NTOBI AFUNGUKA BAADA YA KUVULIWA UONGOZI CHADEMA - "WAMENIFANYIA FIGISU KWA SABABU YA MBOWE"

  Рет қаралды 8,766

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 11 сағат бұрын
Ntobi hukuandika kwamba Tundu Lissu anaropokaropoka hovyo hafai hata kuongoza mtaa? Waliokuondoa wamefanya kazi nzuri.
@abuubaya7614
@abuubaya7614 11 сағат бұрын
Huyu mpumbavu sana kusema lissu afai hata kuongoza mtaa yan hii kaul ni kitukana chama chote na sio lissu madness
@AwardHakimu
@AwardHakimu 10 сағат бұрын
Upo sahii hapa ndio naendelea kujifunza kuwa hata wapumbavu wanapewaga kuongoza
@SebastPolepole
@SebastPolepole 10 сағат бұрын
Mzee pumzika Kwa amani
@kadilamore802
@kadilamore802 10 сағат бұрын
Wamefanya kazi nzur sana kukufukuza. Unatukana watu sana..
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 10 сағат бұрын
LISSU aendi airport kucheza. Anaenda kupata MATIBABU
@JosephChrisant
@JosephChrisant 8 сағат бұрын
Wewe Ntobi huna heshima juu ya Lissu kauli zako ni za hovyo sana.
@bugalirecords4862
@bugalirecords4862 11 сағат бұрын
Huyu ni mpumbavu kaonewa nini wakati anawaambia lisu hafai kuwa hata kiongoz wa mtaa wakati walimuweka agombee urais hizo sio hoja za kumpinga mtu kama humtaki kuna namna nyingi sio kumchafua na kuchafua chama
@emmanuelkapyela7027
@emmanuelkapyela7027 11 сағат бұрын
A very well calculated move... We know the plan behind
@Maradona2857
@Maradona2857 6 сағат бұрын
Could you please tell us the plan behind?
@malackedson7706
@malackedson7706 10 сағат бұрын
Pumbavu unakbri sana jifunze kwawengine bado yeriko mnauzi sana vijana wa honyo mnaangalia vichwa na matumboyenu na babayenu mbowe.
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 11 сағат бұрын
Hyo katibu tupe no zake apokee soda Kwa Kaz nzur
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 9 сағат бұрын
sasa wanaenda kumtenguwa lisu asigombee kwani mtajinyonga.
@benardkinde8496
@benardkinde8496 11 сағат бұрын
Ulisema kweli lisu hawezi vaa viatu vya mbowe ukimsikiliza kauli yake unaona kabisa haitakii mema chadema
@bsmonline8482
@bsmonline8482 5 сағат бұрын
Kwani we hujui Lisu anaenda Nje kufanya nini? Wewe kweli ni Mpumbavu sana aisee Yaani. Wewe huna tofauti na waliompora Ubunge wake eti hawajui alipo. Una Roho mbaya sana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 сағат бұрын
Pumzika Kwa Amani
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 9 сағат бұрын
Umemtukana lissu kula kiburi
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Сағат бұрын
Aliyoyafanya yanajulikana, Kadhalilisha Sana viongozi wake hasa makamu wake
@gidongailo7174
@gidongailo7174 10 сағат бұрын
Inasemekana na wapiga propaganda kuwa Mbowe ana hekima kuliko Lissu, ila machawa wa Mbowe sasa afadhali ya Lissu😂😂😂
@AlhajiNkullo
@AlhajiNkullo 10 сағат бұрын
Mbowe Hafai Kwa Sasa atusamehe sisi tunakunja ngumi yeye anakunja pesa ujinga gani huu
@samsonwilson3762
@samsonwilson3762 10 сағат бұрын
Ntobi ulimtukana lissu kwamba hafai we ni chawa na yeriko wote hamna sitaha kwani lissu hujui anaenda kutibiwa
@Maradona2857
@Maradona2857 6 сағат бұрын
Kwa matusi aliyokuwa anatoa ni vizuri wamempiga chini.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 11 сағат бұрын
Unatukana watu. OVyio
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 5 сағат бұрын
#Lisu4life
@LusajoDulle
@LusajoDulle 8 сағат бұрын
Kafie mbali uko hufai ata kidogo
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 11 сағат бұрын
Ntobi akili za mende! Umeonewa na nani? Ujinga ujinga tu! Eti lisu hafai ata kupewa uenyekiti wa mtaa! Wakati mlishamchagua kugombea uraisi.ujinga ujinga na uchawa tu .
