Рет қаралды 199
Mashahidi watatu zaidi wametoa ushahidi katika mahakama ya Nakuru kuhusiana na kesi ya ubadhirifu wa shilingi bilioni moja ya udhamini wa elimu ya juu. Kesi hiyo dhidi ya seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago na watu wengine wawili inaendelea
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya