Sijapenda mimi hata kidogo!!!Giza na nuru vinaushirika gani???? Natokea Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@azorindege2556 Жыл бұрын
Inapendeza kuona watu wanamtukuza Mungu kwa kuimba na kucheza...BWANA YESU ASIFIWE SANA
@AziziMapunda-vt4nv Жыл бұрын
Yesu akubaliki umepakwa mafuta yasiyoisha wewe no kuani mukuu Ila watanzania awajuihilo mubye tunajua ulicho kubeba ukiwa sitaa wa yesu nilaaaaa Sana kweli aibu alifuta asante🙏🙏🙏🙏
@lwimboderick7479 Жыл бұрын
Huyu Bwana i can see God presence in him and his songs . Glory to God.
@keybezek4301 Жыл бұрын
Kwa ujumla Mungu awabariki wasaf media na watumishi wamungu waliotuburudisha
@AziziMapunda-vt4nv Жыл бұрын
Balikiwa Sana upokimya Sana najua upokazini lazima kitukipya kinakuja tunakuombea atakama awawapi tuzo zao musiogope yeye aliye waita yeye alishawapa tuzo ndomahana mukoapo tuzokubwa ni mungu kukwi nua kuwa sitaawake iyonituzo tosha achana natuzo zadunia zinamwisho tuzoaliyo kupa mungu anamwisho tuzoiyo niadiuzeeni 🙏🙏🙏🙏🙏🤝
@edwardmwankemwa3877 Жыл бұрын
Mungu wangu awabariki kwa huduma aliyoweka ndani mwenu ,nimeipenda
@duncanlukhando9404 Жыл бұрын
Inapendezaa sana kuwa ndani ya sifa za mungu
@eliweluamo4260 Жыл бұрын
Ubarikiwe kijana wa MUNGU 🙏
@ArexIsack-ex9pt Жыл бұрын
God protect you every thing
@serahchilango8097 Жыл бұрын
Mungu ambariki huyu kijana jamani✨✨💯💯🔥🔥
@AlexKasena-b5q Жыл бұрын
That's nice, be blessed
@sadickchuo7170 Жыл бұрын
Bonge latamasha barikiwa wasafi
@ashleykazungu Жыл бұрын
Mungu akubariki nikisikiza hii nyimbo inanipa hatua sana ❤❤❤❤❤❤
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Wow nimebarikiwa
@cecilendayishimiye8548 Жыл бұрын
Ouah nasikiliza nikiwa Burundi
@essahsaimonmwalwega6097 Жыл бұрын
Good kaka
@abasimnakatasautimnazingua9272 Жыл бұрын
Nice song
@vansclassic2131 Жыл бұрын
Some good song.... Nimeona
@Ellymtweve7 Жыл бұрын
Powerful
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Kutoka Burundi nasikiliza🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👈🎧🎧🎧
@aimeebusime5849 Жыл бұрын
Amen
@restojeekenya7333 Жыл бұрын
Glory to God
@bellazara6448 Жыл бұрын
Ameen
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
Ovyoooooooooooo!!!
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Ajapendeza
@sophiekambi7752 Жыл бұрын
Watu hapo Kwa kumpendeza wanadam #huwezi kushindana na mwanadam mwenye kinywa