Mgawanyo wa milioni 600 uko iv kwa uku kwetu LINDI... Milioni 5 kiwanja, Milioni 20 dangote cement, milioni 8 mchanga, Milioni 7 mafundi kufyatua matofali, Milioni 10 mafundi kujenga, Milioni 30 bati za msauzi, Milion 20 finishing na wiring , Milion 10 swimming pool, Milioni 5 fance, hapo nyumba itakuwa imeisha na bonge la nyumba jumla ni Milioni 115. Kwenye milioni 600 inabaki milioni 485. inayobakia xaxa milioni 85 V8 moja, hapo unakuwa na nyumba kali sana na unatamba kitaa na Maela yako yamebak benki kama mstaafu ubunge tu.
@enamwangama42033 жыл бұрын
Hesabu zako hazipo sawa hakuna fence ya milion 5 ingawa uko sahihi kuhusu mil 600 vs mjengo. Mjengo haulipi kama ulivyosema naweza tumia mil 300 au 400 kutoa stand alone house ya kibabe
@onesmojustice23483 жыл бұрын
@@enamwangama4203 zipo fensi za makuti😀😀😀
@rose_Winchester863 жыл бұрын
😹😹 umetisha
@pettyjongera12953 жыл бұрын
Umetisha
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Umetisha
@herosofthecentury3 жыл бұрын
Million 600 najenga gorofa moja yenye vyumba 10 na yenye furniture kali,,,apo sijaona furniture yeyote kali inayoendana na pesa hiyo,,,,HII NI JANJA JANJA TU,,,Weka Like kama unakubaliana na mimi
@brayanjames99533 жыл бұрын
Ushawai miliki nyumba bila kiwanja tena ya milioni 600 .lakin kiwanja huna 😅😅😅😅😅 thanks brother Miradi.. wacha nitafute kiwanja kwanza nyumba nita jenga tu
@utaani13 жыл бұрын
Hiyo million 100 ni nyingi. Anaumwa sana ni kama kujenga nyumba ya chini ukiwa na kiwanja mbona unaweza ukajenga mjengo kama huo kwa million 100 tu
@rahmamollely5296 Жыл бұрын
😂
@selemanichiga58283 жыл бұрын
Dah! Na mimi Eti wakiitwa watu wenye nyumba nitoke hata kwa dawa sitoki Ila namshukuru mungu na mm nina pa kujistiri 🙏🙏🙏
@celinadulle41043 жыл бұрын
🤣🤣🙌🙌🙌
@UzalendoNaUtu3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@peterpaschal45223 жыл бұрын
Ndy maana hutakiwi kujifananisha na mtu🤣
@erickhamisi74953 жыл бұрын
Hahahahaha
@willybrown6413 жыл бұрын
Ndo la maana
@kato_tz3 жыл бұрын
Milard nimekundua una kipaji kingine kizuri sana cha kuwa dalali, Yaani ni vile tu hujatutoza 10,000/= ya kuona kama wale madalali wa maani ah ah ah ah ah ah ah ah h. Bless youu
@matthewjohn51083 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@UzalendoNaUtu3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ilovejesus93033 жыл бұрын
😃😃😃😃 wengine kuona kiwanja 20,000/ dalali
@aboubakarkipalanga16323 жыл бұрын
😂😂😂🙌🏻🙌🏻
@tittoskeysproject36513 жыл бұрын
Hapa ndipo ninapojuaga wasanii wetu miayusho kwa quarty hii ingekua mbele wasanii wangekimbilia ila huku tunaishia kuwaona insta na fake life yao pumbafu hakua cha simba wala chui 😊😊😊😊😊
@malikzafarani1722 жыл бұрын
Shuwa bro umeongea fact saana wanaigiza maisha tuh insta mie pia nawachekigi hv nabaki kucheka tuh wafafek maisha had bas 😄🇹🇿🇶🇦👊✌
@sumatanjunior2313 жыл бұрын
600 million ni very overpriced kwa build quality hiyo. Hapo ni kwamba unanunua location. Ila nyumba, na finishing ni very basic.
@gregorychogelo20133 жыл бұрын
Sasa utafanya pricing ya nyumba bila ku take into consideration location/plot..!!
