NUSURA | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE| Filamu za Adam Leo

  Рет қаралды 485,815

Adam Leo Studios

Adam Leo Studios

Күн бұрын

Пікірлер: 717
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇 kzbin.info/www/bejne/fKaUfGiXibmdZ5I
@sitimjhhindimjh2019
@sitimjhhindimjh2019 Жыл бұрын
Jjjjhjjjjjjjjjhhjjhjhjjuhjjhhjjjhjjjhjjjhhjjjjhhjjjjjtjjjtjmuhthjhjjjjuhhhjjjhjjjjjhhhjjjhjjjtjjhúuhhhjjhjjjjjhjjjhuhhjhjhnjujjjhjmtjjhjjhjjjhjjjjjutjjnjhhjhjhhjjjhjjhhjhjjjhhjhhhhjjjjnhhhhujhjjhhhjjhhjjhhhjjjjjjjhhhjhjjjjjhjjtjjjjjjjjjjjjjjjhjjhhthjhjjjjhjjyjhjhjhjhhjhjmhjjjhjhhjjhhhhhujhhhyjjhhyhhjhhhjjhhjjjuhjhjhjjhhnhuhhjhhthhjhjjhhhhjjjjhhhhuhjhhjjjjjhjhhhjjjhhjjhjhjjhhhhjhhhhhhhthhhhhnjhjhuhhhjhhjhhhhjhuujjjjhhjujhjjhhjhjhhjjhjjhhjhhhhjjt Jhhjjjjjhjhjhhhhhjhhhhuhhhhúhjjhhjjhjyujjhjhhhjjuuhhyjhhhuhhhhjhhhhhhhjhhhjhhhhhuhhhjjhuhhhhjhhjjhhhhjhhjuthjjhhhhhhhhhjhhhhuhhhjhhyhhhhhhhuuhhhhujhhhhhhuhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhjhhhhhhhhhhhjhjhhhjuhhuuhhhhhjjhhhhjhjjhhhhhjhhhjhjjhhjhjhjhhjhhhhuuhhjhhjhhjhhhjjhjhhjhjhhhhhjhjhhjhthhhhjhuhhhhhjhuhhujhhjjhujhhjhjhuhhhhjhhjhhhhjhjjhhhhjjhjhhhujhuújhhjhhhhujthyhhhjjhhhthhhjhhhhhhhjhhjhhhjjhhuhhhjhhhhhhhhhhhthhhhhhhhjjhhujhhjhhhhhjhjhhjhhhhhhhhhhhhjhhhhhhhhhhhhhhhhhjhhjhhhhhjhuhjjhhjjhjjjjjhhhhjhuhúuhhhhhhhhhhhujhhjjhhhuhuhuhhhjhhyhhjjuhhuhhhhhhhhhhjújhhhhhhhhyhhhhyhhhhhjhhhjhhúhhhjhhhhújhuhhuhhhjhhhuhhhjhhhuhhhyuhhhhuhhhhhjhhhhhhhhhhhhuyhhujhhjjhhhhhujjjhhujjuhhhhjhhhyhhhhujhhhuhhhyuhhjhhuyhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhjhhhhhhúhhhuhhhhjhyhhhuuhhhmhhmhhhhhhhhhhhhhhhhuuhuuuhhhujhuhhhhhhhjhhhjjhhhhjhhhhhhhhhjhhhjjhhhuhhhhhhjjhhhhhhjjhhhhhuhhu huu hhhhhhyhuujhhjhhhhhuhuhhhjjhujuhhhujhhhhhhhhhuhjhhyhjuhúhhhhhhjhhhhhhhhuthhhhjjuhhjhhuhjjhhhhhhhhjhhhhhhhhhhhhhhhhjhhyhujhhhhhuhhjhuhhhjhhhhhhjhjhhhhhhyjhhhhjhhhuhhhjhuuhhhhhhujjhjhhhuhyhjhuhuhhuhujhuhhjhhhuhhhhhjhh juu huhjuhhhhhjhuhhhhhhhhhuhhuhjhhhhuhhhhhhjhjhjhjjhj juu hhhhhhyhjuhhhhhhhhjjhhh he hh huku hh hhh the juu hhhhhhhhuuhh the hhujhhhh hi jjhhhh juu jnthhtjhhhj huku hhhhhhhhhjuuhhhhjyhhh huyu juu hhhhh juu h hi hhhhuhhhhjhhhhhhhhhhuh huku h ujue juu uhhhhhhhhu huyu uhyhhhhhhuhhhhhhhhuhhhhhhhyuhhhuhyhújuh hhhhhhhhhjuuhhhhjyhhh huyu húhhhuhhh huu h hh hhyhhhuhhhhuyuhh hhh juu huhhhhthhhhúhhjhhuhhhuhhhhhhhhhhuhhuujhhhhu huyu h hh h hh hhh juu hhu hujui hhhhhh hi h
@maammudmohammad4306
@maammudmohammad4306 Жыл бұрын
adamu kakosea sana kumdanganya huyu dada maana akija kujua inazaa matatizo makubwa sana
@maammudmohammad4306
@maammudmohammad4306 Жыл бұрын
adamu hiyo plani ni ya kipuuzi baadae itakua so
@maammudmohammad4306
@maammudmohammad4306 Жыл бұрын
ukweli humuacha mtu huru
@maammudmohammad4306
@maammudmohammad4306 Жыл бұрын
duh wamekutana waongo wawili na waizi wawili
@mkasijuma4803
@mkasijuma4803 Жыл бұрын
Adam hongera sanaa napenda sanaa filamu zako mashallah mungu akuzidishie kipaji chako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen nawe asante kwa kutazama...!!!
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 2 жыл бұрын
Nimecheka wakati wakumtambulisha mkeo na kuaga mgeni, kazi nzuri sana Adam inamafundisho kibao nawashukuru sana. Adam na team yako muchukuwe zawadi kutoka kwangu 🏆🏆🏆
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Hahahha jamani asante sana, comment yako imenipa nguvu ya kuendelea kufanya zaidi, asante mno... Tegemea kazi nzuri kutoka kwetu hapa hapa Darcity Tv.
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 2 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios Sawa good, ila munatuchelewesha sana mpaka tunamiss kazi zenu😀😀
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Naelewa aisee, ni ukosefu wa bajeti tu lakini, nitajitahidi kwa pake nitapo jaaliwa.
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 2 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios 100%✅✅ kila la heri, tutasubiri tu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante.
@beatriceouma5133
@beatriceouma5133 2 жыл бұрын
Napenda filamu zako Adam hongera...
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante nawe kwa kuwa unazitazama usipitwe.
@donboscongwina1479
@donboscongwina1479 2 жыл бұрын
Adam leo... Hongera sana kwa kuikuza fasihi ya Kiswahili. Hapa marekani, ninapenda kuziangalia hizi zinikumbushie nyumbani na pia ili nisiipoteze lugha yangu. Hii imechezwa ikachezeka..... Hongera sana kakangu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana kaka tupo pamoja,
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Waweza nicheki WhatsApp kwa namba 0652393960
@sungwevalentin743
@sungwevalentin743 2 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios dah movie nzuri sana nitajaribu kushare na watu wanaongea kiswahili hapa marekani ili uzidi kutambulika
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kweli.
@victormathu6689
@victormathu6689 2 жыл бұрын
Kazi safi bwana Adam....daah nimeipenda sana picha hii....one love from ..Mombasa..Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Thanks a lot watu wangu wa mombasa
@Khadijaasaid4533
@Khadijaasaid4533 Жыл бұрын
Unapendwaa Kenya askwambie mtu🥰🥰mmbo fire🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asanteni jamani wa Kenya🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mwanambendayusuph7930
@mwanambendayusuph7930 2 жыл бұрын
hongera sana kaka Adam kazi nzuri sana
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Wow wow ❤️❤️❤️adamu unapoteza Sana lkn unajua had unaboa 👌👌👌👌👌👌👌 Mungu akupiganie Somo zuri sanaaaaaa🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Amen tupo pamoja, soon nitaanza kuachia mfululizo.
@كريساكينا
@كريساكينا 2 жыл бұрын
Nakupenda sana Adam kaz yako inamafunzo kweli daah hadi najikuta na kupenda bure natamani kujiunga na ww babaa ila nko mbali hongera Sana mdogo wangu ❣️ from Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Karibu jamaniii, nawapenda pia nyote mnaonifuatilia.
