HAKUNA TENA KUSAFIRI KAMA KADAMA ONLY MEN TRAVELING TO SAUDI

  Рет қаралды 7,163

KG CHIPANDE 🎙

KG CHIPANDE 🎙

Күн бұрын

Пікірлер: 215
@eunicefaida8977
@eunicefaida8977 15 күн бұрын
😂😂😂hiyo nindoto ya mchana
@LindahMusimbi254
@LindahMusimbi254 10 күн бұрын
Hehe 🤣 🤣 after mechi atoe nguo ya ndani palepale kazi ipofanyikia haha ndoto ya mchana.... Haha atoe always kwrnye nguo ya ndani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@YvetteMugeni254
@YvetteMugeni254 13 күн бұрын
Sidhani Kama Kuna Kuna Mwarabu Anezaajiri Mwanaume Kwa Nyumba Yake 😂😂😂😂😂
@SaidOmari-sx4ix
@SaidOmari-sx4ix 18 күн бұрын
KG hapo hujasema kitu cc wenyewe madereva hatuingii ndani kwao itakua hao waume
@ledeajoasu3119
@ledeajoasu3119 18 күн бұрын
Exactly hilo ndilo swali langu
@Noelimbosa
@Noelimbosa 17 күн бұрын
Ndio nashangaa😂
@NaomiWarui-pk9hr
@NaomiWarui-pk9hr 17 күн бұрын
How, mwanaume hafai kuonana na mwanamke mwarabu ,atafanya kazi wapi,aje sasa
@Gsh-ov2ut
@Gsh-ov2ut 18 күн бұрын
😂😂😂😂Weee nahizi kazi za huku mwanaume Kweli ataweza Kila time njoo unipe hii aki 😂😂😂
@mohammedganyuma3445
@mohammedganyuma3445 16 күн бұрын
Tuwapeni mwezi to japo ni mda mrefu...yani week to kama atoenua mikono😅😂😂😂😂
@JaelBuyanda
@JaelBuyanda 16 күн бұрын
Hzi ni story Jaba wallah fast and foremost mwanamke mwarabu aruhusiwi kuonekana mbele ya mwanaume yeyote uongo huo
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 18 күн бұрын
Hawa warabu Wana maudhi msikubali hamtaweza .msijaribu.
@Trizah-254-e
@Trizah-254-e 18 күн бұрын
Yeah wacha wanaume wapelekwe Saudia nasi tuende Dubai na Qatar 😊
@PMNTV1
@PMNTV1 18 күн бұрын
@@Trizah-254-e Hutu tufukuswi twetu hatutawezana walai🤭😂😂
@SusanMutika-nl8sq
@SusanMutika-nl8sq 17 күн бұрын
Really 😂😂wewe brother tufanye jop 😂😂😂🎉🎉
@AMANiMAGOLO
@AMANiMAGOLO 18 күн бұрын
Nyinyi hamjui kasongo amechoka ,anataka kuondoa Gens atawale Kenya peke yake 😂
@Asiaha-l7q
@Asiaha-l7q 18 күн бұрын
Umeona mbali amechoka na maandamano
@254frida
@254frida 18 күн бұрын
Ukweli magolo ameona hii ukweli​@@Asiaha-l7q
@254frida
@254frida 18 күн бұрын
Kasongo amekaa chini akajiuliza vile anaeza maliza maandamano kenya
@MaryamMohammad-c6b
@MaryamMohammad-c6b 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MourineOkech-zf7sz
@MourineOkech-zf7sz 17 күн бұрын
😂😂😂 haki amechoka na gens na wanaume watawezana na taali taali
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 18 күн бұрын
Acha wawalete waone kama wanaume watavumilia upuzi wao kheri wanasema ladies but ladies wanavumilia alot of things eti majinuna but they still do the best 😅
