Uyo kashajua unamuogopa ndio mana anakuendesha. Simama na Mungu, muamini hakuna kinachoshindikana kwake.
@agneskabalika800 Жыл бұрын
Inabidi kuangalia sana maeneo ya kujenga tuepuke kujenga katikati yaw atu maskini sana ni changamoto pole sana nenda kawe kwa Mwamposa huyo mchawi atahama yeye
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
Hasa ndg utajitenga wezi nao hawakuachi unajichanganya hapo kwa watu ndio unakutana nabalaa hilo
@Burange666 Жыл бұрын
Pole sana Dada ndiyo tatizo la kukaa uswahilini wanao abudu uchawi mitaa hiyo yote hapo ni wanga watupu wasiyokwenda shule amelaaniwa huyo jirani yako mchawi nakushauri muombe sana mungu napenda sana kutowa sadaka inshallah kwa uwezo wa ALLAH huyo mchawi mwanga atakufa kifo kibaya na uchawi wake ndiyo utamchoma mwenyewe nakushauri usipende kukaa uswahilini kwa watu wasiyoenda shule midude haikusoma inakuwa na roho mbaya.
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
watu weusi ukiwa busy na maisha yako, ukiwa huna muda wa kuongea mambo yako, wala kufatilia mambo yao kwa ukaribu basi wewe una ringa.
@zubedaramadhani1289 Жыл бұрын
Yaan we acha tu yanatukauta hayo mtaan😂
@salmsalmo931 Жыл бұрын
Kweli kabisa mm mwenyewe naambiwa naringa nipo bize na maisha yangu Sina mda wa kufatilia maisha ya mtu nipo kivyangu vyangu
@zainabzain3434 Жыл бұрын
My dear sio mtu mweusi tu bali binaadam kote duniani hiyo ni Hasad na ipo duniani kote
@dorcaskidoti249 Жыл бұрын
Watu wana roho mbaya sana, Mm sikimbiii nyumba yangu uwiiii popote pale nitafika, Wamempeperusha kisa nyumba nzuri usikute huyo jiran anakibanda wivu
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Wee ayajakukuta mm yamenikuta kwangu nikika maumwa wapangaj wanakaa
@khadijamasele9005 Жыл бұрын
Majirani waga watu wa ajabu sana unakuta anakuchukia tu bila sababu hapo kashamrogaa
@rayahamisi118 Жыл бұрын
@@khadijamasele9005 kabisa
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
Ila. Binadam sisi jirani nikama ndg jamani hasa tunaogopana huyo mwenzie mchawi sana huyo
@AalyahNassor Жыл бұрын
Yaa Raby Allah Sub haana wataala Ana sema Ole Wao Wanao Wauzi Majirani Hakika Moto wa Jahanam Una Wahusu
@jemimabakari Жыл бұрын
Uswahilini kazi sana,mi mwenyewe nyumba ingekua unabeba unahamisha,ningekua nimehama😢
@neema_mollel Жыл бұрын
😢😢😢😢Usitishwe na wachawi.mimi siwaogopi nalindwa na Mungu .kuna majirani washenz sana jmn kuna mmoja nimemkabidhi Mungu ashughulike nae
@rachelmsekena603 Жыл бұрын
Hata kukaa na kuichukia nyumba yako tayari umesharogwa ili uichukie nyumba yako,simama na mungu uiondoe hiyo roho.
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Huyu jirani kaitia nuksi hivyo basi nenda kwa wataalamu wasome kisomo kisha utauza
@rehemamaduhu5642 Жыл бұрын
Tatizo ni pale watu wanaposhindwa kukuelewa kuna muda inabidi uwe bize na mambo yako ila ndio hivyo watu wanaanza kukuambia unaringa
@husna34562 Жыл бұрын
Bora kuliko majiran wa hivyo😢
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Uyo jirani anaroho ya husda na Allah atazidi kuwangamiza watu kama hawo wasotakaga wengine wapate
@fatumahapesamohamedfatumah4633 Жыл бұрын
Aiseee! Mtu akimbie nyumba yake mwenyewe? Huyo jirani c bure atakua nmuchawi.Ila dada piga maombi ushatakie Mungu.
