Mangungu: "Issa Masoud Hana Mamlaka ya Kuitisha Mkutano | Ni Mchochezi"

  Рет қаралды 18,907

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Murtaza Mangungu akizungumza kuhusu usaliti ndani ya klabu ya Simba na maoni ya baadhi ya viongozi na mashabiki #SportsXtra

Пікірлер: 91
@mosesregnald7117
@mosesregnald7117 4 ай бұрын
He is a smart leader
@saynomore7906
@saynomore7906 4 ай бұрын
Actions speak louder than words........football and politrix is like left and right...
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 4 ай бұрын
Hatukutak mangungu Hatukutak mangungu Hatukutak mangungu
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 4 ай бұрын
Hamtaki kawakosea nini
@amanimfinanga7321
@amanimfinanga7321 3 ай бұрын
Simba hatukutaki achia Simba yetu tokaaa
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 4 ай бұрын
Mangungu mtata sana
@MageleFidelis
@MageleFidelis 4 ай бұрын
Mwenyekiti wa wanachama hebu malizeni hayo matatizo msajili wachezaji wenzetu wanatuacha sisi mashariki ambao hatuna kadi hata sisi tunaumia na kuchekwa chonde chonde
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 3 ай бұрын
Mashabiki hatukutakiiiiiii
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 4 ай бұрын
Huyuuu mangungu anajiaminii nini Toka bwana tuachieee timu yetuuu😂😂😂
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 4 ай бұрын
Wewe unatimu?
@trustboy6419
@trustboy6419 4 ай бұрын
Mangungu aendelee lkn wakae na wajumbe waweke mambo sawa
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 4 ай бұрын
Mangungu toka toka toka hatukutaki jaman duh!
@GodfreyJ.GMasunga
@GodfreyJ.GMasunga 4 ай бұрын
Basi mangungu ondoka tu kila mmoja hakutaki tu. Wanasimba hawakutaki.
@cleophacemasole
@cleophacemasole 4 ай бұрын
Wewe unayesema ajiuzulu wew unaweza kuiongoza Simba
@shijamusilikale4731
@shijamusilikale4731 3 ай бұрын
We mzee ni mupumbazi sana we ndy mwanasiasi kama ukibaki kwenye timu ya simba inakufa we siyo mzee wa mpira , we ni mutapeli mzee we
@mashakaramadhani8665
@mashakaramadhani8665 3 ай бұрын
Huyo ni mtu fitina sana. Mangungu tuachie simba yetuu!!!
@gkaniel87
@gkaniel87 4 ай бұрын
Brother una kadi sawa HATUJAKATAA,wewe mwanasimba kindakindaki sawa HATUJAKATAA ila tunaomba UJIUZULU.... Kwasababu hatujihisi tupo salama ku-share dawati la mbinu na wewe wazungu wanasema "we don't feel safe with all our hands on the deck with you".....Ondoka tu brother ili tuuhisi huo usalama kaka....Tunakuomba sana😢
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 ай бұрын
Mimi timu😅 Mangungu wewe je!?
@Nehe100Kilindu
@Nehe100Kilindu 3 ай бұрын
Mzee wangu kwaeshima yako unge ondoka
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 4 ай бұрын
Acha siasa zako toka bhna
@AsumwikeLwinga
@AsumwikeLwinga 3 ай бұрын
Mangungu uko vizur ila wachezajii tuuu waidadi Yuko shilikisho
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 3 ай бұрын
Mangungu ni tatizo
@husseinmillinga
@husseinmillinga 4 ай бұрын
Mangungu hatumtaki mangungu mwambieni
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 4 ай бұрын
Hata wewe unaweza kumwambia
@patrickkilongo3214
@patrickkilongo3214 4 ай бұрын
We mzee achia timu ondoka mashabiki na wapenz wa simba hawakutaki. Ondoka , toka nenda kaendeleee na siasa kilwa , toka
@franccoz94
@franccoz94 4 ай бұрын
WE MZEE SIMBA NI TEAM KUBWAA, INAONEKANAA UNASHINDWAA KUIONGOZA MISMU MITATU UMEFELI NI VIGUMU SISI KUKUELEWA TUNAOMBA UTUACHIE TEAM YETUU
@MichaelMayemba-pc5cp
@MichaelMayemba-pc5cp 4 ай бұрын
Yah tatizo ni kufeli kwa uongozi kwenye usajili na kupata timu ya ushindani na kupata vyanzo vya uhakika vya fedha inapotokea mwekezaji kakausha kutoa fedha .simba inahitaji kurudisha heshima kwa miaka mitatu kutengeneza timu shindani ndani na nje kumefeli
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 3 ай бұрын
hatukutaki wew nenda zako wew
@hamisipande7253
@hamisipande7253 3 ай бұрын
Umeulizwa swali badala ya kujibu wew unaleta ungesa fakin sana we mzeee
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 4 ай бұрын
We mangungu huna unalolifanya hapo simba umekaa tu kama bumunda tu
@cleophacemasole
@cleophacemasole 4 ай бұрын
Mimi binafsi sioni sababu za kumwondoa Mangungo
@RafaelKaswahili
@RafaelKaswahili 3 ай бұрын
Kinachomnyonga Mangungu ni ujanja janja wake alioufanya kwenye uchaguzi alileta siasa kipindi hicho Manzoki alitakiwa asajiliwe simba ikashindikana akaenda china Cku ya uchaguzi akamlipia ndege toka china ili ambust kwenye kampeni na tokea hio siku akapoteza waaminifu kwa watu japo hajajua kama alijichombia kaburi mwenyewe
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 3 ай бұрын
Jee mo apouza wachezaji kina miqson wakati alikuja hazarani kusema hashida ma pesa ya kuwauza wachezaji yeye shida yake kuleta ubingwa wa cuf haya mwezi tu katupiwa hela kauzaa bila wachezaji kutaka ni nani tapeli mimi simba ila hapo magungu hawezi kuitoa timu kwa hao wapigaji na kujificha juu ya mgongo wake kama huna taluma mimi nisomea usalama na nigundua hilo nasimama na magungu simba ni yawanachama hawezi kuziwa mtu akeze tu na sheria ni wakezaji watatu haya nambie kuhusu uzamini kwann mo hataki company za njee zizamini​@@RafaelKaswahili
@KhamisKitwana-xi8sr
@KhamisKitwana-xi8sr 3 ай бұрын
Kama watu hawana Imani na were si utoke
@righitkileo
@righitkileo 4 ай бұрын
Kwan ukijiuzulu itakuqalimu nn?? Si ni kotendo cha kiunqwana tu kama watu wamepoteza Iman haina haja .unaheshi maamuz ya wenqi.
@Ramadhanjumanne-vl4sv
@Ramadhanjumanne-vl4sv 4 ай бұрын
Ndoka tu mzee hatukutak achia engo hufai
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
HAPO ULIPO UONGOZI WA SIMBA SIO KUTUMIA SHERIA BALI HEKIMA NA KUACHIA MADARAKA kwa manufaa ya TIMU.IKIWA Uongozi ni kwa Maslahi ya timu kiongozi ubaki kufanya nini ikiwa HUNA MASLAHI BINAFSI?
@ignasamando9593
@ignasamando9593 4 ай бұрын
Hatuna mtu anashidwa kuwa na KADI ya Simba we na kipara chako umeshindwa kuweka mifumo mzuriii ili wetu wachukue hizo KADI na kuwa wanachama rasmi.Ww hapo Simba hutoshi mzeee Simba Kubwa kuliko ww. Kama kweliii ww ni mwamba itisha mkutano wa dharura ili tujadili kwa nn viongozi wa boards upande wa wadhamini wanajiudhuru.
@simbavideoshots
@simbavideoshots 4 ай бұрын
Yani huyu kweli mwanasiasa anachoongea hata hakieleweki yeye na wajumbe wake wenyewe wanapingana 😅 haya basi kwa ufupi angetuambia nn kimefanya simba isiwe na kikosi kizuri chenye ushindani? Simple kabisa bila kuzunguka zunguka atupe sababu za simba kutokua na kikosi cha ushindani alafu humo kwenye hizo sababu atushawishi kuwambwa yeye hakuhusika kwenye sababu hata moja ili tuone kwamba hajashindwa kazi na hana sababu ya kujiuzulu
@HamisiMichael
@HamisiMichael 4 ай бұрын
Yani wewe mangungu upo katika maojiano unaonekana una SEMA uongo alafu sura yako inaonekana tapeli ondoka tuu Simba
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 4 ай бұрын
Uongo wake upo wapi hapo?
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 4 ай бұрын
Alafu tumpe bibi yako awe mwnyekitii
@simbavideoshots
@simbavideoshots 4 ай бұрын
​@@johnsonbernald11shida sio uongo shida haongei vitu anavyotakiwa kuongea.. kiufupi tu angetuambia zipi sababu zilizopelekea simba Okakosa kikosi chenye ushindani kwa kipindi alichokuepo halafu kwenye hizo sababu atushawishi kwamba yeye hakuuhisika kwenye sababu hata moja! ana zunguka zunguka tu anapingana mpk na wajumbe wake anaowaongoza wajumbe wake wanamsema mo vingine ye anasema vingine sasa hizo sio tabia za uongo uongo na unafki?
@FelixKiswaga-k2z
@FelixKiswaga-k2z 3 ай бұрын
Huyo Mzee ni mwanasiasa t
@PaskoSambo-pz7oy
@PaskoSambo-pz7oy 4 ай бұрын
Atoke uyo mwongo mwongo Yani ulivo sema wanachama wengi wanamwamini mo kuliko uyo mangungu atumtaki mangungu ajiuzuli tu
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 4 ай бұрын
Aaaaah,, kumbe ubasubiri wiki ijayo ndo ujiuzuru eee! Jpili ndo tunakuondoaa
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 4 ай бұрын
Wewe Mangungu sio mtu wa mpira ww unatuletea siasa kwenye soka na ujanjaunja mwingi unaenda kutuletea manzoki na bado hukuona aibu ukaenda kutuletea na Mayele siasa na mpira havindi pamoja, kwa masilahi mapana ya simba maana simba sio yako kaa pembeni hatukutaki yan ungekua na mapenzi mema na simba kwanza ungekua umesha achia ngazi ila ww ......??
@YahyaKhalfana
@YahyaKhalfana 4 ай бұрын
Ata ikimaliza taar ubingwa 😅😅
@HassaniJuma-wq3qb
@HassaniJuma-wq3qb 3 ай бұрын
We mzee siku tutakuja kukupiga wewe ondoka jamani ondokaaaaaaaaaaaaa
@MohdAli-fl2ef
@MohdAli-fl2ef 4 ай бұрын
Dah yan huyu mzee Kama ankuwa serious na simba ni mtu katili San Kwenye misimamao ila hatujui ana usiri gani yani yupo kihitlahitla Sio poa
@Rafaeltuli-gw8ii
@Rafaeltuli-gw8ii 4 ай бұрын
hatukutaki toka
@EmmanuelRussota
@EmmanuelRussota 4 ай бұрын
Unapenda vyeo si ubanduke? Moyo wako unajua kwenye umma unaweza kudanganya toka kwenye uongozi
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 4 ай бұрын
Unatafuta huruma ya watu ili iweje, ita mutant tukuhukum wenye simba yetu
@abdisalim7900
@abdisalim7900 3 ай бұрын
Kwa kifupi ww umefeli kuiongoza Simba,haiwezekani tokea uanze kuiongoza Simba imekuwa ikiboronga tu,nyi yi mnaendekea kulipana posho za jasho la wanasimba,ivi mnachong,ng,nia hapo ni nn?Acheni ulimbukeni wa ki uongozi,.km ni riziki ni popote na sio Simba tu ,jifunzeni kuwa na aibu msilazimishe bakora kuwafuata