@racheleflaem8097
@racheleflaem8097 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios nakupenda sana sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana Rafael
@jamesjohn6685
@jamesjohn6685 Жыл бұрын
Asante sana
@jamesjohn6685
@jamesjohn6685 Жыл бұрын
Wamba unajua sanaaaaaaaa
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Hongera sana adam kazi zako mzr sana nazipenda mnoo mungu akubariki🙏🙏❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana, ubarikiwe na wewe pia.🙏🙏🙏
@miiroplasticbottleshouse1340
@miiroplasticbottleshouse1340 Жыл бұрын
Asante Sana Aminah, for appreciating. How can i say "Appreciating" in Kiswahili? you know am having Kiswahili Classes fighting hard to learn the language. hahahahaa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
'Nashukuru'
@fridaupendomushi1081
@fridaupendomushi1081 Жыл бұрын
Ila Adamu una fiksi hatari😅all in all movie zako ni nzuri sana. Zina mafunzo ya hali ya juu . Keep it up bruh
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot, asante sana kwa kutazama. Mnanifariji sana.🙏
@Nana001Zawad
@Nana001Zawad 11 ай бұрын
Adamu jamanii❤
@puritykalasinga371
@puritykalasinga371 Жыл бұрын
Very interesting movie .I love watching, dada Success I loved watching her part was very good.Great lesson Adam keep going with that talented , watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Ending was very perfect 🔥🔥🔥.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot🙏🙏
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Жыл бұрын
Adamu kazi zenu nzuri Sana hongerani Sana ♥️♥️♥️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana aisee
@RaelAmunga
@RaelAmunga 4 ай бұрын
Adam uko vipi Tena nakuona nikiwa hapa nyuma ya tent😅😅
@walterChande4478
@walterChande4478 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana watu wangu wa kenya.
@Damacline4004
@Damacline4004 Жыл бұрын
Much love from Kenya Adam kazi nzuri sana mungu awabariki sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana🙏
@blessingjuress4860
@blessingjuress4860 Жыл бұрын
Hongera saana bwana adam nime furahiya sana ma filamu zako.nipo kwa D.R.congo/ituri/bunia.mungu aku bariki saana kwa mafundisho
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@dannyqadenge4772
@dannyqadenge4772 2 жыл бұрын
Good lesson for all sugar-mumis. And am giving them very big up 4 the whole crew. ,👏👏👏👏😘😘😘😘😘❤️💋❤️💋💕💕..it. Danny from 254.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Thanks all.
@twisilemwabukusi4981
@twisilemwabukusi4981 Жыл бұрын
Hongera sana Adam. Movie zako moto sana. Maoni yangu, wakati yule dada anakuomba msamaha wewe mwenyewe ulistahili kumwomba msamaha huo pia kutokana na kumdanganya kuwa mke wako ni dada yako.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kabisa kabisa aise..😪
@marymussa6134
@marymussa6134 Жыл бұрын
Hongera mnoo Bro Adam,, Mungu azd kukupa maarifa kila paitwapo siku!! Sauti yako sasaa,, Mashallah !!!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante jamani🙏🙏🙏
@sharonkhavetsa283
@sharonkhavetsa283 Жыл бұрын
Wow napenda sana vida zako Adam 😂🥰...i. your big fun all the way from Saudi Arabia 🇸🇦🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks sharon
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA Жыл бұрын
Hongera sana kila sehemu unafiti ubarikiwe sana mungu wetu ni mwaminifu juu yako . Aendelee kukulinda daima .. nakufutilia sana nikiwa marekani . .
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j Жыл бұрын
Uko poa Adam hongera kwa uigizaji, hii movie inamafunzo sana hasa kwa sisi wanandoa,mm nimejifunza hapo kwa kutambulishwa dada Kisha ni mkewe,,lazima tuwe makini na Hawa waume zetu maana wengi ndivyo wafanyavyo🤗🤗❣️❣️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa huu uigizaji na Mungu azidi kukupa hekima na maarifa ya uigizaji wako pia akutetee kwa kila hatua atakayochukua,,mm ni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@manassesukari-sw7gd
@manassesukari-sw7gd Жыл бұрын
Naitwa Emanuel toka Congo RDC Adam wewe ni unaakali kabisa aksante kwa filamu nusura
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani saanaaa...!!!!
@swalehemaiko4677
@swalehemaiko4677 Жыл бұрын
Congo sehemu gan tujuane hata mimi niko congo ndugu
@callistokihuro6372
@callistokihuro6372 Жыл бұрын
Wanaume mujifunzi kusema ukweli kila wakati! Ndio ukipendwa upendwe vile ulivyo👌😅🤭 pole @Adam.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kabisa kabisa. Asante sana.
@hellenwagema6887
@hellenwagema6887 2 жыл бұрын
This again is awesome,I think am getting used in this movies,heko kabisa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Thanks Hellen
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 3 ай бұрын
Adam Leo.....kazi nzuri unawezaa mpk unaweza tenaa❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 ай бұрын
Shukrani sana
@mwanamgenimwamzandi1941
@mwanamgenimwamzandi1941 Жыл бұрын
Mashallah adam unakuja juu ajab! Keep it up darling bro
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot.🙏
@jacque2419
@jacque2419 Жыл бұрын
Mon frère Adam,uko na kipaji ya kucheza filamu tena filamu zako zote ziko namafunzo ma zuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana asante nawe kwa kutazama
@Thumaommy
@Thumaommy Жыл бұрын
Much love 4rom saudia ....Adam mashllh good work 🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot.
@glaysuneytvkenyansingulf7818
@glaysuneytvkenyansingulf7818 Жыл бұрын
Allah akuzidishie kka Adam 🤲❤️🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@ghatikulwa
@ghatikulwa Жыл бұрын
Hivi izo pensi ua unazitoa wap Adam😂😂😂, ila napenda sana kaz zako hongera unafanya vzur sana kaka endelea kuipeperusha bendela kaka 🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Hahahah nazinunu karumee😂😂😂shukrani by the way.
@mimizain323
@mimizain323 2 жыл бұрын
Natazama nikiwa iraq..kazi nzuri sana big up bro 👍wangwan👊👊
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana aisee.
@HARONCHEGE-jv9gm
@HARONCHEGE-jv9gm Жыл бұрын
Pongez kaka❤ your movies,, ziko n mafunzo mhimu kweny life🙏👍👍🇸🇸🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana aisee.🙏🙏
@ezramasawe8021
@ezramasawe8021 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kutoka Moshi
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante jamani watu wa moshi
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Adam hongera sana ❤❤❤🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana Halima
@zaineb6795
@zaineb6795 Жыл бұрын
Hongera sana Adams picha zako ni nzuri sana mungu azidi kukutia nguvu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen🙏🙏
@bernardsmaelsuleiman8869
@bernardsmaelsuleiman8869 Жыл бұрын
Nafurai saana toka moyoni kufata filamu iyi, maisha ya mwanadam ni mangumu inaombekana mwanaume kutumia subira ku maisha, sio kuiba, yote iko kazi , Mungu asema yule asietafuta riski awezi kula , saa zote nakuaka mwenye kufata filamu yenu , ina madibisho zuri , Mungu azidi kuniongezea kila la kheri , mimi nimepatikana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana kwa kuwa hapa.
@SamuelMwalewa-bm2yx
@SamuelMwalewa-bm2yx Жыл бұрын
Good job Mr Adam keep it up
@ElizabethMutuku-qt2vj
@ElizabethMutuku-qt2vj 9 ай бұрын
Hi Adam mzuri kama jana lako mola akuzidishie more thanks from kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@StevenJames-z2l
@StevenJames-z2l 5 ай бұрын
Good job brother Adam God bless you 👍🤛💪❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Thanks
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Mashallah movie nzuri sana na Nusura wanichekesha unavyoufanya mdomo na macho hahahaa nimecheka sana wallahi tena from kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana, barikiwa mno.
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios shukran sana ww pia ubarikiwe inshallah
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Amen
@JosephTsuma-je7mh
@JosephTsuma-je7mh 8 ай бұрын
Big up bro mungu akuzidishie ufike viwango y vyengine
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 ай бұрын
Shukrani
@adelanicolaus9303
@adelanicolaus9303 Жыл бұрын
Yan Adam nakupenda ❤️❤️❤️❤️bure coz unajua sana kakaaaa congratulations
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana da Adela.
