ulishika kwa mbali sikuona vizuri village yangu Kweli nataka uhingie mu C1 mwenyewe
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Utaona C1 vizuri wewe usiwe na wasi. Usikose ku subscribe channel yetu MMUNGA ML ili uwe wakwanza kupata video zangu kila ninapo post. Nime post video ingine ya B1 na C1 sasa hivi. Umeisha ipata?
@chanjamabilo39632 жыл бұрын
Kabisa hajatendea kijiji chetu cha C1 haki, tunakuomba uingie ndani ndugu mtangazaji
@sangofrancois60092 жыл бұрын
Anaye juwa jina ya huho mwimbo unaho ibwa umo ndani anihadikiye apo chini
@mariaamisi2 жыл бұрын
Mbona akuna A1
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Hakunashida kunavideos zangu ambazo ziko ba bahazi za classes za A1. Angalia vizuri. Lakini nakuomba usikose ku subscribe channel yangu MMUNGA ML ili uwe wakwanza kupata videos zangu pindi ninapo post. A1 nita hifanyia kazi usijali.
@jeanetemenge66582 жыл бұрын
Kaka sikuhona ef1 muzuzi
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Utaiyona bien,usiwe na wasiwasi. Lamuhimu usikose ku subscribe channel yangu MMUNGA ML ili uwe wakwanza kupata videos zangu pindi ninapo post. Tuko pamoja.
@jeannemmbale2 жыл бұрын
naomba ufike mu C1 please kaka
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Okay 👌. Wewe subscribe channel yetu MMUNGA ML tu.
@user-hd8ci6uz7i9 ай бұрын
𝐀𝐦𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠 𝐜𝐚𝐦𝐩
@zawadigrace35192 жыл бұрын
Shika na A1
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Usijali tutafanya hivyo. Lamuhimu usikose ku subscribe channel yetu MMUNGA ML ili uwe wakwanza kupata videos zetu pindi tutakapo post A1.
@Jeymarszn2 жыл бұрын
Endeni G2
@MmungaMLTV2 жыл бұрын
Usiwe na wasiwasi utapaona tu. Lamuhimu usikose ku subscribe channel yetu MMUNGA ML ili uwe wakwanza kupata videos zetu pindi ninapo post.