Mungu akuzidishie afya njema mzee na akuepusha na Husda za wanao. Hao watoto wako ni tamaa mpaka inatia aibu ktk dini ya kiislamu. Tamaa wameweka mbele Allah awaongoze
@jackrinaman75216 жыл бұрын
Bablly Dullah aminaaa
@hamisibalozi7966 жыл бұрын
Bablly Dullah
@samsungjsevenprime57174 жыл бұрын
Asanteni sana nyote koo mzima ya ktv tz Online hakika hii ni Fahari yetu musiache kutupa muendelezo sehemu ya 4 ikiwa itakuwepo na nyenginezo Inshaallah
@amaninaupendo.35396 жыл бұрын
Amen amen. Shida uyo mama. Mama wa kambo ni janga.mimi mpaka sumu nilipewa Mungu akaninusuru. Na uyo mzee awagawie watoto sehemu ya mali . na akumbuke hao ni watoto wake na mke siyo mtoto wake. Amen.
@anodearsulusi75362 жыл бұрын
Hivi unajua Sheria wewe? Sio lazima mwenye Mai awape ulithi anaweza akazigawa kwigine kabisa acheni uvivu tafuteni Mali zenu Sasa hivi watoto hamfanyi kazi Nawaza Mali za wazee tu, akiamua hawapi ansuza au anawapa mayatima mtamfanya Nini uzuri mwenye Mali ndo mwenye uamzi,, na wewe pole kupewa Sumu na mamako huyo ndo mwenye roho mbaya wengine hawana roho Hizo mbaya
@husseinnuru75449 ай бұрын
Shenzii mama wakambo wote hakuna mnzuli mama wakambo ukiona mama wakambo kakulea umekuwa mxhukulu mungu alifanya mbinu nyingi ila mungu kakukinga hakuna mama wakambo mwema wote nimbwa 2 kama mbwa wengine ctaki kukumbuka nyooooooio mbwa mama wakambo
@fatwimamakungu54567 жыл бұрын
Mashaa Allah babu nime muelewa yupo sahihi wao washurikie waume zao na yy ashurikiwe na mkewe isipo kuwa watembeleane mm nime muelewa babu kumbe sio mzee kiivo kumladhimisha akae pekeyake ooo tunataka kumlea mm babu yangu mzaa baba alikua na mali mashaa Allah nyumba na magali lakini wallah ss wajukuu atukushobokea wala nn tena ata watoto kila mtu alikua ana pambana na hali yake zilikua zinamsaidia yy tena alikua mzee kuliko ata uyo tena alikua na watoto wa 8 naakuna ata walio gombea mali saaa uyo babu sio mzee kiivo kujifanya wataka mlea tena kamakweli wana mpenda na wanataka radhi zake wamuache akae kwake atoe sadaka kwa watu kama anavofanya ndio watapata baraka zake yy kuliko kumkasirisha akachukia kikubwa watoto wajishushe
@abrahmaniomar98585 жыл бұрын
mimi naona kama kawatekeleza watoto wanane na huyu mke kazaa naye kweli pesa watoto fitina
@zainabzain34342 жыл бұрын
Kama ttzo mali basi wasimtukane mkewake wakae nae baba kwa hekima atawaelewa ila kinachoonekana wametsngulia choyo et baba wa Taifa maskini na wenyewe kakubali yuko sahihi dini Imani yake ndo inavyosema sadaka hasa kwa umri wake anajua anachokifanya Allah ampe mwisho mwema
@goldensparrow15077 жыл бұрын
Big Up Baba.. You said it Right. 👍 These Children are hypocrites...!
@sheebqpsheebqp83147 жыл бұрын
Hongera bb salut nakupongez ww jembe umenena bb yang
@aboudmsonde31376 жыл бұрын
Masha Allah mzee upo makini sana watoto fitna hao
@KijukuuMtemi9 ай бұрын
Hili zee sawa na baba angu kila kitu mke wangu baba angu ameowa wake 9 anaowa anaacha lakin hili Bibi moja haliachwi na wala halizai baba limewezwa kila kitu mke wangu
@shemelaruhinda61136 жыл бұрын
Pole baba mungu akusaidie
@yonasimion31308 ай бұрын
Mzee hoyeeeee, Mzee juuuuuuu, Mzee poaaaaaa , Mzee Mungu Akujalie afya Bora. Umezeeka na hekima yote.