@bintihassan31
@bintihassan31 18 күн бұрын
Iyo sidani Kama itatokea mana kama sisi wanawake twalia wao wanaume wataweza kweli Na mahasira zao 😮😮
@254nanciemorgan
@254nanciemorgan 17 күн бұрын
Hapo kwa house boy boychild amekataa😂
@AAa-po6tg
@AAa-po6tg 16 күн бұрын
Kwanza mtatolewa kafala come over here saudia desert country mtajionea mnatoa wapi nguvu ya kupost
@SarahJuma-s2x
@SarahJuma-s2x 18 күн бұрын
Akii wasijaribu kabisaaa
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 18 күн бұрын
Kumbe hii kitu ni ukweli 😅 anywhere ladies wamechoma sana Hadi bosses wameamua ni houseboy sasa😂😂
@SaidOmari-sx4ix
@SaidOmari-sx4ix 18 күн бұрын
Hehehe hakuna cku waarabu watakubali waume kufanya job za ndani
@moanamessi1749
@moanamessi1749 18 күн бұрын
​@@SaidOmari-sx4ixkabisa
@SnowrineKhatsika
@SnowrineKhatsika 18 күн бұрын
@@zahraabdul9652 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watawagongea
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 18 күн бұрын
@SnowrineKhatsika Hawa wanawake watapata utamu kwa wanaume wa African na sio uongo siezi advice mtu aende Saudi for being houseboy
@SnowrineKhatsika
@SnowrineKhatsika 18 күн бұрын
@zahraabdul9652 kabisaaa they have to say noo kama sisi tunakapitia na n ju ya kuvumilia
@ColletaOngango
@ColletaOngango 18 күн бұрын
Hapa kuna kamchezo, chungeni ombeni sanaaa kumezukwa weee.
@FatemahFatemah-b3h
@FatemahFatemah-b3h 18 күн бұрын
Wanataka kutuulia hawa watu,1 wanawake wao ni wakware, 2matusi kwa wingi sioni kama ni nzuri hio
@KariganTsuma
@KariganTsuma 17 күн бұрын
Hiyo aiezi fanyika
@karendinancy1708
@karendinancy1708 18 күн бұрын
Akuna mwanaume anawezana na hawa warabu kama sisi wanatusumbia ingekua ni mwanaume atamchapa tu😂😂😂😂
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 14 күн бұрын
Kazi za ndani nchi za kiarabu sio rahisi kwa mwanaume wanabuzaza maneno maneno hayaishi mdomoni mwao
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 16 күн бұрын
Waache waje wapigiwe waomevwao mangumi
@susansanya2243
@susansanya2243 17 күн бұрын
Hapo mnapeleka watoto wawatu kuuwawa kinyama mkiona tu...
@pamelampeyi3004
@pamelampeyi3004 18 күн бұрын
Heri ukatatwa mshaara kuliko kuuliwa hiyo kazi ni mbaya
@MaishaElina
@MaishaElina 17 күн бұрын
Kazi za gulf wanaume hawezani aki
@MarimSali
@MarimSali 18 күн бұрын
Watakufa waume zetu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 18 күн бұрын
Vp wanawake wa Saudia kufanyiwa kazi na wanaume 😮😮hii ni mpya kweli
@CarolyneLiona
@CarolyneLiona 9 күн бұрын
Gaden Gani unaproon uku uku tunaproon fumbi 😅.
