Nafurahia kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya. Hixi ndizo nyimbo za injili.
@JamesMushi-k5h9 сағат бұрын
Ulyakulu sintakosa ilo tamasha lenu mungu naomba nisaidie
@emmanuelpetertruegospelcha33319 сағат бұрын
Sawasawa ikiwa moyo wako wataka hivyo itakuwa
@JamesMushi-k5h8 сағат бұрын
Amiiiiina babaaa
@emmanuelpetertruegospelcha33314 сағат бұрын
Wewe fika muone elphaz mwalimu wao mapigano Ulyankulu akupe album zote
@peterwaweru391613 сағат бұрын
Merry Christmas mchungaji ...hope come new year 2025 you will search for me wimbo wa kangundo town choir uitwao Yerusalem Kisha wa makongoro aic uitwao Huyo Ibilisi...barikiwa zaidi na uwe na mwaka mpya wenye baraka ...allelluyah
@emmanuelpetertruegospelcha333113 сағат бұрын
@@peterwaweru3916 amina kubwa sanaa makongoro sawa I will upload...ila kwa kangundo zao niliwacha kuweka nenda kwa channel yao utapata
@peterwaweru391613 сағат бұрын
@emmanuelpetertruegospelcha3331 thank so much...nashukuru
@JamesMushi-k5h8 сағат бұрын
Eti brother Ima kwani inakuwa shida kuweka hii album ya ulyakulu?? Inatupasa tukue kiroho!!!??❤
@emmanuelpetertruegospelcha33315 сағат бұрын
Nitakwenda kinyume na kwaya hiyo kwani channel yao ipo active siwezi weka album zima hapo nitakuwa na wakosea sana na ni kazi ya Mungu utumishi wetu usilaumiwe au kukwaza watu hukumu ni nyingi sana kwa anaye fanya hivyo maandiko yanasema tuwe na kiasi na nia moja namuheshimu sana elphaz mwalimu wao mapigano Ulyankulu