@rozeeroz25157 жыл бұрын
Nachokiona hapo ulisi muzee Andike mapema ulisi sahizi mabo moto je badae nimauji hakuna kingine mhh❤❤❤❤❤❤ pole san muzee
@hidayamussa42737 жыл бұрын
Safi sanaa mzee kwa msimamo, Na pia masha Allah kumbe umzima wa afya na pia una akili zako timamu halafu wanakuzushia kua unaumwa, watoto sio wale mzee ukithubutu kukaa nao karibu wanaweza hata kukutilia sumu ili tu ufe haraka.
@faahhue75426 жыл бұрын
HIDAYA MUSSA .
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Kuna mushkel kidogo kwa mzee!!!!
@arqamibnarqam.71852 жыл бұрын
@@faahhue7542 Nitafute kipenzi
@shaffyabdul8786 жыл бұрын
Inalillah wainaillah rajiuni. Mtamuua Mzee kabla yasiku. Muacheni Mzee
@faridabakari85117 жыл бұрын
wallah afadhal utamkeeee mwenyewee ....mashaAllah
@zuenasalim71366 жыл бұрын
Mzeee Ma sha Allah.Ndio ivoooo...umeongeaa
@peninafredrick33176 жыл бұрын
Nimekupenda mzee wanguuu
@rebmanwillbard74644 ай бұрын
Huyu Mzee Mwenyezi Mungu azidi kumlinda ,Yuko vizuri.
@a.8567 жыл бұрын
Hakuna kurogwa wala nini baba mzee anasema ukweli mtupu angekuwa hana mke sawa wangeishi nae wao lakin ana mkewe wamuche apumuwe habar za kumteka wakataka kumpofuwa waache wapambane na hali zao na wao kama mahodari.
@puritywamboi40405 жыл бұрын
Doa&mum sasa hapa umeongea kama wazee wa kijiji kumi yes umeolewa kaa kwako na mumewe tena hio miaka yote akitunzwa na hao wajukuu wengine walikua wapi mtu akiwa kwa shida atakae kukusaidia huo mda ndio utakae mtambua hata awe mtoto wako umezaa na alikutoka wakati wa shida mkubwa ndio ni wako lakini utaishi kusema kama si flani kweli singekua hapa ama hivi thats why we say a friend in need is a friend in deed hope point taken.shukrahn
@reemiiomar93867 жыл бұрын
Hongera mzee n ndio sahihi wameolewa wabaki kwenye ndoa zao
@abdullakhamis7777 жыл бұрын
bila ya shaka
@kimmseinvtz7 жыл бұрын
Sawa kabisa, baba yuko sahihi 100%
@abdulrahman2827 жыл бұрын
Reemii Omar kubaki kwa mume kweli lakini watoto wanahaki duniani na Akhera
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Hongra nini ,huyu mzee karogwa kweli
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Watoto wana haki kwa wazazi wao!
@mustafajamal88297 жыл бұрын
Da kiukwel msingalie upande mmoja sir ya apo anaijua mungu na wao weny kila upand inamalengo yakee apo ila ipo siku yatakwish tuu mungu awaongozee hawa waislam wenzetu inshaall
@MwanaishaShattry8 ай бұрын
Baba uko sawa kabisa wao watafute maisha yao kweli baba hao watahusika na mli yako mpaka ufe. Sahihi unavyosema baba hawana radhi wote hao.
@KuruthumBilaliАй бұрын
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
@victoriachesco356 жыл бұрын
😂😂😁😂😃😃😄😅😅😅😆😆😆😅😄😃😆😆😆😆safi sana mzee hy mawanawake hayana akili na wenyewe watafute mali zao jmn
ee mungu tunusuru dunia yaisha pole mzeee hao watoto wanallaana
@neziali69926 жыл бұрын
Asnte mtangazaji uko sawa nakukubali kazi
@babylidyaandrea45687 жыл бұрын
Mzee anamahaba niuwe kwa mama watoto tulizeni visepe wenyewe bado wanapenda japo kua wazeee 👍
@neemakilomoni42587 жыл бұрын
Mmmh Subhallah mtihani huu.Mzee uko sawa kabisa
@sadahamad53906 жыл бұрын
Kawashushuwa
@merryn48916 жыл бұрын
+Sada Hamad yani hadi aibu
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Huyu mzee hayupo sawa karogwa sio yy mwwnyeww kabisa
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Huyu mzee afanyiwe dawa,hayupo sawa na huyu bibi analotaka watoto watengane na baba yao ili yy afaidi Mali vizuri,na ndio maana anawakataa watoto ,kwa kurogwa,lipwata halija mtoka uyoo
@fatmahchambo20376 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kama mazuri jamani dah...huyu baba kiboko Wallah
@hadijaangura65726 жыл бұрын
Huyu mzee anachotaka ni urith tu upote hana lingine huyu mwanamke kampika vixuri huyu mzee
@amanrashid99937 жыл бұрын
Nashukuru mungu napambana nahali yangu
@AminaLibisa2 ай бұрын
Mmmh mzee kasha nasa hajielewi 😂😂😂
@abdullakhamis7777 жыл бұрын
duh!!! hapa kazi ipo ila Allah awafanyie wepesi. Na pia sio jambo zuri watoto kuingilia mapenzi ya wazee wao kama mali ni zake mwenyewe na wao watafute zao wasitegemee za mzee
@fatumachagudadui73695 жыл бұрын
Haswaa mzee uko poa
@zainabzain34342 жыл бұрын
Pole sana baba yatakwisha waelewe wanachotaka ubaki na mkeo kwa amani nafsi zao Zina tizama mali sio furaha wala Amani yako
@khamisshee8036 жыл бұрын
Asalam alikum warahmatullah wabarakatu 254 Nimesikiza bando zote mpili kwa watt na baba lkn kwa baba yy asema wanawe wakae kwa waume zao na ukiangalia watt wa mke wake ako nao na wana watt kama wanae mbona hawaambi waende kwa waume zao na lakushanga mpaka wajuku wa mke wake wako hapo hapo wanaoshi kwa jicho la tatu kuna kitu tena cha wazii kabisa
@isaackemanuel37124 ай бұрын
Huyu mzee Yuko vizuri sana ,natamani ningeoa Kwa huyu mzee tusaidiane kuwanyoosha hao wanae
@mwanashaabdallah36387 жыл бұрын
Hayaaaaaaa mambo ndo hayo pia mm nataka kuishi na mumewangu sitaki tabu watoto hukooooo mbali 😀😀😀😀
@charles-lc4pp2 ай бұрын
baba hongera sana watoto wasikuhizi mbwelambwela weweulishawasomosha basi watoto wasikuhizi nishida tatizo tamaaaaazinawasumbua
@msafiribakari59417 жыл бұрын
Kazi ipo kaeni nawaume zenu nikae na mke wangu,uko sawa mzee
@cholocaptain16232 жыл бұрын
Sawa sawa father
@beautywithnay59746 жыл бұрын
Mmh 😩😩😩 yajayo yanafurahisha
@AzizaMengwa-wg5ik3 ай бұрын
Safi mzeee
@rozeeroz25157 жыл бұрын
Ndungu mutangazaji hongela umejitahidi sana
@qaboossaid22597 жыл бұрын
Hao watoto wana kiu na mali tu,hawana lolote ni njaa tu ndio inawasumbua,tafuteni vyakwenu,mali ya baba watoto inawahusu nini,tafuteni vya kwenu
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Watoto wana haki zaid ww duniani na akhera
@mohammedaliabdallah55083 жыл бұрын
Mzee ni wajibu kuwa rithisha mali watoto wake wahalali
ni kweli baba lkn watembelee wajiskie vibaya watoto ni mzee wao pia wakiwa na matatizo ktk ndoa zao uwape ushauri mzuri baba
@sulebinjuma99667 жыл бұрын
Yaliobaharini yasubiriwe ufukweni, Mitihani mengine ni hatari Ila Allah atunusuru na Imani za kishirikina Allah alete ufumbuzi juu ya ukweli wa Mzee huyu na watt wake na jamaa zake Ammin
Hao watoto ni wajeuri sanaaa tena sana tena sanaaaa maaana ukiwaona tuuu utawajua kua ni wajeuri.
@mamujally38146 жыл бұрын
Baba ametulizwa hapo huba zashinda uchawi afu baba mwenyewe bado adai😁 Wao wataka kumueka kama kizere baba bado hajachemsha huyu yuko proper
@rashidmohamedomar83007 жыл бұрын
At pengine wao wamebadilisha dini. Tatizo hili liwe funzo kwa wale wote wanaoacha kujituma eti kisa baba ana mali na wale wajukuu wanaotamani mirath za babu na bibi zao iliha babu, bib, mama na mama au baba zao wapo hai. Tumia rasilimali za wazizi kutafuta cha kwako tengea bado mdogo ili ukiwa mkubwa unusurike na kumpangia matumiz mzazi wako.
@mauwam36277 жыл бұрын
rashidmohamed omar uyo mzee kamuoa uyo mkew hana kitu mpk saiv kawa na mali wana chuki binafs
@janethshoo12136 жыл бұрын
Mnaosema HAWA watoto wabaya angalieni hill jambo kwa undani, he na ndugu zake wa KUZALIWA naye woote asiwepo walau moja anayezunguza la hero upande wa mke wa MZEE Mcha. Sisi kwenye familia yetu yalitukuta kwa kaka yetu. Mpaka wazazi wakati wa uhai wao waliingilia kati na mpaka wore wanafariki hapakuwa na jawabu. Usiombe kujua mke wa kaka alivyoruchrukia baada ya kuona wazazi wetu hawako tena. Ndo na mambo ya uchawi kaweka waziwazi. Sie kila MTU alikuwa na Mali zake na familia take. Hata mashemeji ndugu za mke walimuhurumia kaka yetu alivyokuwa akitendwa na mkewe, yaani Hugo Dada yao. Tena bila kujali kuwa NI Dada yao walidiriki kushirikiana nasi ili kunusuru kaka yetu mikononi mwa mke wake bila mafanikio maana siku zote kaka yetu alitushinda kwa kuwa kile mke anaamua yeye hakuweza kupinga. Uzuri hata watoro wao waliona jinsi baba yao na ndoa ya mateso kutoka kwa mama. Watoto wao hawakuweza, walipoanaza kukua walijaribu kumpiga mama yao baba aliwakataza kwa maneno makali tena akiwatishia kutokuwa na radhi nao. Kaka yetu kafariki wiki 2 zilizopita. Mke kamzika Jmosi LAKINO siku ya JNNE kamtia mtoto rumande aliyeonekana kutetea baba wakati wa uhai wake. Ninapoandika hapa huyo mtoto huko ndani.mambo duniani yako makubwa SAA nyingine yanazidi hata ya kuzimu inategemea wanaosimamia utekelezaji ujasiri wa kuzimu KIASI gani. Sisi WiFi yetu hana habari na wazazi wake wore wawili na wakijaribu kumkanya matendo anawatamkia wazazi wake kuwa NI wachawi. Mke wa kaka yetu mchungaji alimfukuza kanisani na alimpiga marufuku asionekane kukanyaga eneo hilo.kaka naye akaamua kuondoka na mke wake. Mambo NI makubwa siwezi hapa kuwaelezea, bado tuna uchungu, kakakweli kafa sio kwa muda wake, LAKINO Mara moja mateso yamehamia kwa watoto. Tunajisikia vibaya. Serikali haiamini uchawi, ndo maana huko kuzimu wanabuni mbinu za kutekeleza kazi za shetani duniani KIASI kwamba KIASI kwamba suala litalapowasilishwa kwenye Sheria bado watendaji wa shetani wataonekana kuwa washindi.
@mussakiziyzi4086 жыл бұрын
Inapendeza mbaya maana nawafaham vzr sana hawa watoto enz hizo walipokuwa wakiish pale michenzani Block number 4 But sijui ata kuna jinamizi qan kati yao. Yarrab tuepushe na mifarakano ya namna hii
@nohatredbutlove57867 жыл бұрын
Mzee usharogwa lakini Allah akuondoshee mtihani huo.
@aliabdalla92976 жыл бұрын
Wewe ndie uliemroga
@lupakisyomsese82107 жыл бұрын
Mungu pekee ndie anajua ukweli wa hili jambo, tusihukumu kwa kauli ya huyu baba.Hata mama anaweza kuchezesha vichwa vya hiyo familia.kutekwa baba anaweza panga hata huyo mama ili mzee achukie watoto.Pia watoto wamuombe mungu aoneshe ukweli uongo ujitenge.Wampende mama yao kama vile mzazi.
