VAILETH aliyekuwa mpenzi wa KICHECHE amwaga kila kitu hadharani utacheka 🤣

  Рет қаралды 194,279

NYUNDO TV

NYUNDO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 194
@nyundotv
@nyundotv 3 ай бұрын
ASANTE KWA KUFUATILIA KZbin CHANNEL YETU PIA AHSANTE KWA KUTAZAMA VIDEO HII PIA TUNAOMBA USISAHAU KU SUBSCRIBE 🙏🙏
@jonaslubote2759
@jonaslubote2759 3 ай бұрын
BROTHER NAOMBA UWE UNAANDAA VARIETY OF QUESTIONS THEN FANYA KUMHOJI MANYANYA TUNATAKA KUMSIKIA.
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 3 ай бұрын
Nilikuwa sipendagi bongo movie kbs lkn hii tamthilia Duniani imenirudisha kwenye mapenzi ya Movie za kibongo hasa aina hii ya Waingizaji vzr sana yaan napenda mtu anaingiza uhalisia wa maisha kwenye scene cyo kuongea mpaka mtu anaona kbs umekariri script lkn kwenye Dunia salute 🙏🙏🙏
@sarafinadotto8546
@sarafinadotto8546 25 күн бұрын
Toka Kanumba afariki niliacha kabisa kufuatilia bongo movie lakini kwa hii Dunia aaaaweee mmejua kunikamata khaswaaa
@جمعهاليحيائي-ظ6خ
@جمعهاليحيائي-ظ6خ 2 ай бұрын
Tuleteeni Mudy jamani awe amelewa kabisa ukouko kwa bi Tausi😂😂😂😂😂
@Mosesndahani
@Mosesndahani Күн бұрын
Kwa kweli Vaileth kwenye move ya Dunia umefanya vizuri sana.
@JacklineSanita
@JacklineSanita 11 күн бұрын
Hawa waigizaji wa bongo katika hii tamthilia ya Dunia nimewapenda sana.. sana.. sana. Mumerudisha appetite yangu kwa bongo tupeni vitu kama hivii😂😂😂❤❤❤❤
@RTozy
@RTozy Ай бұрын
Dah vaileti nakukubali San dad❤❤❤❤❤❤❤❤
@carolineotieno8154
@carolineotieno8154 3 ай бұрын
Violet ni kama Mkikuyu huku Kenya mana akili zake zote zipo kwa hela...hata hivo hongereni sana mumefanya kazi kizuri
@siliviaDali
@siliviaDali 3 ай бұрын
😂😂😂
@christianselemani027
@christianselemani027 2 ай бұрын
Kweli kabisa 😂😂
@KevinOnchwari
@KevinOnchwari Ай бұрын
😂😂
@augustinekyalo1174
@augustinekyalo1174 22 күн бұрын
😂😂aty mkikuyu
@KalalaMarichard
@KalalaMarichard 2 күн бұрын
Kiukweli uyo dada anajuwa kazi tunamupa pongezi sana apa Congo
@menyabishasha
@menyabishasha Ай бұрын
Bwannn ongoa na muzee kicheche tunampenda sannnnaa❤❤❤❤❤❤
@LettyDengu-y4k
@LettyDengu-y4k 5 күн бұрын
Vailet kumbee waukaee ❤😂😂
@LettyDengu-y4k
@LettyDengu-y4k 5 күн бұрын
Aweeeh my photografaaa😂fanyaa ukujee nimemiss picha zako ❤❤
@NiahKamaNiah
@NiahKamaNiah 3 ай бұрын
Nampenda vailet jmn kwakwel ajawai kosea yupo vzr sana 🔥🔥🔥
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 2 ай бұрын
Vai tunakukubali ila manyanya amekufanya uwe vizuli Zaid katika kipaj chako tunakupenda Zaid hongela kwako manyanya na wasanii wengineo wote ♥️🌹🇹🇿
@NiclassCosta
@NiclassCosta 13 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@JoãoMaurícioantonioAntonio
@JoãoMaurícioantonioAntonio 3 ай бұрын
Manyanya ndo anaesitaili kuojiua,Yuko very smart brow msomi
@KabogereSteven
@KabogereSteven 25 күн бұрын
Napenda film zenu ni Steven Niko Kampala Uganda nawapenda
@FATMAJUMASAID
@FATMAJUMASAID Ай бұрын
bongo movis now wanaweza sana 👍
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx 3 ай бұрын
Tuna kupenda pia da Vai pia muendelee kutup mautam il mtow mapemaa🎉🎉
@SaimonChacha
@SaimonChacha 29 күн бұрын
Vailet unaweza sana dada kiukweli kwenye muvi ya dunia unatisha napenda kukufatilia
@BakariChivaulla
@BakariChivaulla 26 күн бұрын
Hongera Sana Dada Na Munajuwa Sana Kuigiza❤
@RamadhaniMtama
@RamadhaniMtama Ай бұрын
Uko vizur vai mashallah
@RashidiSaidiIsrael
@RashidiSaidiIsrael 3 ай бұрын
Kwakweli dunia ni kubwa sana tena sana hapa Congo ime chukuwa namba moja ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MathieuFedix00
@MathieuFedix00 3 ай бұрын
Weeeh ebu acha uongo vipi penzi la mtoto wa Boss unaiacha wapi ?
