MREMBO APIGWA VIJEMBE NA MR RIGHT KISA KUJICHUBUA | ANA RANGI MBILI | HANA SHEPU - S05E08

  Рет қаралды 126,306

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 214
@MaryanMaryam-lc1et
@MaryanMaryam-lc1et 14 күн бұрын
Yan wanawake tunaamin pesa ndo kila kitu ndo maan tunaangukia pua Mungu nijaalie mume mwem mwenye imani na hofu ya mungu🙏🙏
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 күн бұрын
@@MaryanMaryam-lc1et mwenye hofu ya mungu nipo hapa vp sasa tunafanyaje
@MaryanMaryam-lc1et
@MaryanMaryam-lc1et 2 күн бұрын
@FranckDaniel-cc5rg 😂😂 kwel eee
@ClaudiaJoseph-t6e
@ClaudiaJoseph-t6e 20 күн бұрын
Mwiraq mwenzangu 🎉🎉🎉🎉 twende nyumbn bhna watt wazuri wako kibao
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Ай бұрын
Nenda mwanangu katafute mtaani utampata mke tena mzuri sana kushinda hao usijepata shida bure
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 Ай бұрын
frola unavofoka na hilo wigi😂😂😂 ungepunguza makasiriko 😢
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 күн бұрын
Hawa madem wengi ni wauza uchi mwananyamala,😅😅😅
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 Ай бұрын
Zarish Hana mvuto kwanza😂😂
@YakoboIsackiMgata
@YakoboIsackiMgata 28 күн бұрын
Afu wadada mnakela pesa kitu ngan babu zetu bibi zetu alikuwa anaagalia pesa walizitafuta wakiwa hote namipango piya shida sisi wanaume tunapitia changa moto nyingi sana kutafuta pesa ikitokea pesa Sina unaniacha kisa nilisema kipato kipo kuwen makin😊😊 26:43 . mtakaa kwenye mabox mbaka muwe langi mbili 😮😮😮😮 mnakela sana mmekuja kufanya nn apo maisha kusahidiana .Domana wanaume tunawahi kufa
@ElizabethMchomvu-s2d
@ElizabethMchomvu-s2d 21 күн бұрын
Ivi kwanini watu wanao jichubuwa wanakataaga kuwa wanajichubuwa😅😅😅😅😅 huyo siana misugu hio unaonekana
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 18 күн бұрын
Dio hapo sasa
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 18 күн бұрын
Dio hapo sasa
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 18 күн бұрын
Dio hapo sasa 😂😂😂
@CatherineShirima-fj4sj
@CatherineShirima-fj4sj 7 сағат бұрын
Watu tunamuomba Mungu atupe mme Bora kikubwa awe na hofu ya Mungu tu wengine wapo wanataka pesa
@WaynedullaDulla
@WaynedullaDulla Ай бұрын
Lulu lazima amkonyeze Aaliyah about Golden girl😂
@mariethavitalis684
@mariethavitalis684 15 сағат бұрын
😂flora atatuharibia modo wetu bhn
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Ай бұрын
Flora uyo kaka wa watu utambemenda huoni umezeeka 😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 25 күн бұрын
Usiseme hivyo 😂😂
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 18 күн бұрын
Kaaaa
@NeemaAlmas-fn6sf
@NeemaAlmas-fn6sf 11 күн бұрын
Jamani nitagien uyo mkaka nishampenda mm❤
@PaulJulius-k8w
@PaulJulius-k8w 10 күн бұрын
Mauwa yaene kwa kaka🎉🎉🎉🎉🎉
@AntidiaAndrew
@AntidiaAndrew 14 күн бұрын
Ahahaha 😂😂 Mr Right umeua kunywa soda yako kwa bill yako weewe😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Ivi videmu vishamba nn ivi. Kaka yupo vizur sn uyu
@RehemaMrosso
@RehemaMrosso 15 күн бұрын
Jaman mkaka wa watu HB wanamnyanyasa tu hapo....Mwambie akuje hapa...