@williamkeita15192 жыл бұрын
Point
@newahomwashiuya88582 жыл бұрын
Huyu mzeee anaongea point sana!!mtoto Hana haki. Kwenye kurithi labda itokee wazazi wameamua kuwaandikisha watoto basi! Huyu baba yuko sawa kabisa!!! Watoto muacheni baba yenu na mumuheshimu huyo mama kama mamayenu mzazi mtapata fungu Lenu siku Moja
@zainabmfinanga16512 жыл бұрын
Exactly
@Msakatonge234 жыл бұрын
Kabla ya kucoment ni vzuru tuangali part 1 and 2 maana mm nahisi amerogwa mzee haku chingine
@jumaazuberi93177 жыл бұрын
Jamani nyie watoto muogopeni ALLAH hivi mmemuacha Mzee hakuswali Ijumaa nyinyi hilo mtaenda kujibu. Huyo ni baba yenu na nyinyi ni waislam na kunasherie ya dini Mzee akifa sheria ya dini itagawa mirathi sasa haraka yenu ya nini.
@mohammedaliabdallah55083 жыл бұрын
Kuhusu urathi mzee ni lazima awape watoto wake ikiwa niwa halali, asiseme haiwahusu. Wana haki kwa hilo. Shukran
@salumjuma59373 жыл бұрын
Awape urathi kwani amekufa
@karloladislaus456 жыл бұрын
Mmh,huyu mzee nae dish
@kimedinson58796 жыл бұрын
pole mzee
@muniraathman14535 жыл бұрын
Wewe mwelekeo wako kulingana na maneno yako hutaki kujua kuhusu wanao umempa mkeo kipao mbele zaidi huwashirikishi wanao na msaada unaopendeza zaidi kwa Mungu niwakizazi chako sio miskitini wala watu wa nje mwanzo wasaidie wanao uwashughulishe katika mambo yako uwe karibu nao yote haya yatakwisha
@sayrachuna67056 жыл бұрын
Hahahahaha wao wajue za zaume zao na Mimi na mke wangu basiiii... Baba umenena hao watoto wanalana na watapata Lana na Mzee acha usia wamali kabisa watakuuwa wanao uache watu wauwane..... Baba Wa taifa hongera sana kwa busara
@dismasdonald7455 жыл бұрын
Mzee uko sawa kabisa! Watafute za kwao! Ukitonga hapana. Waache u zezeta
@biramsakh92126 жыл бұрын
Kweli mzee uko sawa. Lkn ujue hao ni wanao nawana haki kukurithi.
@selemanimmeswa35567 жыл бұрын
pole sana,
@chachamadini93726 жыл бұрын
Huyu mzee sio yeye kisha fanywa msukule, hayo yametokea kwenye familia yetu hawa wake wadogo shida sana
@princessfairy41466 жыл бұрын
😂😂😂chacha
@alinuhu37277 жыл бұрын
Mzee anaongea sawa ila pia anakosea, hapa dunia mke muhimu watoto muhimu zaidi maana ndio dumu yako, huu ni mtihani Mzee anao ila hajaangalia kwa makini zaidi,jiulize kwann watoto wa mke wake wanafahamiana na hakuna baya wala matatizo ila kwa watoto wake Mzee kuna matatizo na ni wabaya na ugomvi kila siku ukiangalia huu mtihani ulivyo unajua tu kuwa ipo naona, watoto wa wakija nyumba inakosa amani ila wale wanaoishi pale hawana kosa fikiri sana ndipo ukoment mzee apate washauri wazuri juu ya familia yake na ajue wale ni watt wake wana haki kwake kwa kila kitu na mke pia ana haki kwake, inaumiza sana unapoona mzee wako anahudumiwa na watu Wengine wakati ww upo inaonekana watoto wa mke huduma za kawaida zote za mzee wanafanya wao maana mke kwa muonekano tu huwezi, ila mzee ana mtihani sana,nyinyi watoto wa mzee kaeni chini muyaongee kuhusu mzee wenu na mtafute njia sahihi, Allah atawsadia inshaallah
@suraiyasaidy28496 жыл бұрын
Baba ume sema vizuri sana
@faizhamad20067 жыл бұрын
Kwa matendo wanaomfanyia baba yao watakuwa hawana radhi zake hao haifai kabisa wanavyomfanyia mzee mali si kachuma mwenyewe au vipi ? Wamuheshimu baba yao tu cha muhimu
@jamilahmsangi80622 жыл бұрын
ninavyompenda baba yangu jaman nalia huyo nahic ni kama baba yangu jamani inauma huyo baba apewe ulinzi jamani inauma sana hao watu ni mashetani😭😭😭😭😭
@ramadhanmkude5947 жыл бұрын
Hakika ya malizenu wake zenu na watoto wenu ni mtihani kwenu.
