GARI LA KIFAHARI PALM VILLAGE, LIKO MOJA TU EAST AFRICA, LINAUZWA MILIONI 400+, MMLIKI AFUNGUKA

  Рет қаралды 421,861

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 664
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
This guy he very smart The way he is talking is show respect
@TripleG834
@TripleG834 Жыл бұрын
Kenya zipo
@magrethkilua3601
@magrethkilua3601 Жыл бұрын
Hongera sana, ni kweli ukipata tumia kakaangu ya kesho anayajua mungu
@alexlimo6959
@alexlimo6959 Жыл бұрын
Nikisema unanipea ghani nakubali GTi VW ...I love it
@user-mb1jm4eh7m
@user-mb1jm4eh7m Жыл бұрын
UNCLE,Mashaaallah UNATUHESHIMISHA 👍👍👍. 11:25
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Unatu especial sana broo ishaara mungu akuongezee.
@user-mb1jm4eh7m
@user-mb1jm4eh7m Жыл бұрын
UNCLE,Mashaaallah UNATUHESHIMISHA 👍👍👍.
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 Жыл бұрын
Nice interview... Upo real Sana brother... Hakika tujifunze toka kwako... Hujisifu unaongea ukweli kutoa changamoto kwa vijana.... Safi Sana bro!
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Mtangazaji uko👍 jamaa Yuko vzr maisha mazur japo mafup , Mungu tumpe nafasi,👍
@reginaldmushi9784
@reginaldmushi9784 Жыл бұрын
✨🌙🦅🤘🔥I real Aprriciety this guy
@gideon546
@gideon546 Жыл бұрын
🙏 🇰🇪➕️🇹🇿 - REAL BUSINESSMAN. Hard Working Gentleman. "GOD" BLESS YOU BRO. & Help Others. 👍 🙏🙏🙏
@AniriAmiri-gt8ul
@AniriAmiri-gt8ul Жыл бұрын
keep it up blo unatuwakilisha vizuri blood
@rosegideon336
@rosegideon336 11 ай бұрын
Daah natamani sana Magari makubwa. Hongera kk gari ya bei kubwa mno Big up.
@ericpeter8900
@ericpeter8900 Жыл бұрын
Hongera bro,niliona ukipita nalo hapa nyali mombsa bonge la gari
@ramadhanihamisi5596
@ramadhanihamisi5596 Жыл бұрын
Habari ya siku kadhaa rafiki yangu, Bila Shaka uko pouwa kabisa,leo naomba ufahamu *umuhimu wa kukanda maumbile* Hili ni zoezi la kuaandaa maji yenye uvugu na kitambaa laini, kisha kuukanda uume kama unauchua kutokea kwenye shina mpaka kwenye ncha kwa karudia Kwa muda kadhaa. *Zoezi hili husaidia sana* 1 kuimarisha neuron transmitter ambazo husafirisha taarifa kuelekea kwenye Ubungo,hii husaidia utumwaji wa haraka wa taarifa kwahiyo humsaidia mwanaume aweze karudia tendo kwa haraka 2 zoezi hili husaidia kurudisha uwezo wa ngozi ya uume kustahimili joto la tendo la ndoa wakati wa kwanza wa tendo,hivyo hupunguza sana Hali ya kufika kileleni mapema. 3 kuimarisha mzunguko mzuri wa damu kwenye uume,zoezi hili husaidia sana damu kuweza kufika sehemu mbali mbali za uume mpaka kwenye ncha ya uume na kuufanya uweze kuwa na nguvu wakati wa tendo. 4,inasaidia sana kupunguza seli mfu pamoja na mabaki ya oxygen,ambavyo vyote hivi hudhoofisha utendaji kazi wa misuli ya uume. *Muda mzuri wa zoezi hili ni Asubuhi unapoamka* Naomba nikutakie Siku njemaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@danielmkama24
@danielmkama24 Жыл бұрын
Bro we ni mtaalam wa hayo mambo? Unisaidie kitu??
