Nyahanga mbarikiwe sana kwa huduma nzuri ya nyimbo
@Br.edwardRemmy-so6mo8 ай бұрын
Songeni mbele watumish wa Mungu
@soloartist_ivanvespalusind16097 жыл бұрын
Ni moja ya nyimbo Kali zilizopata kutungwa,kutengenezwa na kuimbwa vizuri.Hongera mtunzi,tupate nyingine nzuri zaidi.
@misanageorgechriss97643 жыл бұрын
Amina,mbarikiwe zaidi kwa kututia moyo,hakika hatuna cha kujisifu bali sifa zote zimurudie Muumbaji aliyetenda kupitia sisi.Tujiandae hivi karibuni tutamuona tuliyemngojea.
@anethmaliva76985 жыл бұрын
Mungu awabariki sana unayesolo umenikonga nyoyo sio kwa tabasamu hilo jamani.Mtunzi wa nyimbo hii Mungu azidi kukuinua zaidi utunge nyimbo zenye utukufu
@jk-or9jq6 жыл бұрын
hivi karibuni tutamlaki YESU
@edinaesp913810 ай бұрын
Mbarikiwe sana nyahanga Kwa ujumbe unao mwinua Yesu
@benardotuoma59 Жыл бұрын
2023 bado mnanibariki sana watumishi wa Baba
@machumumwendwa77567 жыл бұрын
Muda si mrefu mungu ata timiza ahadi yake ya kuja kutuchukua
@godfreymarcel50454 жыл бұрын
Mungu na awabariki kwa wimbo mzuri
@sosiamudavadi9578 жыл бұрын
Tutamlaki Yesu. Ahadi Same ni Za milele. abaki Mungu Daima.
@madahalucas357211 ай бұрын
2024 ninabarikiwa sana na Hawa wapendwa tangu 2014...mbarikiwe sana Nyahanga, nilikuja kahamaa sikubahatika kanisani kwenu lkn hope this time around nikiwa kahama nitakuja kanisani kwenu niwaone.
@misanageorgechriss9764Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@zawadimanyama54857 жыл бұрын
Hakika wimbo huu unanibariki sana. mbarikiwe sana waimbaji
@ruthgabriel84942 жыл бұрын
Mimi ni Emanuel Pascal mnanikumbusha mbari xana Mungu awe nanyi Daima.
@hidayamakunga8715 Жыл бұрын
Niliwamic Nyahanga. Mbarikiwe
@deogratiuslameck47746 жыл бұрын
Nyimbo nzuri xana bwana ni mwema
@EmanuelGady10 ай бұрын
Aminaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ezekielodhiambo7148 Жыл бұрын
I like this piece. It's soothing.
@hidayamakunga87153 жыл бұрын
Big up Nyahanga. Nawapenda bure. Mbarikiwe
@misanageorgechriss97643 жыл бұрын
Barikiwa zaidi
@oscarmashishanga33077 жыл бұрын
Very soon the LORD is coming, are you prepared? No way to miss heaven is unbearable! Have mercy upon me oooh Lord, I am a sinner.
@misanageorgechriss97643 жыл бұрын
Amen
@hechechacha40324 жыл бұрын
Nimesikiliza wimbo huu zaidi ya Mara 20 halafu sijui Kama ni nyahanga karibu na bulima nilikosoma
@misanageorgechriss97643 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi, hii ni Nyahanga ya kahama shinyanga
@christinatossy5775 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana mbarikiwe
@hechechacha40324 жыл бұрын
Nimesikiliza huu mziki Mara nyingi
@delenciomateo42216 жыл бұрын
Mwen renmen nou afiskan anpil nan jezu kris
@doyaskissagas18484 жыл бұрын
Hakika mpo vizuri Nyahanga,Kaka John nitunzie cd bro
@boazpamba98402 жыл бұрын
Praise god
@benardotuoma3077 жыл бұрын
mubarikiwa sana watumishi wa Bwana
@rosettekhetoi71368 жыл бұрын
oh! God bless you. I like the song rojorojo. From Namibia
@joycegesare15713 жыл бұрын
Wau exerlent be blessed
@simonkayoka36763 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@zawadimanyama54858 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA. WIMBO WA ROJOROJO UNANIBARIKI SAANA
@calvinmzangwamali80923 жыл бұрын
I lv this song🇿🇦
@misanageorgechriss9764 Жыл бұрын
Amen
@unaysahhancy76438 жыл бұрын
Jamani sauti nzr wimbo mzr mungu awabariki kwa kaz nzr
@JosephDismas-pu3eo8 ай бұрын
Bwana awabariki
@roymosirigwa45143 жыл бұрын
Amen Amen Amen.
@misanageorgechriss9764 Жыл бұрын
Amen
@charlespassian83039 жыл бұрын
wimbo mzuri sana mungu awatangulie
@jacobobwillebwille14696 жыл бұрын
Amen, mubarikiiwe sana
@capitalcity66314 жыл бұрын
Nyahanga nawependa
@bavonmwansisya78174 жыл бұрын
Best song ever
@newlifeambassadorschoir91979 жыл бұрын
May the Lord Continually Bless the entire Choir. Tunabarikiwa na nyimbo zenu hapa Kenya.
@cuthbertgrace56103 жыл бұрын
Nice choir, I love it💕💕💕
@neemalinus91529 жыл бұрын
rojorojoo wimbo mzur sana hongereni nyahanga
@maheligati29364 жыл бұрын
Amina nyahanga sda
@eliasmisungwi25009 жыл бұрын
Bwana awabariki kwa huduma na utumishi wenu.
@innocentmatemba80369 жыл бұрын
Nyahanga continue to praise god bcz many pple blessed thr them god give them the power
@Ronji_health_peeps4 жыл бұрын
Yassss Nyahanga,, you coming through May God bless you all!!
@oscarmashishanga33077 жыл бұрын
How sweet the song is. Walking and talking to the dear Saviour! Dining with Him in the godly banquet in heaven.. Ooh how I long....
@mustaphagairo19365 жыл бұрын
Naipenda hiii hadi kero, Mungu awabariki
@gracebernard25857 жыл бұрын
ongereni sana watu wa mungu.
@godykilian8 жыл бұрын
mbarikiwe sana watu wa Mungu
@owennelson43349 жыл бұрын
Nyimbo nzuri. MUNGU awabariki sana
@gladnessmlelwa64746 жыл бұрын
mbarikiwe kwa wimbo mzr rojorojo
@lucasm.jilala10238 жыл бұрын
it is nice and pleasant message
@alfredmukamamlengwa72039 жыл бұрын
nabarikiwa sana na wimbo huu make me to remember home!
@mustaphagailo54515 жыл бұрын
Tangu niujue wimbo huu, haikuwah kuisha siku bila kuusikiliza
@neemalinus91529 жыл бұрын
nice song rojorojoooi
@chiluchuma73636 жыл бұрын
neema linus Amina
@NyanzigeMajebele7 ай бұрын
Mbarikiwe
@misanageorgechriss976424 күн бұрын
Barikiwa zaidi
@maxwellshana6 жыл бұрын
blessings to this choir, every time i listen to this songs i cry. my grandmum used to love this song so much. blessings again and again.
@beatricemademla12435 жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo mzuri
@fabianyinzasospeter59136 жыл бұрын
Nahitaji hii album tafadhali,ilikua kwangu mdogo wangu kanogewa kaibeba