@suraiyasaidy28496 жыл бұрын
Safi sana baba
@rahimajuma6886 жыл бұрын
mimi nawachukia mama wa kambo siwapendi katika maisha yangu abadan wanaroho mbaya hawakawii kumpoteza mazazi yaani nawachukia maisha
@mariamfaki11667 жыл бұрын
Jamani hajakataa wanawe kasema anataka kukaa na mkewe na wao wakae nawaume zao ibaki kutembeleana tu mzee kuna mambo ambayo watt hawawezi kumridhisha acheni dhana
@maatumkombo79624 жыл бұрын
Nkweli anayosema baba yy anamkewe mke anamajukumu kwake yy baba hawa watoto wanaroho mbayaaaa sana wasimuingilie baba yao baba yao ànahitaji joto wako watampa kama ni mali wakatafute zakwao
@rashidsuleiman26637 жыл бұрын
mzee wao ana mali nyingi lkn inavyoonekana hawapi taarifa wanawe juu ya mali hizo sasa wanahofia endapo mzee akifariki watazulumiwa urithi wao.
@suleshmussa13496 жыл бұрын
rashid suleiman ...ndio wana tamaa...mungu kasema mali na watoto ni fitna..na fitna zenyewe ndio hizoo...akifa urithi watapata kwa sheria ya dini
@denniskiango69016 жыл бұрын
Watafute zao wasimuombee mzee afe Mali si kitu mzee wao ndio wamwombeee aishi maisha marefu
@allyzumo58324 жыл бұрын
Mzee karudi kwa wanawe Sasa kheeeri kuko shwari KVTZ mnalo hiloooo
@tamalalee21696 жыл бұрын
Mzee BGP sana wewe umamaliza kikubwa....ndio wakae na waumezao😀😀😀😀
@BenardSadani4 ай бұрын
Kwer Mzee upo sahihi kwanin Mari we ndo wentemaamuzi SI mwingine wAo watafute vyao pumbavu awoooh
@zuwenaalamini41584 жыл бұрын
Libwataaa jmn
@mudriqhamidu60314 жыл бұрын
Inamaana hata ww baba ymo amewekewa limbwata na mama yko ? Mbna mpka leo wapo wte wanaish🤔⁉️
@suraiyasaidy28496 жыл бұрын
Wana rahana awo watoto
@salumjuma31525 жыл бұрын
Mzee yupo na akili zake na uzima wake hawa watoto hawana akili wanafanya imani za kishirikina tu Hamna lolote Mama wa jambo ni mama na mjukuu wa mama wa jambo ni mjukuu wa baba pia
@BINTIwaKITANGA2 жыл бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔mtihani Subhannallah ☹️ mmh Bora ya Mimi Baba yangu amenikataa nashuhudia Tu Mali zake mitandaoni😭☹️na hata kama ningelelewa na Baba......sidhani kama ningekodolea macho mambo ya kijinga kama hayoo😏Kwa sababu hata mama yangu walizaliwa wawili Tu Ila mjomba kashatangulia sasaa miaka 7 na mama ana nyumba aliicha Bibi na babu ya maana Tu Ila pia sina Mda nao Kwa maana ninajielewa natafuta vya kwangu Kwa Ajili ya mwanangu now yupo mmoja miaka 10 na wengine nikijaaliwa Kwa sasa NI singo Maza😢 na Sisi tupo wawili Tu Mimi na Kaka japo tulizaliwa 7 wenzetu wametangulia .Kwa sasa nipo zangu Oman Nina miaka 4 nimeanza kujenga Kwa jasho langu Kaka nae ana kwake na ana Mali zake mashallah, hatuna tatizo na mama yetu kumkaba koho hela hela wala nini tunamuacha ale jasho la Baba Ake Sisi halituhusu.Sasaa ninyi nawaona wa ajabu Sana aisee 😬
@fahadfahmy7 жыл бұрын
Dini yetu yakiislamu inatwambia Mali na Watoto ni fitna.
