No video

NONDO ZA ANNA MAKINDA KUHUSU HAYATI MAGUFULI, "AMEFANYA TUJUE UKWELI"

  Рет қаралды 150,426

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 479
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 Жыл бұрын
Mama leo umeukosha moyo wangu mh magufuli mungu amrehem huko aliko
@ericksonmuhulo1570
@ericksonmuhulo1570 Жыл бұрын
Daaah sijui nikupe like ngap maana kila nikibofya unapata moja tuu
@devothafredrick8093
@devothafredrick8093 Жыл бұрын
Atleast bado kuna watu wanaokumbuka mchango wa JPM.... Ubarikiwe mama kwa kunena ayo.. RIP JOHN POMBE MAGUFULI
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hata isiposemwa ukweli uko pale pale kwa kizazi hiki magufuli was magnificent
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 alikuwa muuaji tu
@benisobenjamin1373
@benisobenjamin1373 Жыл бұрын
@@kassimrajabu56 alimuua nani?
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@benisobenjamin1373 baba ako
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@kassimrajabu56 wewe unasema hivyo
@ketonymbedule5363
@ketonymbedule5363 Жыл бұрын
Wewe pekeako ndio unajua umuhimu wa mhemiwa magufuli Asante makinda
@saidimandala8342
@saidimandala8342 Жыл бұрын
Legendary never die 💖we still remember J, MAGUFULI TRUE SON OF AFRIKA 🖤♥️
@augustuss4503
@augustuss4503 Жыл бұрын
Indeed, well said, gone but not forgotten.
@allyfarahani3029
@allyfarahani3029 Жыл бұрын
Hakika
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
@@allyfarahani3029 Hakika bwana Alli Magu alikuwa ni mwizi,Muuaji na muoneaji dhidi ya raia zake wanyonge.Tujadili.Magu alifukuza watu wenye vyeti feki lakini alipombiwa mbona MaKonda ana cheti feki alimtetea kinafki na hakumdukuza kazi.pia na Ben Saa Saa Nane alipomwambia Magu na wewe mbona una cheti feki PHD yako ni feki kama si feki twambie chuo ulichosoma,na Lectural wako ni yupi badala ya kujibu na kujisafisha matokeo yake alimteka Been Saa Nane na kimuuwa jee hiyo ni haki? Unafukuza watu kwa vyeti feki ukiambiwa na wewe pia unacho unaua.Hatari.Tuje kwenye rushwa kafukuza watu kwa rushwa.Lakini mpigaji wa mahesabu ya serikali CAG alipopiga hesabu ikulu akakuta ufisadi mkubwa wa Rais Mgu unajua ni kiasi gani upotevu wa hela ulioonekana ni billioni elfu moja na mia tano sawa na trilioni moja na nusu.hela iliotoka hazina kuu ya serikali na kuja ikulu.Hela hiyo ilipofika ikulu ikayeyuka yaani haikuonekana matumizi yake yametumika kwenye nini.Baada ya CAG KUWEKA WAZI UPOTEVU HUO MKUBWA WA HELA ,CAG ALIFIKUZWA KAZI TENA KINYUME CHA UTARATIBU.Unaonaje hiyo?Ni haki?Tundu lissu kapigwa risasi kisa kusema ukweli tujhawakumtibu wala kumlipa haki yake ya ubunge jee mtawala huyo ni wa wanyonge kama anavyojiita au ni mtawala katili na muonevu?Achilia mbali makundu ya kishenzi na kinyama ya watu wasiojulikana aliyoyaanzisha kwa ajili ya kuwashuhulikia wanaomsema na kutoa siri ovu za serikali yake.Na ndio maana alilifungia bunge sisi wanyonge tsione wala kusikia maovu yake vyombo vya habari havikua huru tujiulize havikua huru kwa nini?Bwana Ali usisapoti wala kusikiliza tu kila unaloambiwa.kuwa mtu wa kuhoji na kutumia akili yako.Usiburuzwe tuNi hayo tu.
@wazirimlogi-pz9mc
@wazirimlogi-pz9mc Жыл бұрын
Ahsante sn mama kwa maneno yako yenye ukweli wote wa hasilimia 100 na mungu akuongezee urefu wa maisha,na mwisho R.I.P magufuli naamin mungu kakupokea🙏😌
@kasianimakolo3036
@kasianimakolo3036 Жыл бұрын
Wewe mama Anana Makinda upo mpaka leo una afya njema kwa sababu wewe mama sio mnafiki mungu akulinde
@faumahona5769
@faumahona5769 Жыл бұрын
Kwaiyo waliokufa ni wanafiki au?
