NYANDU TOZI CHAMDOLI TU /MKONO WAKE BWANA

  Рет қаралды 61,011

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 298
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Nyandu tozzy ni roll model wangu. Kwa sisi ma hustler tunamuelewa vizuri sana.big up amidu👋👋👋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸.
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Nyandu anajua bhana like kwa nyandu tozzy ....... Kichwa adimu
@geerleebmuhamed8301
@geerleebmuhamed8301 3 жыл бұрын
Oyoo na kubali jibaba umetisha unanitoa boring nikiwa safari na kufatilia bro big up sana
@petrolsiwelwa8444
@petrolsiwelwa8444 4 жыл бұрын
Motown sanya unakosha Sana watu mwanet kaza kaka
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Dah sanya leo uneleta Kichwa hadim💎 nyangu tozzy dah namkubali kinoma home boy.love from Zanzibar 🙏👍🏻💎 stone town 🇹🇿.
@abdulsalaammtipa5309
@abdulsalaammtipa5309 4 жыл бұрын
respect mo town sany kwa kumleta nyandu tozzy big up namkubali sana yan
@celinekenedy870
@celinekenedy870 4 жыл бұрын
Hii uliwaweza bro daah!😂😂😂😂 mbavu zangu mm,, chimbi chimbi chimbi(black tshirt) ni noma ulimfurahisha sn he was like never mind. Sanya hii umeua baba.
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Wabongo. ..... Bhana msimamo hakuna ....... Unafiki mwingi ........ Huyu nae ......anaimba maandazi. Tu..
@asmaselemani7561
@asmaselemani7561 4 жыл бұрын
Mo sanya we msenge unajua mpk unakula bonge Moja la kipindi bonge Moja la idea big up sn
@Ngwenjetv
@Ngwenjetv 4 жыл бұрын
wanaomkubali nyandu tozy gonga like
@eliakabanga
@eliakabanga 4 жыл бұрын
Gonga beat nomaaaaaa!
@bizzoonlinetv6083
@bizzoonlinetv6083 4 жыл бұрын
Kama umemsikia huy jamaa aliyevaa tisheti nyeusi kweny gonga beat akiimba "chimbi chimbi chimbi". Gonga like
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@samsonmtoba3514
@samsonmtoba3514 4 жыл бұрын
Mwanangu nchimbi nchimbi kweliii daaaah😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bibianafrigil5588
@bibianafrigil5588 4 жыл бұрын
Nimechek mno jmni khaa!
@yusuphchambila1905
@yusuphchambila1905 4 жыл бұрын
😂😂😂.. hao jamaa wanao imba hyo nyimbo ya mkono wako... wametishaaa sanaaa....🎤🎤🎤
@mtokoma
@mtokoma 4 жыл бұрын
Hiki kipengele cha ngonga beat huwa naipenda sana coz inanifurahisha sana najikuta nacheka peke yangu daaa
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Mwanangu chugamaika katisha sana muuuuniii sio😃😃😃🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
@amissahassan495
@amissahassan495 4 жыл бұрын
Wa bongo wanafki😂😂😂😂 Dhuuu anamponda akimuona tu musika nabadilisha😂😂😂 Dhuuu wa bongo wanafiki
@amashaelia615
@amashaelia615 4 жыл бұрын
Bongoland Republic 🤣🤣🤣
@breackychangwe7326
@breackychangwe7326 4 жыл бұрын
Siku zinaenda maisha yanaenda😀😀😀😀😀😀😀😀
@bernardchibwana9411
@bernardchibwana9411 4 жыл бұрын
Huyo bro mwenye kitambaa shingoni mnafiki sana
@nezrahapen6131
@nezrahapen6131 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂this one killed me...weeuuu
@mohgamhooga1270
@mohgamhooga1270 4 жыл бұрын
hahahahhaha moosanya ukifika kwny mashindan ya kuimba waniacha hoi sanaa na hao watu wako,,,,napendea hapo tu kpnd chako,,,,God bless bro
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 4 жыл бұрын
4:33 jamaa mnafik sana😂
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@mwactyselamani1829
@mwactyselamani1829 4 жыл бұрын
Uwiiiii roho yang mm🤣🤣🤣🤣
@antonyjux6682
@antonyjux6682 4 жыл бұрын
On top #wcb for lofe
@eliakabanga
@eliakabanga 4 жыл бұрын
Wana tunatoa sana maboko
@manbonge3015
@manbonge3015 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Town more sanyaaa😅😅😅😅
@johngodwin8281
@johngodwin8281 4 жыл бұрын
Hapo ndo unaamini wabongo ni wajumbe😂😂😂😂😂😂😂
@smgfamilygroup2414
@smgfamilygroup2414 4 жыл бұрын
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏.....
