FILAMU YA “FAMILY MATTERS”

  Рет қаралды 443,938

JASONS TV

JASONS TV

Күн бұрын

Пікірлер: 102
@manurambonaamimu7480
@manurambonaamimu7480 2 жыл бұрын
Wa Kwanza Jamani From Burundi Gonga Like zang hapa!! FAMILY MATTER.
@irakozeshamimu1929
@irakozeshamimu1929 2 жыл бұрын
Jama ni tuongezeni nyingine From Burundi
@tanfredmichael1777
@tanfredmichael1777 Жыл бұрын
Daaa nimependa msimamo wa baba wa Stella. Amesimama vema kwenye nafasi yake kama baba.👏👏👏
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Wa tatu leo from USA ukipata baba km huyu unaweza kimbia nyumba na kutokomea kusikojulikana 😂😂😂🙌🙌🙌
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Mwanamke ajielew tu manayanyaso. Yote bado. Yumo
@aishalove4599
@aishalove4599 2 жыл бұрын
Nimafunzo kbs nimeyipenda sana🥰🥰🥰🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇦🇪
@SteveneKamara
@SteveneKamara Жыл бұрын
Baba Stella hongela sana mzee, una fanya vizuri sana Nakukubali sana mzee
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj Жыл бұрын
Hongera san baba mzazi wa Stella kwa msimamo wako ❤❤❤❤😂😂😂
@salmahelly2203
@salmahelly2203 Жыл бұрын
😭😭😭😭nyiiiee ilinikutaaa acheenii
@JumaRubeni
@JumaRubeni 6 ай бұрын
Mzee uko sahihi safi kabisa una musimamo sn ungekuwa kalibu ningeoa kwako🙏
@oscarokumu1186
@oscarokumu1186 Жыл бұрын
Baba stellar ww Ni mzazi kweli nimekuinamishia👊👊👊👊👊👊
@RamaMwacharo-qn1og
@RamaMwacharo-qn1og Жыл бұрын
Aky ninzuri sana vp hakuna party2 ❤❤❤❤
@edumay7422
@edumay7422 Жыл бұрын
Nice movie. Mahali kwingine punguza background music. It gets louder than the conversation itself. Watching from 🇺🇸. Mafunzo mazuri
@حسنيهاحمد-ل5ه
@حسنيهاحمد-ل5ه 2 жыл бұрын
Watching from Saudi ndio tunasema ukiolewa wachana na X
@christianedward4249
@christianedward4249 Жыл бұрын
Utaachana nae Kama utalizia kuolewa mwenyewe Kama ulilazimixhwa itakua ngumu
@SteveneKamara
@SteveneKamara Жыл бұрын
Na washukuru sana 🙏 movie 🎥 Iko vizuri ila Sebastian Punguza zalau Kwa maskini, Umaskini Sio ugonjwa.
@melvinisandakebaya
@melvinisandakebaya Жыл бұрын
The film is so interesting go ahead
@DenlovemkilyahMkilyah-fp7ve
@DenlovemkilyahMkilyah-fp7ve Жыл бұрын
Kuna scene mnatudanganya, mtoto Kasema hakuna kingine, bado mnalazimisha kuwa alitaka kumbaka mtoto, alafu Mama wa mzazi nae Hana hisia za kutosha. Cha kushangaza huyo stella anatoka out na yule aliyezaa nae hapo sijakuelewa mwandishi
@linetymmboga7271
@linetymmboga7271 2 жыл бұрын
Nice movie nme enjoy sana🥰 Sasa imesha ama Kuna pt 2
@allyliobite4307
@allyliobite4307 Жыл бұрын
Hila UYU baba dah n wachache saana wahivi au nguvu yapesa?
@walterwhite782
@walterwhite782 Жыл бұрын
sauti haisikiki vizuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@happyjoseph6959
@happyjoseph6959 Жыл бұрын
Stella unamakosa ww ndoumemsababisha sebatian kukudhalau, kama ulijua huyo mzazi mwenzio anakupenda kwanini ulikubali kuolewa
@juliethzefania3824
@juliethzefania3824 Жыл бұрын
Sebastian yuko sawa tena funzo kubwa sana
@elizabethmtabale-wt7bd
@elizabethmtabale-wt7bd Жыл бұрын
Wao ongereni san
@roqayaro9439
@roqayaro9439 2 жыл бұрын
Kazi nzuli tupeni namba 1 tujue
@zainabujohn7098
@zainabujohn7098 Ай бұрын
Ongera San baba una msimamo mzur kwa familia yako
@ranboyyaliy
@ranboyyaliy Жыл бұрын
Brother nime kuelewa san mv zako ziko pw sana mungu akujaliye maisha mema
@halimanj8544
@halimanj8544 2 жыл бұрын
Kumbe Gaeli ana roho chafu part 2 jamani
@IDDIABDALLAH-t5n
@IDDIABDALLAH-t5n 4 ай бұрын
Nimeipend iyo🎉❤
@catherinescott9113
@catherinescott9113 Жыл бұрын
Ukiwa na pesa hata heshima inashuka😭😭
@LilianWabomba
@LilianWabomba 7 ай бұрын
Watching from Kenya ukiwa in marriage mambo na X ajana nayo
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Dunia njia Mlali., pesaa ni. Vitu vya mapito broooo
@moseskutuku
@moseskutuku Жыл бұрын
Wa kwanza jamani 🎉🎉🎉
@ramaaman4020
@ramaaman4020 Жыл бұрын
Sasa mbona Mzee wa motosana harakaharaka hatamtuhajajulikana vizuri na mamamkwe😂😂😭😭
@MerrySaidi-gu6so
@MerrySaidi-gu6so Жыл бұрын
Movie nzur
@happyjoseph6959
@happyjoseph6959 Жыл бұрын
Ila hawa wanawake wenye watoto ndo wanao sababisha na wengine tusiolewe
@DanielHassan-gk4bt
@DanielHassan-gk4bt Жыл бұрын
Waiting for part 2please
@RamaMwacharo-qn1og
@RamaMwacharo-qn1og Жыл бұрын
Me nd nangalia leo tesa sai
@naomiraphael4830
@naomiraphael4830 Жыл бұрын
Haya maisha yapo lakini apo nimafunzo tu ivi huyo mwanamke anae ruhusu machozi ya mwanake mwenzie. Siku yake itafika hizo nimbio za kijiti nikupokezana
@hannan2793
@hannan2793 Жыл бұрын
Pesa mbaya😢
@juliethzefania3824
@juliethzefania3824 Жыл бұрын
Bado ujasema na utasema
@JudithWilliam-te2kz
@JudithWilliam-te2kz 5 ай бұрын
filamu nzur
@VictorBugobola
@VictorBugobola Жыл бұрын
Kuoa mwanamk alie zaa na mwanaume mwngn yataka Moyo😂mm kuoa alie zaa ad niakikishe jamaa alikufa na kaburi nmeliona😂😂 alafu kwa nn nioe alie zaa wkt wadada wazur bdo wengiiii😂
@fatmaas7046
@fatmaas7046 Жыл бұрын
Movie nzuri lakini sauti ya mziki sana muemnapunguza sauti
@SharifHassan-d3v
@SharifHassan-d3v 9 ай бұрын
Broo naomba cd
@mwanamisikadongo8596
@mwanamisikadongo8596 Жыл бұрын
Mzee alipetandezewa Na utamu wa PESA 😂😂😂
@janetnasimiyu8646
@janetnasimiyu8646 Жыл бұрын
Ukiolewa unachana na x wako jamani
@lathoucellavyizigiro-jq4wn
@lathoucellavyizigiro-jq4wn Жыл бұрын
Nice movie 👍
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Punguzeni muziki kwenye kuekti muvi
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 жыл бұрын
5 from uk
@rahmamosa2320
@rahmamosa2320 2 жыл бұрын
Histori imenigusana mana hawa magumegume nayachukia kweli
@mwanamisihamisi6594
@mwanamisihamisi6594 2 жыл бұрын
Sebastian usijida na hizo pes zako Stella pole san
@davidkinyanjui9491
@davidkinyanjui9491 Жыл бұрын
Tamu
@suzanramadhan4231
@suzanramadhan4231 Жыл бұрын
Movie nzuri sana
@alhajiFashions7563
@alhajiFashions7563 9 ай бұрын
Movie nimeipenda lakini pale unaposema Wasambaa hatujui mapenzi unakosea kabisa
@AngelJohn-q5y
@AngelJohn-q5y Жыл бұрын
Huu ndo urafiki wa kweli
@MwajumaMapemba
@MwajumaMapemba Жыл бұрын
Mh jman wenye ela awa wazaz muangaliege 😢 maana sio kwa dhalau izo
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 Жыл бұрын
Ufukara sio ukilema jamani
@JfourMwambogoro
@JfourMwambogoro Жыл бұрын
Safi sana baba stella
@lilyiminza79
@lilyiminza79 Жыл бұрын
Hta kama n doa waja ikae good movie
@isiakaeverist
@isiakaeverist Жыл бұрын
hakuna mwanaume anaweza vumilia ujinga wa hivi, ni kwenye muvi tu
@NipherRubia
@NipherRubia 10 ай бұрын
Mzee ako pouwa
@fahadabdi8364
@fahadabdi8364 Жыл бұрын
Pesa pesa pesa😂😂😂😂
@emanhokilinda326
@emanhokilinda326 2 жыл бұрын
Wanaume tutafuteni pesa ili tutunze familia zetu
@serahkazungu6029
@serahkazungu6029 Жыл бұрын
party 2
@mwanasitihamisi
@mwanasitihamisi Жыл бұрын
Stila dada amka uyo sio mwanaume
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Famasiara Nini
@christianedward4249
@christianedward4249 Жыл бұрын
Apo ndounapo mkumbuka ex
@DanielLekarka-hi1uv
@DanielLekarka-hi1uv 8 ай бұрын
Ni 😂😢😮❤
@pilisonje8944
@pilisonje8944 Жыл бұрын
Aibu
@oscarokumu1186
@oscarokumu1186 Жыл бұрын
Huyu mwanamke Hana heshima ata kidogo
@RachealAndy1