@StanleyMhagama-k4v
@StanleyMhagama-k4v 3 ай бұрын
Mangungu tukimwona huku kwetu chamoto atakiona
@Ramadhanjumanne-vl4sv
@Ramadhanjumanne-vl4sv 4 ай бұрын
Acha siasa achi engo mzeee hutufai
@JumaAlly-fb3xq
@JumaAlly-fb3xq 3 ай бұрын
Wee mzee nae hilo jina lako linachangia tukuchukie wewe nenda mzee hatukutak
@saidbakari2408
@saidbakari2408 4 ай бұрын
Wanasimba tunasema kikubwa ni wewe kutoka tokaaaaaaaaaaA
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 4 ай бұрын
Usitujumlishe, sema wewe ndo unataka sio sisi wote
@saidbakari2408
@saidbakari2408 4 ай бұрын
@@johnsonbernald11 nawe pia tokaaaaaaaaaaaa wanasimba tumesema atokeeeeeeeeeeeeeee ingia mitandao yote na matawi yote wanachama hatumtakiiiiiiiiiiiiiii Toka nae kama unaumia tokeniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas 3 ай бұрын
Kwann unang'ang'ania kwann kwan siuondoke achia mwizi ww
@alitante4279
@alitante4279 4 ай бұрын
Alf hk kizee kinajeur sanaa na kiburi bt dawa yke ipo jikoni
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 4 ай бұрын
Dawa gani hiyo au unajichekesha wewe mwenyewe?
@alitante4279
@alitante4279 4 ай бұрын
@@johnsonbernald11 ya kujiuzuluu kwa lazma
@RashidiFuko
@RashidiFuko 4 ай бұрын
Wewe tunakwambia wazi hufai unapoteza muda tu unalazimisha ila hatukutaki
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 3 ай бұрын
Kama sio msaliti mbona huambatani na team inapokwenda kwenye mechi zake,au wewe ni mwwnyekiti w mpira wa kikpu
@Nehe100Kilindu
@Nehe100Kilindu 3 ай бұрын
Mzee sasa uta muongoza Nani nahatukutaki
@NoelVitalis-xe6hb
@NoelVitalis-xe6hb 4 ай бұрын
Mangungu we sepa tu maana anaekwamisha maendeleo simba ndo wewe
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 ай бұрын
We mzee na uwalaza lako,yan makelele yote haya na bado umèkomalia madaraka SI UTOKE KWANI TIMU NI YAKO AU YA FAMILIAR YAKO OVYO KABISA
@PhilipoNjalika
@PhilipoNjalika 3 ай бұрын
Unang'ang'ania Nini achia ngazi hatukutaki
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 3 ай бұрын
Haka kazee cjui kanataka nini
@frankraphael7546
@frankraphael7546 4 ай бұрын
Wewe mangungu jifanye msani tu kichachako kitapona ondoka araka atukutak
@DashAhmad-mp7ne
@DashAhmad-mp7ne 4 ай бұрын
Toka bhana wwe unazingua
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 4 ай бұрын
Nyie mwaka huu mme sajili nan? Ambae yupo bora
@alitante4279
@alitante4279 4 ай бұрын
Mchawi ni usajil tu na mashirikiano mazr uwandaji wa mechi bc hyo mengn ata hatujl sana kulen pesa mtakavyo bt sisi tunatk furah tu ushindi
@kakururubambula7270
@kakururubambula7270 4 ай бұрын
mangungu Baki mpaka muda wako uishe! Wanachama walipitisha katiba mbovu inayokufunga mikono anayetakiwa kuwajibika ni bwana mo bahati mbaya wenye njaa ndo wapo upande wa mo! Huwezi kusikia wanasema kuhusu mapungufu ya mo kupiga b20! Hawa m pesa zao zimetumia pesa kuchafua hali ya hewa ili mangungu utokee kwa sababu umegoma kupitisha msaada wa mo kuwa mtaji!
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 4 ай бұрын
We jamaa mpumbavu kweli. Mbona utopolo mnamkumbatia GSM?
