We need such men like Muturi who are bold and courageous, can speak the truth no matter if it hurts.
@frunkkiongo720910 күн бұрын
Muturi , Mungu yupo. Wasamehe, waheshimu na uwapee The Powerful GOD
@CharlesKariuki-p3v10 күн бұрын
Truth never die
@AngelaTheuri11 күн бұрын
We need more muturis
@francisnderu58811 күн бұрын
Ruto is afraid of chasing Muturi because of repercussions that will follow him.
@mahmoodsalim733411 күн бұрын
@@francisnderu588 muturi added nothing to rutos presidency
@DicksonMwazira-d1z11 күн бұрын
You are the best C's in kenya. Tomboa yote kabisa.
@yussufahmed13611 күн бұрын
Tomboa😢😢😢
@ministerkenn179311 күн бұрын
😅😅😅😅😢
@evansosoro7856 күн бұрын
Msimamo wa serikali kuwateka wakenya nyara wakiuliza hiyo serikali ukweli,kuwaua wakenya wenye wanajaribu kuikozoa,kuhakikisha wakenya hawana uwezo wowote wa kuchangamana pamoja kwa kuwa na kauli moja.kujukua mikopo na kuwalazimizia wakenya walipe kwa njia zizisoeleweka.kuhakikisha hakuna employment opportunities na kufunga makampuni na kuhamiza zingine kutoka hapa nchini.Hii serikali lazima iondoke ndio kenya iwe na uhuru wa kujiendelesha la sivyo maisha itazidi kuwa ngumu zaidi.
@morriskirianki835710 күн бұрын
Muturi asimame strong, ajitoe Kwa hii serikali ya ufala...
@okindagerishom404611 күн бұрын
Tunataka afukuzwe na kasongo ndio akitoka atoke na watu wengi, ka bado kufukuzwa akalie hapo hapo
@AliAthmani-o1w5 күн бұрын
Muturi, was commanding a lot of respect in the government but that did not stop his son and others stop his son from continuing to undermine the government his father serves, and since maturi stands with his sons acts, let him go join his sons movement.
@veeC58011 күн бұрын
Rootall alijihuzulu wakatii walikuwa na pinga na piga serikali kwa muda ya miaka tatu..huyu ruto ako hapo ajibu kwanza🙄
@lucymosabi269810 күн бұрын
Why does it take seven months to come to the fore? Is this a deliberate delay, perhaps for political gain?
@clintonnjagi647310 күн бұрын
Wewe diy6ulimwaappoint 🙄
@peninahndunge176911 күн бұрын
Tafuteni ufalme wa MUNGU kwanza Ya Ndunia yataisha
@veeC58011 күн бұрын
Lakini bado dunia itaendela
@JM-eo3wo10 күн бұрын
Huu jamaa wa juja asema nini?
@JohnMwangi-er4cy12 күн бұрын
Ni msimamo wa serikali kuabduct wanainchi...
@isaacalande575912 күн бұрын
How so you expect the Homa Bay people to understand the News if you consider using Kiswahili language?
@ministerkenn179311 күн бұрын
😅😮
@stanleytinga474711 күн бұрын
Is homa bay in England?
@aishasaidi178411 күн бұрын
Nani haoni kuwa watu wanatekwa nyara c c t v zinaonesha kwa mabarabara polisi na polisi hawajui kwa nini hawajui hawa polisi na hao ndio walinda usalama mbona watu wateke nyara gari nyingine ilitaka nyara huyo mtu wa tanzania juzi tu bado watu wengine wako mafichoni polisi wakisema hawajui kwa nini hawajui wana faida gani pekee yako kuwa polisi wako na faida gani wajiulize tu waache kutubeba kama matako yao sisi wananchi hata zakayo anajua chenye anafanya
@babuuosama875212 күн бұрын
Muturi akubaliani na magaidi wano teka wakenya nyara Sio sirikali. Wabunge pelekeni mswada bunge la kuwa hoji Noordin Haji na mohamed Amiin kuhusu magaidi watekeji nyara Gen Zii's . Wacheni kupayuka payuka majukwani Muturi Sc up 2027 Mtaaa duuuu no resignation 😮
@AntonyMwanzia-p6e10 күн бұрын
Was he not speaker of national assembly in previous government when bodies were retrieved from river yala? So because his son was abducted that's y it matters? All these are just for political millage not to Help us at all
@Zone.sensation7 күн бұрын
Wait when the same pain knocks your door
@jav85611 күн бұрын
What did your son's do he must have been on the wrong
@franmdleleni652011 күн бұрын
Fair enough but why abduct him?
@Zone.sensation7 күн бұрын
Unreasonable human nkt
@ickymicky683011 күн бұрын
Muturi anataka impichment ili apate kiti ya governor embu through sympathy
@solomonkaburu257111 күн бұрын
Eti msimamu gani? abduction s
@mahmoodsalim733411 күн бұрын
Leteni kiti ya waziri pwani , Ruto atarudi 2027 hata bila wakikuyu .
@sammiemwangie931011 күн бұрын
Mimi niko kwale coast na hatupangwi tena
@hamisiedinner613311 күн бұрын
Uko na kura ngapi wewe, kula panya ulale
@jamesgetugekidiga798511 күн бұрын
Ka ureaga Bea rucine
@mwanikijoelmuthaka870311 күн бұрын
How have you benefited from Ruto's government?
@mahmoodsalim733411 күн бұрын
@@sammiemwangie9310 hakuna mwangie kwale , wewe wa kuja tuu .