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 Жыл бұрын
@@faumahona5769 n kwa 7b penye ukwel anasema.. S km wengneo wanomponda na kufifisha kaz za JPM alzozfanya.!
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@faumahona5769 Zwazwa😆😆😆
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Жыл бұрын
​@@faumahona5769 🤣🤣🤣
@VenaEliki
@VenaEliki Жыл бұрын
We unasema mashamba we umekuwa mbunge miaka 40 wengine wangefanya lini ubunge
@marianmartin7483
@marianmartin7483 Жыл бұрын
Asante sana mama Anna Makinda, RIP JPM mwenyezi MUNGU akuweke mahali pema peponi. Amina.
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Жыл бұрын
ASANTE sana Mhe Mama Makinda Tutazidi kumuenzi Hayati Mpendwa wetu Magufuli kwa mema yote
@Hancymtembo
@Hancymtembo Жыл бұрын
Millard hayo mashamba yako wapi?
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
hakika mnyonge mnyongeni haki yake. mpeni Magufuli mpk ss hakuna wakumfananishe nae Tutampenda na kumkumbuka daima RIP jembe letu❤❤
@boniphacembus4192
@boniphacembus4192 Жыл бұрын
Huyu ndio mama anafaa kuwa kiongozi tena wewe ndio ulitakiwa uwe .......wa nchi
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Asante mama Makinda wengine wamejificha kumsemea kwa hofu ya kutenguliwa.wewe una jiamini.Mungu atakulipa.
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Mama Leo umeupiga mwingi,,SEMA mamaaaaaa hata wengine wakinyamaza wewe SEMA tu JPM is the best of all time
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Seeemaa usiogope sema. Mama sema, seeema usiogope sema RIP MAGUFULI. TAIFA HILI BILA KUFANYA KAZI. TAIFA HILI TUTARUDI NYUMA KWELI.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Pamoja KI R.I.P J.P.M
@brysonmalongoza5422
@brysonmalongoza5422 Жыл бұрын
HAPA KAZI TU!
@sabbob574
@sabbob574 Жыл бұрын
CCM wamekuwa wanafiki sana. Lakini Mama nakupa heshima zote.
@georgeshigela3643
@georgeshigela3643 Жыл бұрын
Mama umegusa moyo wangu ahsante kwa ulichokiongea
@AmbroseGeorge-sm7ni
@AmbroseGeorge-sm7ni Жыл бұрын
Yesu akubarki sana mam kwakusema ukweli
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 Жыл бұрын
Asante sana mama kwa kuweka wazi kwamba tulikuwa na maraisi wawili tu ni Baba wa taifa na Magufuli tu wengine wote walichokifanya wanajua wenyewe
@davieswillson9782
@davieswillson9782 Жыл бұрын
Wambie wajue ulweli kunawanao jisaulisha kwasasa wafosi tumsaau hatutomsaau kamwe 💪
@modestamakoye9319
@modestamakoye9319 Жыл бұрын
Asante Mama hujaogopa kuusema Ukweli ni zawadi kutoka kwa Mungu tuliyaona mengi mazuri
@mselumonica3046
@mselumonica3046 Жыл бұрын
Ahsante sana mama makinda mungu akubariki wewe ni msema ukweli na msema ukweli siku zote ni mpenzi wa mungu tumekuelewa
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 Жыл бұрын
Hakika ujio wa Magufuli ilikuwa ni siri ya Mungu... R.I.P John Pombe Magufuli
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Ujio wa Makufuli ilikuwa ni siri ya Mungu? Mungu yupi huyo unayemzungumziya wewe?Maana Mungu ni mmoja tu na wa haki na wa upenda,huruma na wa pekeee. Tujadili sasa hivi kupigwa risasi Tundu lissu na kutotibiwa na kulipwa haki zake za ubunge kisa kusema ukweli tu kuiambia serikali ukweli hukumu yake ndio hiyo?Mungu wa aina gani anafurahishwa na uonevu na dhulma anayoifanya kiongozi dhidi ya raia wake? Jee ni Mungu gani anayeridhishwa na mambo ya kinyama wanayofanyiwa waja wake na vikundi vya kinyama na kikatili vya watu wasiojulikana kuteka watu,kuwalawiti,kuwabambikizia watu kesi za ugaidi,uhujumu uchumi na kuwauwa watu kimya kimya na kwenda kuwatupa bichi pwani wakiwa wametiwa ndani ya viroba ni Mungu yupi anapendezwa na hayo? Watu wameibiwa nafasi zso za udiwani na ubunge kwa nguvu ya dola,watu wamenyimwa haki zao za uwakilushi kwa viongozi wanaowataka badala yake mtawala Magu akawaita anaowataka yeye Mungu anapendezwa na hayo?Ukiwa unampendamtawala dhalimu na muonevu mpende tu mwenyewe usimshirikishe Mungu na Mtawala muuwaji na muoneaji.Yangu ni hayo tu.
