Pumzka Kwa amani, mwenye kheri, Mwalimu J. K Nyerere. Mungu Baba atamkumbuka mtumishi wake katika patakatifu pake. Amina.
@baybeshayo18 Жыл бұрын
Asante Sana Dada uko vizuri big up Sana.
@winnieavit5985 Жыл бұрын
Asanteni Sana Katoliki online Moshi TV na uongozi mzima wa Parokia na Jimbo letu Katoliki Moshi kwa kuthamini Hija yetu na kuhakikisha tunafanikiwa Walezi wetu Mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vya juu zaidi. Mbarikiwe Sana wote
@EdmundKiozya-ce2bn Жыл бұрын
Tunashukuru sana katoliki moshi online TV kwa uenjilishaji wenu mwema Mungu awabariki
@frontoffice8676 Жыл бұрын
Umeelezea vzr dada chukua mauayako🎉🎉🎉
@jerryshow5595 Жыл бұрын
😂😂😂
@salomeshongola1697 Жыл бұрын
Uko sahihi ameelezea vizuri sana,anastahili kupewa maua ❤❤🎉🎉 barikiwa sana
@francismkenda Жыл бұрын
Hongereni sana Katoliki Moshi Katoliki Online kwa habari na historia nzuri tena huyu dada is very smart anahaditha vizuri mno
@ThedyKanje Жыл бұрын
Hongera kwa katoliki on line TV kurusha matangazo ya kumbukizi ya mwalimu Julius kambarage Nyerere
@RedemthaMaganga11 ай бұрын
Ahxante dad Kwa maelekezo Yako historia ni nzr mungu ampumzixhe Baba ye2 wa Taifa mahali pema pepon amina
@mutuuramwangi19137 ай бұрын
Nampenda sana marehemu mwalimu Nyerere. Yeye alikua kiongozi wa kipekee aliyependa Tanzania na watu wa Tanzania. Aliunganisha taifa na akamaliza ukabila. Pia alikataa na kupinga utajiri wa haramu na alikataa kuzitumia nguvu zake za kiserikali ili kuwanyonya Watanzania wenzake. Mungu amuweke mahali pema. Atazidi kukumbukwa na kujeshimiwa milele na milele.
@ReubenRaymond-zh4yw4 ай бұрын
Namkubali mno Baba wa Taifa, kwa ujasri wake mkuu wa kuamua kuacha kazi ya Ualimu na kuanza pilika za Siasa kpindi cha Ukoloni c mchezo, matokeo akawa Rais japo mwenyewe alimependa kuitwa mwl na c mtu wa kujikweza.
@MaryStambuli-r4p Жыл бұрын
RIP JK Nyerere hukuwa na makuu na wala hukujilimbikizia mali kama hawa chawa wa sasa. Mungu akupe pumziko la milele
@DeboraAmani-d7r2 ай бұрын
Kabisa
@pmp-255 Жыл бұрын
hongera sana kwa tv yetu pendwa ya jimbo la moshi...
@CecyMasayi11 ай бұрын
Safii sanaaa mungu awabarii wotee mnaozidi kuendelez utamaduni wetuu
@jerryshow5595 Жыл бұрын
Ahsanteni sana sikuwa nafahamu yote hayo 😢 mbarikiwe katoliki moshi online tv 🎉🎉🎉
@videoallstream11 ай бұрын
Amina
@felixmakinda7689Күн бұрын
Shujaa Nyerere. Huku kwetu Kisii 🇰🇪 kuna wengi sana walioitwa Nyerere. Kuna wengi katika familia yetu walizaliwa Musoma, Bunda, na Mwanza. Wasomi wengi pia walienda TZ 🇹🇿 kuchapa kazi. Ndugu zetu Wakurya wakimtimua Amin Dada. Asante sana kwa kutuonyesha. Ninapanga kutalii hapo. Nitakubaliwa kuingia?! Sina shida na kulipia.
@ZainaJuma-t5g10 ай бұрын
Mwenyezi mungu awalaze pahala pema peponi marehemu wote waliotangulia mbele ya haki, Ameen
@davidlemooli40117 ай бұрын
Kazi nzuri kwa baba wa bara la Africa kwa ujumla,kweli alikuwa na utu wa watu wake,pongezi pia dada kwa umakini na uwelezaji wako wa umakini sana
@SamuelSaito-p7y2 ай бұрын
Mungu ibariki afrika,umpokee mwalimu Nyerere ktk makao yako mbinguni. Amina
@clementhiddi1486 Жыл бұрын
Ahsante Mwl Nyerere.
@VodacommnsMm6 ай бұрын
.oh;
@Davistoto1949 Жыл бұрын
From Kenya & I'm enjoying the history thank you
@RevocatusSeverineАй бұрын
Asante you tube kutuletea moja ya tunu za kiafrika na ulimwengu kwa ujumla Tutambue kuwa Tanzania ndiyo bustani ya Eden penginepo ni uzushi tu
@sophiamhaiki2485 Жыл бұрын
Asanteni sana kwa kutufamisha hayo ya kumhusu hayati wetu tumuombeee ili mchakato ufanikiwe.
@CharlesMunge-fo1wv Жыл бұрын
Ahsante Kwa kuendelea kudumisha utamaduni wetu mungu awabariki sana
@jamessitati7396 Жыл бұрын
mzee Nyerere sii baba wa watanzania peke yenye ni baba wa afrika, mimi ni mkenya lakini naheshimu viongozi wa Tanzania sana.
@Ernestlaiza Жыл бұрын
Karibu Tanzania
@godfreysimion7732 Жыл бұрын
Rip
@Anthony_Genge11 ай бұрын
Umenena vyema
@PascalChales-r7o11 ай бұрын
Safi sana karibu sana Tanzania 🇹🇿 inaonekana wewe ni mzalendo sana hongera
@leoniadaniel944610 ай бұрын
Karibu sana
@mustorytellermullah2737 Жыл бұрын
Asante tuli kuwa hatuyajui haya yote Mungu awabariki sana
@salalagonzales52034 ай бұрын
Nakupenda Sana Baba YETU kipenzi. Pumzika kwa Amani MBINGUNI. Ombea Taifa letu pendwa Tanzania. Waombee Viongozi wa nchi YETU waendeleze uzalendo uliotuachia Baba yetu mpendwa.Amina
@dorcaskidoti249 Жыл бұрын
Hongeraa sana dada kwa maelezo yako mazuri, Nimekupenda sana
@elinamethod9298 Жыл бұрын
kabisa utazani alikuwepo anavyosimulia vizuri
@aberemanwer29394 ай бұрын
Hongera dada upo vizuri sana
@EricMhongole2 ай бұрын
Dada yupo vizuri sana Kwa kweli
@jullyborn81 Жыл бұрын
Hongera kwa video timaam, love from Nairobi, ke
@alfredolaba953211 ай бұрын
Baba wa uwongozi wa hekima na uwazi. Hukuwaibia watu wako wala kuruhusu familia yako waibe. Pumzika Kwa Amani Baba.
@BenjaminMangombe5 ай бұрын
Nampenda saana baba wetu wa taifa retu yaani kutoka kwa baba mungu katupa raisi mwema ambae ni baba jonh pombe magufuli Hawa ndio walibeba dhamana yetu kwakuwa mungu nimwingi waneema nakuomba uwabariki milele Amina mwalimu bado tunakupenda saana
@Deusgaudens3 ай бұрын
Nafulahi sana kuona na kuskia story ya baba yetu afrca ,j.k .nyerere .asante sana mungu akubalki ukouliko
@HadijaFakhi-ss3bu Жыл бұрын
In Africa only two legends Mwalimu Nyerere Tanzania and Nelson Mandela South Africa
@videoallstream11 ай бұрын
Yeah true
@simulizitamumedia6 ай бұрын
If you don't mention Kwame Nkrumah I may say you are biased. He too falls in that list.
Hongera Sana Bint umetupa maelezo mazuri na kwa ufasaha mkubwa
@NeemaSanga-r7z14 күн бұрын
Hongera sana dada ujakosea napajua vizzuli sana
@HappyJoel-g1z3 ай бұрын
Uko vizuri nakupa honger🎉🎉🎉🎉🎉
@aminaomary5567 Жыл бұрын
😁😁😁eti Siku moja moja unampisha mwenzako,kazi nzuri dada.Mungu amlaze mahala pema baba nyerere.
@timothympandagoya63389 ай бұрын
Amina kama Amina ...Hujawahi kuniangusha
@MeshackLukanda2 ай бұрын
yaan unazagamliwa Kisha unapisha daah Raha kinomaa
@AvelinaMwanyilu Жыл бұрын
Hongeren kwa kutufahamisha mengi kutoka kwenye familia ya baba yetu kigogo
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
Kabisa tumejua tuliokuwa hatuyajui
@JosephTherathini3 ай бұрын
Asante kwa kumbukumbu hii .
@PatrickMaina-u9l9 ай бұрын
Yani one of the best presidents from Africa
@josephjulio61122 ай бұрын
Ana mke mmoja 0,+0 hakuna tena chifu
@DaudKayuni11 ай бұрын
Asante kwa history
@PeruziYusto10 ай бұрын
Yeeess Asante sana ddke
@charleschinguile-c7b6 ай бұрын
Nilikuwa mwitongo 2022,nilitembezwa mahali hapa na huyu dada,Ndio eneo sahihi la kuona maisha ya kawaida sana kizalendo ya Jk Nyerere.
@godfreymuroba7973 Жыл бұрын
Wao nimefurahi kumuona Gaudensia tumecheza wote utotoni
@wybzokizzy441611 ай бұрын
Julius Nyerere a living legend of Africa
@PascalChales-r7o11 ай бұрын
Very clean and very close to Tanzania, you seem to be very patriotic, congratulations
@batistamngullu9235 Жыл бұрын
❤❤Mwl JK Nyerere utakumbukwa daima, wewe ulikuwa Baba wa Taifa letu la Tanzania. Starehe kwa Amani 💪💪💪🙏
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Amina ❤❤❤
@AndreaMwasavala Жыл бұрын
@@adelinelyaruu3036😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@AndreaMwasavala Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@ramahkesh9360Ай бұрын
Alogudanganya ana starehe ni nani😂😂😂
@abdillahjuma4489Ай бұрын
Hana starehe hata moja
@yasintakiluswa60532 ай бұрын
Pongezi Sana kwako dada,kifurushi kiliisha nikaamua kwenda kununua vocha,umeinjilisha vizur
@WitnessShamba-wm4tq11 ай бұрын
Aise umeelezea vizuri jamani❤❤
@JustusMuunda-q7s Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe
@SaidIssa-tq3yv3 ай бұрын
Ubarikiwe kaka, kazi nzuri. Salaam kutoka Zanzibar.
@franciskatona4252 Жыл бұрын
From Kenya, listen the kiswahili sanifu
@videoallstream11 ай бұрын
Karibu sana
@ChausikuThobias2 ай бұрын
Umetisha
@tinoisuzu Жыл бұрын
Baraka za mungu baba mwenyezi ziwe nawe. Za baba mwana na roho mtakatifu, ziwe nawe baba mtumishi wa mungu;utuombee.Tyk na mbm..
@videoallstream11 ай бұрын
Amina
@RyanModas-pl8ps Жыл бұрын
Baba wa Taifa letu tutakukumbuka daima uliacha alama isiyofutika katika Nchi yetu ya Tanzania na Dunia yote kwa ujumla.
@magdalenadeusi7603 ай бұрын
Baba. Wa. Tarifa. Mungu. Amkumbuke. Sana. Amina
@Allyhujjat3 ай бұрын
Dada umeelezea vzr sana hongera sana
@EmilyLaitigo2 ай бұрын
Mungu akuweke pema peponi
@raymondjohn3798 Жыл бұрын
Yeah he was the great leader,,I named my son Nyerere as respect for kambarage Nyerere.
@videoallstream11 ай бұрын
Kweli????
@pastorytety3935 Жыл бұрын
Tumefurahia historia ya Mwl
@hilderndosi13339 ай бұрын
Dada upo vizuri mno❤❤
@YastarJuma9 ай бұрын
Asante Kwa historia
@kwayaviwawaparokiayabashne928110 ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini lala salama babayetu wa taifa letu
@HildagardaFransice Жыл бұрын
Hongera mpo vizuri
@Abdulaziz-tb1gd10 ай бұрын
Uk vzr dada hongera sanaa🎉
@ChristmasMaheri21 күн бұрын
Nimefarijika sana na kumbukumbu mlizotunza kwa ajili ya maisha ya baba wa Taifa.Nakumbuka kuwa alipostaafu wananchi walimpa vitu vingi alipokuwa anawaaga kila mkoa. Pamoja na zawadi alizopewa na Jeshi baada ya kushinda vita ya kumng'oa nduli Idd Amin, inathibitisha kuwa hakujilimbikizia mali za raia wengine kwake na familia yake.Alikuwa na heshima sana kwa kila mtu.Mimi binafsi,nilipata kuwa moja ya watumishi wa umma niliyepata kumtembelea mara kwa mara na kusafiri naye kwenhe ndege yake,ninashuhudia upendo aliokuwa nao kwa ajili ya kila mtu aliyekuwa mwema.
@lugwetunje38966 ай бұрын
Nyerere aliwapenda sana watanzania hukupora Mali
@SofiaSofi-q6r2 ай бұрын
Hakika Mungu anatupenda Sana wa Africa .hyo ni mwafirika kweli na mzaledo kweli . Ndugu mmoja kutoka Kenya asante Sana kwa huo moyo wa wanawaafrica. Inatambua kweli tunu za kwetu..asante Mungu kwa zawadi ya julius Nyerere mwana wa Africa na mtanzania kweli. Daima nashindwa kusema maisha yake na Hali inayo tunzunguka Sasa watu wa Africa. waliyokuwa uzalendo hawapo tena zaidi tumekuwa makapi tu. Wapo wengine pia tuombe Mungu.
@gililwise2 ай бұрын
Asante.dada upo vizuri sana.
@RonnieBertin23 күн бұрын
Huyu dada anatunza kumbukumbu nyingi big up my sister
@aminatanzanya747511 ай бұрын
Baba yetu Nyerere daima utaishi kweny mioyo yetu. Pumzik kwa aman Baba 🙏
@ramadhanchenga4606 Жыл бұрын
Nyerere alikua anaishi maisha ya kawaida
@barakaabel482 Жыл бұрын
Dah Rest In peace Mwalimu! Hukujilimbikizia mali kweli....
@KINGKIBASimiyu11 ай бұрын
Napenda watazania
@rosemichael52683 ай бұрын
Namkumbuka sana nyerere
@AnithaStiven7 ай бұрын
Mungu awalinde sana nyerere nawengine wote 😢😢😢
@WillBat-gc9ex Жыл бұрын
Amina
@dinachiwaligo7 ай бұрын
Mdada mpole pia anasauti nzuri
@ojangootieno784211 ай бұрын
Mwalimu was a true patriot. His Socialist ideology will be missed . Apart from him Kwame Nkurma, Nelson Mandela Kenneth Kaunda Samora Machel Oginga Odinga Jomo Kenyatta were indeed pan Africanists .
@IsayaMsigwa-qv3ol7 ай бұрын
Asante tutalitambelea kabuli la baba wa taif
@PhelisterTei-ok4wj11 ай бұрын
Mungu awenaye Daima
@kuschprince3216 Жыл бұрын
" RIP! RIP ! GALLANT SON OF AFRICA! YOU GAVE MORE AND TOOK LESS! VIONGOZI WA AFRICA NZIMA HASA KENYA; IGIZENI/ CHUKUENI MFANO WA UTU NA UONGOZI, SIO KUJITAJIRISHA KWA MALI/ KODI ZA UMMA! ACHENI ULAFI KWANI PESA NA MALI MNAZOMILIKI ZINA DAMU NA NIHARAMU!!! LONG LIVE TANZANIA!!
@haggairaywer7002 Жыл бұрын
I Think(When young), was ahead of my time.I loved the way Mwalimu Nyerere was uniting his country by preaching to his people about siasa safi na uongozi mwema.
@voronicashaban3478 Жыл бұрын
Ndo penyewe kabisaaaa
@reubeinmmary Жыл бұрын
Baba Nyerere mungu akupe pumziko la amani milele yote. Mioyo yetu daima historian yoko matendo yako Roha nzuri na uzalendo wa dhati baba moyo wangu unkulilia maana nilikuwa kija mzalendo ulietpeleka msmbiji Kwa ajili ukombozi. Wa ndugu zetu. Natamani siku Moja mungu akinips neema nije kuziru ziara lako naamini nitapokea baraka. Asante.
@MWARUNGUKALIMBOMWANDOE Жыл бұрын
Ni kweli kabisa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni BABA WA AFRICA, na wala si kwa ndugu zetu wa Tanzania peke yao. Hata na sisi tunajivunia sera na uongozi safi alioachia bara nzima la Africa. Mungu airehemu roho mahali pema peponi.
@videoallstream11 ай бұрын
Kweli ni baba yetu
@OmontoOg7 ай бұрын
RIP jk nyerere japo umeiacha family yako gizani pia tunajua.haukufa bado upo uwasalimie wazee wetu huko na mtulinde kwa mabaya japo ulipingana na asili yako ila najua ulifanya hivyo kwa sababu ya kimamlaka ya hapa duniani tunakuombea uwe mtakatifu wa Afrika yetu tunaimani huta fanya kosa.amen
@Isaya-xy2bl7 ай бұрын
Acheni ushamba,utakatifu hauji baada yakufa biblia gani mliyo Soma kwamba utakatifu wa mtu huonekana akifa?mmelishwa matangopori,Soma,zaburi 16:3
@helenarhobi1250 Жыл бұрын
Baba pumzika kwa amani ulikuwa jembe kwelilweli ukatuletea uhuru bila damu kumwagika. Afrika tutakukumbuka sana lala upumzike salama baba ndani ya nchi yako.Amina!!
@videoallstream Жыл бұрын
Amina 🎉🎉🎉
@MajunMsouth3 ай бұрын
Tutakukumbuka daima milele
@dianakalimba Жыл бұрын
Asanteni sana 🥰🥰🥰
@vedastoerasto5 ай бұрын
Mungu awalaze mahali pema peponi wote:Nyerere, Samora na Mandela
@YustaHilly4 ай бұрын
Tunashukuru Kwa kumbukumbu ya baba wa taifa na tunamuombea siku moja awe mtakatifu wa wote Amina
@EliasMwita-q3x2 ай бұрын
Historya nzuri
@ZulphatOthman8 ай бұрын
Dada kaelezea vzr kuliko mwandishi
@hamphumichael7194 Жыл бұрын
Ww ndio ulitupenda watanganyika hakuna Rais ambaye anaweza vaa viatu vyako Baba your the best
@LeepaKaleya-z1s11 ай бұрын
Good 👍
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Baba yetu Nyerere , , tunakukumbuka kabisa hasa ktk wakati huu tupo ktk Moto mkali, hekima yako inaishi na itaishi, rip Nyerere
@salesiomweda1747 Жыл бұрын
Agradeço Uma boa história
@halimalachpat1927 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani utukomboa kutoka wakoloni🎉🎉🎉🙏
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fnАй бұрын
Apumzike Kwa Aman
@liverpoolfootballclub99856 ай бұрын
Legends of Africa Julius nyerere. Kwame nkrumah, Nelson Mandela, jomo kenyatta🇰🇪. Without forgetting JPM.