@HillaryMasheyo
@HillaryMasheyo 3 ай бұрын
Ondoka wewe mzee timu siyo ya baba yako
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 4 ай бұрын
Mangungu wewe uliye na mamlaka ya kuitisha mkutano unangoja nini wakati huu wa kuiokoa Simba? Heri huyo anayethubutu kuiokoa club. Wewe hujali kuzima migogoro , umebakia tu kung’ang’ania taratibu zifuatwe. Hujuma hiyo Mzee.
@iddkabange1573
@iddkabange1573 4 ай бұрын
Hakuna Mfumo huo Simba. Maamuzi yote yanafanya na Mkutano Wa Bodi ya Wajumbe. So Mangungu hawezi Kufanya Maamuzi yoyote Hadi MO ateue Wajumbe wake 7Ndio waitishe Mkutano na ndio Management itatangaza Mkutano kupitia Kwa Mtendaji Mkuu
@franccoz94
@franccoz94 4 ай бұрын
SHIDA YA MANGUNGU N MWANA SIASA, HUWEZI KULETA SIASA KWENYE MPIRA
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 4 ай бұрын
Hata hiyo siasa haijui, angeweza kuwaunganisha wana Simba badala ya kuleta mpasuko
@MnubiMm
@MnubiMm 4 ай бұрын
Kweli Kabisa Mangungu lakini wewe hutakiwi Simba na kinachokuponza huna Hela na mo haguswi kwa sbb ni Tajiri lakini Makosa yapo kwa Mo timu inaboronga anaangalia tu sio kwa Bahati Mbaya ni makusudi ili wewe akuangushie jumbo Bovu utolewe kafara na ndicho kilichotokea na kinachoendelea wewe hutakiwi na Boss na hao waliojiuzuru upande wa Boss anaowataka atawarudisha tu kujiuzuru kwa Jaribu Tena ni kiinimacho tu ili wewe ujiresi wao warudi kwa kivuli tumeludiswa na Boss
@mtangag774
@mtangag774 4 ай бұрын
Kumbe
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 ай бұрын
Mohamed Mo tuna matumaini Na wewe
@bensonmwakipexle8960
@bensonmwakipexle8960 4 ай бұрын
Unajielewa wewe
@Ramadhanjumanne-vl4sv
@Ramadhanjumanne-vl4sv 4 ай бұрын
Ndoka tu mzee hatukutak achia engo hufai
@MageleFidelis
@MageleFidelis 4 ай бұрын
Mwenyekiti wa wanachama hebu malizeni hayo matatizo msajili wachezaji wenzetu wanatuacha sisi mashariki ambao hatuna kadi hata sisi tunaumia na kuchekwa chonde chonde
@MageleFidelis
@MageleFidelis 4 ай бұрын
Mwenyekiti wa wanachama hebu malizeni hayo matatizo msajili wachezaji wenzetu wanatuacha sisi mashariki ambao hatuna kadi hata sisi tunaumia na kuchekwa chonde chonde
@MageleFidelis
@MageleFidelis 4 ай бұрын
Mwenyekiti wa wanachama hebu malizeni hayo matatizo msajili wachezaji wenzetu wanatuacha sisi mashariki ambao hatuna kadi hata sisi tunaumia na kuchekwa chonde chonde
@Ramadhanjumanne-vl4sv
@Ramadhanjumanne-vl4sv 4 ай бұрын
Ndoka tu mzee hatukutak achia engo hufai
Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP
15:52
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 65 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 62 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 26 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 2,7 МЛН
NIGERIA VS LIBYA AFCON QUALIFIER:MATCH HIGHLIGHT EXTENDED
10:01
victor modo
Рет қаралды 12 М.
MNAJIFANYA MNAUCHUNGU  SANA NA CHAMA HIKI NA SITOKI " MCH. MSIGWA"
2:08
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 3,5 М.
#zandaaani/ MZEE WA KUDERE ATOA ZA NDANI KUHUSU PRINCE DUBE
8:49
Wasafi Media
Рет қаралды 132 М.
10 Ways to MISS a Putt
0:31
Colin Amazing
Рет қаралды 28 МЛН
Smoothest Transitions💀
0:27
SIUU
Рет қаралды 11 МЛН