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 3 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@tatalyzer382
@tatalyzer382 4 жыл бұрын
Kwenye gonga beat jamaa t-shirt black ana vibe kinoma. Mwenye white anaimba ki tailand
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 жыл бұрын
🤣🤣😂hao wanaoimba bhna wananivunja mbavu😂😂🙌🙌
@israelmwasenga9288
@israelmwasenga9288 4 жыл бұрын
Wabongo kweli masnitch
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
😂😂😂😂 haaaaa,hawa jamaa wanao imbishwa kwenye headphone ni balaa 🤣🤣🤣
@ngamanyikangawoneka8385
@ngamanyikangawoneka8385 4 жыл бұрын
Hahaha nimecheka mpak mbavu zinauma, huyo mweny tshirt nyeusi 🤣🤣🤣
@amirasman7441
@amirasman7441 2 жыл бұрын
Hii wasito ,Niko Kenya napenda sana vile mko na umoja aisee ,alafu chaa ajabu ni mtu kama anakosolea Ako deyari kukupali ubungufu wake aisee .... Pick up sana it's good,
@marisachobic4734
@marisachobic4734 4 жыл бұрын
Raha Sana jamaa mwenye t-shirt nyeusi kafunika🤣
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 4 жыл бұрын
katika wasani wote uliowafanyia intervew uyu tozzi #26 ajapondewa anakubalika sana kitaani #like pia usiache ku#subscribe
@kiswakiswa4280
@kiswakiswa4280 4 жыл бұрын
Bang za uyu jamaa wa black Ni kali sana zimempa ububu
@benjaminsemwenda9035
@benjaminsemwenda9035 4 жыл бұрын
Hichi kipindi kinatufundisha jinsi gani binadam walivyojaa unafki, yani maneno yanayoongelewa ukiwepo na ukiwa haupo hakuna uwiano 😪
@smgfamilygroup2414
@smgfamilygroup2414 4 жыл бұрын
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@yunyun799
@yunyun799 4 жыл бұрын
Daaah kwel😢
@innomchaga
@innomchaga 4 жыл бұрын
Daaah huyo jama aliye funga kitambaa shingoni mnafki kinomaaaaa🔥🔥
@phillipmakwandi3451
@phillipmakwandi3451 4 жыл бұрын
Kausha bro huyu mwnzetu😂😂😂
@nolanraphael8502
@nolanraphael8502 4 жыл бұрын
Oyaaaa nipen like zangu wnanguuu
@immanuelndaru9188
@immanuelndaru9188 4 жыл бұрын
Lipo sehem gan
@amissahassan495
@amissahassan495 4 жыл бұрын
Gonga Baet 😂😂😂 uwa inaniacha hoi Kabisa😂😂 wani jama wanakuimbia kama bubu akiwa anaongea😂😂😂😂
@mbwanahussein2014
@mbwanahussein2014 4 жыл бұрын
Kwenye maneno 10 Yana sikika mawili tuu😁😁😁
@raymondmsinde6867
@raymondmsinde6867 4 жыл бұрын
Dah😁😁😁 jamaa mwenye t-shirt nyeusi atakua anaimba ki Hindi😁😁😁
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Mwenye black tshirt ameniua
@tummymbaruk5595
@tummymbaruk5595 4 жыл бұрын
Niacheni nilale salama mbavu zngu mkono w bwana😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Fatumaa. ......
@davidchristopheryoram7811
@davidchristopheryoram7811 4 жыл бұрын
Oyo unazingua aseh hahaha dah hyo gonga beat dah😂😂😂😂😂😂😂
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@xaverisunday699
@xaverisunday699 3 жыл бұрын
#aboi_4makambako town gonga like kama ni team 26
@tatiya6883
@tatiya6883 4 жыл бұрын
Nani kafa na cheko kama mm hapa🤣🤣😃
@rhema-theophorusac.chelule750
@rhema-theophorusac.chelule750 4 жыл бұрын
The guy with black T-shirt 😂😂😂😂😂
@jimmyyo5
@jimmyyo5 4 жыл бұрын
Tumeuna mkono wabwana dhuu bongo😂🤣😂🤣🤣🤣
@rashidnayopa5643
@rashidnayopa5643 4 жыл бұрын
Daaah tumeuwona mkono wako bwana hahahahaha sokwa stairihii aki
@ezekielmbosa7118
@ezekielmbosa7118 4 жыл бұрын
Respect kwa sanya nembo yamtaa sema nini wabongo mnatoa maboko Sana😀😀😀
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 4 жыл бұрын
Weee jamaa unajua kunifurahisha kwenye gonga beat
@herisophisticated9275
@herisophisticated9275 3 жыл бұрын
26 ni Top Logo In Tanzania.
@mubarakamuba376
@mubarakamuba376 4 жыл бұрын
Eeeeeeeh kunawatu ni wanafikii kwny hii dunia😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@barakayohana6021
@barakayohana6021 4 жыл бұрын
Woyoooooo,yani hiki kipindi nakiappreciate sana,nataman kingekua kila siku
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 4 жыл бұрын
My favourite show💯
@veronicangenzi6681
@veronicangenzi6681 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaa jmn mbavu zangh mwenye nyeusi kanivunja mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣
@samsonmtoba3514
@samsonmtoba3514 4 жыл бұрын
Kizazi snaa
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 жыл бұрын
Big up Sana 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 4 жыл бұрын
Hiyo sound track hapo mwanzo ni noma sana
@mossesyulibilao5831
@mossesyulibilao5831 4 жыл бұрын
mtangazaji ww naisi huna maini unatabasamu kwa ivo vichekesho gonga biti master
@njugaboe1191
@njugaboe1191 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 ila kwny gonga beat MTU mzima anaonekana kama taira🤣🤣🤣
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@saidimkalabule7149
@saidimkalabule7149 4 жыл бұрын
Wallah nimecheka mpaka mbavu zinauma
@janetjohn8125
@janetjohn8125 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alsonmohamed9805
@alsonmohamed9805 4 жыл бұрын
Qwaqweli yani mm narusha had gonga beat
@hyasintalashau9889
@hyasintalashau9889 4 жыл бұрын
Nimecheka kama chizii😜😂😂😂😂😂😂😂😂
@annamarry2033
@annamarry2033 4 жыл бұрын
Hii kweli ni bongo jaman🤣🤣🤣🤣nakipenda kipindi Cha gongabeat🤣🤣🤣
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 жыл бұрын
Huyu mbaba anae vibe 😂😂😂😂😂
@Captain_shiii
@Captain_shiii 4 жыл бұрын
Huyo wa black hatari sana kelele kwa mzeee anajua sana😂😂🤣🤣🤣✌️
@chipembelesaid
@chipembelesaid 4 жыл бұрын
Jamaa wanaimba kama vibogoyo😂
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Haaaa haaaa
@mduduemmanuel4585
@mduduemmanuel4585 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Mwenzenu mm kipind hiki kwenye gonga beat kunaniumiza mbavu watu wanatafuna tu
@gablielsamwely1081
@gablielsamwely1081 4 жыл бұрын
Kweli usanii kazi
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 4 жыл бұрын
Uyu mwenye nyeusi kwenye gonga bit anajikuta upako umeshuka😅😅😅😅😅😅😅
@peaceboycmg4451
@peaceboycmg4451 4 жыл бұрын
Daaah...watu wanafki kinoma... Jamaa kamponda vibaya mno,alivyotokea eti anadai anamkubali
@barickprogrammer
@barickprogrammer 4 жыл бұрын
Hii intro imeshazoeleka yaaan....badilika mo town Santa!!!
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Mo town Santa ndo nani??
