No video

NYAMI SIMBA AMLIPUA MANGUNGU| ATOBOA SIRI YANAYO ENDELEA NDANI YA SIMBA YANATISHA

  Рет қаралды 14,112

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 70
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 2 ай бұрын
Kweli kabisa Nyami Simba umesema vizuri kwamba Tanzania ni nchi ya Amani.
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 2 ай бұрын
Mangungu jitu la hovyo kabx
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Ee mungu tuna omba mangungu alaniwe milele ame tumwa kuja kutu halibu timu yetu pia Hana uchungu pia mangungu ni mshabiki wa yanga eee mungu tuna kutomba tenda miujiza ameni
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
AMIN THUM'MA AMIN
@HameedAlawi-ju5ub
@HameedAlawi-ju5ub 2 ай бұрын
Rekebisha maneno yako na uwe makini unapoandika.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
@@HameedAlawi-ju5ub AWE MAKINI KIVIPI??? VP UNAFUNDISHA WATU KUANDIKA COMENTS HATUNA SHIDA YA MWALIMU HUMU.
@Kimjongun4996
@Kimjongun4996 2 ай бұрын
Wale wote wanaomuunga mkono walipewa posho ili wamuunge mkono na sii vinginevyo.
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 2 ай бұрын
Mangungu mzee akatafute Kaz ya kufanya msenge huyo
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 2 ай бұрын
51 na 49 ndo mnapohangaika hapo transifometion Bado
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 ай бұрын
Ujue mangungu tofauti na kuwa kiongozi wa Simba ana kazi nyingine hapa mjini ndomaana ana ng,anga,nia kiti njaa mbaya tuna amini ata ondoka kwasababu watu wote awamtaki
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Mangungu jilekebishe mzee huyu mzee Hana uchungu na timu
@user-kg7of9fr5x
@user-kg7of9fr5x 2 ай бұрын
Nyami wee hujui tu Hilo shoga mangungu katumwa ake kuisambaratisha timu yetu hiyo familia yake anashindwa kuiongoza ataweza klabu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Acha ujinga viongozi wanatatizo gani ? Wachezaji gani unaosema wazuri .
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 2 ай бұрын
akwendreeeeeeeeeeeeee tumemchoka anangangania kwa nn kuna siri gani
@peterchande957
@peterchande957 2 ай бұрын
Bado hawajasema
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 2 ай бұрын
Nawaza hivi mtu mmoja anatusumbuaje
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Kweli kabisa mangungu ndio shida
@user-ek7tp2fg8t
@user-ek7tp2fg8t Ай бұрын
Tulisha sema uyo fala atoke simba kwanini yukoje yeye uyo kwanini uyo
@MohamediMbega
@MohamediMbega 2 ай бұрын
Uyo ngungu anacho kitaka atakipata swala la muda mtu mzima wahovyo
@Kimjongun4996
@Kimjongun4996 2 ай бұрын
Hopeless kabisa,mi nashaanga wanaomuunga mkono ila hili swala nililiongea toka mwanzo kuwa mangungu ndo amekuja kuidhoofisha Simba,hata ukiwa baba ukagombana na watoto ukaenda kukodisha majirani kuja kukutatulia shida za ndani,yeye mangungu aondoke tu Simba.
@user-rt3ff9iq1g
@user-rt3ff9iq1g 2 ай бұрын
Saf sana uyu mangungu anachokitafuta atakipata
@IlangaBunzali
@IlangaBunzali 2 ай бұрын
Upo sawa kk
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 2 ай бұрын
Mangungu haya machozi tunayoyatoa kwa sababu yako Mungu yupo yatakurudia wewe mwenyewe, ungetuachia tu timu yetu wewe hauna tena vision mpya juu ya maendeleo ya simba kwa sasa.
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Huyo mzee siatoke mbona a naenderea kutuchafua
@AndrewLikiti-yb2ws
@AndrewLikiti-yb2ws 2 ай бұрын
Kwani waliomchagua Mangungu si wapo? Au wameenda wapi? Wajitokeze wamuambie Mangungu aachie kiti! Inawezekana wamkataae Mangungu ni wale ambao hawakumchagua.
@user-rz1lq6ss1j
@user-rz1lq6ss1j 2 ай бұрын
Madhara ya rushes ndiyo hayo,
@user-ux3jl9cl4w
@user-ux3jl9cl4w 2 ай бұрын
Mangungu sio shida, shida mo anawachonganisha sana
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 2 ай бұрын
Mangungu mbona yanga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
TENA OG MACHOGO FC HUYO
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x 2 ай бұрын
Kwanini mangungu ang'ang'ania @nataka nini? Tupambanue akili zetu
@driss4957
@driss4957 2 ай бұрын
Mangungu MAKOLO HUYO KAWEKWA NA MO..MOOO ALIMKATAA YULE MWANASHERIA KALUA,ALIJUA ANGEMSUMBUA NGUNGU BOY KAMA TRY AGAIN...WALIWEKWA NA MOOO.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 2 ай бұрын
Uyo nangungu inabidi wanachama wote mfateni nabakora ili aondoke.kama hataki pigeni uweni.
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
😂😂😂 mazumbu kuku wote walikuwa wanatembea na vibokooo kucharaza bakora wale waliokuwa wanasema kuwa viongozi hawafaiii 😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
MANGUNGU NI MTOTO WA HARAMU MBWA HUYO
@PaulMasolwa-ir4fp
@PaulMasolwa-ir4fp 2 ай бұрын
Kama hitra hayupo wewe Mangungu utakumbukwa kwa lipi simba ni mzee hauna mawazo yawazee
