Mimi jamani nashangaa sana tena sana mbona wachungaji wengene wakisikia Neno la mchungaji mwenzio wanashabikia badala yakumutia Moyo wao ndo wampiga nyundo kuungana vibaka wa mitaani mnatupeleka wapi sasa tunao jifunza chizi ya mungu
@Haarun-h4q7 күн бұрын
@ Mariejo 123..hujui kitu na huna elimu juu ya mambo haya.Gozbert alipopiga magoti baada ya kupewa gari na Devi kumuwekea mikono began, pale bahati yake ndio imeondoka.
@ramseyngwejela4993 күн бұрын
Kama watu wanaibiwa nyota nani atabaki salama? Acheni maneno ya uongo - uongo. Anayeiba au kuchezea ana nguvu kiasi gani kumshinda binadamu mwenzake? Huo ni ushirikina. Sasa aliyeokoka anawezaje kuchukuliwa nyota yake? Hizi imani ni hatari sana.
@rogerabdallah4397 күн бұрын
Kwanza jodevi achukuwe nyota ana nini jodevi yuko vizuri kimaisha
@Mariejo123-g2x7 күн бұрын
Hajaibiwa nyota na mtu yoyote, mwenyewe kajichanganya na wamataifa na anebadilika mwambie arudi kwenye madhabahu sahii. Msisingizie watu hau kutafuta kiki kuptia majina ya wanaojitajidi kimaisha na imani 😅😂😅😂
@malkavoice25707 күн бұрын
Acheni uhuni fanyeni kazi kulingana na usomi wenu kama haujasomea kazi fulani ishi kulingana na uwezo wako,nyota ni kitu gani na maisha ni nini?!!