@SteveAmbassadeur
@SteveAmbassadeur 3 ай бұрын
Uwongo
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 12 күн бұрын
​@@MathieuFedix00 usifananishe takataka na vitu vya maana 😂😂😂
@FrolaSeleman-b6m
@FrolaSeleman-b6m Ай бұрын
I love you vai so much ❤❤❤❤💋
@paul250official
@paul250official 2 ай бұрын
Tunakupenda pia 🇧🇮 tunakufatiliasana
@AbokiNezehose-z6h
@AbokiNezehose-z6h 6 күн бұрын
Asante sana dada kwakupafom Mimi kwangu nawamenda sana video zenu sijuweningewaona machokwamacho
@simulizitamumedia
@simulizitamumedia 3 ай бұрын
Kamfanyie Martlidah tafadhali. Huyo mdada ❤❤
@NicolasKhatibu
@NicolasKhatibu 22 күн бұрын
Kazi nzuri
@DevothaMbedule
@DevothaMbedule 6 күн бұрын
Mauwa yako vai❤❤❤❤
@AfizuMakongo
@AfizuMakongo 3 ай бұрын
Dada vailet nakukubali sana nikiwa uku mozambique
@EzraGebra
@EzraGebra 15 күн бұрын
❤❤❤ Ila Vai ulitixh can
@RafaelFabiãoAntónio
@RafaelFabiãoAntónio 2 ай бұрын
Vailet we ni mzuri sana ongera❤❤
@LeylaSalumu-s2n
@LeylaSalumu-s2n 3 ай бұрын
Wa kwanza Mimi jamani naombeni LIKE zangu 😂
@ENOCKBETT-t1u
@ENOCKBETT-t1u 15 күн бұрын
Mrembo sana huyu dada❤❤❤
@HelenaAtanaeli
@HelenaAtanaeli 2 ай бұрын
Jaman vai mruguru mwenzetu napenda sana kazi zako
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 ай бұрын
Kumbe mruguru mwenzetu ❤❤❤❤
@TumainiMasawe-e8c
@TumainiMasawe-e8c 13 күн бұрын
Nawapenda sana mnafanya Kaz nzuuur
@RafhaelMuthadbon
@RafhaelMuthadbon 3 ай бұрын
Vailet muigiza mzuri sana🎉🎉
@bernadettemungadiane
@bernadettemungadiane 2 ай бұрын
Ongeraaaaa Sana Vaireth Nakupenda Sana ❤
@ismailabdalla7953
@ismailabdalla7953 Ай бұрын
Hakika dunia ni namba one inaongoza
@AbelLazaro-y4p
@AbelLazaro-y4p Ай бұрын
Kazi zuri mnafanya waigizaj,wa Tanzania 🇹🇿
@WahindiKwembe-c1g
@WahindiKwembe-c1g 2 ай бұрын
Nakupenda sana Vailety, tutafutie manyanya tumsikie na yeye
@JoãoMaurícioantonioAntonio
@JoãoMaurícioantonioAntonio 3 ай бұрын
Very good job my sister
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Jamani na hiv vingereza vyenu vya kuombea maji kwenye maget ya wazungu
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno 2 ай бұрын
Warugulu sisi wazuri weeee🌹🌹
@PatrickButende
@PatrickButende Ай бұрын
Dada Congo wewe mwalimu wa doa, tunakupenda sana
@samsonnziku4597
@samsonnziku4597 2 күн бұрын
😅penda vai andmanyanya
@Festony_tz
@Festony_tz 3 ай бұрын
Kawa mshangazi sai ❤❤❤
@YahayaMilumba
@YahayaMilumba 3 ай бұрын
Wewe binti ukweli mungu akujalie Sana unaelimisha sana jamii
@JasperJamson
@JasperJamson 3 ай бұрын
Point kubwa sana mngu amjalie
@J.batisteNdagijimana-m4q
@J.batisteNdagijimana-m4q 3 ай бұрын
vailet punguz kumutesa manyany😁😳 ila kichech tunamukumbuk xn
@AdolpheSelemani-q1j
@AdolpheSelemani-q1j 2 ай бұрын
Kilammoja amefanya vizuri kwanafasi yake kweli kwenye dunia
@CASIMIROVEVO
@CASIMIROVEVO Ай бұрын
KAMA AMPEWI TUNZO MWAKA HUU WALAHI ITAKUWA SIO HAKI
@EmmanuelOpilo-u4r
@EmmanuelOpilo-u4r 13 күн бұрын
I like that move of life
@AnsehtKambalemburungene
@AnsehtKambalemburungene 6 күн бұрын
N'a kuitaji vaireth uwe mke wangu
@evesilayo740
@evesilayo740 3 ай бұрын
Nakupenda sana vailet ila kicheche mmembwaga
@danielkariuki9416
@danielkariuki9416 3 ай бұрын
Hongera sana manyanya mwanaume ambaye anaona mbali
@Bonface-bl1fg
@Bonface-bl1fg 3 ай бұрын
Let's hope Kicheche will rise again 😢🥹🥺
@amosizacharia9100
@amosizacharia9100 2 ай бұрын
Manyanya is the best one who is needed to be interviewed.