@heriholder1625
@heriholder1625 4 жыл бұрын
Kipindi kitamu hiki dah wasafi🙏🙏🙏🙏
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 жыл бұрын
Hivi wee mtangazaji ndo huchek kweli jaman, halafu unawaambia wazid kuimba jaman duh, ila usiwawekee ngoma ngumu bana
@korogwetv3634
@korogwetv3634 4 жыл бұрын
Wabongo WANAFIKI SANA 😁😁😁😁😁😁
@reebeckromayah8948
@reebeckromayah8948 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wabongo huwaga hatutakagi kushindwa🤣
@mduduemmanuel4585
@mduduemmanuel4585 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Yani mwishoni nouma
@agustinoboaz2214
@agustinoboaz2214 4 жыл бұрын
Xhooo kariiii
@Mpehedonking
@Mpehedonking 4 жыл бұрын
Daaa wanaimba nn🤣🤣🤣
@hassanijuma4966
@hassanijuma4966 4 жыл бұрын
muuni anajua sanaa
@VENUSTVRwanda
@VENUSTVRwanda 4 жыл бұрын
Much respect from #venustvrwanda to anyone watching this video and reading comments at the same time!
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 4 жыл бұрын
Well I think this dude wit black tshirt ni mpenz wa mzik to the level he don't even give a fuck bot a words...he got vibe yoo
@shebymasilva6816
@shebymasilva6816 4 жыл бұрын
uyoo jamaa yangu alovaa nyeusi lazima atakua dereva wa boda boda onaaaa“aaa“onaaaaa... kama umemuelewa gonga like
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@mamuliciosrajab6664
@mamuliciosrajab6664 4 жыл бұрын
Mm Nakuja Hapa Kwa Sababu Ya Gonga Beat 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@oscarshotit
@oscarshotit 4 жыл бұрын
🌟Best song in The world kzbin.info/www/bejne/j5-oaJuNfrJqo5I
@ehsantv7740
@ehsantv7740 4 жыл бұрын
Kwan wengine mabubu hao au wanajuwa kuongea maana dah noma sana
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Jaman mtaniuwa kwa kucheka 😂😂😂😂😂
@esterester5612
@esterester5612 4 жыл бұрын
Watu wanajua kuimba 😂😂😂😂😂😂
@salim02tv24
@salim02tv24 4 жыл бұрын
Uyu chaa mdolii ....ebwanaaae nyandu tozy mwane2 kabisaaa ndotaa
@bignation6136
@bignation6136 4 жыл бұрын
Nyandu uko juu bro
@kenyandamu
@kenyandamu 4 жыл бұрын
9:57 Na huyo mhindi amenichekesha sana. Afadhali anajua Kiswahili cha Bongo. Wahindi huku Kenya huongea Kihindi na Kiingereza pekee 😂😂😂
@gehazmakoga1018
@gehazmakoga1018 3 жыл бұрын
Ila SANYA wewe pepo tutakuadithia tu huwezi kuiona🤣🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Kama nilivoongea😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@husnaiddy5042
@husnaiddy5042 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 mo town una mbavu za aina gani jmn mbn me nashndw kujkaza kucheka
@gftdaniel2198
@gftdaniel2198 4 жыл бұрын
Mweny tirshet nn bba jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbav zinauma bhn
@peterkijanga3193
@peterkijanga3193 4 жыл бұрын
Huyu msenge mwingine eti nyandu aimbe Trap, fala kwelii
@buddahmakucha6848
@buddahmakucha6848 4 жыл бұрын
Aaah hayo kaushaa huyu mwanetuu😂😂😂😂
@nicksontarimo1368
@nicksontarimo1368 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahah uwo ubunifu atareeeeh hiiyo niburudani tosha chimbichimbi chimbi
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Hahahaaaa kweli kuimba kipaji yani mnavyopuyanga apo gonga beat duuh
@salumuandrew6775
@salumuandrew6775 4 жыл бұрын
Siku zinaenda maisha yanaenda😂😂😂🙆‍♀️
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 4 жыл бұрын
Jamani nimecheka kwenye kuimba huyo yuko na t shert nyeusi anajifanya anaimba kwa hisia harafu ajui
@evanceog7244
@evanceog7244 4 жыл бұрын
Nyandu katika marapa niliowakubali tokea kipindi akitoka kimuziki... B.O.B ...
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 16 М.
🔴# LIVE: NYANDU TOZZY NDANI YA TRANSFORMER - FEB 08/2024
1:42:25
EFM TANZANIA
Рет қаралды 1,3 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Kutambulisha CHAMA | S01Ep01 MGOMBEA |
7:29
Wanyabi
Рет қаралды 581 М.
barobaro - Inauma
4:36
Barobaro
Рет қаралды 13 М.