@raphaelrespiciusi1127
@raphaelrespiciusi1127 Жыл бұрын
@@maulidimuhammed7851 uhujumu uchumi na ugaidi vipo tangu kipindi Cha Nyerere
@lupimokageba5577
@lupimokageba5577 Жыл бұрын
Magufuli was a gift to us from God.
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
JPM forever kwakweli. Mama ameongea nimependaaa. JPM ametufungua macho. Well said. Ahsante mama Makinda kwa kuongea ukweli. Rest in peace John Pombe Magufuli
@angelamamboleo2204
@angelamamboleo2204 Жыл бұрын
Mama makinda umeongea kweli kabisa
@emanuelbalama-el2jd
@emanuelbalama-el2jd Жыл бұрын
Mwamba 1 JPM forever...!rest in power...., yaani mama umenibariki saana,,,kweli kinywa cha mzee hakisemi uongo.
@zakaliajoseph7705
@zakaliajoseph7705 Жыл бұрын
Kabisa alkuwa mtu wa watu tulimpenda mnoo Ila watu wenye roho mbaya ndo ivyo wamemtanguliza 😭😭😭
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama
@lydiagodfrey5959
@lydiagodfrey5959 Жыл бұрын
nimekupenda bule Mama maana umekosha moyo wangu kuhusu magufuli
@femmachroots2041
@femmachroots2041 Жыл бұрын
Greatest of all time Rest In Peace ❤️
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Magufuri is in our hearts! We will still love him, even if we don't see him on fresh body!
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Miaka 40 ndani ya ccm huo ndiyo umri wangu , na Nimelisikia jina lako ni kiwa mdogo mpaka dakika hii unavyoongea kuhusu jpm nahisi machozi yananitoka na ubongo kama unachemka jinsi nilivyokuwa nampenda jpm r.i.p jpm wetu mzalendo
@thinktwice7176
@thinktwice7176 Жыл бұрын
SAWA JIWEE
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Mama Makinda, tunakushuru sana kwa kumkumbuka na kumsemea vyema aliyoyafanya mtoto wa mwana wa Mungu ambaye ametutangulia mbele ya haki. Alale pema peponi na mwanga wa milele umwangazie.
@allyfarahani3029
@allyfarahani3029 Жыл бұрын
Maana serikali iliyopo naona inampango wakuipoteza Na kutotambua kabisa yote yaliyofanywa Na Magufuri.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
😂Naisikia sauti "Nchi hii ni tajiri, sisi sio maskini, sisi tuna uwezo wa kuwakopesha wanaotutaka tukope".R. I P. Jembe Magufuli, aliyekumaliza ametuweza. Ulimgusa pabaya, leo yupo kazini kwa mgongo wa nyuma. Mungu anamuona. Tumerudi nyuma tulikotoka. Mama Samia pole sana, fanya unaloweza kwa msaada wa Mungu. Pesa tutaziacha lkn Nchi itaendelea kuwepo. Mungu atuhurumie. 😭😭😭
@didimhutila8985
@didimhutila8985 Жыл бұрын
We acha tuu,mie sirudi Tanzania tena!jpm alikuwa mtu!bi kidude anazingua tuu!yaani anachota maji kwa kutumia pakacha?eti mie nakopa tuu pumbavuu zinakinga!😂😂😂
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 Жыл бұрын
umeongea kwauchungu ukweli wako my
@latifachilala2015
@latifachilala2015 Жыл бұрын
Umeongea wote samia yupo kwenye tabu
@marystambuli8045
@marystambuli8045 Жыл бұрын
Asante Yesu, kumbe bado Kuna watu wanaotambua kazi alizofanya Magufuli. RIP JPM. Siyo Kama wale waliojaa lawama wanapambana na kivuli chake.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Wala hajatuweza kajiweza mwenyewe maana PUA zake hakuzigeuza kuangalia juu Bali zilibaki zikiangalia Chini , Niswalabla muda TU nakujakikishia majibu yaja ndugu , Tuendelee kusubiri na KUOMBA
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Hongera mama kwa hotuba nzuri sana na yenye maneno yenye mantiki,hizo kweli ni nondo hasa kwa vijana wetu.