@chagenihamisi1461
@chagenihamisi1461 Жыл бұрын
Hongera sana kaka adam movie zako ni nzuri sana nimezipenda mno tena zinamafunzo ndani yake one love from Kenya 🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana tupo pamoja.
@chagenihamisi1461
@chagenihamisi1461 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios sawa sawa kaka Adam nakuamini tunasubiri zengine
@MATELPHONE
@MATELPHONE 2 жыл бұрын
Napenda sana movies zako kaka
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kweli
@sophiarashidi5903
@sophiarashidi5903 5 ай бұрын
Kazi zenu nizuri Sana mungu aendelee kuwapa kibali mfike mbali zaidi adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@ahmedksa6442
@ahmedksa6442 5 ай бұрын
Hongera sana Adam kazi nzuri na mafudzo pia ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@MaruraZawadi
@MaruraZawadi 10 ай бұрын
Movies zako zko na mafunzo sana kaka pamoja na team yako mwenyezi mungu awape nguvu zaidi ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante sana
@shanilingenju3513
@shanilingenju3513 Жыл бұрын
Another day another movie ndio mambo napentaga❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Endelea ku enjoy🙏🙏🙏
@CHARLOTTENAHIMANA-bj3fj
@CHARLOTTENAHIMANA-bj3fj Жыл бұрын
Mungu abaliki kazi yako Adam, nakupenda sana unatufundisha vizuli kabisa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante kwa kwel🙏🙏🙏
@husseinmwaringa6086
@husseinmwaringa6086 Жыл бұрын
So much love kk nimezipenda sna muvi zako kk..
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani mno Hussein🙏
@husseinmwaringa6086
@husseinmwaringa6086 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios ntka kujiunga n ww ila mm nko mbali
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Karibu
@eddaxhibanda5753
@eddaxhibanda5753 Жыл бұрын
Nakupenda sana adam unaweza na una fundisha hongera
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrsni mno
@lalylaabdi2572
@lalylaabdi2572 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana kaka ❤❤❤❤it
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
@lalylaabdi2572
@lalylaabdi2572 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios afuan
@AbdallahMalunga
@AbdallahMalunga 2 ай бұрын
Pata pesa tujue tabia yako kwa kweli kazi ni nzuri sana Hongereni sana .
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 ай бұрын
Shukrani sana
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is Жыл бұрын
Hongera sana adam daah kz ya nzuri sana nakupenda bure ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asannte sana, nakupenda pia.
@YohanaMaswaga-ss3ul
@YohanaMaswaga-ss3ul Жыл бұрын
mamb
@morrisnzai4846
@morrisnzai4846 Жыл бұрын
Adam mungu kakupa kipaji bro mm namushukuru mungu kwakukuleta hapa duniani 2 pogezi kwa wazazi kwamalezi waliyo kulea
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Ameen jamani.
@totooz5853
@totooz5853 Жыл бұрын
Nyie Adam ni mwamba banaaa😀😀💪💪💪🔥🔥🔥kazi safi bila mascratch
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani aiseew🙏🙏🙏
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Жыл бұрын
More love Adam 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante mno🙏🙏
@rosekavumbi2413
@rosekavumbi2413 9 ай бұрын
Wow napenda sana video zako ❤😍🥰🥰much love from Kenya 😊
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Shukrani sana
@eliezamaburu1649
@eliezamaburu1649 Жыл бұрын
Kwa kweli filamu zote nilizoangalia zote zinavutia Adam anakipaji kizuri.congrats.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana kwa kuliona hilo, tupo pamoja.
@a13samsung8
@a13samsung8 Жыл бұрын
Much love form kenya Adam💞💞💞
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks🙏🙏🙏
@gdddg8914
@gdddg8914 Жыл бұрын
Hayo maisha m nliyapitia ,nkiangalia hii movie nakumbuka mbl sna , mm na mume wangu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Poleni ndiyo maisha hayo.🙏na hongereni pia kwa kufika mbali.