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu, wengine hizo chnga moto zinatooka kwa ndugu zetu w damu😰
@s0phiairumba-sw4lb Жыл бұрын
Yaani mm natamani nkimbie nyumba yangu kwa7bu ya ndugu
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@s0phiairumba-sw4lb mi natamani niuuze kabisa. Nyumba yangu lakini napitia mapito mazito mnoo 😭
@AminaAmine-v4m Жыл бұрын
@@s0phiairumba-sw4lbpole
@tatotato506 Жыл бұрын
@@s0phiairumba-sw4lbjamani tupo wengi ivi kwanini ndugu sasa ivi wabaya sana mie adi natamani nisiwe nandugu😢😢
@Leylah-pz5sc Жыл бұрын
Kweli
@dppd4219 Жыл бұрын
Simama na mwnyezi MUNGU usikae kizembe hakuna kilichojuu ya ALLAH
@husna34562 Жыл бұрын
Yaan majiran mahasid acha tu pia kwetu wapo nikuomba mungu tu😢
@asias8724 Жыл бұрын
@@husna34562 nikweli hiyo ni hasadi mtu hawezi kukataa nyumba yake bila sababu Allah amfanyie wepesi
@neemasamson314 Жыл бұрын
Dunia ina mambo yaani mtu unauza nyumba yako hivihivi sababu ya jirani kweli changamoto pole dada
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Allahu akbar Tujaalie nyumba tunazozijenga ziwe nyumba za kheir zisiwe na shari
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Simama na Yesu dada. Tena upo Dar nenda Kawe wewe atakimbia mwenyewe
@luciakayogela4083 Жыл бұрын
Ikopee mkopo bank then uache ije ipigwe mnada
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
Hao ndo watu weusi na uchawi wao
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Dahii kwanini usinge ifanyia ty Duwa jamanii 😢
@HannanSomaiyah-wp7ny8 ай бұрын
Pole mwaya,Inna Lilah wainna illlah rajiun Baki Allah,kikubwa usitie hofu,muamini Mungu atatenda kama ninhaki yako,kikubwa nenda kwa mashekh wakaifanyie Du'aa Hakuna muweza Zaid ya mungu,
@magrethpaul59594 ай бұрын
Husda imeingia haapo haiwezi uzika wala kupangishika hapo chamsingi tafuta watumishi wamungu wakafanye maombi na dua kila ki2 kitakaa sawaa
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Uchawi upo tukubali tukatae...😢☑️
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Mungu Baba angehama yeye aishivyo Mungu wa Israel kama farao alinyanyua soli ya viatu juu hivyo na yeye angenyanyua soli ya viatu juu
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Duh binadamu wabaya sana,Eeh Mwenyezi Mungu tunusuru 🙏 🙏 🙏 🙏
@jamilajamila1839 ай бұрын
Fanya dua inshaallah utauza tu hakuna linaloshindikana kwa Allah
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
Dada amini mwenyezi MUNGU nenda na watumishi yaaninjirani akuhamishe mmH
@mirriammabuga8974 Жыл бұрын
Dada pole Sana muone tabibu Lois atakusaidia
@Boaz22 Жыл бұрын
Angenyamaza ili apate mteja,sasa hivi anavyotangaza ndo kabisa haitonunuliwa😢
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Kiasi gani hiyo nyumba
@mackyladislaus7887 Жыл бұрын
Weee nenda zako kwa mwanposa chukiwa maji na mafuta na udongo mwaga halafu ondoka mwenyewe watakufa mmoja mmoja niamini mm
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Sasa huo ndiyo umasikini huyo mtu mmoja anakunyima amani 😢 mpepelushe huyo mjahala 😢😢 na hapo ukiuza tuu ata hiyo pesa haikai kuna binadamu wabaya sawa😢
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Daa sasa nani atanunua mbona kama mauza uza jamani 😢
@HappyMwangoge-n5j Жыл бұрын
Jamani haya mambo haya huku kwetu pia tunashida hiyo lakini nimeamua tuu kukomaa ukiona hivyo ujue mwanzo kulikua na ukalibu mkubwa alafu ghafla amekatisha mazoea na huyo jirani yake kuna la kujifunza hapo ata kama unakaa vizuri na jirani yako jitahidi ku balance isiwe sana maana sio kila mtu anakufurahia kuna watu wana wivu mbaya
@jonamnyone8014 Жыл бұрын
Dada kama unaogopa binadamu si uende kwenye sayari ya Mars. Mimi mchawi hanitishi. Atakimbia na kuhama yeye sio mimi kwa Jina la Yesu Kristo.
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Acha maneno nenda kwa mwamposa
@Nadhifasaid-1654 Жыл бұрын
Kiasi gani wapemba tunamueza uyo jirani
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Kama ni mambo ya GIZA , ajue GIZA ni roho inayofanya kazi mahali huwezi kulikimbia GIZA, so asimame na Mungu
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
wengine hawataki tu uwepo pale ukiondoka basi
@meriytilya2377 Жыл бұрын
Dada mpokee yesu atakusadia
@meriytilya2377 Жыл бұрын
Shingapi
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@meriytilya2377 yupo wapi
@modestangotezi1796 Жыл бұрын
Kwa nini usipeleke watumishi wakaombea hiyo sehemu, hakuna aliye juu ya Mungu pambana ondoa hofu utashinda.
@McT-m1mАй бұрын
Mimi mwenyewe niliwahi kutamani kuhama nyumba kisa jirani
@queenlinda255 Жыл бұрын
Hasd husda ni mbaya hadini yetu imesema.
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Uswahilini ukijenga kajumba kazuri harafu ukimkuta jirani yy yake ya zilipendwa halafu awe na roho mbaya ndugu mtihani. Mimi siuzi wala sihami. Nitakuwa naishi kivyangu nitawafata majirani wanaonijari
@husna34562 Жыл бұрын
😢😢😢
@jamjam8734 Жыл бұрын
Nge deal nae swez hama nyumba niliojenga n pesa zng
@JulianaJackson-nm7te Жыл бұрын
Yan ukikaa sehemu yenye uswahili utakoma..Mimi yalinikuta sina hamu..
@jenipherelias4838 Жыл бұрын
Mchawi na mbaya hakimbiwi
@monadinadi5295 Жыл бұрын
Hyo jiran mshenzi nikupe mtu akufanyie mambo upangishe tu achana hyo jiran
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Wew dada nenda mwte mwamposa au pastor ezekiel
@janeongala6684 Жыл бұрын
We dada una akiri ata mm nisinge weza ata kupanga 😂 pole pambana na hari yako naisi ina kitu iyo nyumba
@aminasaid655521 күн бұрын
Ndio maana mtu wetu(s.a.w)alotuombe tuombe dua ya kupata majirani wema ni jambo la muhimu
@upendoshirima1704 Жыл бұрын
Aende mwampoaa au aende Arusha safina redio icho Ni kitu kdgo Sana kwa Mungu
@maryamm7765 Жыл бұрын
Usikute jirani mchawi mtu ukimbie nyumba yako kweli
@mohamedhamedseifelsawafi830911 ай бұрын
Hamja taja bei wa hamja ika namba ya simu. Au ni usanii huuu?
@Officialjidaa-sn9cs Жыл бұрын
Naomba mawasiliano na uyo mwenye nyumba
@upendogreutert199 Жыл бұрын
DADA GEA HABIBU , naomb umshauri huyo aende kwenye Maombii
@gracemunthali7945 Жыл бұрын
Huyo jirani muweke katika mikono ya Yesu. Atashindwa.
@nxym2tired10 ай бұрын
Kitu chako mwenywe duh binadamu kazi
@hizamawa6046 Жыл бұрын
Mwenye nyumba ni KIAZI yaani unashindwa kujiongeza kumfyekelea mbali huyo mchawi wako
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Mungu akusaidie njoo tumwombe MUNGU Atakusaidia.pole sana hiyo sio kawaida tupe no. Za simu
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Naomba jsm yake please
@farhanialfarsi1983 Жыл бұрын
Mbona hajasema bei inauzwa je bei ya kupangisha inapangishwa beigan
@rahmasalim1989 Жыл бұрын
Tabata segerea unauzaje? Inavyumba vingapi?
@omanmct135 Жыл бұрын
Subhanallllah hatari kweli
@majutoeliasi Жыл бұрын
Namimi yamenikuta uku iremi mbeya sina hamu na nyumba yangu hadi na ichukia
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Aweke na bei moja kwa moja apo inatakiwa apasomee. Dua Tu atafanikiwa. Kuuza
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Hiyo nyumba iko wapi.
@fatumamwantumu4081 Жыл бұрын
Nipe namba yake tuonge nichukuee aiseee hatar
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Maana tunasikia tuu nyumba inauzwa je iko wapiiiii?. Jielezeni kwa kirefu tuwaelewe.
@LearnwithMadamnaomi Жыл бұрын
Mshike MUNGU TU NDO AMIR JESH WAVITA YAKO HAJAWAI KUSHINDWA
@OmanOamn-i3q Жыл бұрын
Anaiuza bei gani iy nyumb uy jilan awe jilan yangu mm uy
Ukihamia nyumba tafuta shek au mchungaji apige duwa usikute aliweka vtu kabala ya kuhamia
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Naomba namba ya mwenye nyumba...
