NYAMA YA MWANANGU EPISODE.10 . MAMA YANGU ANATAKA KUNILA NYAMA KICHAWI NIFANYEJE MIMI JAMANI

  Рет қаралды 110,241

MWAKATOBE

MWAKATOBE

Күн бұрын

Пікірлер: 195
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 4 ай бұрын
Kazi safi mwakatobe ila huyu mzungu wa chongo anatuboesha maana wengine hatujasoma bana😅😅
@Alexismadimo
@Alexismadimo 4 ай бұрын
Safar hii mmetukomesha kaz imechelewa sana Kaz nzur mwakatob n kundi lako
@kamatabraisus7955
@kamatabraisus7955 4 ай бұрын
Nikiwa kama shabiki wenu kaka naomba mpunguze siku za kutoa hii kitu ni nzuri mno tunasuburi sana kaka
@Midekotee
@Midekotee 4 ай бұрын
Mwakatobe me vile napenda kuangalia movie zako ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@hafidhmohamed4933
@hafidhmohamed4933 4 ай бұрын
Mwakatobe uko vizuri snaa wallai❤❤
@PirfaImanipirfa-vj3oz
@PirfaImanipirfa-vj3oz 4 ай бұрын
Pashambe anatisha km mchawi kwl, ata kwa chunvi nyingi alikuwa anatisha vibaya sana 😂❤😢
@aganzeroger
@aganzeroger 4 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mwakatobe
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 4 ай бұрын
❤❤❤
@SaimoniAloisi
@SaimoniAloisi 4 ай бұрын
Tafathar na mm naombeni like 5
@ArafaHassan-qv2xm
@ArafaHassan-qv2xm 4 ай бұрын
Korokondokodo 😂😂😂😂😂 mwajatobe bana unafraisha biti gomba kayayuja yayuuuu kana barafu hhhhh roho tamu jamani hongereni kwa kazi nzur❤❤❤🎉🎉🎉
@mwanjifilms123
@mwanjifilms123 4 ай бұрын
😂😂😂
@Decano_africa
@Decano_africa 4 ай бұрын
Wa mwisho Mimi naomba like zangu hata tano tu
@Shedafa96
@Shedafa96 4 ай бұрын
kzbin.infobj7toAFm-Ls?si=O3gXiEsFlDzu-aed
@KusahBadboy-g9t
@KusahBadboy-g9t 4 ай бұрын
Matatu kenya nganya izooo i like it
@MoTalentTz
@MoTalentTz 4 ай бұрын
Kazi kazi mjomba 💪🏻💪🏻🙏🙏🙏
@JojoSrena
@JojoSrena 4 ай бұрын
Wa chawi wakila nyama za watoto wa wezio huwa wana fulai. Ila ikifika kwa watoto wao wanaumiya. Duuh
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 4 ай бұрын
😁😁😁🤣bibi mgomba weye nipasuwa kicwa naskiya kukupenda tu bure 🇧🇮
@RashidMwanga
@RashidMwanga 4 ай бұрын
yote tisa ila huyu pashambi ananibamba sana kama mchawi kweli vile alafu yupo serious kweli kweli
@rajabumuhamed477
@rajabumuhamed477 4 ай бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu Makatobe
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi 4 ай бұрын
Sinaga ubabe wa kwanza nipeni like zangu kwa movie tamu yenye kuburudisha
@Shedafa96
@Shedafa96 4 ай бұрын
kzbin.infobj7toAFm-Ls?si=O3gXiEsFlDzu-aed
@AnnaliahWanjiru
@AnnaliahWanjiru 4 ай бұрын
Toa huyu muzungu anaharibu sana na kizungu #kenya
@emmanueldouglas5671
@emmanueldouglas5671 4 ай бұрын
heti mi wa kwanza naombeni like, kuna watu vilaza humu, sas like zina wasaidia nn
@abdullatif053
@abdullatif053 4 ай бұрын
😂😂😂
@MangobabyApollo
@MangobabyApollo 4 ай бұрын
Mimi nashangaa unakuta mtu ana watoto wakubwa kakazana you tube likes likes kama mifara
@RACHIDDOG-SINATAS666
@RACHIDDOG-SINATAS666 4 ай бұрын
Hiyo ni bonge la movie 🇨🇩💚🌹🌹🌹
@Mzumenijr
@Mzumenijr 4 ай бұрын
Waungwana na mm naombeni like ata 10
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 4 ай бұрын
Bi migombaaaa mbwaa wewe😅😅😅😅
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 4 ай бұрын
From Zanzibar kazi nzr Mwakatobe💪
@dorisMFINANGA
@dorisMFINANGA 4 ай бұрын
I love you mwakatobe nice job
@EmmanuelKunzugala
@EmmanuelKunzugala 4 ай бұрын
Nige Nene ngwalalaaaaa X2 😊😂😂😂😊😊😂😂
@sandemwanaisha879
@sandemwanaisha879 4 ай бұрын
Like zinafaida Gani nipeni namimi nipate faida
@ZuratyAkida
@ZuratyAkida 4 ай бұрын
Director unazingua unachelewesha kutoa mwendelezo mpk tunasahau jamn
@AbdurahimMohd
@AbdurahimMohd 2 ай бұрын
Sema butuwa me nakukubal kaka ila umu unabow kdg kizung mkuti kingi sana
@Awoshy
@Awoshy 4 ай бұрын
Hufiii ila cha moto utakiona😂😂😂😂solokondo kodo🤣🙌ila Mwakatobe ❤
@VailethYusi
@VailethYusi 3 ай бұрын
Nawakubali sanaaaa pongezi 🎉🎉🎉🎉🎉
@josephkamage7169
@josephkamage7169 4 ай бұрын
Wakwanza Leo naomben like zang
@Carlos_furaha
@Carlos_furaha 4 ай бұрын
Aaaaaa ...unatakiwa upakuliwe☺️☺️☺️ uroho
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 ай бұрын
Kwahio mwakatobe shuhulini hatufai kula zaidi ya kiwango tulochqngia😂😂...haya weee kolokodokodoooo🎉🎉🎉
@FatumaAli-e9y
@FatumaAli-e9y 4 ай бұрын
Mwakatobe unajituma baba big up kaka
@Eshaomari
@Eshaomari 4 ай бұрын
Waah hio kali mwakwtobe ati matatuu kenya huko wanafanya bajaji🤣🤣
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 3 ай бұрын
😂😂😂 bi migomba anaogopa kuliwa nyama ilaunapenda kula za wenzio nyoo tulia uliwe😂😂😂
@MangobabyApollo
@MangobabyApollo 4 ай бұрын
Unajua nashangaaa sana watu mko busy kukazana likes kuanzia comment yakwanza adi ya. Mwisho ni likes hivi akuna comment ambayo ikamshauri @mwakatobe kuhusu kazi na jinsi ya movie
@FredowPalangPalangmurumbFreddy
@FredowPalangPalangmurumbFreddy 4 ай бұрын
Ashambe and mwakatobe the best actor
@bensonponera
@bensonponera 4 ай бұрын
Safi Sana mwakatobe nakubali sana katika kazi yako
@FatmaMussa-g9n
@FatmaMussa-g9n 4 ай бұрын
Mbn mnachelew Sana kutoa muendelezo jamoniii 😅
@Mubarakaashim
@Mubarakaashim 4 ай бұрын
Mwakatobe we noma
@AsifiweImani
@AsifiweImani 4 ай бұрын
Mwakatobe kacheza vema kbs
@rechobinamuyenzi739
@rechobinamuyenzi739 4 ай бұрын
Movie tamu kweli kweli 😘😘
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 4 ай бұрын
I love you mwakatobe wangu❤❤❤
@MaryamKona
@MaryamKona 4 ай бұрын
Mzungu unaboaaaaaaas,,,acha na icho kizungu kibaya bwanaaa
@amissiBonge
@amissiBonge 4 ай бұрын
Bashambe anajuwa sana,mupe nafasi,anajuwa
@stanny.auto335
@stanny.auto335 4 ай бұрын
Sanaaa
@lameckaugustine1972
@lameckaugustine1972 4 ай бұрын
Mwakatobe mbona ndevu Amna Toka snake boy 2 nauku ndevu Amna ila tule kuku bas😂😂😂
@os3kizzytheclassegang937
@os3kizzytheclassegang937 4 ай бұрын
Saluty sana mwamba kalibu Mozambique 🇲🇿😂😂
@rajabachu878
@rajabachu878 4 ай бұрын