@faustinebenedicto9449
@faustinebenedicto9449 5 сағат бұрын
Huyu alisema wanaoonekana kwenye mitandao sio wapiga kura wala hawana maamuzi kwenye chama leo anasema ni Timu Lissu??? Dogo anazidi kuchanganyikiwa, uchaguzi wa nguvu kama huu hautakuja kutokea mpaka miaka 30 ijayo
@Laluma2023
@Laluma2023 5 сағат бұрын
Si mnatudanganya kwamba viongozi wote wa kanda mnamuunga mkono Mbowe imekuaje wamekugeuka chawa wa Mbowe?
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 10 сағат бұрын
Utukane watu af uachwe.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 сағат бұрын
Si ulikua unajigamba wewe ni mpiga Kura kapige Kura sasa😅
@dennisungonella205
@dennisungonella205 59 минут бұрын
Wamenyang'anya 😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 сағат бұрын
Kwanini useme Tundu Lissu anaropoka na hafai kuongoza hata mtaa?
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 10 сағат бұрын
Ntobi akili zako unaenda na mchanga beach....
@GiftAbduly
@GiftAbduly 9 сағат бұрын
Bora wamekutoa bana pumzika afu acha kamdomo
@eliajimmy95
@eliajimmy95 7 сағат бұрын
Hovyo kabisa ntobi
@nickluhende
@nickluhende 6 сағат бұрын
Kujifanya victim kwenye hili si sawa. Ntobi akubali tu haya aliyatarajia na wala hakuna kanuni iliyokiukwa. Mwenyekiti wa Kamati ya maadili alikuwepo na alipiga kura juu ya adhabu yake.
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 10 сағат бұрын
huyu jamaa sio mfuasi wa mbowe haendan n mbowe ana matusi n kejeli hama hekima z mbowe nilianz jumfuatilia mdahalo wa I odemba
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 сағат бұрын
NTOBI TUPO NA WW KAKA
@GasperKapungu
@GasperKapungu 3 сағат бұрын
Mbona TIMU LISU wanamtukana mbowe kila siku lakini hawachukuliwi hatua?
@DottoMatola-g9j
@DottoMatola-g9j 10 сағат бұрын
Na bado mpaka lichama lifehamjasema mlizoea kutukana watu sasa vumilia mwezeka tembe mti umdondokea mwenyewe
@JosephMasaba-u2x
@JosephMasaba-u2x 11 сағат бұрын
Kaa pembeni
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 9 сағат бұрын
huyu lisu mna mshobokeeni tu bado hivi punde mtaelewa.
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 10 сағат бұрын
Ntobi alimtuka Lissu. Kusema Lissu anae mzungu wake,Lissu ni mropokaji, mara hooo lissu 2020 aliwekwa mgombea kisa ni mropokaji. Ntobi kaa uko X.
@Allyiddsud
@Allyiddsud 11 сағат бұрын
Upo vizur kaka. Tunashida tu . Mbowe oyeeeee❤❤
@HumphreyNgunda
@HumphreyNgunda 8 сағат бұрын
Huyu jamaa ameonewa kbs Lisdu ni mropokaji kbs anatoa siri za chama na kuwatuhumu viongozi wengine.
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 7 сағат бұрын
jitu lenyewe unaitwa NGUNDA unaanzaje kuwa na akili
@aloycekomba1
@aloycekomba1 7 сағат бұрын
Ee si ni siri za rushwa
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb 11 сағат бұрын
Timu Mbowe tujuane Hapo ✔️✍️
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 10 сағат бұрын
Ni team Lisu tu
@JosephChrisant
@JosephChrisant 8 сағат бұрын
Mbowe apumzike vinginevyo chama kitakuwa kama TLP.
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 09/01/2025
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН