Hapo "n" Gusa, achia, twende kwao. Stori ni za magazeti chuma tatu au chuma nne hpo kocha amtamfumilia, atakimbizwa kama yule mwingine baada ya kula chuma tano😊
@PatrobaPaulo6 күн бұрын
Pointi tatu za wanajangwani ziko kwenu nyie. Mkatae mkubali mtakutana na MZIKI wa YANGA😂