@musicaroline8467
@musicaroline8467 18 күн бұрын
Hapo sidhani kama wataezana na mkenya mwanaume
@bintysultan8327
@bintysultan8327 16 күн бұрын
Wanaume musijaribu kuja kutumika ndani ya nyumba ya mwarabu hata km una shida kiac gani mucjaribu nawaonga plz plz plz
@sylvia3999
@sylvia3999 17 күн бұрын
Kinjinjio cha wanaume imefunguliwa😢😢😢😢
@MaryamMohammad-c6b
@MaryamMohammad-c6b 18 күн бұрын
Wataweza kweli taal.suraa jibi.mhhhh
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 18 күн бұрын
Hahaha wataweza jamaniiiiiiiii eti wanaume kwanza huo mshahara kwa wanawake ni kidogo sana😢😢
@Dornesh-cp5wj
@Dornesh-cp5wj 18 күн бұрын
Our kenyan men with nyash...watakufa waishe😅😅😅😅
@magdalinekenneth7238
@magdalinekenneth7238 17 күн бұрын
Mwarabu gan akubali jamaa apishane na house boy na waschana wao watawaficha wapi
@MaryBiyaki-t4y
@MaryBiyaki-t4y 18 күн бұрын
Wanaume wetu mtauliwa kifo cha ujungu sana,hawa ni wauwaji
@aminaomar945
@aminaomar945 16 күн бұрын
Wataweza kuosha suruali za hawa wanawake😂😂😂
@Hailshhasibu-xx2kd
@Hailshhasibu-xx2kd 17 күн бұрын
Io ni njia ya wanaume kuuliwa hakuna salarnying wala nn apo ni boys warisk maisha yao nifanye oun
@ksaKsa-t8l
@ksaKsa-t8l 18 күн бұрын
Siezi kubali my brother hati akuwe house boy saudia arabia hata kama ni shida
@Maureen-s5e
@Maureen-s5e 17 күн бұрын
Navire mawaiguru wakiona wanaume wanajifunika😂😂😂 hiyo ya kasongo nayo nipanganga tu kupayuka😂😂
@magdalinekenneth7238
@magdalinekenneth7238 17 күн бұрын
Hii haiewezi hata iweje
@znzaynab474
@znzaynab474 16 күн бұрын
Hapo ata siamini juu ata tu fundi awe amekuja kutengeneza kitu hawezi ata kuonana naye itakuwaje awe mwanaume aje afanye kazi ya nyumba uongo kbsaaaaaa
@RuthOtieno-jk2vv
@RuthOtieno-jk2vv 18 күн бұрын
Bado wanaitisha commission ama ni free na kama ni free mnitumie huyo agent watu Kenya wanatafuta jobs
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 18 күн бұрын
Baha kutseka 😂😂😂😂😂😂 shaka ninongo taukoga kwera haya navadze ela vafunge kufuli zohisia funguo vampe mlungu
@KENTV11123
@KENTV11123 18 күн бұрын
Weeeeh ache nilime malenge
@MercyWawira-w8s
@MercyWawira-w8s 18 күн бұрын
Mutakuja kufuanga chubi ikiwa na mess 😂😂😂😂 jaribuni tu muonr
@Halfcastbaehalfcastbae
@Halfcastbaehalfcastbae 17 күн бұрын
😂😂😂wanaume watatoa machupi ya damu kwa viti kweli 😅😅😅acha nicheke ju kenya ni vichwa ngumu sio siri
@MilcahNyongesa-f1p
@MilcahNyongesa-f1p 17 күн бұрын
AaAaa hapa Kuna uongo unless wamevungua kijinjio huku,,watamaliza chin y maji😢😢 don't try our husby tunawahitaji bado
@tyrt8790
@tyrt8790 17 күн бұрын
Uuuii,umewaiona mbio zinatokaga kwa nyumba ya mwarabu wakiskia kunabishwa,kila mmoja huwa anapotelea bedroom.Sasa houseboy ataservive aje kwa hio nyumba
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 18 күн бұрын
Hii haiko sawa kabisa juu mwaume nitofauti na mwana ume vile hawa wanapenda kuita wakati kunawageni kujionyesha eti anawafanyikazi alafu haongei kwa heshima any waje
@SnaidahNaliaka-ou6rg
@SnaidahNaliaka-ou6rg 18 күн бұрын
Mi mgeni hapa,nko Saudi, mwanamme hawezi,ju hata hawa watu wakienda chooni hawaflash,so mwanamme ataweza kuflash kinyezi cha mtu kila Siku?ni noma c tunavumia mambo mengi sana,hadi mshahara n kidogo sana bt kazi n mob
@AAa-po6tg
@AAa-po6tg 16 күн бұрын
Hawa wanaume wakenya watalala wapi haaaa
@maryamtan682
@maryamtan682 18 күн бұрын
Wanaume wt wataishia kupelekwa jela,
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z 18 күн бұрын
C afadhali jela watatoka warudi makwao, ahje wakinyongelewa desart uko😢😢
@RonikaAgo
@RonikaAgo 18 күн бұрын
Gen zs chungeni sana na huyu kasongo anaweza kua kama amini Dada 😂😂😂mtachijwa
@Maryam-sc3ix
@Maryam-sc3ix 18 күн бұрын
Hii iko kutoka zamani,mm nilifanya kazi na Bangali na Hindi walikua house boys mwaka 2007 Saudia.Kwa hio wakenya msiogope ni kawaida tu
@SnowrineKhatsika
@SnowrineKhatsika 18 күн бұрын
Amen 🙏 na kadama tunaenda inji gani
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 18 күн бұрын
Mjitafute maisha ni kusaka bahati yako unampata job eti wauliza mwaenda wapi 😂😂😂
@SnowrineKhatsika
@SnowrineKhatsika 18 күн бұрын
@@zahraabdul9652 🤣🤣🤣eiii vanee 🤔 itabidi tuongeze contract ju wueeh
@joicewan1157
@joicewan1157 18 күн бұрын
Wuuuuuiii vijana wetu watafanywa ma bibi msikimbali kufanya kazi za ndani.
@SnowrineKhatsika
@SnowrineKhatsika 18 күн бұрын
@joicewan1157 walai
@MwanamisiMwadzina-qv3pw
@MwanamisiMwadzina-qv3pw 18 күн бұрын
Hio itaanza mwaka gani
@jeplekutto3517
@jeplekutto3517 18 күн бұрын
Hakuna kitu kama iyo Kwanza maboy hawa ruhusu kuingiia nyumba ya mwarabu
@RehemaSalim-m8s
@RehemaSalim-m8s 18 күн бұрын
Huyo uhuru. Sasa anataka wanaume wetu waje kuwawa huku wapate kupungua huko kenya ajinafas hii kazi ya huku ni ngumu inafaa tu wanawake siryas wasikubali kuja
@babiegalksm8230
@babiegalksm8230 18 күн бұрын
KG Mie naomba viongozi wetu wakae chini wafikirie tena, kama warabu wanawake hawaruhusiwi kuonana na wanaume warabu wasio wa familia so ikauaje mkenya mwanamume aje afanye kazi ya house to house. Not only that Kenyan men huwa na hasira ya haraka na warabu wanapenda Kelele, matusi wataweza. Wakitoka Kenya waongeleshwe coz akijam ampige mwarabu atafungwa, ladies huvumilia
@CarolyneLiona
@CarolyneLiona 9 күн бұрын
But hii ni uongo mtupu urabuni mtu wakiume haruhusiwi kuingia ndani ya nyumba ata driver hupakishia vitu kwa mlango ,na akiingia lazima madam ajifiche kwa room Moja au atoke .
@Noelimbosa
@Noelimbosa 17 күн бұрын
Wanaume i really doubt juu mm huku penye niko ata mwanaume akikuja tu kuunda WiFi any female kwa hiyo nyumba anatolewa aende kujificha kwa room adi ule mtu aende not funny 😂
@NANCYSAFARI-p2d
@NANCYSAFARI-p2d 17 күн бұрын
Wanawake wakiarabu hawaonekani na wanaume haitowezekana hiyo NI mumuwe Tu Dio humuona 2
@mercyngumbao
@mercyngumbao 18 күн бұрын
😂😂😂aaaai warabu hawana kazi moja utaambiwa ni mtoto na ukifika huku unaambiwa uoshe hata gari acha wanataka vita warabu wapigwe tuu walete kesi nyingine
@LucyWanjiru-p3t
@LucyWanjiru-p3t 18 күн бұрын
Hii itakua ngumu aki kwanza ati wanaume Ghai 🙆🙆 kimeumana Sasa ebu imagine mwanaume akifanya irekazi tunafayanga I don't want to imagine 😂😂😂😂 ningumu waturize kwanza
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 13 күн бұрын
Mnakimbia kenya kwenda uarabuni kwa vile mkate umepanda bei? kwa nini msichukue kiingereza mkakipika halafu mkile, kitamuuuu heee?.
@DoreenMongare-d1e
@DoreenMongare-d1e 18 күн бұрын
😂😂😂unajua nacheka kwa nni hii n maajabu😅😅😅 saudia wanawake hawaonani ña wanaume je itakuwaje hzo nazo n temptetions
@consolatamakonjo3271
@consolatamakonjo3271 18 күн бұрын
Am a lady here working lakini waitito ajaribu Tu kupita karibu unaambiwa toka enda Kwa room, au boy child unaambiwa toka enda Kwa room ndio itakuwa boy child kufanya Kazi za ndani 😢😢😢.mmmmm
@SheillahChaluo
@SheillahChaluo 18 күн бұрын
Wacha tuone kama wataweza😅😅😅kwanza hizi makelele na kusumbuliwa taali bisuraa😮😮wataona moto
@SheillahChaluo
@SheillahChaluo 18 күн бұрын
Kasongo anataka vijana wakuje uku ndio wapige waarabu ndio wawawe😢😢😢
@IreneWasike-pn4mx
@IreneWasike-pn4mx 17 күн бұрын
Wanaume wataekelewa maneno na watafungwa ama wauliwe
@AAa-po6tg
@AAa-po6tg 16 күн бұрын
😂warabu awapatani na wanaume haaa watawezana kasongo awadanganya KG wa hapa ajasema but cleaners kwa super markets,hos,sawa sio kwa nyumba otherwise tumejoka karibu
@VeronicaMabonga
@VeronicaMabonga 18 күн бұрын
Naona wakenya wakiitiwa kifo Tu mikononi,,,Mimi huosha Hadi magari,,,na si kutrain
@Betty-m5n
@Betty-m5n 18 күн бұрын
Nashaka beranongo🙆🙆🙆🙆
@leawamukota9217
@leawamukota9217 17 күн бұрын
Warabu wanataka wanaume wakenya
@jojaab1367
@jojaab1367 18 күн бұрын
Mnaenda kuwawa tu nyinyi wote
@taleanyahya3687
@taleanyahya3687 18 күн бұрын
Alfu shida ya Hawa wanawake wanaweza repiwa and when the man will no Wawa n kunyongwa tu
@XhdhshsXhddh
@XhdhshsXhddh 13 күн бұрын
Mimi Niko huku naniko Lady driver
@joobmohammed2116
@joobmohammed2116 18 күн бұрын
Weee kg wanaume awawezi vumilia upuzi ya hawa waiguru kuitwa kila mara tahari tahari wah heri sisi wanawake twavumilia kwakweli ata kama tuko na vichwa ngumu but tuko best
@Franciscamutua-f6m
@Franciscamutua-f6m 18 күн бұрын
Wacam watumiwe warebo na hao maboss wawatogoze,sisi hutumiwa kijana mtu ako almost uji,,,,,😅😢
@Mealii-lx3hm
@Mealii-lx3hm 16 күн бұрын
Na wanaume wataweza hiyo tahali ruhii atini jibii hadhi
@userkemmy
@userkemmy 18 күн бұрын
😂😂😂😂 wanakuja lini
@PMNTV1
@PMNTV1 18 күн бұрын
Uwangoje airport 😂😂😂
@userkemmy
@userkemmy 18 күн бұрын
@PMNTV1 🤣🤣🤣🤣tulia nawakaribisha
@PMNTV1
@PMNTV1 18 күн бұрын
@@userkemmy Aya basi mimi nimekimya basi bora utembee hapo kwangu angalau uniachie kasub na comment mengine ni mbele😂
@godsfavour5665
@godsfavour5665 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna mharabu atakubali mwanaume kwa hao yake.unless awe gardener huko nje ndani hawezi ingia
@catrhine93
@catrhine93 18 күн бұрын
Hawa wanaume ndio watakufa wengi sababu wanguru hataitaji kujua utamu wa huyu Houseboy ,na huyu House boy vile ako na tamaa ataengia kwa mtengo akichovya siku ya pili akatae yenye kwisha ama ambelekwe gerezani sababu ya kuchovya asali ya waititu
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z 18 күн бұрын
Gerezani ama Kaburini😢😢
@SheilaSheila-z7d
@SheilaSheila-z7d 17 күн бұрын
🙇🙇🙇🙇🙇🤔🤔🤔🤔
@SamuKassim
@SamuKassim 17 күн бұрын
Sio raisi wambieni kweli sisi wenyewe tuna sitahamili2
@SultanAlshekaili-q8f
@SultanAlshekaili-q8f 18 күн бұрын
Wanataki kuwauwa hiyo ni dili ya ruto anataka kupunguza vijana
@Mileyb.