@amosizacharia9100
@amosizacharia9100 2 ай бұрын
ila nilichogundua hapo manyanya anaendakutoka na matrida pia matrida anaenda kigombana na rafiki yake.
@GloryRemmy-r7d
@GloryRemmy-r7d 21 күн бұрын
Vaii upo vizuri dea
@dadychaps7527
@dadychaps7527 3 ай бұрын
Huyu mtoto mrembo Masha'Allah 💞💞🇰🇪✌️
@فاطمهال-ص7ت
@فاطمهال-ص7ت 3 ай бұрын
Vaileti fanya mazowezi ❤❤❤❤❤
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 8 күн бұрын
Jamn vaileth frank nina ndugu yangu anaitwa hvo hvo
@elizabethSaimon-r7t
@elizabethSaimon-r7t 3 ай бұрын
Nakupenda xana vai
@AmryMhina
@AmryMhina 2 ай бұрын
Vai your so qiut mydear
@NiyonkuruEsnat
@NiyonkuruEsnat 2 ай бұрын
Uko muzili vailet❤❤
@MusaJoramu-n2q
@MusaJoramu-n2q 23 күн бұрын
camera man alitufeli kidgo😂
@JumaMilungu
@JumaMilungu 3 ай бұрын
Daa mmetisha San Yani unyama mwing,😅😅
@MsevenSeven-hu2gl
@MsevenSeven-hu2gl 28 күн бұрын
Hapo wamekosea kidg tyuu kumuacha kicheche hii movie ingeshika namba Moja African Zima wanao Amin like hapoo chini
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 12 күн бұрын
Kicheche hii haimuhusu coz hii sio comedy bro hii ni serious movie
@RosetteKahuga
@RosetteKahuga 8 күн бұрын
Hivi unajuwa unacho ongeleya kweli???? Huyo kicheche mbona sufuri kama zéro 😏😏😏
@DominicoMwaga-ty3ws
@DominicoMwaga-ty3ws 26 күн бұрын
Mimi naomba no tu in box za vailet.
@stynoebondomwepu3582
@stynoebondomwepu3582 3 ай бұрын
Munafanya vizuri kabisa, mumwambie baba ASMA kama amutafute kicheche baongeye, makosa inakuwaka kwa kila mutu, afazali musameane kabisa. Tunamukumbuka kicheche. Congolais ville kalemie
@stynoebondomwepu3582
@stynoebondomwepu3582 3 ай бұрын
Nakulomba muzungumze nakicheche
@mudjumurebenediction
@mudjumurebenediction Ай бұрын
Kicheche piya anaitajika
@ddomintv2891
@ddomintv2891 3 ай бұрын
Iyo wala haiwaalib watu wanaume wa siku hizi wamekuwa kama wanawake2😏na chanzo kikubwa cha wanawake kubadlika ni hao wanaume waharb sana maisha yawa2 bola tuish kwenye 50 50 tu bas😏😏
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 12 күн бұрын
Wamewahalibu kivip sasa fafanua 😂😂😂
@danielfrancois2196
@danielfrancois2196 3 ай бұрын
Zungumuza Pia na Manyanya tumusikie maoni yake, kwani wanafanya kazi zao vizuri sana
@Heiskmb
@Heiskmb 3 ай бұрын
Nice Ila jordan😂😂😂
@EmmanuelSimon-p1w
@EmmanuelSimon-p1w 3 ай бұрын
Kweli muda mdogo sana waangalie
@AntoineDjamba-f9j
@AntoineDjamba-f9j 20 күн бұрын
Courage vraiment malgré tu aime beaucoup de l'argent mais tu finira par comprendre et manyanya te mérite vraiment si tu es célibataire vous pouvez ses marié
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 3 ай бұрын
Manyanya kachoka kula wali harage na mchicha😂😂😂
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
Mmmh wali? Si bora ata ungekuwa wali angejitahidi 🤣🤣🤣 ugali mchicha na maharage au ugali kabage na mchicha
@YonaLengai-cc6tq
@YonaLengai-cc6tq 3 ай бұрын
look good ❤❤🎉
@AngevellaIrakoze
@AngevellaIrakoze 3 ай бұрын
namupenda vailet
@FrèrechanceJoseph
@FrèrechanceJoseph 3 ай бұрын
Vizuri sn 🇨🇩
@meshackotieno1200
@meshackotieno1200 Ай бұрын
Lovely
@SalamaMusayi
@SalamaMusayi 3 ай бұрын