@user-ux3xu9gs8d
@user-ux3xu9gs8d 4 ай бұрын
Asante Kwa ushauli
@godfreymubumila3862
@godfreymubumila3862 Жыл бұрын
Hiyo kitu ni noma nyingi sana mzee GENERAL MOTOR COPERARION G M C
@toprankmedia1984
@toprankmedia1984 Жыл бұрын
Wow great.. 👍
@ramakiliku6029
@ramakiliku6029 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah Sheikh RAMA
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo Жыл бұрын
Big up boss Ramos umetoka mbali Mombasa kisauni inakutambua
@hassanramadhan3418
@hassanramadhan3418 Жыл бұрын
Napenda sana kumuona baba Kwenye TV ❤
@shafiqshine3983
@shafiqshine3983 Жыл бұрын
Mchizi wangu ramaa congrats sanaa wahasbiallah
@user-et7dh7yq8r
@user-et7dh7yq8r 11 ай бұрын
Kaka Rama ongera sana kwa kutuheshimisha Musoma kwa gari zuri Kubwa kuliko Tz.
@alibinali_
@alibinali_ Жыл бұрын
Watanzania wingi wanaishi Mombasa ❤❤❤❤❤
@sadickchakka3147
@sadickchakka3147 Жыл бұрын
V2 alvyo navyo huju mshua kama mm vile jipende mwenyewe kwnz nawengne ndo watakupenda ukiwa nacho tumi wakat ni sas maisha hayard nyuma🙏🙏🙏🙏
@babybeast473
@babybeast473 Жыл бұрын
Proud to say namjua personally
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 6 ай бұрын
Safi sana kaka mungu akuzidishie neema
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Жыл бұрын
Keep it up brother , Ur so genuine and details orientated person , huna roho ya kukunja ..., Muwazi na inaelekea msafi WA Roho ✌️🔥🇹🇿
@rosegideon336
@rosegideon336 11 ай бұрын
Kab is a Ana one kana sio wa kukunja. Mungu huwaona watu hawa
@zitongwang6278
@zitongwang6278 11 ай бұрын
@@rosegideon336 kabisa
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Huyu kaka Yupo Smart sana mashaallh hajisikii kabisa 🥰
@swibewilliam4939
@swibewilliam4939 Жыл бұрын
Ukisha sema sio hapa tu Bali hata Nairobi..... Umemaliza .Anaye elewa ameelewa.. anajua standard ya wenzetu
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 3 ай бұрын
PESA IPO IZO GARI ALIZOTAJA ALAFU HANA MOJA MKUU sio powa zote ni mapesa 🙌🙌
@collinsandrew3425
@collinsandrew3425 Жыл бұрын
Very humble ,no arrogance no issues
@Kikikikikiki723
@Kikikikikiki723 Жыл бұрын
Kuna wanaoishi maisha bora na kuna sisi wa "heri uhai"..😎 Now me and my friends here tunaishi exactly the opposite of what we thought our lives would turn out to be, when we were younger.😅
@hassancharo1496
@hassancharo1496 11 ай бұрын
Help ophans
@TheNdaki
@TheNdaki 10 ай бұрын
Vuta Picha unaamka hujui kesho utakula nini, au utapata Shingapi ya kula kwanza...mengine utajua mbele kws mbele.. 😢
@TheNdaki
@TheNdaki 10 ай бұрын
"Yote Kheri, tuzidi kupambana hatujui yajayo..... Maisha ni kama boksi, hayatabiliki kesho ukiingiza mkono utaibuka na nini"
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
MashaAllah hongera yake gari kali saana 🇶🇦
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
Hii ndyo nzuri kiboko ya wezi
@KaR1942
@KaR1942 Жыл бұрын
Big up Bro 🎉🎉🎉🎉
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 Жыл бұрын
Masha Allah ❤
@samirsaid2087
@samirsaid2087 Жыл бұрын
Njoo congo uku zitele hzo twabebea matofali tu yakujengea
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Жыл бұрын
Nikiwa Musoma napenda kulala sana hotel yako,, baada ya kuiacha hotel moja yapili kwa ukubwa baada ya yako,, ni mtu pekee ambae ninakuangalia sana ili siku moja nifike hapo,, tangu siku ulifanya ile sherehe yako pale Musoma sikiacha kutafakari namna ya kufika hapo ulipo fika,,
@khalidmusa1803
@khalidmusa1803 Жыл бұрын
Huyo kaka mkarimu sana. Ma shaa Allah Mungu amuongeze zaidi
@aliissa2926
@aliissa2926 Жыл бұрын
Mozambique 🇲🇿 hipo niliwai kuona Maputo moja rangi ya yellow
@hassansaid3833
@hassansaid3833 Жыл бұрын
Nimependa kajieleza kwake Yupo smart Hana kelele muwazi. Ila hizo gari hapa UAE wanazipenda Wafugaji mbuzi na ngamia kwakubebea mavyakula ya mifugo tena nyingine wanaziweka tail 4 nyuma
@isakatogoro4697
@isakatogoro4697 Жыл бұрын
hata huyu mwamba pia ni mgugaji, huku Musoma ana mashamba yake ana 🙄ng'ombe zaidi ya 500 na mbuzi pia ndio maana kalipenda hilo gari
@user-rd7wf3gm2v
@user-rd7wf3gm2v Жыл бұрын
😅😅😅😅
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
​@@isakatogoro4697😂😂😂
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mfugaji mkubwa sana hapa Tz. Analisha nyama bunge zima za tanzania na nchi nzima. Pia analitumia kubebea kondoo wa sufi . Kumbe haya magari ni kwa ajili ya shughuli hizo asee. Matajiri bwana
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Wewe unalo gari la bei gani unalomiliki?tusipende kutoa kasoro wakati wewe hata gari ya miln 10 huna
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
TOPIC ILIYOPO DUNIANI KWASASA NI HELA,,clear
@user-sw8xh9qm3e
@user-sw8xh9qm3e Жыл бұрын
Vido vidox!!!! Upo vizuri sana katika fani yako you know how to ask questions Tena maswali ya maana. Big up vido
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Жыл бұрын
Gari hili ni zuri sana hongera bob, ila warabu huku Qatar wehu wanayapandisha juu zaidi ya hiyo na wasudani ndio hivyo tena wanabebea…
@kundeigang3879
@kundeigang3879 Жыл бұрын
Wanabebea nn
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Hongera sana kaka hauna majivuna kbsa katika maongezi yako
@user-pm9tw9en3e
@user-pm9tw9en3e 3 ай бұрын
Uko na roho Safi nipe at Mimi probox juu mungu amekumbariki
@priscillawilliam3603
@priscillawilliam3603 4 ай бұрын
Huna majivno wala hujikwezi hongera sana
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Jamani . tunahangaika kutafuta pesa ya kila siku tukiipata tupo taabani. Lakin MTU ana gari LA milioni mia NNE .him mungu ambariki na ampe kwa wing I amin.
@masanajoseph2335
@masanajoseph2335 11 ай бұрын
Boss wangu huyo pindi Nafanya kazi regland hotel musoma jamaa mmoja mstarabu sana Tena sana boss hauna baya
@bANana-yf1qm
@bANana-yf1qm Жыл бұрын
Nilikutana na hii beast Nairobi,, Weeh ni mnyama kweli.
@josephwairimu6222
@josephwairimu6222 Жыл бұрын
Awesome
@thomasmakala2082
@thomasmakala2082 Жыл бұрын
Ukiwa nacho tumia, I like that.
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 Жыл бұрын
My dream car
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Hongera broo safi sana mungu akuzidishie
@willzcloh9485
@willzcloh9485 Жыл бұрын
come to Rwanda you will find more of GMC cars
@roytv8276
@roytv8276 Жыл бұрын
Nimeliendesha kitambo Sana kwenye GTA vice city mpaka nimelichoka
@gibogb5637
@gibogb5637 Жыл бұрын
🤣🤣😂😂
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂hongera
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa sasa 😂😂😂😂
@footballhighlights-my8ms
@footballhighlights-my8ms Жыл бұрын
Nakubali 👍
@sammusic1580
@sammusic1580 Жыл бұрын
Hahahahaaa
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Jamaa yupo Makin Sana alaf ata aringii
@user-ym8fy1fn4i
@user-ym8fy1fn4i Жыл бұрын
Nimeliona changamwe ILO gari Mombasa pale ni zuri Sana na bonge yagari
@r14kgroup68
@r14kgroup68 8 ай бұрын
Hongera
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Halina tofauti sana na gari kangu Hilo.. anyway karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🌊🏝️
@givembwilo141
@givembwilo141 Жыл бұрын
Nasikia mashoga kibao huko 🤣🤣
@user-me2dt3hr8x
@user-me2dt3hr8x Жыл бұрын
@@givembwilo141wee mwenyewe shoga
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
​@@givembwilo141Wako wengi kweli kweli, kila siku wanajazana kwenye maboti kutoka Tanganyika wakifika Zanzibar hawataki kurudi unyikani.
@matheobaha773
@matheobaha773 10 ай бұрын
Utalii unacost shiling ngapi za kitanzania
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Big up Broo,all I can say you have worked really hard
@bwirechrispus3092
@bwirechrispus3092 Жыл бұрын
U don't know him ask us who knows him. He didn't work hard
@msusakandur1286
@msusakandur1286 11 ай бұрын
Xxix to
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Sio mchoyo uyu kaka,,inaonekana anaroho nzuri Sana,,Kila la heri kaka mungu akubaliki
@mtakabiruyassin
@mtakabiruyassin Жыл бұрын
Sema jamaa hana mbambamba🙌
@gracekisumo241
@gracekisumo241 11 ай бұрын
Aweee boss wangu mwenyewe huna makuu na mtu mimi nafarijika sana ukiwa na furaha na unapendeza Mungu aendelee kukuweka @RamadhanMsomiBwana
@Cyprian_infomer
@Cyprian_infomer Жыл бұрын
Kenya is the capital city of Africa 🇰🇪💪🇰🇪💪
@Motivationall_Dose
@Motivationall_Dose Жыл бұрын
Have you been to South Africa, Nigeria and the north Africa?
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Жыл бұрын
Ovyooo
@abdulkareemchande7204
@abdulkareemchande7204 Жыл бұрын
The owner is Tanzanian
@iannderitu9012
@iannderitu9012 Жыл бұрын
Its the pride of Africa
@iannderitu9012
@iannderitu9012 Жыл бұрын
​@@abdulkareemchande7204 nop,its owned most by Indians,the perhaps Agikuyu tribe
@pitosjuma7224
@pitosjuma7224 Жыл бұрын
Gari hiyo Nisha iona kabla , tena kasulu Kigoma, kwenye ofisi Moja kubwa pale kasulu. Tena mwaka 2020.
@jacksonmpangala4715
@jacksonmpangala4715 Жыл бұрын
i will eventually own this one day
@mjaruoKitonga-iy5pc
@mjaruoKitonga-iy5pc 10 ай бұрын
Hongera sana kaka
@abuuslater9242
@abuuslater9242 Жыл бұрын
Hongera Tajili Rama wa Musoma Allah akueke kaka mkubwa🙏🙏
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 Жыл бұрын
Down to Earth Kinda Guy. I love that.
@josephwairimu6222
@josephwairimu6222 Жыл бұрын
Pesa mzuri
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 Жыл бұрын
Dah mtihani kweli Magari mengi hayo Ila kwa bongo linaonekana geni
@vokesafaris9506
@vokesafaris9506 Жыл бұрын
Jamaa Simple sana
@VenusLaurent
@VenusLaurent 11 ай бұрын
Safi hiyo gari.
@mombasaraha1502
@mombasaraha1502 Жыл бұрын
Huyu jamaa yupo simple sna na hana kibri wala majivuno ingetokea ni hawa wabongo wenye viherehere wasanii 😂 umgetajiwa vitu hata hamna humo ndani kisha kweli huyu ametulia hana .majivuno wala hajuoni kuwa amewapita wanadamunwengine homgera kwa kazi nzuri
@EugeneOtieno-fe6dg
@EugeneOtieno-fe6dg Жыл бұрын
😊😊 wow
@alibinali_
@alibinali_ Жыл бұрын
Ilikuwa Nairobi hiyo gari ikaja Mombasa jamaa kanunua hiyo GMC ni noma sana
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Hahaha mamae nafikiri mwaka kesho anakuwa nayo dah😂😂😂huyu mwamb kwel atamiliki
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 11 ай бұрын
Aaaah sijui Kuna uchawi ganii kwenye hela,,watu wanawaza magari ya bei kubwaaaa,wakatii Kuna magari makarii sana na yabei yakawaida kidogo.
@GeorgeEbake
@GeorgeEbake 11 ай бұрын
Uko vzuri ukilinganisha na maisha ya uko kwetu afrika. Japo hapa yeyote anauwezo wakuimiliki. Wanazitumiaga sana kuendea Shambani kisa muinuko na ugumu
@G-JMK69
@G-JMK69 10 ай бұрын
Na wewe pia unayo kama hiyo ya kuendea shambani?
@Josethekenyan
@Josethekenyan Жыл бұрын
Even my boss has this car KDH. Zimejaa kenya
@Kny-tn1mg
@Kny-tn1mg Жыл бұрын
Nairobi hatushangai..zipo
@papaamasauti1973
@papaamasauti1973 Жыл бұрын
CONGO zipo kibao
@user-gw7uy4km4l
@user-gw7uy4km4l Жыл бұрын
hayo magari anamiliki sonko haingii ata robo
@MassTown_Online
@MassTown_Online Жыл бұрын
Musoma stand up🔥🔥🔥🔥🔥
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 Жыл бұрын
Gari za kawaida tuu hizo sema wanalishwa matango pori
@ONEdreamfilmtz
@ONEdreamfilmtz Жыл бұрын
Sijui nikwanini watu wenye Hela wanajiamini sana na hawana mambo ya kujisifu na maelezo yao yamenyooka sana
@givembwilo141
@givembwilo141 Жыл бұрын
😢angekuwa chief godlove hapo sasa
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
​@@givembwilo141😂😂😂
@benedictruthi2113
@benedictruthi2113 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂@givembwilo141 oya yule msenge anajikutaga keshaaaa malza Kila ki2 Yan manyoko zake 😅
@samuelgitonga8686
@samuelgitonga8686 Жыл бұрын
I saw the same vehicle in Nairobi
@hubimogela9167
@hubimogela9167 Жыл бұрын
Kuna gari nimeagiza Iringa wanaitengeneza zinaelekeana sanaaa so zitakuwa mbili soon God bless me.
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Kitakua kipembe icho
@Luscious6826
@Luscious6826 Жыл бұрын
@@emanuelgavile3503 😂😂😂
@abouking3452
@abouking3452 Жыл бұрын
😂😂
@hassanshaban4388
@hassanshaban4388 10 ай бұрын
Bro wish you all the best and pray for me on my successions for Toyota camry hybrid in shaa Allah AMIIN
@mosesachoka121
@mosesachoka121 Жыл бұрын
I see this car in Nairobi,kilimani area.. with another guy ..who claims to be the owner too..
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 Жыл бұрын
Hapana sio kweli Hilo gari kama hilo nililiona mnazi mmoja tena lenyewe ni dabo tire nyuma nilishuka ktk daladala nikarishangaa sana.
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 Жыл бұрын
Gari ambayo hajamiliki ni rose rose
@aladizo3530
@aladizo3530 Жыл бұрын
Oman kuna sehemu inaitwa Seeb, ukienda pale utakutana na gari kama hizo kazi zake ni kuvutia maboti tuu 😅😅
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Siku moja nilikuwa Kahama nikapishana na gari ya hivi, pale Kuna wazee wa dhahabu. So Tanzania zipo
@reginaldmushi9784
@reginaldmushi9784 Жыл бұрын
Hiyo siyo uliyoona wewe itakuwa niile Ford Ipo juu kama hii GMC iliyopo kwenye mgodi wa Ggm mara nyingine sana Huwa Mafundi wa Ggm wanaitumia na imebeba Tool box hapo nyuma
@ramadhankhamiss2943
@ramadhankhamiss2943 Жыл бұрын
Zipo kitambo sana zenjibar
@fulugutidaniel4675
@fulugutidaniel4675 Жыл бұрын
Inaitwa G M C siela dinari ultimate naipenda sana hii truck one day yes
@theeasternnavigator
@theeasternnavigator Жыл бұрын
Siela dinari, duh sio mchezo
@Nickojunior
@Nickojunior Жыл бұрын
Magari yote imemiliki Mpaka Bugatti😳😜
@athumanikisoka2759
@athumanikisoka2759 Жыл бұрын
Huyu jamaa katudanganya kasema kaagiza mwaka jana mwezi wa kuminamoja kalipata mwaka huu mwezi wa kwanza then kaja mwishon kusema kua lilikaa bandarini miezi nane mpaka kulichukua sijui n mimi tu ndo nimefatilia hili😂😂😂
@samwellupimo1125
@samwellupimo1125 Жыл бұрын
Wewe ndio huelewi kitu
@josephatmaruka4612
@josephatmaruka4612 Жыл бұрын
Mmmh! Kuna sehem katupiga huyu jamaa Gar aliagiza mwezi wa kumi na moja na kaanza kuimiliki January. Chakushangaza Bandarini lilikaa miezi 8. ????
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Wewe ndo hujaelewa Kasema kabisa bandari ilikaa miezi 8 kasikilize tena
@josephatmaruka4612
@josephatmaruka4612 Жыл бұрын
Aliagiza mwezi wa kumi na moja mwaka jana, akaimiliki January,bandari ilikaa miezi nane. Hapo ndo nimepata shida kuelewa.
@mosseskahemela2969
@mosseskahemela2969 Жыл бұрын
Kwan huyo c ni mbongo
@manuelbaraka2813
@manuelbaraka2813 Жыл бұрын
Ila Kenya kuna jamaa mmoja mwenye hilo gari. Anaitwa SPIKES.
@hashimshaqur9363
@hashimshaqur9363 Жыл бұрын
Nimemshangaa sana akisema hakna mwenye nalo East Africa na ukitembea mombasa mitaa ya Tudor Mombasa liko moja la black
@jamalmullerjordan
@jamalmullerjordan 10 ай бұрын
​@@hashimshaqur9363ndio hili mnaloliona n mwamba ndio huyu 😂😂😂 nimecheka kishenz
@jamalmullerjordan
@jamalmullerjordan 10 ай бұрын
Ndio hilii gari lenywe😂😂
@agnerapius7244
@agnerapius7244 Жыл бұрын
Umeoa baba nahitaji niwe mke wako hata nikiwa wa 100000 nimekupenda❤
@manasekijangayamba2023
@manasekijangayamba2023 Жыл бұрын
Pambana kutafuta hela
@obedwilson
@obedwilson Жыл бұрын
Duuuuh😂😂😂 Umetisha
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Жыл бұрын
Hhhh😂😂🤩
Meet Rama the only owner of GMC 3500 car in East Africa
12:23
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 31 МЛН
The Sh.14M Gold Range Rover From Kayole - Mpaps Don- Celeb Ride
49:07
TOYOTA FORTUNER NI BALAA/ INA MAAJABU /#0676577711
11:26
Magari chapchap
Рет қаралды 25 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42