NZI CHUMA HUPUNGUZA HADI 80% YA GHARAMA YA CHAKULA CHA MIFUGO ,ANABADILI UCHAFU KUWA KIPATO.

  Рет қаралды 995

Shamba Ujuzi

Shamba Ujuzi

Күн бұрын

Moja ya changamoto kubwa kwa wakulima na wafuagji nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla, ni bei ghali ya vyakula pamoja na pembejeo. Changamoto hii imedumu kwa miongo kadhaa kwa sasa.
Ufugaji wa nzi chuma maarufu kama Black Soldier Fly unaweza kuwa suluhisho kwa wakulima na wafugaji kwani ni rahisi na salama, hivyo kuongeza kipato kipato na faida lukuki kwa mkulima na mfugaji.
Nzi Chuma hutumika kuzalisha funza ambao hujulikana kama wadudu lishe, wenye kiwango kikubwa cha protini, hivyo kusaidia ukuaji wa haraka kwa wanyama na ndege kama nguruwe, ng’ombe, kuku, bata na samaki huku mabaki yake kutumika kama mbolea asilia yaani Organic Manure.
Ufugaji wa Nzi Chuma unaweza kupunguza gharama za ulishaji wa mifugo kwa 80%, hivyo kupunguza hasara kwa wakulima pamoja na wafugaji.
Bi. Mariam Mabugo, ni mhitimu wa Shahada ya Sheria, mwanzilishi na mvumbuzi wa mradi wa Waste Protein Tech, anatusimulia.
Karibu tujifunze pamoja.
English Translation
One of the biggest challenges for farmers in Tanzania and Africa in general, is the highest price of food and inputs. This challenge has been going on for decades.
The Farming of Black Soldier Fly can be a solution for farmers and livestock keepers as it is simple and safe, thus raising incomes and profits for the farmer and livestock keepers.
Black Soldier Fly is used to produce maggot that are known as nutritious insects, with high levels of protein, thus supporting the rapid growth of animals and birds like pigs, cattle, chickens, ducks and fish while its residue being used as a natural fertilizer i.e. Organic Manure (Mboji).
The farming of Black Soldier Fly can reduce the cost of livestock feed by 80%, thus reducing losses for farmers as well as livestock keepers.
Ms. Mariam Mabugo, a graduate in the Bachelor Degree of Law, founder and inventor of the Waste Protein Tech project, presents the project to you.
Welcome so that we can learn together.

Пікірлер: 2
@abihumwambete6466
@abihumwambete6466 Ай бұрын
Nimepata madini na nimeipenda huyu BSF
@shambaujuzi7979
@shambaujuzi7979 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nma4fZyEeahgZ9k Kama wewe ni mkulima ama mfugaji na ungependa tukutemblee kwa ajili ya kujifunza comment namba yako na timu nzima ya shamba ujuzi itawasiliana nawe.
Inventing Tomorrow: Maggots turn food trash into treasure
5:16
Kristie Lu Stout
Рет қаралды 42 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
【SDGs】300 Worms vs Banana #vermicompost  #earthworm
2:51
Nature Trip
Рет қаралды 2 МЛН
Gharama ya chakula cha kuku wa mayai 500
5:14
Layers Pro
Рет қаралды 3,8 М.
How to start small scale Black soldier fly farm?
12:52
Kijani smile
Рет қаралды 48 М.
WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI
8:52
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
HYBRID SUNFLOWER SEEDS PERFORMANCE IN TANZANIA
29:48
Kilimo Biashara
Рет қаралды 32 М.
Shamba darasa la maharage: siku ya mkulima na sakirp (enabel)
11:34