Mnachelewesha sana kazi halafu ikitoka inakuwa na dk chache kwann muwe na huruma kwa sisi wateja wenu mm sitaki like hata nikiwa wa kwanza
@MRJ1308
@MRJ1308 4 ай бұрын
Mbona dakika nyingi isitoshe anacheza na snake boy anajitahidi sana
@rajabachu878
@rajabachu878 4 ай бұрын
@@MRJ1308 Bado dk hazitoshi
@marangotv7748
@marangotv7748 4 ай бұрын
Hii mumeicheza usiku sana
@BethaMageuza
@BethaMageuza 4 ай бұрын
Mwakatobe bhana ety nendeni kwa Amaniiiiiii
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 4 ай бұрын
Bashambe kauwa sana
@stanny.auto335
@stanny.auto335 4 ай бұрын
Sqna mi ananidurafhishaga sana
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 4 ай бұрын
@@stanny.auto335 ule Jama ni Noma sana
@swabiaa1489
@swabiaa1489 4 ай бұрын
Ila bi migomba na pashambe kama wachawi kwli mhu🙌
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 4 ай бұрын
Mjanjaaa kuwaiii mwendooo wa usembeeee tuuuuu kulaaninaaa😂
@RaphiaKassamaly-sd3uk
@RaphiaKassamaly-sd3uk 4 ай бұрын
Hahaha umetishaa sana
@Mwanaidimadudu
@Mwanaidimadudu 4 ай бұрын
Who is passing around my interview 😂😂😂Boda bodaa butua hicho kizungu chako😂😂😂😂😂😂😂😂
@MukandoriChella
@MukandoriChella 4 ай бұрын
Ananiuzi sana anachukua mda murefhu kuongea vitu visio Na mana 😮
@youstybreezy
@youstybreezy 4 ай бұрын
Zinga Ebu Gonga Like Hapa
@DivaKhamis
@DivaKhamis 4 ай бұрын
Watch from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@shidashida6060
@shidashida6060 4 ай бұрын
Huyo jamaa anaejifanya anaonge kizungu anaharibu movie
@AminaIbrahim-nt5zz
@AminaIbrahim-nt5zz 4 ай бұрын
u no ech wother 😅😅😅 mzungu wa mwakatobe😅😅😅
@DaniBoeeTz
@DaniBoeeTz 4 ай бұрын
😂😂eti apakuliwe dah 😂😂😂
@MARYAM808ZING
@MARYAM808ZING 4 ай бұрын
Kazi nzur san❤
@kadijaa7771
@kadijaa7771 4 ай бұрын
Ohoo kumbe tanzani pia yako yakupakuliwa sote wamoja kumbe jamani nawapenda nduguzetu watanzani from kenya ila kichambo chamganga sasa😂😂😂
@RUKIAOmar-f9i
@RUKIAOmar-f9i 4 ай бұрын
Kazi nzuri snaa
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 4 ай бұрын
Kazi safi 👍
@JimmyrWamungu
@JimmyrWamungu 4 ай бұрын
zongo🤣🤣🤣🤣Nakubali xana Mwakatobe 4m 🇧🇮🇧🇮
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 4 ай бұрын
😁😁😁🤣bashambe sikugani ukakuwa moga
@jenniferanton1517
@jenniferanton1517 4 ай бұрын
We unakela na hicho kingereza chako unaboha kweli unahalibu move
@JimmyMwamlenga
@JimmyMwamlenga 4 ай бұрын
Huyu mhuni mwanga anachekesha sanaaaaa
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 4 ай бұрын
Wamwisho leo
@everdhekay4924
@everdhekay4924 4 ай бұрын
Use wife matirial husband 🤣🤣🤣🤣 don't viory butua
@Joyce-qf5px
@Joyce-qf5px 4 ай бұрын
Mwakatobe ❤❤❤❤❤❤❤
@Chazmusic_official
@Chazmusic_official 4 ай бұрын
Naombeni mnifollow bas jaman plz kuna mambo mazur kwenye channel yang plz jaman😢
@DionizAmos-u2v
@DionizAmos-u2v Ай бұрын
Imetisha sana
@JimmyRama-oh9ld
@JimmyRama-oh9ld 4 ай бұрын