@PILLYJUMBE-h5o
@PILLYJUMBE-h5o 11 күн бұрын
kipato cha mtu chanini na ww unafata hela au🤣🤣🤣
@AgnesBeatus
@AgnesBeatus 16 күн бұрын
Miaka 26 ninamtoto Mmoja musukuma single mom. Nilidaganywa na mwanaume nikijua Hana familia kumbe alikuwa na familia mkoa mwingine huk alikuja kikazi kama upo serious na kutengeneza ndoa iliyo Bora na yakumpendenza mungu nichek wanaume wanao nifuata nakuwa nahis wametumwa nahis kama nimeasilika na kilichonitokea niwekee namba nitakutafuta
@CarloloneEddson
@CarloloneEddson Ай бұрын
Kiufupi me uyo Mr lite nimempenda❤😂
@KautharSaleh-y8q
@KautharSaleh-y8q 25 күн бұрын
Sio mr lite ni mr right
@Perpetuarealyperpetua
@Perpetuarealyperpetua 24 күн бұрын
@@KautharSaleh-y8q 😂😂😂😂 Ila wew
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 23 күн бұрын
ni mr right sio lite 😅
@KautharSaleh-y8q
@KautharSaleh-y8q 23 күн бұрын
@@Perpetuarealyperpetua kakosea inabd aambiwe
@AbiGail-c6v
@AbiGail-c6v 22 күн бұрын
@@CarloloneEddson 🤣🤣
@leilatmussa6533
@leilatmussa6533 Ай бұрын
Hatari Mr right 🔥🔥
@HaznaAbdallah
@HaznaAbdallah 29 күн бұрын
Wengi wao hawapo ktik kutafuta weza wa kujenga nao maisha wapo kuangalia mwanaume mwenye pesa nying
@nismaali2982
@nismaali2982 Ай бұрын
Yani mimi hata angekuwa ana miaka 12 kwa kuwa nimempenda ningepita nae😂😂😂😂
@MERYGLORYDANIEL
@MERYGLORYDANIEL 22 күн бұрын
Mwiraq mwenzang 🎉🎉
@sulleRuth
@sulleRuth 15 күн бұрын
Mr Right mwirak au
@AthumaniAlly-m1k
@AthumaniAlly-m1k 26 күн бұрын
Jamani huyo Dada namtaka mimi hapa Kuna kifua kama ukuta w gereza
@JenniferMduru
@JenniferMduru 13 күн бұрын
Aliyah Nikweli hatufaanani lakini shidaamo moyo mma😂😂
@irenejulias3407
@irenejulias3407 14 күн бұрын
Mm ningekua zalish ningefichama t nyumban kwa kwer
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 Ай бұрын
kwan eliza alirudi😆🤣🤣
@OmyFalnituretz
@OmyFalnituretz 2 күн бұрын
Ndio maana wanaume tukipata pesa wanawake tunawaona wapuuzi na chombo Cha staree na kuwatesa sababu mnapenda pesa sio kufanya maisha
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
😂😂😂 Arusha wanakaa wambulu 😂😂 ifike mahali wamasai na waarusha watutoee baru😂😂😂
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 23 күн бұрын
ndio wapo karatu na arusha mjini kwani dar au mkoa wowote hakuna mchanganyiko wa makabila🙄
@elivirajaston9345
@elivirajaston9345 15 күн бұрын
Me siwezi kujiabisha Ivo jaman😂😂
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz Ай бұрын
Hawa wote nimalaya hakuna mwanamke wakujenga maisha hapo wakusanya code wote waondoke wanatafta mtu mwenye pesa 😂😂😂😂
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 26 күн бұрын
Sana
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 18 күн бұрын
Hahahahahahhaa
@MariamuPeter-o2p
@MariamuPeter-o2p 16 күн бұрын
Bora hata umeelewa hilo
@Elizadaniel2
@Elizadaniel2 7 күн бұрын
Wadada wengi wanamkataa ili waonekane tuu ila moyoni wanamtaka😂
@BarakaLekasy
@BarakaLekasy Ай бұрын
Alafu nao hao warembo wawe wanasema nao wanaingiza shi ngapi
@Yusra-mi7mm
@Yusra-mi7mm 19 күн бұрын
Njoo. Kwangu kijana mrefu mweusi tuishi achana na waho 😢
@juvesmakarios5700
@juvesmakarios5700 15 күн бұрын
@@Yusra-mi7mm jamani haya bhana
@AsiaHassan-w4w
@AsiaHassan-w4w Ай бұрын
Mimi siwapendi hair wadada wanajishauwa mnoo
@MonikaKessy
@MonikaKessy 3 күн бұрын
Ww kaka Rudi karatu wairaq wako wengi karibu nyumbani hao ni kahaba
@DoriniNicholus
@DoriniNicholus 10 күн бұрын
Malaya tu wote wanauliza pesa tuu😂
@OctavianOctavianHermani
@OctavianOctavianHermani 4 күн бұрын
Hatari 😂😂😂😂😂
@kelvindendya3781
@kelvindendya3781 Ай бұрын
Huyo pascali alieuliza kipato sura ya baba 😂 bora gara umelipuuzia hilo swali
@AntidyPhilbert-x3m
@AntidyPhilbert-x3m 17 күн бұрын
Eliza anazeekea kwenye Pods😅😅😅
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 19 күн бұрын
Naomba namba ya huyu kaka😊❤
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje 29 күн бұрын
Rangi mbili oyeeeee🤣🤣🤣🤣
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt Ай бұрын
Hapo angekuwa na kaz ya mana wote hapo wangewasha TAA,Akili yao wote ipo kwenye pesa Wala co kwenda kujenga miji yao
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 Ай бұрын
ila ameaibika zarish rangi mbik😆😆😆😆😆🤣🤣😂🤭
@AwaziRajab
@AwaziRajab 4 күн бұрын
Ilo Mwili Kubwa Linaacha Kuubili Neno La Mungi Linaenda Kufanya Ushenzi Kisa2 Ukali Wa Maisha Sijui Mnafeli Wapi Na Miili Yenu Inayotumika Vibaya
@ZuhuraNyenga
@ZuhuraNyenga 7 күн бұрын
Huyo ney nae kwa kitu gani sura imeungua kam chapat ya ma jq😔😔
@philipoaweAwe
@philipoaweAwe 24 күн бұрын
Garab Leo nakupa big up bro
@MeryNyabo
@MeryNyabo 21 күн бұрын
Huyo dem wa red anakataa handsome boy na vile anatembea kaa mbata
@manirahassn1153
@manirahassn1153 18 күн бұрын
@@MeryNyabo kwani n uyo n hb ety lkn tu ao wanawak hawajitmbui
@ElinahMligo
@ElinahMligo 29 күн бұрын
Hapo Kwanza nicheke rangi mbili kifua uwii
@djanfarmoulay6865
@djanfarmoulay6865 Ай бұрын
Nauza mafuwa kwa bei nafuu 😢tena ni yale makalii 😢😢
@AdveraJoseph
@AdveraJoseph 15 күн бұрын
Niko upande wa mr😂😂😂
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 23 күн бұрын
😂😂😂😂 wote nimalaya awawanawake
@officialsekela
@officialsekela 8 күн бұрын
Akikosa uko mje nahuku kwenye comment 😂tumewasha taa mda San
@ellyanthony704
@ellyanthony704 25 күн бұрын
Wazee taften madem wakali bhna mademu wanaokuja hapo wabovu sanaa saaaaaan
@foyberichard1435
@foyberichard1435 22 күн бұрын
Peleka dada zako au na wao wabaya😂😂
@fidonifidel
@fidonifidel 4 күн бұрын
Jamani mbona maswali mingi, mumuelewe mtu
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb Ай бұрын
Jamani mm na uliza hapo haparusiwi kuvya chochote kichwani
@AzaSultan-j8d
@AzaSultan-j8d Ай бұрын
Hao warembo wanaboa
@berinamaugo5805
@berinamaugo5805 6 күн бұрын
Na mtachelewa kufika kumbe mmenda kutafuta pesa
@AdelideMakokha-i8y
@AdelideMakokha-i8y 3 күн бұрын
Aliyah mwenye ako uchi
@NoorSaid-x2q
@NoorSaid-x2q Ай бұрын
Mtakesha hapo kusima mnachagua sana
@janemartine5967
@janemartine5967 6 сағат бұрын
Yani Hawa niwale walio piga matukio makubwa kiufpi walishapiga umalaya wamechoka wamekja kujipanga Sasa wanatafta wanaume
@RebeccaMboya-g2q
@RebeccaMboya-g2q 23 күн бұрын
Sasa mwanaume unamika 24 umeenda kujidhalilisha kweli,nenda katafute pesa jamani
@StephaniaPandula
@StephaniaPandula 12 күн бұрын
Nampenda ariya
@WinneWinn-z5e
@WinneWinn-z5e 7 күн бұрын
Zarish ni mzee hata huyu mkaka asingemchagua yuko kama mdangaji
@NeemaMushi-y1c
@NeemaMushi-y1c 20 күн бұрын
Jamani hii ikifika mwakani mngeweka na walioko majumbani waweze kukupata Mt. Right jaman
@fetyshaban
@fetyshaban 21 күн бұрын
kifupi mr right siwezi ishi bila wewe😊
@aminabakari3799
@aminabakari3799 12 күн бұрын
Jaman Eliza bado yupo kwenye stage...