@ilovejesus93033 жыл бұрын
@@gregorychogelo2013 😜😃😃😃🤔🤔 point
@gabrielsanga53133 жыл бұрын
Nikitaka kuama naama napo au
@victormneney14753 жыл бұрын
Unauziw floor na vyumba vinne 600 ukitaka yote x11 = ila itatofautiana bei kulingana na Floor specification
@ericknkonya56823 жыл бұрын
kweli kabisa the only thing you are selling me with the price is the location. otherwise the rest its pretty much way over priced. (Maoni ya maskini lakini)
@hasyno98053 жыл бұрын
apo kwenye bafu milard nimecheka ulivyosema kuna space alafu ukajikuta umeshika ukuta
@jacklinemolleli52382 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ngollomashalah8134 Жыл бұрын
Yaani
@Imfura_Iriho3 жыл бұрын
I am coming to buy this room. From Toronto 🇨🇦! I hope it will still available.
@johlet92123 жыл бұрын
You are living my dream bro! Congratulations in advance... I wish I can comment like this one day
@tanzcanmediatv447311 ай бұрын
You can apply Iam in toronto too
@MwajumaRashidi-tx6ks10 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473😂😂😂
@Zaikadena3 жыл бұрын
Cwez nunua kinyumba cha vumba nne kwa m 600 naenda jenga bangaloo moja matata
@mohamy0013 жыл бұрын
Hongera sana Millard Ayo kwa kupewa nafasi ya kuifanyia advertisement hapo mahali kusema kweli you really inspire me and be blessed up. Alafu nauliza hivi mtu akinunua apartment kama hiyo value ya Tzs 600M atakuwa anaishi humo kwa mda ya miaka mingapi agreement yake
@R.Dickon3 жыл бұрын
Siku zote za maisha yako
@mussababu56233 жыл бұрын
Ukinunua inakuwa yako milele na hati unapewa.Hiyo ni hati pacha.sio kuwa unapangishwa hapana.Hizo n nyumba nzuri kwa ma CEO na Manager kwenye Big firms
@mohamy0013 жыл бұрын
Nilisema hivyo kwasababu wapangishaji watakuwa wengi na ni nani atakayemiliki Cheti cha kiwanja hicho
@taetommy83433 жыл бұрын
Jana niliwapa milion 400 wakakataa dah achana nao
@emmanuelmaembe97673 жыл бұрын
@@mohamy001 hizi nyumba zinauzwa kwa mfumo unaitwa unit title. Na kila mmoja anakuwa na umilki wake. Na ni Sheria kwa wamilik kuanzisha umoja wao wa umilik na wanamwajili msimamiz mmoja atakaye kuwa anashughulikia jengo zima.
@itsjonahfather79413 жыл бұрын
Apartment ni nzuri kiukwelii, Ila kwa sisi mafundi kwa hiyoo Mill 600, unamvuaa mtu mjengoo kwa mill 300 pale mikadi beach pembeni tena barabarani na mia 3 iliyobakia unatoaa kitu cha laana , Ni mawazo tu maselaa
@mybrain89402 жыл бұрын
Sasa wewe huoni huko ni karibu na mbinguni, tena unaenda kwa lift 🤣 hicho ni kiota chini kuna shopping, hakuna uswahili, 🤣🤣🤣🍺
@itsjonahfather79412 жыл бұрын
@@mybrain8940 Kumbee ww unatakaa Lift za kupanda na kushukaa sio luxury house, haya sawaa nimekuelewa ilaa kumbukaa mill 600 unaenda kuishi kwenye chumba na sebule na jiko, ilaa mimi nazungumziaa vyumba vitano na vyoote master bedroom pamojaa na ndinga iliyohifadhiwa laundery space/ parking space na swiming ya kwako kwa nyumaa ambayo ni simple tu, Hii ndo Nyumbaa ila hapoo unaishi kwenye chumba na sebule mzee kisa Lift
@awadhally10529 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@shanibaniyas63083 ай бұрын