@gdddg8914
@gdddg8914 Жыл бұрын
Adam nko gulf lkn next year nkirudi hme nataka tuact sote , if the willing Insha, napnda sna kuact
@jumakavula.896
@jumakavula.896 2 жыл бұрын
Nice filam, hongera sana bro.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana🙏
@mwanamisirama1836
@mwanamisirama1836 2 жыл бұрын
mashaAllah nzuri 👌👌
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Amen, asante kwa kutazama filamu zangu.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Amen, asante kwa kutazama filamu zangu.
@shannybeib2632
@shannybeib2632 2 жыл бұрын
Woooow movie tamu sana umeitendea haki sana Adam wa hawa♥️♥️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Shanny beib asante Hawa wangu🤩🤩🤩
@willisokoth8699
@willisokoth8699 Жыл бұрын
👏👏
@willisokoth8699
@willisokoth8699 Жыл бұрын
💯💯
@willisokoth8699
@willisokoth8699 Жыл бұрын
💯💯
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
🙏
@gilbertmhina
@gilbertmhina Жыл бұрын
Duuh good work adam woow
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks
@habibajuma1716
@habibajuma1716 9 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah kazi nzuri sana yenye mafunzo mazur sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Asante sana
@amukoyawycliffe-u2t
@amukoyawycliffe-u2t Жыл бұрын
Adam kamlinde Mmeo achana na kiruka njia hicho,kwani hivi waona success Hana mabwana wengine zaidi yako brother chunga mungu anakutazama
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kweli kabisa
@justusnyamohanga5204
@justusnyamohanga5204 2 жыл бұрын
Kwanza hapo kwa msamaha,kazi safi bro,kutoka Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Shukrani sana..!!
@violetkhaemba6796
@violetkhaemba6796 2 жыл бұрын
9
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Violet 🙏
@anselmgervase5012
@anselmgervase5012 Жыл бұрын
success is real very strong woman...big up
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot🙏🙏
@luciedoxa2735
@luciedoxa2735 Жыл бұрын
Adam hongera sana nz ubarikiwe sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana aisee.
@AliceAlice-ol5zv
@AliceAlice-ol5zv 2 жыл бұрын
Hahah 🤣😅 adamu wew 🙉😜 waa hiyo kali
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Shukrani jamanii
@jacklinebhoke2635
@jacklinebhoke2635 Жыл бұрын
Hongera sana kaka movie zako ni nzuri sana nazipenda sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana kwa kweli.
@mgoswandimalushoto3204
@mgoswandimalushoto3204 2 жыл бұрын
Saf saf safiiii❣️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Shukrani Mgosi.
@wanzamuinde6736
@wanzamuinde6736 2 жыл бұрын
Much love from 🇰🇪 Adam 💕
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪nawapenda sana
@wanzamuinde6736
@wanzamuinde6736 2 жыл бұрын
Much love from 🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Thanks alot watu wangu wa 🇰🇪🇰🇪
@SadikiSaid-cp1pt
@SadikiSaid-cp1pt Жыл бұрын
uyu Jama tuwongee ukweri kuwigiza ana juwa sana nayupo siriazi yani sio kama wengine Wana tudanganya uku tunaona
@edenhaile8310
@edenhaile8310 7 ай бұрын
I was getting apset 😮 good on you Adam leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@nurianuria9887
@nurianuria9887 2 жыл бұрын
Filam nzur👌❤️❤️from burundi 🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana kwakweli 🙏
@miiroplasticbottleshouse1340
@miiroplasticbottleshouse1340 Жыл бұрын
haaaa Nuria Unajua Kiswahili?
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Endelea kujifunza kiswahili kupitia filamu zetu.
@vincentkazungu9530
@vincentkazungu9530 Жыл бұрын
Imeweza bro congrats 👍
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana🙏🙏
@mourineb6656
@mourineb6656 Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪Adam ❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏asante sana
@bredawakio5381
@bredawakio5381 2 жыл бұрын
Kenya locked....good team congratulations 👏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Thanks for watching, we appreciate!
@rowlandwpkaulanda3777
@rowlandwpkaulanda3777 Жыл бұрын
Great work Mr Adam... You are a great man... Nice movie
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks man
@رحيمة-س1ز
@رحيمة-س1ز Жыл бұрын
Adam napenda sana filamu zako mungu akuzidishie kipaji
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@andrewjuma229
@andrewjuma229 2 жыл бұрын
Nazikubali Sana film zakoAdam ni mojawapo ya shule
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana, nitaendelea kujitahidi kuelimisha kwa kadri Mungu atavyonijaalia uhai.. Nawe asante sana kwa kutazama...🙏
@issa9084
@issa9084 Жыл бұрын
Naekaga bando cz ya muvi zako its so good
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana.