@sanitadina5857
@sanitadina5857 3 күн бұрын
Huyu mnipe mimi
@janemartine5967
@janemartine5967 6 сағат бұрын
Sasa mtu kama Eliza ana miaka mingapi sio 35 kabisa Yani huyo kama Hana watoto au ametoa mimba nyingi nahao wanawake nawenyewe wangekuwa Wana elezia maisha Yao yakoje naumuri wao
@Hapygideon
@Hapygideon Ай бұрын
Hii mbona ya kitambo
@janerachel1622
@janerachel1622 Ай бұрын
Flora unauzuri gani
@PascalLehao
@PascalLehao Ай бұрын
Udog so shida sema wanawake hajieliwii kabsaa
@HawaKajol-u5c
@HawaKajol-u5c 7 күн бұрын
C tumempenda
@ElifAthanas-or1dt
@ElifAthanas-or1dt Ай бұрын
Dr kumbuka wapi
@BossAlfred-ci1me
@BossAlfred-ci1me 13 күн бұрын
mr.right come kwangu🙈🙈🙈
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Ай бұрын
Siku hizi visichana vinamiaka 23 vinawatoto watatu jamani wakaka kuweni makini wadada sasahivi wanapenda pesatu mara wanataka Gali na kuvaa vizur
@KanezaAmina-t4h
@KanezaAmina-t4h 17 күн бұрын
Mbon hamjawahi tuonyesha maendeleo ya wale walio chaguana kweny vipindi vya mwanzo
@CralenceWilix
@CralenceWilix Ай бұрын
Mbna madem wenyewe kama madanga hv afu wabovu sio poa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 26 күн бұрын
Nashangaa😅
@MerianiMrwanda
@MerianiMrwanda Ай бұрын
Yanapenda kudanganywa hayo
@PeterNgollo-lb5iz
@PeterNgollo-lb5iz 20 күн бұрын
😂😂😂😂
@FeristerKivembele
@FeristerKivembele 17 күн бұрын
@@MerianiMrwanda 🤣🤣🤣hayo kwani ni majini?
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 күн бұрын
Takataka
@HusnaX-u6q
@HusnaX-u6q 25 күн бұрын
Mnielekeze niende mm jaman 😂😂
@irenejulias3407
@irenejulias3407 14 күн бұрын
Huyo zalish kama hawez atoke
@ChazJulias
@ChazJulias Ай бұрын
wakaka mwanamke anaishi dar hana kazi njoo usiku mwananyamala utamkuta
@KasianiTitus-y3y
@KasianiTitus-y3y 9 күн бұрын
Aibu unataka bila kupata demu
@pudensianaosward
@pudensianaosward 13 күн бұрын
Nipeni huyu kaka
@SamiraMasoud-v6z
@SamiraMasoud-v6z 7 күн бұрын
Ila uyu florah😂😂😂 kashachanganyikiwa tayr
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb Ай бұрын
Hana kifuwa engekuwa nacho pia ungesema pia ana kifuwawa
@IBRAHIMEMMANUEL-i2i
@IBRAHIMEMMANUEL-i2i Ай бұрын
Dawa yawo hao nikuwaongopea tuu maana wote hapo wanaonekana tamaa zao kubwa nikupata wanaume wenye hela
@NshimireWilermine
@NshimireWilermine Ай бұрын
Kabisaa amna alie serious 😊
@norregaraper5383
@norregaraper5383 21 күн бұрын
Hivi hii kitu uongoooo
@MargretPius-v6p
@MargretPius-v6p 6 күн бұрын
Hii midada inaboa sana
@TinsiaBruno
@TinsiaBruno Ай бұрын
Jmn naomben kuuliza hiv lulu alishapataj mr light simuonag tn
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 24 күн бұрын
mr right namba 3 siwezi kuishi bila wewe😢😢
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 Ай бұрын
niko upande wa mr right yupo juuukaka nstaaarabu tyuu ila wadada hawa mggg 😢😢
@SomoeMohamed-ie1dk
@SomoeMohamed-ie1dk Ай бұрын
Season 6 na dr kumbaka imepotea wapi? Wanarudia season 5
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 14 күн бұрын
Ina maana hapo hawatakiwi warembo waliojisitiri ni lazima uvae mavazi ya kuonyesha utupu ?
@jumakibo6150
@jumakibo6150 Ай бұрын
Frola mbona kama age go hivi au sababu kana makasiliko
@AthumaniAlly-m1k
@AthumaniAlly-m1k 26 күн бұрын
Lulu diva nkusalimia jirani yako kwaminchi n mimi nataka Kuja hapo
@chriskalega4348
@chriskalega4348 24 күн бұрын
Ila mambo mengine bhna nimegundua wanawake wengi wanaoenda wanaume wanao fanya kazi za kawaida ila siyo kazi za kujitangaza
@SashaSalum-dl6ni
@SashaSalum-dl6ni Ай бұрын
kama hmn mpya fungen Mr right .tuanglie Bss .mna hkuna mpya hpa
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 341 М.
BSS 2024 SE15 EP05 DAR | FULL SHOW
1:30:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 27 М.
KAMA UNABISHA NIPE MKONO  - KIMBEMBE
4:58
Wasafi Media
Рет қаралды 119 М.
MAJAJI WAPAGAWA NA SAUTI YAKE || APITA BILA PINGAMIZA
2:38
MBAGALA online TV
Рет қаралды 186 М.
KRISBABY anajua kudance waah😍
1:14:28
St Rembo TV
Рет қаралды 288 М.