WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI

  Рет қаралды 14,315

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

5 жыл бұрын

Kampuni Biobuu Limited ya Wadudu inayotumia takataka za Ogani kulisha mabuu ya inzi weusi aina ya Black Solder flay iliyopo Wilaya ya Mkuranga mkoAni Pwani.

Пікірлер: 38
@salehmgide9538
@salehmgide9538 5 жыл бұрын
Safi sana kazi ni nzuri mmeiona fursa mkaitumia
@eradolyamuya3929
@eradolyamuya3929 4 жыл бұрын
Safi sana.Mimi nahitaji hao wadudu wakiwa wazima
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 4 жыл бұрын
hongera sana kwa kazi nzur na elimu nzur
@saidhamisi2795
@saidhamisi2795 4 жыл бұрын
Hapo sawa
@josiahkulwa34
@josiahkulwa34 2 жыл бұрын
Hongera
@majaliwamaingu2825
@majaliwamaingu2825 4 жыл бұрын
Kwa Wabongo tulivyo hata siku moja hawezi kukuelezea kinagaubaga namna ya kuwatayarisha hao inzi zaidi ya kukuburashia tu na ndo maana hawawezi kujibu comments. Vile vile kama unataka kuanza kuwazalisha hao maggots ingia kwenye mitandao tu utajifunza kila kitu, tusichoke kujifunza ni kiasi tu cha kuandika Black Soldier Fly Larvae farming unaletewa kila kitu. Utaona how to feed the BSF, how to build the cages for maggots breeding. Tusichoke hawa inzi tunakaa nao pamoja na kuwa ni siyo house fly bali ni wild fly. Tugoogle tutajifunza mengi. Wataalamu wa kufuga hawa inzi hasa ni Waindonesia, waphilipino hata waganda tu.
@lameckmarco3964
@lameckmarco3964 4 жыл бұрын
Majaliwa Maingu ushauri mzuri, me nilishateseka natafuta jinsi ya kufuga senene sijafanikiwa.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 3 жыл бұрын
Nimeamgalia wanaelezea vzr
@nicksonurassa4033
@nicksonurassa4033 3 жыл бұрын
Umesema vuzuri broo
@kassimhatibu8659
@kassimhatibu8659 2 жыл бұрын
Habar naomba kujifunza au mniuzie hao inzi
@afiamsangi3717
@afiamsangi3717 Жыл бұрын
napmba no
@jbwisdom5690
@jbwisdom5690 3 жыл бұрын
Mko vizuri mawasiliani nitapataje
@jbwisdom5690
@jbwisdom5690 3 жыл бұрын
0767326465
@godfreymwambakatimo9000
@godfreymwambakatimo9000 4 жыл бұрын
KAZI NZURI SANA,NAONBA KUJUA BEI ZAKE MAANA NAITAJI KUWATUMIA KULISHA SAMAKI
@gabrielurio6545
@gabrielurio6545 Жыл бұрын
Hao wadudu wanakula takataka kama mabaki ya chakula yaliyo changanyika kwa kusaga yawe kama tope
@kabyemelaibra3236
@kabyemelaibra3236 Жыл бұрын
Naomba kujua hao inzi wanakula nini ili waeze kutaga?
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 3 ай бұрын
Mbegu ya hao wadudu inapatikana wapi?
@KukuVillage
@KukuVillage 4 жыл бұрын
Mbona hamjibu comments? Ni vizuri mngeweka na mawasiliano ya namna ya kuwapata hao wazalishaji ili kupata bidhaa hizo.
@majaliwamaingu2825
@majaliwamaingu2825 4 жыл бұрын
Hawawezi kukujibu andika tu BSF farming utaletewa kila kitu ndugu yangu pamoja na kuwa lugha inayotumiwa siyo lugha yetu lakini utaelewa kwa vitendo.
@petronillajosephat91
@petronillajosephat91 Жыл бұрын
Mbna hamuwek mawasiliano nnahitaji pia mnauzia wap
@erickemanuel1171
@erickemanuel1171 2 жыл бұрын
Haina maana kurushia Crip bila mawasiliano ya wazalishaji