@TemekeIlala-hb4rj
@TemekeIlala-hb4rj Жыл бұрын
Oy mwanangu eee kazi nzur nimeipend one love
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana🙏
@aishaomaryyousefomaryloiru1990
@aishaomaryyousefomaryloiru1990 Жыл бұрын
Hongera sana adam, very very nice,
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani
@janethdickson3237
@janethdickson3237 Жыл бұрын
Hongela adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana Janeth.
@CharleslaizerLaizer-p7l
@CharleslaizerLaizer-p7l Жыл бұрын
Big up my brother unanifundisha ving sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Onger Sana Sana washilikiwote kiukweri Ada na mkeo msumaliumenichoma kwenye mfupa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Polee sana
@رحيمه-د6ع
@رحيمه-د6ع 9 ай бұрын
Masha Allah kaz nzr saanaa ❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Asante
@costajoaquim3350
@costajoaquim3350 Жыл бұрын
Primo gostei pha!! Moçambique
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani
@mathiasderick7995
@mathiasderick7995 6 ай бұрын
Adam kazi yako ni nzr sana napenda filamu zako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@makikipingu9647
@makikipingu9647 2 жыл бұрын
Wewe kaka adam unakipaji sana mungu akuendeleze kipajicha
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏 barikiwa mno.
@kimnanamohamed3078
@kimnanamohamed3078 2 жыл бұрын
Hongera saan kaka and still sikati tamaa nataman kuw mmoja wa waigizaj wako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Karibu namba zetu unazo tupigie
@WilsonLawrence-kibindo
@WilsonLawrence-kibindo 10 ай бұрын
Kaka naomba msaada wako! Napenda sana kuigiza
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Karibu
@aishamanishimwe6705
@aishamanishimwe6705 2 жыл бұрын
I was miss u guyz 😔🥰 movie ni nzuri 💝
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante mnooo... tumerudi sasa endelea kuenjoy.
@bembelezamsazi9357
@bembelezamsazi9357 2 жыл бұрын
Nimependa sana movie Adam wewe nibonge la acta
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 жыл бұрын
Asante sana, nashukuru kwa kuliona hilo.
@SalmaSalma-e8g4k
@SalmaSalma-e8g4k 7 ай бұрын
Mashallah Adamu kazizako nzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@SwaleheManga
@SwaleheManga Жыл бұрын
Hongera kk Kwa busara ulo nayo🙋
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
@Jackymomanyi
@Jackymomanyi 11 ай бұрын
😂😂😂yaani siku moja mimi kama mke wako nitakuwa mdogo wako😅😅aishee ila kazi nzuri bro🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@mathiasbilly4477
@mathiasbilly4477 Жыл бұрын
Ma préféré t'es vraiment fort , good movies i like it somuch
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot
@bonifaceismaily536
@bonifaceismaily536 11 ай бұрын
Hongera Sana Adam waoooo ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana sana
PENZI LA KIDENTI |  Bongo Movie 2024 Full Movie
50:37
Adam Leo Studios
Рет қаралды 22 М.
FILAMU YA “FAMILY MATTERS”
1:41:38
JASONS TV
Рет қаралды 444 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 11 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 4,6 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 44 МЛН
MTUMWA WA NGONO - PART 1 | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE
1:01:04
Adam Leo Studios
Рет қаралды 700 М.
NIMEKOMA (New Movie) Adam Leo, Kado Mwamba,  2023 Swahili Movie | Bongo Movie
1:13:40
MAISHA YETU full movie / bongomovie /lovestory
2:04:39
BabaJoan
Рет қаралды 318 М.
HAMU | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
1:28:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 2,8 МЛН
MKE JINA FULL MOVIE #directorgozi
3:32:09
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 241 М.
LATIFA | Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
42:53
Adam Leo Studios
Рет қаралды 39 М.
From HouseHelp To Oga Wife "EKENE UMENWA" New Released Movie" - 2023
3:20:18
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 11 МЛН