Jinake ngumu kidogo kama trilda mupaka si elewi alakini yule dada mzuri sana
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Matirda na sio trilda
@AboumuthaynaMjenga
@AboumuthaynaMjenga 3 күн бұрын
Nimekuchukia sana ww dada kwenye Ile movie ya dunia
@khalidkareem8337
@khalidkareem8337 3 ай бұрын
Nilijua tu kama mluguru mana kafanana sanaaaaaaaa na mama yang
@Bbyviny
@Bbyviny 3 ай бұрын
Uyu jamaa anaoji muvi au maana ilitakiwa aoji vitu vya maana bhan yani unaoji utazani ayo ni maisha halisi ya uyo dada umeboa bhana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
Ku "oji" ni kufanyaje?😢
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 3 ай бұрын
We kaka Kwan we na baisa ni ndugu mwafanana sana
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 3 ай бұрын
kwel kabisa mpaka sauti
@elzazoubienfaitcreerunecha8346
@elzazoubienfaitcreerunecha8346 3 ай бұрын
Unafanya vizuli sana❤
@ericknkwera6686
@ericknkwera6686 2 ай бұрын
Kiukweli Vai nakuchukia sana kwasababu scenes zako zinanichukiza sana
@YasintaKanyopa
@YasintaKanyopa 2 ай бұрын
Una roho mbaya ww
@EmmanuelNduwimana-py2ey
@EmmanuelNduwimana-py2ey 3 ай бұрын
Bora mliachana na Kicheche. Hii movie inaelimisha jamii. Emmanuel kutoka Burundi 🇧🇮
@Bongovillagex
@Bongovillagex 3 ай бұрын
Anafanana na lulu 😅
@corolaynmukami5743
@corolaynmukami5743 3 ай бұрын
Pia ww umeona
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 ай бұрын
Presenter jifunze kuuliza maswali
@KenWamalwa-ik5vz
@KenWamalwa-ik5vz 2 ай бұрын
Vailet uko sawa Bebygrl
@SadaHashimhadoswa
@SadaHashimhadoswa 3 ай бұрын
Mume aina ya manyanya Ana kazi sana kumvumilia😂😂😂anaongea weeeeeeeee
@MsafilibangusiloBangusilo
@MsafilibangusiloBangusilo 25 күн бұрын
Valet Umefanana Sana Na Aliyekuwa Mtu Wangu Anaitwa Jennifer
@JosefatjomaWabura
@JosefatjomaWabura 7 сағат бұрын
We mdada unamsimamo
@HabibaLukinga
@HabibaLukinga 2 ай бұрын
Sisi warugulu wazuri❤❤❤❤
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 ай бұрын
Ndio ninawajua wengi😊😊😊
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 3 ай бұрын
Amefanana na mke wangu waaaaah😂😂
@kanaanimkisi5290
@kanaanimkisi5290 3 ай бұрын
Tupostie mkeo tuone kama kweli
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 ай бұрын
Mtangazaji punguza kutumia neno "actually" .
@simbiriziki
@simbiriziki 3 ай бұрын
Yaani kama mkija hapa kwetu Bujumbura nitafurahi sana
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 3 ай бұрын
Vai kazur jmn
@aliMoroa
@aliMoroa 2 күн бұрын
Vayo asante kwamafunzo ulofunza kwa paty yako nikuulize wewe nimchaga wa kenya kwamaana roho zimekunjika kwakila mwanaume kila mtu mbona
@salomemanfred1809
@salomemanfred1809 3 ай бұрын
Vai😂😂😂😂😂❤❤❤
@LowasaSanare
@LowasaSanare 3 ай бұрын
Vai umeolewa au bado
@hamisimramba6738
@hamisimramba6738 3 ай бұрын
Tz Ina warembo tatizo vicheche
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
kisaitz
Рет қаралды 761 М.
TAARIFA PUNDE: VIGOGO CCM WAPINGA SAMIA KUGOMBEA TENA!.
8:26
MSETO MEDIA
Рет қаралды 34 М.
REASON OF LOVE《01》
17:18
EBITOKE COMEDY
Рет қаралды 126 М.
DUNIA (Ep 44)
24:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 444 М.