@lidiasilwimba6759
@lidiasilwimba6759 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Asante mama Makinda kumuenzi baba yetu mpendwa.
@allyfarahani3029
@allyfarahani3029 Жыл бұрын
Safi sana mama hakika umenena maneno muhimu sana, maana Kuna machawa Sasa wanajipendekeza Kwa mama Kwa kusahau mazuri ya Magufuri.
@aishamtwana1323
@aishamtwana1323 Жыл бұрын
Msema kweli mpenzi wa mungu akubariki mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi amiin
@latwifsued3316
@latwifsued3316 Жыл бұрын
Mama nimekupenda bure, umesema ukweli na umemtendea haki hayati magufuri,make wanamponda tu lakini kafanya kazi kweli. Mimi natamani mwezi wa tatu kila mwaka siku aliyokufa magufuri iwe siku ya mapumziko ili tumuenzi huyu baba vizuri. Asante sana mama.
@JoelKahuya
@JoelKahuya Жыл бұрын
True Magufuli kafungua ubongo watanzania wengi
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 Жыл бұрын
Asante mama ana kwa kusema ukweli. Raising Magufuli alikuwa amechaguliwa na Mungu. R.I.P.
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Umeongea pointi Sana Anna Makinda hakika Mungu alituletea Rais wa kuja kuvumbua yote yaliyokuwa yamejificha Mungu amlaze mahali pema peponi 🙏
@Lewinglovbi6699
@Lewinglovbi6699 Жыл бұрын
Msema Kweli mpenzi wa mungu. R.I.P mzee wangu magufuli 😭😭😭😭
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Жыл бұрын
Mama samiaaaaa jembeeeeee
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Жыл бұрын
Naam, Magufuli ametubainishia UKWELI. Ametufungua macho. MWENYEZIMUNGU ampumzishe. AMEN.
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Nilivypkuwa mdogo nilikuwa naskia watu wakiimba Anna Makinda Likamandoo nilikuwa sielew maana yake big up mama🦾
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 Жыл бұрын
RIP JOHN POMBE MAGUFULI
@mathiasmanonga3939
@mathiasmanonga3939 Жыл бұрын
The hero was fallen nitamkumbuka sana magufuli bravo mr president RIP hero of Tanzania
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Miss you papa still love you papa I will love you forever papa 😭😭😭😭😭😭
@marympango9247
@marympango9247 Жыл бұрын
Yani nikiona neno magufuri...nasikia kulia tuu......munguu ampumzishee daimaa.......😭😭😭😭😭😭
@latifachilala2015
@latifachilala2015 Жыл бұрын
Sio pekeangu Yani Kama tumefiwa na babaatu mzazi
@marympango9247
@marympango9247 Жыл бұрын
Ni zaid ya baba mzazi..mungu anisamehe..sikufuru....ila basii........
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Kweli mama umenena Rip Jpm
@zikirination6769
@zikirination6769 Жыл бұрын
Hizi story Kuna watu hawapend kusikia SEMA ukwel utabak ukwel JPM is bulldozer ❤huwez shindana na JPM kbs ukubali ukatae level ya performance aliyo fanya ni big legacy 😊
@khamisbk8569
@khamisbk8569 Жыл бұрын
MamAngu unasema maneno ya hisia sanaaaaa tena sanaaa....Ila angalia Kwa makini tunakupenda mamaetu
@sundaydiga9296
@sundaydiga9296 Жыл бұрын
Rest in peace jpm.. nenda baba nembo yako itabaki daima
@angelaangelass9752
@angelaangelass9752 Жыл бұрын
God bless magufuli forever 🙏
@fredrickerasto349
@fredrickerasto349 Жыл бұрын
He will always live to us. May light lighten our country
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
JPM "KATUFUNGUA MACHO" kauli ya Ana Makinda. Sawa.
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Жыл бұрын
Mama Asante Sana mama umeongea mambo ya hekima ubarikiwe sana mama ana makinda
@jgraciousjo8429
@jgraciousjo8429 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kwa hili kila binadamu anamabaya yake sababu sisi sio malaika mpaka tusikosee lakini..ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli Magufuli aliitenda kazi na kwa mda mfupi ata watoto walitambua mabadiliko umeongea kweli tupu . Leo yanaendelezwa yale aliyo hayaacha japo wanayapiga mawe wakishabikiwa na wenye upofu wa akili..Asante Magufuli mwendo uliuchapa na kazi ukaimaliza. Ujasiri, ukweli na uchapakazi wako vitsishi mpk kizazi
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 Жыл бұрын
Huyu mama huwa na mpenda sana kwani huyu mama ni mkweli sana nakupenda sana mama yangu tangu nimeanza kukusikia mpaka kukuona sio mtu wa kubadirikabadirika
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
ASANTE MAMA ANA MAKINDA. KWA KUONGEA UKWELI.
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Жыл бұрын
mama nimekupenda bure wengine waogopa kutaja jina LA JPM asante mama
@erentjohn8793
@erentjohn8793 Жыл бұрын
Yani hapo hujaongea umehubili ukweli wa Mungu, hata mimi mdogo nimekuelewa Ubarikiwe.
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 Жыл бұрын
Mama ameona isiwe taabu, kama ni noma na iwe noma, nadhani ndo kiongozi mwandamizi aliyeamua kumsifia JPM.
@clarencemasaki4223
@clarencemasaki4223 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mama Makinda
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Sad😢😢 r.I.p John
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 Жыл бұрын
Mbona uuko vzr tu usijisikie kuwa umechoka unaweza kuendelea kuchapa kazi mawaidha yako na maneno yako yanakubalika mama hongera sana.
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
KWELI MAMA ,JPM Alikuwa SIRI YA MUNGU.!!! Dah!!!!! RIP SHUJAA.♥️♥️♥️♥️♥️
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 Жыл бұрын
We never forgot you magufuli forever😢❤
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Mi nashangaa mnaomdharau MAGUFULI , kafanya KAZI kubwa sana kikwete ameongoza miaka kumi kafanya nini
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Alimpigia kampeni Magufuli kwenye uchaguzi huenda asingeshinda kuwa Rais angebaki mbunge tu usijitoe ufahamu kwa hilo kuhusu Kikwete halafu usiwaone waliobaki na watangulizi kuwa hawakufanya kitu maendeleo aliyakuta na ameyaacha ingekuwa hivyo wakoloni wasingeondoka tungewang'ang'ania kwa sababu walijenga reli, Barbara,Shule,hospitali, nk tuwaenzi na wao Hugo mama anasahau kuwa hiyo elimu yake aliipata wapi na wakati gani kwa gharama gani nani alimgharimia
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
Sema kweli mama ❤
@emmamga5495
@emmamga5495 Жыл бұрын
Hongera mama wewe sio mnafiki
@goodmark1336
@goodmark1336 Жыл бұрын
Love you JPM💕❤️
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
Still love you brother💕💕
@anoldmkella
@anoldmkella Жыл бұрын
Much respect JPM
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 Жыл бұрын
Anna unafeli 40 years ubunge hujui pesa zimetoka wapi?? Rejoice with our Ancestors in our ancestral home JPM. Your light will never go Dimm
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 Жыл бұрын
Asante sana mama umesema ukweli jpm pumzika kwa amani amina
@richardnott4403
@richardnott4403 Жыл бұрын
Asante mama 😢bado huwa tuna umia sana na huu ufisidi wa leo
@reginarobert1914
@reginarobert1914 Жыл бұрын
Ongera sana mama nimekupenda
@janemisso9722
@janemisso9722 Жыл бұрын
Asante sana Mama Anna Makinda kwakuelezea ukweli huu, Mungu akubariki mno 🙏🏾🤔🤔
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Ongea ukweli mama unaniliza Kwa speech yako
@josephg.mwangamila4865
@josephg.mwangamila4865 Жыл бұрын
Unaelewa vizuri sana. Hongera sana. Wengi sasa hivi wanashabikia kinafiki tu !
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Жыл бұрын
Asante sana mama Anna Makinda.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Sawa Mama. Tunamkumbuka JEMBE wetu JPM.
@jumangulila6591
@jumangulila6591 Жыл бұрын
magufuli tutakukumbuka daima
@abochejuniorhutingwa223
@abochejuniorhutingwa223 Жыл бұрын
Mungu amurehemu marehemu wetu Ndugu yetu Hayati Magufuli
@zachariamagesa7230
@zachariamagesa7230 Жыл бұрын
Mama uko sahihi kabisa,watanzania kumpata KIONGOZI kama MAGUFULI mpka muujiza Wa MUNGU, wanaomdharau MAGUFULI hawana akili hata kama wana PHD. Mzee momoja alikaa America miaka 9, alisema ,kama tungepata maraisi kama MAGUFULI miaka 20 ilopita tungekua ni ulaya ya Africa. Ukwl utabkia kiwa ukwli,viongoz wote wapiga hela, MAGUFULI katuonyesha pesa inapokwenda ,lkn nchi hii ni tajri. Mama uko swa kabisa
@lucasmanyama2892
@lucasmanyama2892 Жыл бұрын
Ni kweli kaka, elimu tulizonazo PhD, na zinginezo zimetupa ujinga tu vichwani
@ellymichael672
@ellymichael672 Жыл бұрын
Magufuli the Legend,You will forever be the best President of This country.
@boniphacelusato
@boniphacelusato Жыл бұрын
Asante sana Mama Anna Makinda. Maneno yako yamenifariji.
@chrisdot9914
@chrisdot9914 Жыл бұрын
Kabla sijafa, naomba kumkumbatia mama Anna Makinda. Mungu ambakariki mama Anna Makinda ❤
@aloujouasumwisye553
@aloujouasumwisye553 Жыл бұрын
Mh.Spika staafu kweli umesema ukweli wa moyoni,nakushukuru sana mama Mungu akulinde kwa kusimamia ukweli japo wengine hawataki kusema huo ukweli
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Жыл бұрын
Hongera mama nakukubali umeongea lakini wapo wenzako wanasema wazuri hawafi likini hao machawa wa CCM Mungu anawaona
@roseb8052
@roseb8052 Жыл бұрын
Thanks Mama Magufuri hi son god now his next himib Heaven 🥰😍🥰🥰🥰🙏
@kokushubirakashuliza4811
@kokushubirakashuliza4811 Жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu sana leo Asante sana kwa kutukumbusha
@mickwealthy500
@mickwealthy500 Жыл бұрын
Hongera sana mama 💔 ni hekima kukumbuka mchango mzuri wa Hayati JPM..RIP JPM
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 Жыл бұрын
REST IN POWER JPM
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Hakika mama nakupenda
@mariamkivuyo8154
@mariamkivuyo8154 Жыл бұрын
Mama Mungu akubariki kwakujua kwamba tulimpata Magufuli kwa mpango wa Mungu wambinguni
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 Жыл бұрын
Mama Anna Makinda ubarikiwe sana. Speech yako ni funzo kubwa sana
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Жыл бұрын
Kwer mama tena tunakasrika sana sisi wanainchi tukiona mtu anamuongerea vibaya magufuli wetu wangejuwa jinsi tunavyo wachukia,
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Yaan we acha tuu
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
dah sauti ya radi imepotea wenye akili tutamkumbuka mpaka siku ya mwisho
@simas.a1003
@simas.a1003 Жыл бұрын
Asante, mama makinda. Huyo Baba siriyake anaijua Mungu. Tunamkumbukasana ametuachia alama kubwasana.
@princekagame8203
@princekagame8203 Жыл бұрын
Makinda safi 👍👍👍
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 Жыл бұрын
Wakijitokeza wa kupotosha na kusema vibaya juu ya jpm wapo watakaokuja kusema ukweli na manzur yake, asante mama, ukweli usemwe
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Ukweli utabaki ukweli atakayekwenda kinyume na maono ya magufuri atakuja juta ni mwalimu kishafundisha somo limeeleweka hakuna wakudanganya Tena
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Жыл бұрын
Magu aliyekumaliza ametukomoa!! Ningemjuwa aliyekumaliza nungechukuwa Sheria mkononi!!! Pumzika kwa Aman mwamba wa africa
@africanadastream
@africanadastream Жыл бұрын
Thank you, we will relay in other languages so more Africans can be aware of this.
@lucasmanyama2892
@lucasmanyama2892 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Magufuli amefanya makubwa sana, ana mapungufu yake kama binadamu na sisi sote tuna mapungufu, ila Magufuli mungu amuweke mahala pema.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 8 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, Agosti 15, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 214
Julius Nyerere - The Importance of Workers Unity (1995)
10:04
AfroMarxist
Рет қаралды 8 М.
Kicheko cha Mama Magufuli Igizo la Vijana Kumbukizi ya Hayati John Joseph Pombe Magufuli Kawekamo.
16:44
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 191 М.
Mama Anna Makinda atoa neno kumbukuzi ya hayati John Magufuli Jimbo Kuu la Mwanza.
10:17
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 2,7 М.
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 938 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24