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Tuwaombe takukuru wa wachunguze huyu mangungu pamoja na haowajumbe watowawapi pesa mangungu niadui mkubwa kwenye simba
@IlangaBunzali
@IlangaBunzali 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@gregoryshao1302
@gregoryshao1302 2 ай бұрын
Huyo mangungu akiondoka samba itapona kabisa kwani akiondoka atakufa?
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
😂😂 hivi mashabiki wa madunduka waliokuwa wanatembeza viboko kwa mashabiki waliokuwa wana usema vibay utendaji wa viongoz wa wao ............. 😂😂😂😂 Ila madunduka bhana 🤣😹😅 saiv uongoz ulokuwa unatetewa unatoa barua kuwasimamisha wale watembeza viboko uchawa hajawi kuwacha chawa salama 😂😂😂 akina kithuguuu, mzaramoo, makofia pass milioni simba ulaya , aggy Simba, k mziwanda, Dr moamedi....sijui nani nani ....walikuwa vifua mbele kutembez bakora kwa akina mchome , sam simba , akina mzee mwenda walikuwa wanaonekana wasalitiii saiv 😂😂 akili zimewakaa sawa ....au viboko bado vipo ??
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 ай бұрын
Lipeni madeni ya wachezaji wanayo wadai achana na Simba angalieni yenu yakutapeli wachezaji mpka mmezuiwa kusajili
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
@@hassanabdala7383 we umejuaje kama tumefungiwa kusajili kama na wewe hufatilii mambo ya wananchiii 😅😅😅 ?? Tulipienii basi kama mmeumia kweli ...
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
@@hassanabdala7383 au na wewe ulikuwa katika kamati ya kutembeza viboko ? Au huenda viboko vilikupitia either kwenye game ya namungo ama kmc 😅😅😅😅.... Mtani wangu sajili la sivyo Kono la nyani Lina kunyemelea
@kamanda7703
@kamanda7703 2 ай бұрын
Wewe unahitaji boyfriend tafuta bwana akuweke busy kidogo labda utaachana na ishu za simba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
WEWE MKE WA MTU MCHOME NA MANGUNGU WOTE NI UTOPOLO MACHOGO FC WENZAKO 😂😂😂😂
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 2 ай бұрын
Kwani wewe nani kwenye Simba mbona ni boya tu
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Mmechagua kiongozi mjeshi
@barakakevela245
@barakakevela245 2 ай бұрын
MANGUNGU PUMBAVU ZAKO
@BoniphaceZephrine-po1mf
@BoniphaceZephrine-po1mf 2 ай бұрын
Hopeless Sanaa huyuu kiongoziiiii
@kassimntara6901
@kassimntara6901 2 ай бұрын
Nyami hakika tuendeleze msimamo wa kuhakikisha Mangungu anatoka hata kama anapesa kiasi gani na hata kama anawakubwa wanaomtia kiburi,mm naamini labda kama kiburi anapewa na mama Samia basi tumshukuru mungu lkn kama mwingine yeyote hii haiishi mpaka iishe,pia tunamuomba IGP asitudidimize kwani kama nguvu na vurumai walizo nazo Chadema Lakini wanaruhusiwa kufanya maandamano na mikutano ya hadhara sisi tuna nini Cha kutishia jeshi letu imara la polisi? Ikumbukwe haki haiombwi haki hudaiwa.
@nyamisimbaonlinetv9757
@nyamisimbaonlinetv9757 2 ай бұрын
#mangungu out
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​@@nyamisimbaonlinetv9757MAVUZI TUMEYAFUGA WENYEWE KIJEMBE SENTI 50 HUYO NA MAFISADI WENZAKE WASOMEWE AL BADIRI WAWE MACHIZI TENA KIMYA KIMYA WASHIKE ADABU NA ADABU IWASHIKE SHENZISTAN KABISA HAO
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 ай бұрын
Atakuweka ndani na kukufungia shauri zko anawatu
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Mbona wakinamchome hadiri nao mpumbavu mkubwa
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 ай бұрын
Achaneni na mangungu afanye kazi yake kwa kujiachia😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
FUNGA KIJAMBIO HICHO AJIACHIE KWANI ANALIPWA NA BABAKO??? PUSTI WEWE 😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@driss4957
@driss4957 2 ай бұрын
KOLO HILO OG.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 ай бұрын
Kolo huyu huyu ndo anatombwa mama yako na kumpa raha mama yako mzazi 😂
@franccoz94
@franccoz94 2 ай бұрын
MANGUNGU ANAMPANGO WA KUFIA SIMBA
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 2 ай бұрын
Mangungu hiki Simba ni mali yako ya ukoo? Unabishana na washabiki na wanachama wote wa simba, were ni NANI?
@andreanamizyemba4051
@andreanamizyemba4051 2 ай бұрын
SIMBA SAIVI NI ZOMBOKOKO FC
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
NA NYIE NI MACHOGO FC
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 2 ай бұрын
Ss sote wajinga t mpumbavu yule 1 atupigisha kelele ivi kila siku kwann hatumfati kwke tukamtia chupa ya mkundu mshenz yule kwan simba ya mama yk
@Kimjongun4996
@Kimjongun4996 2 ай бұрын
Mangungu ni bora kiongozi na sio kiongozi bora.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 75 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
AMBOKILE AUKATAA USAJILI WA MUTALE SIMBA/ MO AMERUDI KWENYE BODI IPI?
28:05
Maximum Tv Online
Рет қаралды 3,2 М.
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 40 М.
HABARI MBICHI ZA SASA HIVI LE 27/08/2024
8:32
CONGO 🇨🇩YETU NEWS TV
Рет қаралды 295
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН