Ninachoamini mwalimu nyerere amefanya mengi mazuri mungu amrehemu lkn hakufanya peke yake kunawatu walimuezesha kufika hapo ,kama alizaliwa 1922 na chama kilichozaa TANU kilianzishwa 1926 hapo kuna waanzilishi ambao wanafaa kuangaziwa zaidi ili historia isipotee,kuna wazee ambao wako hai mpakasasa ambao niwaasisi was TANU inafaa tuwaangazie zaidi,lkn kawaida yetu wa tanzania kusifu waliokufa ,walio hai hatuwajali.tubadilike.
@amabilis-mariesangu95003 жыл бұрын
Tatizo ni kwamba historia ya TANU laiti tungetambua si ya CCM peke yake lakini ya Taifa letu ingetufundisha zaidi. Maana hao wazee walikuwa wa Chama na mambo haya tunadhani ni CCM. Tukikubali haya mambo ni Historia ya nchi na yanastahili kufundishwa ingetujenga sana. Haya yamekaa archive tu kama mambo ya Chama.
@wamburasungura68123 ай бұрын
Tanu imeanza mwaka 1957
@rithakuyala99514 жыл бұрын
Wazee wetu mnakumbukumbu nzuri sana Asante kwa kutupa history upo vizuri mzee Butiku
@dorcasseruhere68754 жыл бұрын
Asante Mzee Butiku Kwa kutunza hayo mawazo Ni weredi kabisa ulimpenda baba yeti Mwalimu.Tumuenzi na tuweke hizo kumbukumbu vizazi vyetu viweze kuelewa habari za Rais wa Kwanza wa Tanzania
@prosperkullaya45294 жыл бұрын
Very deep .. Mchonga alikuwa ni gift from God sasa tumepewa anko Magu binadamu atuna shukran sana
@hamidmussa8383 ай бұрын
Mpizani wa Mama samia.
@edwinmachumu14024 жыл бұрын
Good history
@nestinaviolachemba79144 жыл бұрын
Kumbukumbu nzuri sana
@godfreymasenje38664 жыл бұрын
Gangaa
@godfreymasenje38664 жыл бұрын
Gangaa
@godfreymasenje38664 жыл бұрын
Gangaa
@godfreymasenje38664 жыл бұрын
Gangaa
@a2gmgimwa34 жыл бұрын
Kwahiyo kwakua mna maisha manzur hamkupakumbuka
@issaalfani10304 жыл бұрын
Hahahahah mzee kanifurahisha hapo kwenye ukatibu
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Mejifunza k2
@herimallya33854 жыл бұрын
Na huku upo
@epifaniamilinga28484 жыл бұрын
Uwatembelee wazee waliochoka,hawatambuliki walifanya kazi na nyerere,wana hazina za kutosha
@godfreymasenje38664 жыл бұрын
Ganga
@frankkaiza36584 жыл бұрын
Wambie mzee wame jisahau cnaaa wa kumbushe!!!
@stanslauselias90024 жыл бұрын
Kodi za wanaichi mnazingeuza mtakavyo watu wana shida watu wanamatatizo watu hawana hela za kwenda hospital ila nyumba zinajengwa kwa bilioni mungu anawaona
@lameckkamugisha88874 жыл бұрын
Acha njaa unajua panaingiza kiasi gani apo
@menikojohn27824 жыл бұрын
Acha Kuendekeza njaa, piga kazi mtoto wa kiume Hospitali mbona zipo nyingi sana kwa sasa tena zipo karibu kabisa na Wananchi, sasa sijui unazizungumzia hospitali gani
@agathathobias86904 жыл бұрын
Kwan kuna tatizo gan! usitufokeee
@josephinaalexnsungwe13254 жыл бұрын
Du nyerere kicha kweli naskia ulikua zaid ashukuliwemungu