@RachealAndy1 3 ай бұрын
Part 2 vp
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Seba unanyodo huo utajiri kaaaaaa
@narkisomalit1187
@narkisomalit1187 Жыл бұрын
Paty2ikowapi
@oscarokumu1186
@oscarokumu1186 Жыл бұрын
Kuoa mke mwenye mtoto ni.shida tupu
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Жыл бұрын
Ama kweli maskn hawathaminiwi
@deborahchacha2006
@deborahchacha2006 Жыл бұрын
Pesa sabuni ya roho
@PamelaB13
@PamelaB13 Жыл бұрын
😢❤❤😢
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 2 жыл бұрын
Huyu amejawa na roho chafu nakudharau watu kwa kuwa anamali
@70SIXER7
@70SIXER7 2 жыл бұрын
Wa pili nakong'otea toka Pennsylvania,USA, hivi jamani JASONS TV ni wapi ntapata muendelezo wa Siri za Familia, Maisha ya Bongo na Subira? maelekezo tafadhali ,Shukran🙏
@merrymathiass4803
@merrymathiass4803 2 жыл бұрын
Maisha ya bongo iliishaisha
@70SIXER7
@70SIXER7 2 жыл бұрын
@@merrymathiass4803 Asante Merry nilidhani kutakuwa na muendelezo Du! noma sana!
@merrymathiass4803
@merrymathiass4803 2 жыл бұрын
Oky
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@merrymathiass4803 🤣🤣
@gracebashange
@gracebashange 2 жыл бұрын
Mzee unakosea huyo ni babaake
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Wewe nawe si ungeleta pisi kali kushinda mke wako ,mjinga sana.
@elikasayoni9056
@elikasayoni9056 Жыл бұрын
Huyu mbwa seba
@SharifHassan-d3v
@SharifHassan-d3v 9 ай бұрын
Naomb cd ipo
@SharifHassan-d3v
@SharifHassan-d3v 9 ай бұрын
Part ya pili ipo
@nislyrafiki7054
@nislyrafiki7054 9 ай бұрын
Kwakwly haki ya mtu haipotei na ukioa bb alie zaa tayar au alie olewa tayar nkjitakia Maradhi ya moyo
@christianedward4249
@christianedward4249 Жыл бұрын
Et bola ungemtaman uyu hahahahahahahahahaha
@gladysgesare9549
@gladysgesare9549 Жыл бұрын
Naskiza kuyoka kaunya ya🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes jamani
@tabithasalimu3617
@tabithasalimu3617 Жыл бұрын
Pt 2 plz
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Gael mbona km kanenepa
@stelarichard7424
@stelarichard7424 2 жыл бұрын
Jmn wajina pole
@juliethzefania3824
@juliethzefania3824 Жыл бұрын
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mbaya
@emes602
@emes602 2 жыл бұрын
Mjitahidi saut iwe inasikika mtu anapoongea taratibu
@SalomeDaniel-yu2rr
@SalomeDaniel-yu2rr Жыл бұрын
Shida uyo Mama wa Stella Yani amekaa kama zombi Yani hana mchango kwa mtoto wake Yani kwenye huu mchezo ameboa mama gani hajachangamka aliegundua hili adondoshe komenti tujwaane
@SamiaAbdully
@SamiaAbdully 8 ай бұрын
Yan hap mama ndo angetakiwa awe mkali zaid
@rebeccamusa14
@rebeccamusa14 Жыл бұрын
😂❤️❤️‍🩹
@melvinisandakebaya
@melvinisandakebaya Жыл бұрын
The film is so interesting go ahead
HAMU MBAYA |1| Love story❤️😘
30:19
Adam Leo Studios
Рет қаралды 106 М.
NANI BORA PART 1 Full Movie I Bongo Movie I
53:44
Halisi Film
Рет қаралды 10 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 18 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН
SIRI ZA FAMILIA SE 2 EP1
24:13
JASONS TV
Рет қаралды 40 М.
PERFECT WOMAN
1:14:25
hemedy chande TV
Рет қаралды 421 М.
FILAMU KALI YA “SHANTEL” PART 1
1:28:18
JASONS TV
Рет қаралды 72 М.
HAMU | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
1:28:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 2,7 МЛН
MUUZA BAA |1| Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
39:41
Adam Leo Studios
Рет қаралды 50 М.
UMUHIMU WAKO 1 💞 Love Story I Full Movie | Swahili Movie I Bongo Movie I Drama
55:48
Clear Picture Entertainment
Рет қаралды 52 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 18 МЛН