Nimefurahi sana kuona wimbo huu. Mungu awe nanyi. Tafadhari wekeni Album nzima.
@cadikh5 ай бұрын
Mnakaribishwa tena mwakani kwenye makambi GEITA 🙏
@nyahangasdachoir98182 ай бұрын
Amina.Mungu akitupa uhai
@ezekieliamani62122 жыл бұрын
Barikiweni
@ezekieliamani62122 жыл бұрын
Good
@aganokomba43963 жыл бұрын
Nyahanga SDA Church nawapenda Sana yani Sina maelezo amina Sana mnaimba vzr hata sijui niwape Nini nyahanga nabarikiwa Sana na nyimbo zenu ningekua na pesa ninge wasafilisha mje Matiri Ruvuma 💯💯💯🙏🙏🙏
@nyahangasdachoir98183 жыл бұрын
Amina, kuna siku tutakuja Ruvuma,Mungu akubariki zaidi kwa kutuombea mema
@jeccaonline77553 жыл бұрын
Amina 🙏
@davinebisieri87702 жыл бұрын
Be blessed alot kindly post full album. I personally miss your songs. Thank you
@nyahangasdachoir98182 жыл бұрын
Amen
@secheanderson98293 жыл бұрын
Amina hakika nifundishe njia yako..
@dodabwenya95943 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana , tunajivunia uwepo wenu kwenye Kambi letu hili la Morogoro Mjini 2021.
@nyahangasdachoir98183 жыл бұрын
Amina , mbarikiwe sana kwa kutujari,kwa moyo mnaouonyesha kwetu hakika tuna uona upendo wa Mungu kwenu.
@kafwembajr.87853 жыл бұрын
# Mbarikiwe sana NAC katika huduma hii MUNGU awatie nguvu...... ningali nikingojea " KWENYE MSALABA & MCHENI MUNGU"
@nyahangasdachoir9818 Жыл бұрын
Soon zitapanda
@uniquefactsmediaufm67352 жыл бұрын
Amen mbarikiwe Sana kwa wimbo mzuri. Pitieni Piana hii link kwa updates za Matukio mbalimbali ya UFM .kzbin.info/www/bejne/eqeZeZ1oqZaClbM