@Mileyb. 18 күн бұрын
Not in saudi Arabia unless another country..saudi haiwezi juu wanaume hawaruhusiwi kuona ma bibi zao sasa atafanye job aje😢😢 haiwezi haiwezi nimewakataza
@judynmungai
@judynmungai 18 күн бұрын
bona kenya tunashinda gani wanaume wetu😢😢
@JoanJoan-d6q
@JoanJoan-d6q 17 күн бұрын
Hyo ni akili ya kutaka chuma ya dosh coz wanajua mwafrika ni noma
@lilianokoth
@lilianokoth 18 күн бұрын
Kazi yenye tuna fanya uku wanaume hawata weza hao ndio wata toroka ku toroka ju ata siruali yao hua tuna osha atuna shida ssi kidogo tume tengeneza ita tusaudi Kenya kenye najua tuta rudishwa tu hio ni kitu najua zile vitu tuna pitia wanaume hawata weza😂😂😂😂
@judynmungai
@judynmungai 18 күн бұрын
haiko sense wanaume watawezana navitoi via saudi
@josykitua505
@josykitua505 18 күн бұрын
Sithani ka kuna mwanaume atafumilia muarabu 😂😂haya wcha tuone tahari tahari all the tym.
@kgchippy
@kgchippy 18 күн бұрын
Labda watachagua vidada(vichakula)😀🤣
@Alice-cl9lt
@Alice-cl9lt 18 күн бұрын
Hahajaja iyo nigani tena ati men
@254frida
@254frida 18 күн бұрын
Saudi akuna kitu kama hiyo can't happen kama maintenance ndio wakija ni mbio kujificha sasa how about house boy
@FridahOgato-m3t
@FridahOgato-m3t 18 күн бұрын
Mwanaume mkenya atakuja kurokotea waiguru suruali vile wamezoea kutupa ovyo ovyo kila mahali
@Marry-u8m
@Marry-u8m 18 күн бұрын
Wacha waje wazalishe wasichana wa saudi😂😂😂
@phaniceodunga-he1kw
@phaniceodunga-he1kw 18 күн бұрын
Huku hata driver ameitwa na boss ndani ya nyumba wasichana wanakaa ndani,kwani watashinda kama wamevaa abaya
@FatmaMobammed
@FatmaMobammed 18 күн бұрын
Iko huko Oman wabagali wanafanya wamama waigiya kwa rum kisha huyo boy yuwafanya usafii
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 18 күн бұрын
Wachunge vijana wasaud niwabaya kwanza hawatolipwa hizi pesa wanawadanganya pengina alf moja
@phaniceodunga-he1kw
@phaniceodunga-he1kw 18 күн бұрын
Kwa nyumba haiwezekani
@MaryNthambi-g6k
@MaryNthambi-g6k 18 күн бұрын
hakuna jinsi hawa maboss watakubali...labda iwe inje...not ndani...lkn kuna tricky kuweni chonjo..
@AminamajugaMajuga
@AminamajugaMajuga 18 күн бұрын
Kg hio kitu haiwezekani kma tu dereva anaweza fanya hapo miaka miwili naasiwai ingia hata jikoni siku moja itakuaje kue na houseboy agent waache urongo mm niko huku miaka kumi sai na waarabu hawawezi kabisa kukubali
MATESO YA WADADA UARABUNI SIO MCHEZO WAPEWE ESHMA YAO PART 1
24:47
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 4,3 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
PESA YA WARABU ITAKUPA MAISHA MAGUMU - PASTOR EZEKIEL 🙆🏽‍♂️
14:52
Umur bawah 30 tahun jangan beli rumah, ini sebabnya.
30:11
Hikayat Hartanah
Рет қаралды 3,2 М.
BAD DAY FOR THIS GIRL WORKING IN QATAR UNDER HER SPONSOR 🥹
10:07
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 212 М.
NDOA KWISHA UNDUGU UNYAMA FROM DOHA MAKOSA MAKUBWA ALIOFANYA KIJANA YA WATU
11:12
Wakenya ndani ya Qatar mmefikiwa wanauzana wengi😌 ukweli mtupu
8:02
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 3,7 М.
MKENYA KUOZEA JELA QATAR MAAJABU BILA UOGA AMPIGA MWARABU NIGHT CLUB
11:27
MAKATAZO KUSAFIRI NCHI HII UARABUNI KUANZIA 2025 JANUARY RASMI KWA AFRICA
12:53
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН