@rosemarybenjamin58665 жыл бұрын
Mi nimeona imo😂
@ramadhanhamisi45525 жыл бұрын
Kitabu hicho kinapatikana madukani??
@ZubeidahSalum2 ай бұрын
Mh hizi si elimu za majini ni elimu iliyoletwa ulimwenguni Kate kwa viumbe mjini na bindamu wazee wetu wa zamani hivi vitabu walikua navyo mbona
Mashallah mwenyezi mungu aendelehe kukuweka utupe darasa
@saidpengo43175 жыл бұрын
Ilikuwa akipata pesa bc anashangaa cjui hta katumia nn muda mwingi anahic maumivu makali ya kiuno mgongo anagombana na kila mwanaume ila mm kila akija kwangu napaka miski bc anakereka tunagombana hatari afu Yule jini anakaa usoni muda wote kanuna dk Sifuri tunagombana mpk tunashikana pia huyu jini anamjia kwenye njozi anapiga stori nae anaanza kumchezea chezea bc huyo bint a napandwa nyege za hatari mpk huyo bint anauchukua dhakari ya huyo jini kwa haraka anauingiza mwenyewe bc Yule jini anaingiza afu anajifanya anatoa bc huyo bint anamkumbatia kabisa anakuja na picha ya binaadamu mrefu afu mweusi km msomali afu mzuri akishamkojolea tu bint nyege hazijaaisha mpk anajipinda mpk anakojoa kamsumbua mno ila katolewa kazi ilikuwa kubwa sana ilikuwa afe mganga au mteja kazimia masaa matatu kwa sasa tunaishi vzuri na amani ana hasira wala fujo afu kawa mpole sana
@samanthaali8735 жыл бұрын
Assalaam alykum Sheikh mm niko na Swali lkn liko nje ya mada mtu unapo ota waingiliwa na mwanamume lakini..sura imekuja ya kakayako hiyo inamanisha nini na huo mda ulikua usingizini usiku na uko kweny hedhi naomba unifamishe Sheikh
@fatmaswaleh93175 жыл бұрын
Mmmmh poleeee
@afandehassan15 жыл бұрын
Ni mimi huyo
@afandehassan15 жыл бұрын
@@fatmaswaleh9317 Fatma hujaniota
@afandehassan15 жыл бұрын
@@fatmaswaleh9317 nitafute dear
@migogenio5 жыл бұрын
Hivi hii story umeipata wapi?? Na ina ukweli asilimia ngapi??
@zuwenasabra66225 жыл бұрын
Kwanini unauliza hayo? Sijui unawaza nini kichwani mwako au kuna mambo hayapo sawa?