Acha vingereza wewe movie ya kiasilii hiyo kaka unachanganya😂
@kisubikilozo6128
@kisubikilozo6128 4 ай бұрын
Sorokodo kobo mmm mwakatobe mpeni mauwa yake
@AbdulMussa-ff9yl
@AbdulMussa-ff9yl 4 ай бұрын
Bi mgomba ameanza jeshi la mtu mmoja baada ya kushindwa kutimiza kafara ya mwanae maana ametengeneza uadui Kati yake na wachawi wenzie ni hatari 🤣🤣🤣🤣 naye mwakatobe anawatibu watu kwa kuwajoki eti tumbo kama tungi la gesi noma sana🤣🤣🤣🤣
@Carlos_furaha
@Carlos_furaha 4 ай бұрын
Migenene gwalala migenene gwalala☺️☺️☺️☺️☺️ Nenden kwa aman
@jwakoofficial1560
@jwakoofficial1560 4 ай бұрын
Mwaka tobe babaraoo tuko pamoja
@felicianlucas5919
@felicianlucas5919 4 ай бұрын
Mambo
@AsifiweImani
@AsifiweImani 4 ай бұрын
Kweli wachawi hawana roho ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GasperMwaisa-rb1lf
@GasperMwaisa-rb1lf 4 ай бұрын
Mwakatobe oyèeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂 shorokondo kodo🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@levocatuspjohn8638
@levocatuspjohn8638 4 ай бұрын
😂😂😂😂leo nimeona pashambe anakimbizwa nimechekaa😂😂😂
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 4 ай бұрын
Mwakatobe ni shida
@JosephDonald-rk8du
@JosephDonald-rk8du 4 ай бұрын
@QuinaRachide
@QuinaRachide 4 ай бұрын
Mozambique❤
@SidatiSaidi
@SidatiSaidi 4 ай бұрын
Me katili me na roho mbaya na schelling kumfanyia Mt mh mhm😂😂😂😂
@RehemaSalim-d3g
@RehemaSalim-d3g 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mwakatobe,wew
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 4 ай бұрын
Jamani mganga mwakatobe ana mipasho😂😂😂
@ButoyihusseinRutayisiredeo
@ButoyihusseinRutayisiredeo 4 ай бұрын
Nc movie
@MukandoriChella
@MukandoriChella 4 ай бұрын
Mbona bimekuama Siku kumi zinapita hamtoi mwendelezo kuna tatizo gani ebu bwana mfanye mpango mtoe11 bwana uku Burundi tunawasubil kwa hamu😢😢😢
@Spagles
@Spagles 4 ай бұрын
We inabidi Upakuliwe😂😂😂😂
@MarieMutambala
@MarieMutambala 4 ай бұрын
😂😂😂😂miaka yakobe ❤❤❤😂😂😂
@jmtavidademocambique1241
@jmtavidademocambique1241 4 ай бұрын
1🎉🎉🎉
@KatanaJohn-ms6qr
@KatanaJohn-ms6qr 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@ShabaniObedi
@ShabaniObedi 4 ай бұрын
Good job 🎉
@shehanimzee9953
@shehanimzee9953 4 ай бұрын
Afazari hawa cram vevo sneki boy season two mpaka unasahu ndio wanatoa nyengine
@khamismshamu1864
@khamismshamu1864 4 ай бұрын
Hapa cha msingi mtie panga tu mama maana hana umuhimu
@eshealbaury9914
@eshealbaury9914 4 ай бұрын
Amazing
@MunirAbedi
@MunirAbedi 4 ай бұрын
Nakubali kaka❤
CHUPI YA MCHAWI EPISODE 1
29:22
MWAKATOBE
Рет қаралды 85 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 88 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 38 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
MZEE MCHAWI EPISODE 1
19:24
MWAKATOBE
Рет қаралды 128 М.
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
JOJOHFACE films
Рет қаралды 164 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 88 МЛН