Nondo za Rais wa Yanga Hersi Said kuhusu mchakato wa mabadiliko

  Рет қаралды 6,284

Azam TV

Azam TV

3 ай бұрын

“Mwenyetiki wa Bodi atakuwa ni Rais wa Klabu ya Yanga” maneno ya Rais wa Yanga, Hersi Said akielezea muundo wa Bodi mpya itakayoundwa baada ya mchakato wa mabadiliko kukamilika ambapo wajumbe watano watatoka Yanga na wanne watatoka upande wa wawekezaji ili kuunda Bodi ya kampuni ya Yanga SC.

Пікірлер: 10
@gaspermethodtungaraza3850
@gaspermethodtungaraza3850 3 ай бұрын
this is Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Love from Gaspeer - Mbeya
@gerrymimi9387
@gerrymimi9387 3 ай бұрын
Nikimsikiliza Rais, bado ninasikia muingiliano mkubwa kati ya Klabu na Kampuni. Kwa mfano, Mkutano uliochagua Rais badala ya Mwenyekiti ulikuwa ni wa Klabu au Kampuni? Kwa sasa, nani Mwenyekiti wa Klabu?
@matiasisilwamba639
@matiasisilwamba639 3 ай бұрын
Wakwanza kabsa like 🎉🎉🎉🎉
@amirisaid6341
@amirisaid6341 3 ай бұрын
Pia wawekezaji hawajapata nafasi ya kiungozi kwenye bodi...
@officialjingle3923
@officialjingle3923 3 ай бұрын
Wapili jamanii😂😂😂😂
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 3 ай бұрын
Tunaomba highlight yanga vs mamelody
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 3 ай бұрын
Engineer is away Engineer
@jobemjema3208
@jobemjema3208 3 ай бұрын
Ww
@amirisaid6341
@amirisaid6341 3 ай бұрын
Apo kwenye wawekezaji kuwa wanne kutakuwa na mgongano... kwenye maslai ..
@elishamwanjela4443
@elishamwanjela4443 3 ай бұрын
Viongozi wako vzur
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 24 М.
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
#messi #skills
0:20
ZeeX FF
Рет қаралды 16 МЛН
Big Difference 🥶
0:42
Foot Mood
Рет қаралды 7 МЛН