MWIZI WA KUKU AKAMATWA LIVE NA NYANDA LUNDUMA UTACHEKA
Пікірлер: 16
@user-fh7mh5hn4n3 ай бұрын
Hongera sana baba mzazi is the best from dar kariakoo
@user-fh7mh5hn4n3 ай бұрын
Piga kazi tuko nyuma ako b lunduma ❤🤙
@PaulNestorryАй бұрын
Hongela lunduma nakufatilia sana kutoka dar
@longosamwel74582 ай бұрын
hongera lunduma nakufuatilia kutoka dodoma
@laurianjoseph25282 ай бұрын
Napenda sana kaz yako brow🎉 ila kwa ushar wangu lakin ningependa upunguze dakika za wimbo kulingana na nyakat tulizonazo angarau uishie dk 6 had 8 cyo mbaya ili washabik zako tusichoke kukusikiliza🙏🙏 mahome boy
@LUKINDAJAKOBOJULIUS-oi1ksАй бұрын
Safi sana luduma nipo singida
@laurianjoseph25282 ай бұрын
Napenda sana kaz zako brow🎉 ila kwa ushaur wangu lakin ningependa upunguze dakika za wimbo kulingana na nyakat tulizonazo angarau uishie dk 6 had 8 cyo mbaya ili washabik zako tusichoke kukusikiliza🙏🙏 mahome boy
@michaelsilvester26002 ай бұрын
kazi nzuri
@GerardElias-rc2dc2 ай бұрын
Nakubari san lunduma
@jumadogani-zi8zk2 ай бұрын
Safi sana abha!
@CharlesKanyasaАй бұрын
Hapa kuna ujumbe mkuubwa saaana 😂😂😂😂
@paskalkahema25962 ай бұрын
Nakuona
@mussasamson-gg7rt3 ай бұрын
kazi nzuri kaka nimeipenda sana
@lichstudio20242 ай бұрын
Nice
@NyasanaTv-ol4ix4 ай бұрын
Kwel sofi aliniambia ulikua mwimbaji wa kwaya leo nimekubali ulikua kwaya masta wa aict hongera mtani nakufatilia mwanakwaya wangu