@@mybrain8940😂
@Donrugi3 жыл бұрын
Dah hii inanipa hasira kutafta pesa 🤭🤗😕😕😕
@busta_malik59713 жыл бұрын
😂😂
@adamhashim33523 жыл бұрын
Hahaaa aliyejaliwa kajaliwa
@rashidpweka43253 жыл бұрын
Kabsa kabda bro yan inaleta hasira ya kutafuta pesa
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Hata wewe waweza kukopa kuwekeza, huyo kakopa kuwekeza
@lucasmogoile70973 жыл бұрын
misingi Ni muhimu sana watu wako na raha ila wengine wako na shida sana Mungu atusaidie
@caashamacalini38873 жыл бұрын
Nyumba hamna garden wala hamna sehemu ya watoto kuchezea shida tupu alafu milion sita to expensive bado haijajitoshekeza Bora utafute kiwanja upate garden sehemu za watoto kucheza sio juu kama ndege kuandika nguo shida tushakaa nyumba kama hizi mashaka Tu subiri umeme uzimike heeee uwe chini alfu unamizigo utalia kupandisha juuu
@husseinjbigo38473 жыл бұрын
Wengine tunaishi kwenye chumba kimoja kitanda hapohapo jiko unga kochi unaweza sema unalala sto lakin 1day yes inshallah tutamiliki
@amosjuma63463 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhh umenichekesha
@dotahamad66403 жыл бұрын
insha'Allah 🙏
@linuslaurentlinus88743 жыл бұрын
🤜👊 kikubwa Dua🙏
@oman77103 жыл бұрын
Inshaallah
@jacksonsilasasantesanaupov32293 жыл бұрын
Milad nikihitaj kukupata nakupataje
@xiwuyan4573 жыл бұрын
600M Najenga Nyumba ya chini Ghorofa 2 Na Magari kadhaa na full ulinzi na viwanja nazungushia...kuliko kujibana huko juu eti kisa ni palm village....Unaweza kununua kwa ajili ya kukodishia lkn Mbona wao wauze 😒 wakodishe
@anisiaaudax37083 жыл бұрын
Mungu wangu unisaidie mm na mume wangu tukajenge yetu na tuweke mahitaji zaidi ya hayo
@jokharymasoud73963 жыл бұрын
Ameen
@rashmanditmand73733 жыл бұрын
Ameen mung akusaidiy
@MikereMio3 жыл бұрын
Unajenga nzuri , kubwa na gari yako unaegesha mvungu wa kitanda 🤣🤣🤣🤣
@marcusgray25593 жыл бұрын
Amen,. MUNGU awabariki mkidhi kiu ya ndoto zenu na mue na amani daima.
@Kaizirege3 жыл бұрын
Amina
@hamisisha3 жыл бұрын
Npo geto hapa punde nimekosakosa kumwaga unga wangu duh...haya maisha ya kuishi store sio😂😂
@rahmasalum21303 жыл бұрын
😂😂😂😂
@happyjohn58823 жыл бұрын
Hahaaaaa
@amanbahati83273 жыл бұрын
😁😁😁
@aishachambo32933 жыл бұрын
Pole😂😂😂😂😂
@onesmojustice23483 жыл бұрын
😀😀😀watu wanazungumzia M600 mzee Kama ya mboga tu.
@alexmihayo57233 жыл бұрын
...Ni ngum saaana kufanya kaz kwa muhind kutwa unalipwa elfu8 kula kwako naul kwako, afu unawaza kuwa kutafuta mil.600 Aaaisee labda ubebe sembe. Kuwa km mm tu naangalia muundo mpya wa sofa niweke geto.
@dostovan51422 жыл бұрын
Hahahaha
@andrewkaswagula33675 ай бұрын
Hizo Apartment quality yake ya kawaida sana. Hata vitu vyake vya kawaisa sana kwa milioni 600. Hapo mtu ananunu tunaita "Goodwill" kwa maana ya ushawishi wa eneo. Ni kwa sababu zipo mikocheni, ukijenga Apartment kama hzo hzo mbagala au gongo la mboto huwezi ziuza milioni 600. Hapo mtu anaunua location tu
@kelvinlucas973 жыл бұрын
I have nothing to say but to rate ⭐⭐⭐⭐⭐ nikiongea nitaongea mpaka mwakani/thank you!
@ernestmbwana62823 жыл бұрын
Mimi Maskini wa bush part nimezoe nyumba yangu ni pande mipera,mapapai na makomamanga ..nyumba hizi za matajiri hazifai kuchinja kuku.wala mbuzi hazifai kula ubwabwa wakufunikia Wa mkaa Hapa full kula madude ya plastic surgery...
@msigalaphotographer22793 жыл бұрын
Nimekuona kaka 🤣🤣🤣🤣 ujumbe umetugusa n ss 2naopenda kupanda mboga za majani 2tazipandia wapi
@abdulnaseerabdulhakeem93022 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@emilyibraimo50323 жыл бұрын
Mmmh ila kwa mimi apo harakaharaka nikipata milioni 600 nyumba yangu nagarimu milioni 20000 gari milioni 7 shamba na shamba la kulima milini 30 na nyengine najenga msikiti milioni 50 abayo itakua sadaka yangu kwa alonijalia riski hii ya milioni 600 uo ni mchizamo wangu kwa alonazo aaaa mbona ize nyumba ipo powa
@selekiwande643 жыл бұрын
Habar njema kibongo bongo. Hiyo ni hatua kubwa sana 'na Ya hari.hajuu sanaa wakulungwa tutafute hela tupunguze matumiz nas siku moja tuje kumiliki vilivyo bora
@rachelbahahazo63623 жыл бұрын
Ningenunua lakini milango haijanifurahisha😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣
@Views-mf8ir3 жыл бұрын
Apo nanunua view 😀😀 600 si naujengea nyumba moja kufuru mjini... Poleni wavuvi msiopenda kuibiwa cement na fundi Michael 😀😀
@fadhilifredrick41153 жыл бұрын
Wajanja tunaiba ramani tu 😂😂😂😂😂
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Mashallah, Tunaziona kila cku, ila kumiliki sasa mmmmh 😜
@errydeo88653 жыл бұрын
kwa ela hiyo,siishi kwenye flats!!! ntachomea wapi nyama kwenye grill ya mkaa,hamna garden, watu wengine ni musiki wa nguvu kwa mbele,si nitagombana na block nzima?..hizo za mabachela..lol.They are nice though
@charotelimo50263 жыл бұрын
Yani 600ml huku kwetu unanunua kiwanja na unajenge nyumba 15@ room3
@kelvindaudi73303 жыл бұрын
Mhh nyumba kama hyo hata jirani yko humjui ,mnaonana parking na supermarket
@ndagiletv5213 жыл бұрын
one day Mungu atanipa nyumba kama ioo mirald ayo
@deega12343 жыл бұрын
Amiin na afya pia.
@dotahamad66403 жыл бұрын
Amiin thuma amiin
@mpendakiswahili30533 жыл бұрын
Ayo TV, ebu niulize, kuna uwezekano mkenya kununua nyumba Tanzania??
@antoinekatembo85203 жыл бұрын
Uali gani hapo ulipo Millard! Napataje mawasiliano yako? Ahsante sana!
@ibrahimmohamed19943 жыл бұрын
Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kila akisema AMAZING
@hassanmanager7323 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣
@jimboulaya3 жыл бұрын
Appartment Millioni 600 ghorofa ya 11? hio ni sawa na dola laki 2 sitini, najua ni sababu ya location ila kwa hela hio unaweza kununua nyumba na eneo kubwa private sio appartment, kumbuka ukinunua nyumba ama kiwanja ni kwamba unamiliki eneo, ila appartment huuziwi eneo ni jengo tu.
@mzalendomzalendo2567 Жыл бұрын
Yani aptment zinauzwa ghali kuliko hata dubai
@charlespeter46333 жыл бұрын
🤗M ningelala chumba namba 2,lakn pia choo cha public kisiwe chakukaaa woiiii hela hiz jmn!!!!
@deogratiushonest51223 жыл бұрын
Hapo unanunua locacation, hiyo million 600 sehemu nyingine unaweza kufanya makubwa, unaweza kumiliki majumba ya kisasa zaidi ya matano.
@shafiisalim16863 жыл бұрын
Usiifanyie masihara m.600 ukienda kisalae na lki tano tubunapata heka nzima na chenji inabaki unaenda kununua tata zako 3 unazipiga mkanda gmboto kkoo maisha yanaendelea
@dotahamad66403 жыл бұрын
Yaan nitoe mil 600 kisa mjini na ghorofa ama, kwa mm ningenunua viwanja kigambon ama mhagala nikajenga nyumba za maana na kupangisha baada ya miaka kadhaa pesa inazid ya hiyo ml 600
@doreensamwely87403 жыл бұрын
Jamani daaah watu wanakula Bata had raha ,mungu nikumbuke maisha ya raha nipate na mm
@ROZITHOMAS-y4q10 ай бұрын
We acha hayo mahesabu. 😂😂 kama mfanyabiashara yupo anapata faida milioni 150 kwa siku. Hiyo si ni sawa na bure kwake? Hatulingani maisha.
@elinamigags48473 жыл бұрын
Hivi unajuwa milioni 300 insjenga nyumba gani lakini 😂😂😂
@mussataliye78153 жыл бұрын
Nimegundua kumbe mimi sina nyumba shikamoo pesa 🙌🙌
@marymfugwa8473 жыл бұрын
Kwa 600 nañunua kiwanja cha million 10 najenga mjengo wa million 300 bonge la jumba eneo la bustani napanda miti na Magali nanuua na bado chenchi inabaki.
@Jay47tz2 жыл бұрын
Jua kali metuweza alie gundu gonga like
@rosegaston62263 жыл бұрын
Mchicha ntalimia wapi Meku?Unakaa juu ukiachia kitu kinabiringika down mjini noma sana.
@celinadulle41043 жыл бұрын
Hapo sasa, m 600 nikakae mashambani na kulima mboga zote
@MikereMio3 жыл бұрын
Apartment million 600!! Najenga nyumba yangu sehemu kimya hakuna zogo ..
@gilbertmichael91303 жыл бұрын
Kweli kabisa
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
😀😀😀
@amnemkubwa73533 жыл бұрын
😃😃😃😃😆🤣
@utaani13 жыл бұрын
Anaumwa huyo nyumba hiyo rabda million 100 ikizidi hapo ghali
@eliuskamwelwe10183 жыл бұрын
DSM ujenzi gharama Kama upo mikoani unaweza jenga
@modestmassawe_tangatz3 жыл бұрын
Mmmh millard umenifanya nione kama nalalaga nje maisha yote
@evancekessy5922 жыл бұрын
600M...kisha pangisha kwa 5M per month..ndan ya 1 year una 50M..kwa miaka 10 unakaribia kurudisha ..na thaman inaongezeka...shida ubora na wapangaj wauhakika🤣🤣
@faustinebupamba2713 жыл бұрын
milioni mia sita najenga gorofa moja yenye vitu bora na mwonekano mzuri zaidi ya hii...
@abrahamanthony50103 жыл бұрын
Nakubali
@SafiyaJ-yw2vt10 ай бұрын
Unajenga gorofa 5 kwa hiyo milioni 600
@elifasinimpagaritse79023 жыл бұрын
Siwezi nunua apartment kwasababu kuna mambo mengi una kuwa ume jiingiza Ndani jurani yako umeme uki ripuka na nyumba kuungua una 90% ya kuatarusha pia nyumba yako hivo hivo ata Kama uta nunua nyumba hiyo bado uta kuwa under control kwasababu owner wa apartment yote nzima ata kuwa akikagua kila kukicha mnavyo shika nyumba na kuta za jirani kwahio hiyo nyumba value Yake 250million but ingekuwa yenyewe ata 700m inge pendeza
@edwarddavid80763 жыл бұрын
Dah! starehe yake kuona bahari tu kwa millioni 600
@sweetyjanne2553 жыл бұрын
Ningenunua Ila Sipendi Mambo Yakukaa Ghorofani Mimi 😏
@lawmaina783 жыл бұрын
Hiyo hela mbona ndogo, sisi ni wazee wa migodini, huwa hatupigi hodi.
@hassankiboko53493 жыл бұрын
ayabwana
@antoinekatembo85203 жыл бұрын
Karibuni hadi mkifika piteni hadi ndani kabisa!
@idrisaathumani48913 жыл бұрын
Thaman ya nyumba ndo imekwamia hapo,
@TM.Sullusi3 жыл бұрын
Kwani yeye kasema ni nyingi?😂😂😂
@noratycharles57723 жыл бұрын
Usiwaogopeshe watu wape moyo wakutafuta
@sosthenesjairo79952 жыл бұрын
Dah nyumba iko poa kama Mimi nimepnda bafu ilivyowekwa iko poa sana
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Sasa basi una nunuaje milioni 600 sehemu kama hiyo kwasababu ya ya view ya mikocheni?unajua 600 millions nikijenga yakwangu natoa kasri?hebu acheni upuuzi
Umemaliza KILA kitu..milioni mia nanunua kiwanja sehemu nzuri nitakayo..mia tatu najenga ghorofa..milioni mia unaweka KILA kitu cha anasa ndani...mia sita nyingi sana na huna hata sehemu wa kufanya shughuli
@fahmy3hamed7993 жыл бұрын
Yani ni kweli kabisa hawa wanaumwa sana 🤣
@razackkambi83183 жыл бұрын
@@jamesswai1683 sehem ya kufanya shughuli hakuna 😂😂😂😂
@trillhappybeautypoint98743 жыл бұрын
My dreams house dah pesa uko wapi😠
@khaleedahmedsaidkione59773 жыл бұрын
Nyumba kama hizo hata wachawi hawaingii....😂😂
@ruthusinde9663 жыл бұрын
Nimecheka jamn bongo kuna viruko
@majeje6553 жыл бұрын
Nikitaka kupikia kuni napikia wapi mzee mwenzangu
@emilyibraimo50323 жыл бұрын
Duuu umeuwa kuni tena
@busta_malik59713 жыл бұрын
😂😂
@salimsaid72003 жыл бұрын
Na Nguo Utanika Wapi
@khalidali11303 жыл бұрын
Nkatoe mil600 kwa apartment want namuondosha mtu mwenye gorofa upanga ukonga nk labda nkapimwe mkojo mm at a nikiwa Nazi sinnui izo apartment nmefunga macho mil 100 mpk 150 au 200 ila sio kwa mil 600
Ndugu yangu nyumba NI nzuri.Weka matangazo kwa lugha ya Kiingereza Tafadhali.
@AJGUNNER3 жыл бұрын
OMG Dar es Salaam has changed by Leaps and Bounds since I was there in 1973.
@africanmaasigirlnyaki16863 жыл бұрын
Come back again so we can go and live together in Pam village
@africanmaasigirlnyaki16863 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 hii just saying hai
@ckosmah213 жыл бұрын
hv mil 600 siunatungua mjengo wa maan apo kitaan kwenu wanangu au mm ndo sielewi???
@abeljohnsonnaman.76352 жыл бұрын
Vyoo vya kukaa ni hatari sana kwa kuambukizwa magonjwa kama UTI kwann apo kwa hadhi hiyo wameviweka ivyo???? Kwan vya kuchuchumaa vina tatizo gan aise????
@sarahtaste28763 жыл бұрын
Kwa milioni 600 bado ni padogo sana interior designer hajafanya creativity ya kutosha but ni nzur haishtui sana
@patrickKitambo Жыл бұрын
Bei ni resonable sana ntachukua hapo
@fahmy3hamed7993 жыл бұрын
Mbona hiyo bei haifanani na hiyo flat kwakweli bai kubwa sana haifanani kabisa
@mbeguboratanzanialtd64093 жыл бұрын
ivi zinamilikiwa na nani?
@jovinathasavoie80183 жыл бұрын
Master bedroom no tub,usually wanaweka shower ana tub.
@faisalhizkil91743 жыл бұрын
Mim najiandalia majumba makali sana peponi.. mtakaosema najifariji poa tu.
@youngbilioners46313 жыл бұрын
Nipunguzieni nina200
@abdultandala65762 жыл бұрын
Eeeee! Nimekubali
@ndewerio12 жыл бұрын
Why public bathroom ina shower?
@mursallusinde91893 жыл бұрын
Ukweli unabaki pale pale pamoja na yote hayo nyumba uliyokuta ipo tyr kma hiyo huwez jua kuna nin kimewekwa humo bora ujenge yako kila kitu unakijua.. Unaweza kuta kuna camera kila sehem zinakufatilia kila unacho fanya na huwez kuziona
@BarreMushi-yz4wt Жыл бұрын
Wow! It's really exquisite
@omaryntagala37403 жыл бұрын
Milioni 600 najenga mtaa mzima
@samniza17633 жыл бұрын
Ninajenga gorofa with a big garden, mil 600 with no garden? no bath for soaking your body, just shower? no thank you.
@charlesjonas44123 жыл бұрын
😂😂😂 kweli mkuu
@beatricemrisho84313 жыл бұрын
Knsa yan
@MikereMio3 жыл бұрын
@@samniza1763 agree
@utaani13 жыл бұрын
Hujengi mtaa mzima ila unaweza ukajenga nyumba yako nzuri na ukaweka mpaka umeme wa jua mkubwa na kisima cha maji pia na electric security fencing na swimming pool pia
@alexanderisinika12953 жыл бұрын
Naomba niwekee nataka chumba kimoja Self
@yudasrsakitwe75153 жыл бұрын
Sijaipenda tatzo vyoo vya kukaa vnanipa uvivu 😁😆😆😆😆😆😆😁😁
@KUTOKA-ep2fk3 жыл бұрын
Hivi nikinunua au nakuwa nimekodi sehemu tu ya ghorofa?
@theprogrammer33513 жыл бұрын
Hapo sijaona sehemu ya kuanikia nguo, hivyo inahitajika mashine ya kufulia ya kisasa yenye uwezo wa kukausha nguo kabisa... ww kazi yako iwe kupiga pasi tu,,... ila pamoja na yote maisha ya Uswazi raha.....
@samwelkisaka67543 жыл бұрын
Mim huko juu ckai stak naogop we
@msetikebwasi14693 жыл бұрын
Miladiayo ,mbona sijapata zawadi yangu ya simu baada ya kupata swali ulilosema limedhaminiwa na kampuni ya simu Samsung .swali lako liliuliza ni paka gani atakaye wahi kunywa maziwa ktk ule mchoro ?na tuliwasiliana kwenye face book ambapo ndipo swali lako liliulizwa .
@thebarzbreaker35203 жыл бұрын
Kwa M600 unaweza kujenga Ghorofa kufuru na sio kujibana hivyo. PALM VILLAGE WANAUTANI SANA😂😂😂
@levisnyakina33303 жыл бұрын
Ubaya wetu wabongo lazma tufanye opportunity cost. Nyumba ya Nahreel ni 500m na ni bonge la nyumba sasa hii 600 af.... daah!! Hapana aisee😂
@gemkachar3 жыл бұрын
TANESCO wakikata umeme hapo ndio utajua hujui.Millioni 600 nenda ununue kiwanja chako ujenge nyumba yako yenye vyumba vya kulala tano na ujiongezee kiwanja ya kufanya biashara kama ukulima , ufugaji au vyumba vya kupanga.
@ziadamtebwa37122 жыл бұрын
Wawooo ninzuri
@godblesskessy55163 жыл бұрын
Daah pesa ndo Kila kitu jaman
@CrissMandaАй бұрын
wasioelewa watasema kwamba ni bei ghali,ila kama hamjui kwamba hiyo sio ghali kabisa,kwani hii si za kuishi mwenyewe ila ni za biashara, unaweza kuingiza ela kila siku na nyumba ikabakia yakwako
@AmaniRazalo9 ай бұрын
Inamana kila kitu unakikuta humo au?
@younglegit71943 жыл бұрын
The video gives a paid review vibe, unaweza jenga a villa 100 times better than that for 600 mil, tofauti ni location tu
@salimsaid72003 жыл бұрын
Kweli Kabisa👍👍👍
@mankatemba47463 жыл бұрын
Uyo Millad Sasa ananiispire Sana live more
@frankyohana56173 жыл бұрын
Sijapenda vitanda vyai
@mybrain89402 жыл бұрын
I need jakuzi 🤣
@mybrain89402 жыл бұрын
Milioni mia6 siwezi oga nime simama 🤣🍺
@kanjunior10193 жыл бұрын
Ukinunua hii appartment vipi unapewa na hivyo vitu vyote vya ndani? au unaamia na vitu vyako?