@eradolyamuya3929
@eradolyamuya3929 4 жыл бұрын
Naomba kuwatembelea ili nijifunze
@nikuzejoselyne7834
@nikuzejoselyne7834 4 жыл бұрын
How much price for 25kgs or per kg
@tumainicompany4294
@tumainicompany4294 2 жыл бұрын
Tunaona namba zenu
@abdalasaidngozi554
@abdalasaidngozi554 4 жыл бұрын
Asante sana kwa KAZI nzuri.Mimi NI mfugaji nahitaji hao funza waliokaushwa.pia wazima.Tafadhali nijuze bei zenu,Mimi 0758111802.
@ezekielsangari9675
@ezekielsangari9675 4 жыл бұрын
Safi kbisa naitaji mbegu namba zangu 0743539874 namba ya wsp 0762658727
@bahusasylva8097
@bahusasylva8097 3 жыл бұрын
Naitaji mayayi ya Black solder fly, ninayapataje?
@evancetemba3336
@evancetemba3336 3 жыл бұрын
Ni rahis kuwapata
@bahusasylva8097
@bahusasylva8097 3 жыл бұрын
@@evancetemba3336 Nafurai kusikia kama niraisi kuyapata,
@evancetemba3336
@evancetemba3336 3 жыл бұрын
Chukua kinyesi cha kuku kama kilo moja na pumba kama kilo moja changanya na maji kisha weka kwenye ndoo ndogo mbili.tafuta papi mbili ndogo za mbao kata vipande vipande kisha unganisha vipande viwili viwili hakikisha unaisha nafasi kiasi kati ya hizo mbao ili atagie humo.weke hizo papi ndani ya ndoo kwa kupishanisha kama msalaba. huo mchanganyiko ukishaanza kuvunda peleke kwenye vichaka acha huko kama week nzima ila uwe unaenda tembelea kuona maendelea...utawakuta tu wametaga.
@evancetemba3336
@evancetemba3336 3 жыл бұрын
Ili kuzuia mchanganyo kugaribiwa na wanyama unaweza hata ning'iniza ndoo zako huyo inzi atafika tu maana atavutiwa na uvundo....yan kifupi huyu inzi hupenda uvundo so penye uvundo ataku atataga wewe weka mazingira tu kama nilivyokuelezea...baada ya hapo endelea na masomo yapo you tube mengi tu kuhusu jinsi ya kulea mpaka anakua inzi.
@bahusasylva8097
@bahusasylva8097 3 жыл бұрын
@@evancetemba3336 Ninashukuru sana nitajaribu
@mjimtakatifu4300
@mjimtakatifu4300 4 жыл бұрын
Kwa anayetaka kujua namna kujua namna ya kuwatengea hao nzi wasiliana mimi kwa namba 0714510795
@richardmarisa1600
@richardmarisa1600 4 жыл бұрын
Naomba kujua namna ya kuandaa 0785 021 993
SUA kuzalisha Nzi Chuma kama chanzo cha Protini kwa Samaki, Kuku
14:01
SUA MEDIA TANZANIA
Рет қаралды 2,1 М.
KIPINDI: (FAHAMU NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA BORA CHA SAMAKI)
29:16
mifugouvuvi Online Tv
Рет қаралды 4,6 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 6 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 120 МЛН
Episode 3: Black soldier fly rearing
10:11
ICIPE - International Centre of Insect Physiology and Ecology
Рет қаралды 121 М.
TAJIRIKA NA KILIMO CHA ALIZETI
12:51
Tanzania Kilimo digital Tv
Рет қаралды 965
Fanya Usafi Wa Bafuni Na Chooni Na Bariki😂😘😊
8:48
Bariki Karoli
Рет қаралды 14 М.
Aeleza walichozungumza saa chache kabla ya kutoweka mchumba wake
4:41
How to Use BSF Biowaste Treatment - Step by Step
5:36
Sandec Eawag
Рет қаралды 2,7 МЛН
How to start small scale Black soldier fly farm?
12:52
Kijani smile
Рет қаралды 38 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН