Nchini Kenya, Grace Atieno Odhiambo anayageuza makasha yaliyotumika kuwa nyumba za kisasa na afisi. Gharama ya nyumba hizi iko chini na fauka ya hayo, ni njia bora ya kutunza mazingira.
Пікірлер: 1
@BMboss10811 күн бұрын
Mahali kwa joto kama..pwani ya Kenya itakuwaje?!Makasha nliyoyaona yanatumika kama maduka ya kuwekea biashara wala sio nyumba