@ummalqitat50915 жыл бұрын
Mali Watoto Na mke
@jumakapilima56744 жыл бұрын
,,,,,na wake\ mke pia fitna!!!!
@twahiraliy33827 жыл бұрын
Unajuwa wengine tunandika comment bila kuisliza habari wenyewe inasemaje baba so amekataa watoto ispokuwa watoto wamejengeka ki mali sana hakuna kulogwa wala nn ispokuwa watoto na waume zao wana njaaaa sana wewe miaka 30 baba huhamtafuta ata habari hauna leo tn a kimeengezeka nn kwa baba hata kama ningekua mm nawapozea mbali
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
Twahir Aliy kabisa wanatia haibu si watafute zao Ndio mke wababa yao
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Si dhambi mzee kuwaarifu watoto wako katika mipango yako!!!
@shababygirlshambuwa83887 жыл бұрын
subhana llah nilisema vidio yapili kuwa hawa watoto wanaonesha waongo wanamchukia mama yao looo wanatafuta kujitwika chupi kichwani baadae waseme mamayao wakambo kawaroga kumbe wamejiroga wenyewe kwa razi ya mzazi wao
@ashuramamaashuraaachekuvaa77986 жыл бұрын
😂😂😂 baba tajili ami mi ningemteka 😁😁😁😁
@leiylaomar93186 жыл бұрын
Mzee uko sahihi kbsa...na wanawe walisema eti ana matatizo ya akili lkn mzee anaonekana yuko sawa kbsa na haoneshi akiwa na matatizo jamani watoto acheni thana mbaya kwa alio eleza huyu baba yani yuko sahihi wabaki na waume zao na yy abaki na mkewe...mie nawaombea Allah awajalie maskilizano mema inshaallah
@adillhabib20066 жыл бұрын
mzee kasha pewa limbwata
@WaheedMahrouk Жыл бұрын
Jaman huyu baba mtihan wamuache tu😂😂
@sheikhasalim74157 жыл бұрын
SubhanAllah. Mume ni dawa kwa mke. Namke ni dawa kwa mume hawa watoto wanataka kum maliza babayao tuu.
@SHEIKHMWAIPOPOTV2 жыл бұрын
Ni kweli mzee watoto hao ni wabaya Sana
@florachogo55375 жыл бұрын
Mzee uko vizuri watoto wanamna hiyo wakomee
@حميدهخلفان7 жыл бұрын
tulieni na ndoa zenu baba yenu kesha waumbua mpo hapo mshukuru mungu umbea umewaisha
@ibranassor6104 жыл бұрын
Huyu mzee ana akili zako jamani anazungunza kosept tupu
@taturamadhan59407 жыл бұрын
mzee kaa na mkeo lakini watoto muhimu,watoto uwashirikishe uwe nao pamoja au kwa sababu watoto wako wanawake, mke muhimu na watoto muhimu. huna ukaribu na wanao hicho ndo kinachoonekana . na nyinyi watoto muacheni baba enu endeleeni na maisha yenu.
@shareefaali61297 жыл бұрын
Baba nmekupenda bure kwa majibu yako umewakomesha sheeeenzi zao
@MaryamMaryam-ij3uw6 жыл бұрын
Loh uyu baba karogwa kweli Mimi baba angu anamke na sisi katuozesha lkn wanawe anatujali kuliko mkewe hahaha apo eshima akuna kwa mana huyo mama anapewa kichwa na uyo baba
@ramanhoibrahim33836 жыл бұрын
Mmh..hivi kweli unaelewa unacho andika?
@pastor_mashimo6 жыл бұрын
Naugana na mzee hapa sinza kuna mzee anamiaka 95 watoto wake wa kuwazaa walimfukuza kwenye nyumba yake baba yao. Lakini Mungu ni kamsaidia kusimamia kesi mahakamani na mzee yule ameshinda kesi na nyumba amekabithiwa
@haithamrubeabuhet26377 жыл бұрын
Duh babu umekishwa mkeo amekupika umepikika hahaha bibi nitakufata namie unipeleke ulipokwenda kumfanya mumeo ili mambo yng yafanikiwe namm duh
@mwanakhamishaji42367 жыл бұрын
Hao watt wote ndo wawe wabaya jaman hebu tumien akiliiiiii..