@godlistenJohn Жыл бұрын
Mh Bora hata ungeficha, kwa hali hiyo sidhani kama Kuna mtu atakuja kununua hapo, pole sana, hakuna mtu anapenda kuishi na jirani mwenye changamoto hivyo
@lilianilimbe4508 Жыл бұрын
Da geha mwambie uyo dada anitafute uyo anae mtishia atahama yeye
@zakhealthbeauty1619 Жыл бұрын
Kuna watu wana hasad mbaya jmaniiiii😢choyo mbaya sana
@claudiangowi9628 Жыл бұрын
Aende Kwa mwamposa tu
@dianajohnson72683 ай бұрын
Usiombe ukae karibu na lichaw 😢 sio watu kabisaa , ndio mana Huwa hata bilblia imeandika usiache janamke chawi liishi, wanamateso hao binadamu usikiage ty😢
@tumainimwaifunga3884 Жыл бұрын
Wapelekwe wachungaji, kila kitu kitakuwa sawa
@geofreyndambo8635 Жыл бұрын
Hilo ni kosa jingine unalolitangaza,usiwaambia watu chalange yenu
@SharifaMshana Жыл бұрын
Na Iko wapi
@fellybonny5618 Жыл бұрын
Lete mchungaji aiombee mama Kuna kitu kaifanyia hiyo nyumba kwanza hakuna tajiri anayenunua matatizo ifanyie maombi
@Mariacontents Жыл бұрын
Dawa yake mpangishe mwanajeshi tu hapo 🤣🤣🤣 ndio huyo jirani akome au mwitieni polisi yani nyumba yako mwenyewe umuogope jirani aaah huyo tungeoneshana 😂😂😂
@rizikibakari3598 Жыл бұрын
Hello naomba namba ya cmu please
@jenipherelias4838 Жыл бұрын
Dada Acha imani haba njoo kwa Yesu nitafute
@tatotato506 Жыл бұрын
AJE KWA YESU YUPO KWAKO UYO YESU AU ANAPATIKANA WAP UYO YESU MIE NATAKA NIMUONE KABISA UYO YESU MWENYEWE
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Piga fireee atakimbia yeye
@maryamrashid8499 Жыл бұрын
Huyu karogwa karogeka maskini mungu atakusaidia mtihani mkubwa huyo jirani kiboko
@GlorytoGod-c6x Жыл бұрын
Shirkisha watumishi wa mungu wapige maombi hapo atahama yy ukiuza kama ni nguvu za Giza hata hiyo Hela hutafanyia kituila kumbuka hakuna linalomshinda mungu
@zainabuabdul7852 Жыл бұрын
Anauza bei gn ipo wapi
@upendoshirima1704 Жыл бұрын
Huyo dada akashauriwe kisaikolojia nahuyo jirani ashtakiwe kuingilia uhuru binafsi kma mtu anauza malie yake anazuia akaseme nn kunachomkera kuzuia mtu kufanya maisha kwa uhuru anamkera kwa maneno ya kishirikina
@KamisSalim Жыл бұрын
Aweke beiii mimi uyo jirani nitapambana nae
@christermlewa8471 Жыл бұрын
Weka Imani Yako Kwa Yesu kristo wa Nazareth atakulinda na mabaya yote pale tu utakapolitamka jina lake Kwa Iman,Mungu akukinge na nguvu za giza
@aboudasilver6541 Жыл бұрын
Mm naitaji number ya huyo mwenye nyumba
@lightnesstippe9006 Жыл бұрын
Mimi nisingeuza wala nn.. nakaa na nasimama na Mungu
@jennymtunguja Жыл бұрын
Ahojiwe na huyo jirani huenda Kuna kitu amekiweka
@princessmimi4404 Жыл бұрын
Da ghea saut yako haipo sawa kama mdomo mzito kamanunaumwa Insha Allah akupe uzima wako
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Жыл бұрын
Kweli roho mbaya ya uswahilini mmmmh 😢😢😢😢😢😢
@husna34562 Жыл бұрын
Hasbunallah waneemal wakil 😢
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Niatari ani maisha kama ayo ya uswahilini ndio watu wengi wanakuwa awezi kukaaha na watu kama awo nimtiani kwakwel mungu ani jalie nije nijege mbali sana
@salmsalmo931 Жыл бұрын
@@AssumaniNahishakiye-vq9ftmm mwenyewe nataka nijenge mbali kwasababu ya ndugu😭😭😭😭😭
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Жыл бұрын
@@salmsalmo931 vizuri sana mahana izo family zetu zauswahilini nimtiani sana
@LuuKulaya-wi7uj Жыл бұрын
Asimame na mungu alet pandre au mchungaji aombee bas wapangaj watakaaa na wataigombe la aswaaaa ,simama na mung bas
@kautharsalat6449 Жыл бұрын
Dada yangu amka usiku umuomba mungu
@hadijambunda7099 Жыл бұрын
Nenda kimara tembo kwa KUHANI MUSA NGOMENI mwisho wa matatizo yako namtesi atakata moto kwajina la YESU kristo
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
We dada unavoonekana unaringa kweli, unavoongea tu Inaonekana unaringa Sana!
@suleimansultan3333 Жыл бұрын
Dada usikate tamaa muombe mungu na atakusaidia duaa kwa wingi hakuna kilicho juu ya allah
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
Huyo jirani sio mtu mzuri anaweza hata kuua nimchawi huyoo