Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza dial *837*2692#

  Рет қаралды 15,001,908

Obby Alpha  🏅

Obby Alpha 🏅

Күн бұрын

Пікірлер: 4 300
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha 15 күн бұрын
Tumeagizwa upendo ❤ Shukuruni kwa kila jambo kwa maana hayo ndio mapenzi yake Mungu.
@stevesaa3187
@stevesaa3187 14 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊😊
@stevesaa3187
@stevesaa3187 14 күн бұрын
😊😊😊😊😊
@stevesaa3187
@stevesaa3187 14 күн бұрын
😊😊😊0😊😊😊😊😊000
@EdgarRongooh
@EdgarRongooh 14 күн бұрын
hii ni bonge moja ya nyimbo ya kuimbwa miaka na miaka
@gichagua
@gichagua 10 күн бұрын
Hi I’m a fan❤
@PresenterKai
@PresenterKai Жыл бұрын
Wimbo mkubwa sana huuu Obby, Mungu akuzudishie kibali chake kwa watu wake. Amen.
@FLORAMWIMBO
@FLORAMWIMBO Жыл бұрын
❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha Жыл бұрын
Kakaangu ahsante sana kakaa tuzidi kuombeana kakaanguu
@kelvinblessed34
@kelvinblessed34 Жыл бұрын
True 🙏🙏
@jane7857
@jane7857 Жыл бұрын
Bless u khaii
@carolinemurugi4121
@carolinemurugi4121 Жыл бұрын
This will hit a million views in few weeks❤❤❤❤😊
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Hizi ndio Nyimbo tunapenda kusikia kwa afya zetu za akili, imani na maisha
@bilaalbabu4643
@bilaalbabu4643 Жыл бұрын
Kweli kabisa 💯
@Milly-v7g
@Milly-v7g Жыл бұрын
Mimi sahiii napitia machungu sana kùpotesa mtoy lakin hii inaniboesha roho yangu
@mercykerubo9604
@mercykerubo9604 Жыл бұрын
Kweli
@eliamakere3089
@eliamakere3089 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri mno
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@DamarisWalindi-t9l
@DamarisWalindi-t9l 17 сағат бұрын
Maybe God sent you to give me this message, I can't imagine my friends insulting me coz I wasn't able to join campus,, I trust my GOD it will happen one day ❤❤
@ezekielamisi6977
@ezekielamisi6977 16 сағат бұрын
They are not your true friends. Keep a distance.
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Жыл бұрын
Wimbo pendwa Sana kwa wasikilizaji kama umeamini alichokifanya alpha gonga like zangu hapa
@RomanRommy-g2z
@RomanRommy-g2z 4 ай бұрын
Yeah broo
@amarshaban1754
@amarshaban1754 Жыл бұрын
I'm a Muslim but since I heard this song it has been on repeat mode ❤ you are talented
@Fraciencwa94
@Fraciencwa94 Жыл бұрын
What does Islam have to do with this? Stop disrespecting the religion. Listen to the song in peace
@sammykamau257
@sammykamau257 Жыл бұрын
Muslim see Cristian as kafiri...and Muslim also think they're the only ones who are worshipers of the true God (ALLAH) THEY JUDGE but they don't know they're judging also...
@ashindaismail7392
@ashindaismail7392 Жыл бұрын
Just listen ,,the song is straight , he only mentions Mungu/God .. the song is divine but does not select a certain religion or belief as long as it’s God with no strings attached
@graceyngonyo625
@graceyngonyo625 Жыл бұрын
Ameen yaroobi
@joshuandaki8077
@joshuandaki8077 Жыл бұрын
thats great bro💪🔥
@MzeeMoja1
@MzeeMoja1 Жыл бұрын
Wasanii wa Tanzania tunawapenda sana Kenya! This is another banger, so fire!
@susanmalongo2398
@susanmalongo2398 Жыл бұрын
It is a good song😊❤❤❤❤❤❤
@AjAj-fx2bz
@AjAj-fx2bz 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 5 ай бұрын
Us too but there some few people from your country many times abuse Tanzanians in Education and development they don't know even China was down but now it's compared to USA😢
@teddytemu2897
@teddytemu2897 2 ай бұрын
Ni mkenya kumbe😂
@darlingqueendee3822
@darlingqueendee3822 23 күн бұрын
Am giving my thanks to God. Listening to this song 1/1/2025. Nipeni likes zenu wakenya wenzangu. Turudishe sifa na shukran kwa mungu ametuvusha salama
@faustacharles111
@faustacharles111 Жыл бұрын
Huu wimbo ni ushuhuda wangu…Listening this song working hard day and night tangu nije Abroad life is hard lkn nikikumbuka nilipotoka GOD is great…. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 if ur reading this usikate tamaa kesho yako ipo karibu💪🏾
@EmmanuelAntonio-l3m
@EmmanuelAntonio-l3m Жыл бұрын
Nimejikubali sasa
@EmmanuelAntonio-l3m
@EmmanuelAntonio-l3m Жыл бұрын
Napendezwa sana na baraka hizi
@PetloNelson
@PetloNelson 9 ай бұрын
🎉🎉🎉pamoj
@jumwa2714
@jumwa2714 9 ай бұрын
Sichoki kusikiza hii wimbo❤
@eldiablo7841
@eldiablo7841 9 ай бұрын
Amen ❤
@africanblossoms7544
@africanblossoms7544 Жыл бұрын
Thank you Tanzania for representing Eastern Africa in good songs. Kenya tuko pamoja na nyi
@naftalikahare9068
@naftalikahare9068 Жыл бұрын
❤love from 254
@Darling99booo
@Darling99booo Ай бұрын
Love from 255❤️
@miriamismael-n9r
@miriamismael-n9r 3 ай бұрын
Who is here with me October 2024..jamani tuonyesheni upendo kwa majirani zetu wimbo mzuri huu...much love frm🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mohammad-x5k3t
@Mohammad-x5k3t 3 ай бұрын
😂,✨🌟🌟🌟🌟🌟🌟
@annievibes8794
@annievibes8794 2 ай бұрын
3rd november ❤
@Dianamo-u4k
@Dianamo-u4k 2 ай бұрын
​@annievibes8794 me too dear nimejipata nikiimba nikaona wacha nikimbie youtube nibarikiwe ❤❤❤
@annievibes8794
@annievibes8794 2 ай бұрын
Kwa kweli nyimbo ni nzuri japo mie madhehebu yangu ni mengine ila nazipenda sana nyimbo zao yeye na joel❤​@@Dianamo-u4k
@Daniel-nw7lv
@Daniel-nw7lv 15 күн бұрын
🎉 good morning 🌅🌅
@JoyceIumbasi
@JoyceIumbasi 4 күн бұрын
Naependa sana aky asant kwa kuambia hii wimpo
@belindamboya9132
@belindamboya9132 Жыл бұрын
This song inanitia Imani Na nguvu za kuendelea kubambana 💖💖💖repsenting my country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪in Gulf 🇱🇧🇱🇧🇱🇧
@lucymallya4250
@lucymallya4250 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri nina angalia hii tu 💖 🎉❤ napenda sana kuliko nyimbo zote 1:40 1:40
@PeeNganga
@PeeNganga Жыл бұрын
♥️♥️♥️😍
@Jademuthomi
@Jademuthomi Жыл бұрын
ME too
@Lishlish510
@Lishlish510 11 ай бұрын
❤❤
@vumivumilema6503
@vumivumilema6503 10 ай бұрын
vp
@The_Peacemaker
@The_Peacemaker Жыл бұрын
Iyi nyimbo inanifanya lia sana, namuomba mungu kila siku, kila siku. Anibariki nimsaidiye mama yangu🙏🙏🙏
@edward_ethane
@edward_ethane Жыл бұрын
Same me here,....natamani ngekua na uwezo wa kumsaidia mamangu pia
@upendokihunrwa3427
@upendokihunrwa3427 Жыл бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako soon uweze kufanya hivyo
@PraygodNnko
@PraygodNnko Жыл бұрын
Mungu akusaidie 🙏
@lightinessblighton5230
@lightinessblighton5230 Жыл бұрын
❤❤
@pamocstudio2150
@pamocstudio2150 Жыл бұрын
Keep on trusting in him,,,,his time is always the best!!
@judyjoshofficial5992
@judyjoshofficial5992 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🇰🇪 kenya 😊😊😊love 😍 Balikiwa sana keep shining Kenyans like ziko wapi?
@Haghaimwansasu
@Haghaimwansasu Жыл бұрын
❤❤❤😊
@mudricPokoleee
@mudricPokoleee Жыл бұрын
Tupo from mombasa one
@mudricPokoleee
@mudricPokoleee Жыл бұрын
Hujawai kosea kaka
@mudricPokoleee
@mudricPokoleee Жыл бұрын
🔥🔥
@mudricPokoleee
@mudricPokoleee Жыл бұрын
Bgap sana kaka
@martinmuthuitito4844
@martinmuthuitito4844 8 ай бұрын
I put this comment here so after a month or a year when someone likes it reminds me of this beautiful song
@iBlaq
@iBlaq 6 ай бұрын
Be Blessed years to years
@marykiio304
@marykiio304 6 ай бұрын
Blessings 🙌🙌
@JacklineKaruthu
@JacklineKaruthu 3 ай бұрын
🎉​
@FelixNaibei-sq2he
@FelixNaibei-sq2he Жыл бұрын
"Taabasamu njoo, nataka nibadiili wangu mtazamo, niwaze kitajiiri.... "the part i love the most
@staceymathew3214
@staceymathew3214 Жыл бұрын
Justice is when this song gets 1M and above ❤
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha Жыл бұрын
WE ARE GONNA GET IT AND PROCLAIN HIS GOODNESS
@staceymathew3214
@staceymathew3214 Жыл бұрын
@@ObbyAlpha Amen
@babraaliero1444
@babraaliero1444 Жыл бұрын
Amen
@elidahshiks541
@elidahshiks541 Жыл бұрын
Amen
@deejaykagimd
@deejaykagimd Жыл бұрын
And it happened. 🎉🎉
@JosephMabula-u4d
@JosephMabula-u4d Жыл бұрын
Huu wimbo umepandisha sana kiwango changu Cha Imani. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu. Dear Father thank's for all you have done in my life & I keep waiting for all good you are going to do in my life. Ameen.
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Amen!
@MohammedkSesay-ji8iv
@MohammedkSesay-ji8iv Жыл бұрын
Can someone explain this song to me I love this song so much ❤❤. One love❤❤ Africa 🌍🌍
@johnathanmunai3891
@johnathanmunai3891 4 ай бұрын
Who's with me in September 2024..much blessings 🙌....this song motivated me after I lost my lovely Mum on 1st August 2024...
@janenjoki2799
@janenjoki2799 3 ай бұрын
Pole sana😢
@johnathanmunai3891
@johnathanmunai3891 3 ай бұрын
@@janenjoki2799 🙏
@gracehaywood5838
@gracehaywood5838 2 ай бұрын
I'm so sorry 😔
@tonykoome558
@tonykoome558 Жыл бұрын
I pray the song hit million views within a short period,a blessing voice.
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi Жыл бұрын
Wimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzbin.info/www/bejne/bJDLaHWaiZypb80 God bless you 🙌
@sacohg5458
@sacohg5458 Жыл бұрын
Me and you can make this a trend
@zainabblessed8313
@zainabblessed8313 Жыл бұрын
It will l believe
@evansbiwott6168
@evansbiwott6168 Жыл бұрын
amen
@joshuandaki-g9s
@joshuandaki-g9s 4 ай бұрын
it has happened🙏
@gracegithaiga5355
@gracegithaiga5355 10 ай бұрын
Who is here for this ? It doesn't get old Nakushukuru mungu🙏
@kibengaJr-ms1rd
@kibengaJr-ms1rd Жыл бұрын
Am a muslim but to be honest this song nearly made me cry,obby alpha there's something unique in you....God bless you
@AliAdan-x5q
@AliAdan-x5q Жыл бұрын
Same case
@AndhuruniAdamu
@AndhuruniAdamu 10 ай бұрын
Sio mbaya kijana kajitahidi sana ❤❤❤❤
@AndhuruniAdamu
@AndhuruniAdamu 10 ай бұрын
This song is best off course
@FadhilHongoli-yx7vn
@FadhilHongoli-yx7vn 4 ай бұрын
Honger kwa nyimbo nzur polen kwa kumpeteza mpendwa mwenzen
@Shey-n9y
@Shey-n9y 24 күн бұрын
Happy New year 2025....Huu mwaka naomba Mungu nami anikumbuke,,hizi why me zinanikera😢😢
@MatildaMhelela-ff9li
@MatildaMhelela-ff9li 3 ай бұрын
Assnte Boss wangu, leo umenibariki sana. Mungu akuzidiishie mara zote
@delvisnyaata7995
@delvisnyaata7995 Жыл бұрын
Mungu ameniinua 2024 nashukuru 💯💯
@SakinaMkhize
@SakinaMkhize 16 күн бұрын
I'm Zulu Muslim from South Africa but this song realized my mind Alhamdullilah ❤❤❤
@themerlins5833
@themerlins5833 Жыл бұрын
Wimbo unatia moyo sanaaaaa...shukrani sana kwa kutukumbusha kushukuru kila siku kila saa...wanadamu tunakuaga na tabia za kusahau mpaka vitu muhimu kama hivi maana ndivyo tulivyoumbwa
@janenjoki2799
@janenjoki2799 3 ай бұрын
Vaibu Kali sana ya asubuhi kaka.. Hunitia moyo sana🎉🎉
@Official_dafer
@Official_dafer Жыл бұрын
Niko Angani kwenye ndege naelekea gamboshi kambodia hadi rubani anaimba bora kushukuru🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ubarikiwe sana mtumishi obby Alpha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kabaisakarima9523
@kabaisakarima9523 Жыл бұрын
😂😂😂
@OfficialblessdePrince
@OfficialblessdePrince Жыл бұрын
Wimboo huu unanifanya nijiisi kuwa mm niwa dhaman .... 🥰🥰🥰
@zakariaandrew8981
@zakariaandrew8981 Жыл бұрын
Hii nyimbo imenikumbusha jinsi nilivokuwa natafuta maisha ,mungu kweli nimkubwa
@johnrichard871
@johnrichard871 Жыл бұрын
Nakubali wimbo bora katkanyimbo
@johnrichard871
@johnrichard871 Жыл бұрын
Goood
@elisantejohn3253
@elisantejohn3253 Жыл бұрын
Wimbo umekukumbusha, sio nyimbo ndugu, nyimbo zikiwa nyingi ikiwa mmoja ni wimbo. Barikiwa na wimbo huu popote ulipo
@DannyScorp-zq1sp
@DannyScorp-zq1sp Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo kwanza chorus, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@AngelaJackson-kw4pe
@AngelaJackson-kw4pe 11 ай бұрын
Obby mungu azidi kukuinua maana huu wimbo unamaana kubwa nimeupenda sana napia mungu azidi kukupa 2:17 kibali kwanyimbo zingne Thank u
@stanleycollinsotieno7643
@stanleycollinsotieno7643 9 ай бұрын
its cool my friend may God bless you
@carltonsalanmusic1
@carltonsalanmusic1 Жыл бұрын
I declare tht this video is going to trend for many months in God I trust ❤❤❤❤❤
@FredyMsangi
@FredyMsangi Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 Жыл бұрын
Amen
@erickmponeja2371
@erickmponeja2371 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾 lakini sio months tu huu utaishi for decades and centuries to come…
@omarysaid2356
@omarysaid2356 Жыл бұрын
Kaza Buti hunajua kumtukuza mungu
@mkamapatorose8120
@mkamapatorose8120 Жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo naurudia Kila napomaliza umenipa nguvu sana acha nikushukuru Mungu wangu maana njia zako hazichunguziki 💪🙏
@kelemakelema3705
@kelemakelema3705 Жыл бұрын
Mungu wangu akuinuwe Tena kweli Unanifanza nikumbuke mengi ubarikiwe
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 5 күн бұрын
ASANTEEE Kwa Kutukumbusha KUSHUKURUUUUU!!!!! Mungu akubariki saaana, WIMBO NI NAMBARI 01,Top, nipo hapa Dodoma Tanzania.
@JamesFavour-xo2tq
@JamesFavour-xo2tq Жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli, sung with simplicity yet it's a gem.
@annengugi2939
@annengugi2939 Жыл бұрын
Amen wimbo wenye kunisafirisha katikati ya maisha yangu tangu utotoni hadi utu uzima huu , kwa kweli ni wimbo wenye kunikumbusha matukio mengi ambayo badala ya kulia na kuhofu nilikuwa nishukuru tuu , ndugu OBY Mwenyezi Mungu akuzidishie na nyimbo kuu kutoka visima vyako vya uhai
@officialkizito849
@officialkizito849 Жыл бұрын
I will leave Cameroon and come to Tanzania for obby shows performance ❤
@SwaumMusahamisi
@SwaumMusahamisi Жыл бұрын
Asant
@thadeusmathiews2564
@thadeusmathiews2564 Жыл бұрын
😂😂Amen
@emmanuelsatia766
@emmanuelsatia766 Ай бұрын
👑 I'm big fun this time do more sheet 🇺🇸 Urumuri nukuri nibyo biranga aboturi Industry yuzuye inzazame
@silandahenry7663
@silandahenry7663 Жыл бұрын
Unakitu kikubwa, Mungu ameweka ndani yako, jitahidi sana kufanya kazi zako kwa kumtanguliza Mungu utafanikiwa. Wasiotaka ufanikiwe, watakuwepo lakini, usikate tamaa. Big up and thanx for good music once again
@safiahassan6563
@safiahassan6563 Жыл бұрын
May Allah bless u my dear i am muslim but it almost make me cry much love from North eastern part of kenya ❤❤❤❤
@Niyiturinda
@Niyiturinda Жыл бұрын
Me too brother......❤❤❤❤❤❤
@patrickKitambo
@patrickKitambo 7 ай бұрын
What does being a muslim have to do with a wondeful song like this?
@kanisiusphilberth6895
@kanisiusphilberth6895 10 ай бұрын
huu wimbo unagusa maisha yetu tunayoyaishi nami ni miongoni mwa huo wimbo maana bila mungu hatuwezi
@DorahPeter-m3c
@DorahPeter-m3c 3 ай бұрын
jmn ubarikiwemore❤❤❤🎉
@erickmponeja2371
@erickmponeja2371 Жыл бұрын
Huu wimbo ni a masterpiece ambayo itaishi for decades and centuries to come, Mungu azidi kukubariki 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@elizabethpiere465
@elizabethpiere465 7 ай бұрын
Yaani wimbo huu ni ibada iliyojikamilisha. Mungu akufikishe mbali zaidi Obby
@joansekigongo365
@joansekigongo365 11 ай бұрын
I love this song ❤ sooo much from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@JacklineJohanes
@JacklineJohanes 3 ай бұрын
Nyimbo nzur❤
@rosemarymutagaywa3904
@rosemarymutagaywa3904 Жыл бұрын
What a song !!!!!! The message, the vocal, the beat👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Hongera Obby……
@FredrickMwambago
@FredrickMwambago 2 ай бұрын
I❤ the beat
@KingkakSimon
@KingkakSimon Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka mungu akakupe nguvu katika kazi yako ya kumtukuza mungu nabarikiwa sana na wimbo huuu mungu akubalik mtumishi wa bwana amen
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 9 ай бұрын
Kazi kubwa sana mungu akubariki sana kijana kuna huyo mwanangu wa mkaa ananifurahisha sana kwenye video
@FrancisProsper-b4h
@FrancisProsper-b4h 11 күн бұрын
Mungu pia akubariki shekheee❤❤❤
@antonyosundwa5633
@antonyosundwa5633 Ай бұрын
Mwah obby alpha Smart
@johnohando2390
@johnohando2390 Жыл бұрын
Beautiful melody, vocals,visuals Beautiful everything
@officialkizito849
@officialkizito849 Жыл бұрын
From Cameroon 🇲🇱 I say this is a best song of obby ever, now I listen 209 times with My whole family
@JuxJemsi-uw1fs
@JuxJemsi-uw1fs 11 ай бұрын
Kaka umetisha
@LilyCruise-fp7mj
@LilyCruise-fp7mj 8 ай бұрын
Bigg up broda you going far,, Kenya 🇰🇪🇰🇪we love you 🤗🤗
@emmanuelngendakumana3361
@emmanuelngendakumana3361 Жыл бұрын
Mungu azidi kuinuwa kipaji chako. Nyimbo imenijenga zaidi☑️
@mamaemmanuel9472
@mamaemmanuel9472 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Mwanangu kama umeiona hiyo coment naomba ufanye uonane na mwanangu ana miaka minane anakupenda sana hasa huo wimbo. 1:31
@StanzaMata
@StanzaMata Жыл бұрын
This is the song I needed to listen to now, bora kuwa thankful maishani.... Love from Rwanda 🇷🇼 ❤
@Craig-qw6gl
@Craig-qw6gl 10 ай бұрын
Nice
@Jeniffer-j9m
@Jeniffer-j9m 11 ай бұрын
Xo good bro👋👋
@salummwipopo8142
@salummwipopo8142 Жыл бұрын
Huu wimbo umunipa matumaini Sana kwenye maisha yangu nikiwa nchini Rwanda 🇷🇼 nikielekea nchini Uganda 🇺🇬 mungu akubariki sana🎉
@mamaemmanuel9472
@mamaemmanuel9472 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Mwanangu kama umeiona hiyo coment naomba ufanye uonane na mwanangu ana miaka minane anakupenda sana hasa huo wimbo. 😅
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@JohnMakao-is9fm
@JohnMakao-is9fm 6 ай бұрын
Inabidi uombe namba yake hata sisi tunaocoment humu kama mnamjua basi msaidieni namba yake huyu anaye hitaji
@victorianyanduko9949
@victorianyanduko9949 Жыл бұрын
Praise is a weapon that makes enemies drown and thanksgiving is the password to all blessings set for us.This is such a powerful song.Much love from Kenya
@estherkamau9484
@estherkamau9484 Жыл бұрын
You're right
@karugipeter7392
@karugipeter7392 Жыл бұрын
I like music alot makes me happy everytime
@NdagijimanaPassifique
@NdagijimanaPassifique 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana wimbo huyu unanibariki sana nikiwa nasikiriza mungu akuzidishie Baraka amen
@shadiesharkz47
@shadiesharkz47 Жыл бұрын
I was Playing this song so loud🔊 until my neighbour called the police when the police arrived, they called the prosecutor;the prosecutor came and he then called the judge,when the judge came;he sentenced my neighbour for trying to kill the vibe 🔥 🌟
@bobbyasiani446
@bobbyasiani446 Жыл бұрын
😂😅😂
@MarthaLawrence-ip3uj
@MarthaLawrence-ip3uj Жыл бұрын
😂😂😂
@dianandave2112
@dianandave2112 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mercymuchinia9878
@mercymuchinia9878 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@florahkimaro9
@florahkimaro9 Жыл бұрын
😂😂
@mgessiwambura9265
@mgessiwambura9265 Жыл бұрын
Waooooow. Wonderful. Huu wimbo binti yangu mdogo ndiye aliyenielezea kuwa kusikia wimbo mzuri sana ikabidi niutafute. Hakika ni mzuri sana. Kazi nzuri sana kaka. Keep going!!!
@proviaprojectus7350
@proviaprojectus7350 Жыл бұрын
God is authentic❤...Grace in thanksgiving provokes the heavens attention for blessings😊
@Kanicee
@Kanicee Ай бұрын
do nimepata simu yakunifikisha uku ..wimbo ni tamu kuliko asali💥💥💥💥💥💥❤💯
@cfuna
@cfuna Жыл бұрын
This is one of the best songs that keeps resonating in my heart all day and all night long since the past few days. It's a great reminder of the many incredible things that have happened around my life since I lost my dad 25 years Ago and now I'm a man. Looking back, it's a great feat that God intended me to have such a great mom to take care of us( me and my siblings), I'll always be grateful for the miraculous interventions in our lives as a family even when we found ourselves between a rock and a hard place, at some point at the precipice, at some point at the Clif edge but the maker of all creation was never late...I have a lot to say but this song speaks my mind in every second of it. God bless you my guy.
@curtisaleckie2062
@curtisaleckie2062 Жыл бұрын
me too
@charlesjacob1499
@charlesjacob1499 11 ай бұрын
Itengeneze njia yako ya kumtukuza MUNGU kwani ulichokihubiri ktk wimbo huu ndiyo ukweli wenyewe ktk maisha tunayopambana nayo.MUNGU azidi kukubariki.
@mariamlulu-c8o
@mariamlulu-c8o Жыл бұрын
I'm a Muslim but whenever I hear this song it rekindles my everyday hope.
@RebeccaKibuta
@RebeccaKibuta Жыл бұрын
🎉🎉 God bless you and Jesus loves you.
@godisbetterdesigner4156
@godisbetterdesigner4156 Жыл бұрын
GOOD SONG
@WilliamOtsieno
@WilliamOtsieno 4 ай бұрын
Inagusa life ya wasio jiweza kama sisi inatupa biddii ya kujituma kwa life ❤❤
@mercykale541
@mercykale541 Жыл бұрын
My Everytime song even when I feel unwanted...God bless you❤️
@ZacharyMangara
@ZacharyMangara 5 ай бұрын
Love the song Kama unashukuru mungu mwema anasaidia kila sehemu gonga like tukisonga
@noldhp79
@noldhp79 Жыл бұрын
I imagine why I view this video several times in Canada 🇨🇦 and I reveal that this is a best song ever ❤❤
@AdelekeOkhoye
@AdelekeOkhoye Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi Жыл бұрын
Wimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzbin.info/www/bejne/bJDLaHWaiZypb80 God bless you 🙌
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi Жыл бұрын
​@@AdelekeOkhoyeWimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzbin.info/www/bejne/bJDLaHWaiZypb80 God bless you 🙌
@MichaelMaina-q2k
@MichaelMaina-q2k 29 күн бұрын
I love this song
@elizabethjasson819
@elizabethjasson819 Жыл бұрын
❤❤ Mungu atunze kipaji chako🇹🇿
@SarahMasika-d4g
@SarahMasika-d4g 3 ай бұрын
Nikiwa Kenya naupenda sana
@Danny254
@Danny254 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kakangu Obby.🇰🇪🇰🇪
@LeilaPeris-c4y
@LeilaPeris-c4y 3 ай бұрын
Huu Wimbo naupenda sanaa🎉🎉❤❤❤❤
@freedomzacharia5846
@freedomzacharia5846 4 ай бұрын
Nashindwa ata Kuiacha Hii nyimbo ifike mwisho,nairudisha nyuma na kuianza upya……… Nyimbo kubwa
@thomasorangi1072
@thomasorangi1072 Жыл бұрын
Huu wimbo wanitia moyo kwa hii maisha ,upendo 🇰🇪 ❤
@NshomaSayi
@NshomaSayi 6 ай бұрын
waliobarikiwa na uu wimbo like kwagu jamani👋
@kapeljjkapeljj5407
@kapeljjkapeljj5407 9 ай бұрын
Love this song Love from🇹🇿🇺🇸
@OjowiLaura
@OjowiLaura Жыл бұрын
I love this Song. Praise God for this wholesome message. God bless you Obby❤
@abusnype
@abusnype Жыл бұрын
Hii ngoma tamuu kama second life after death ❤❤
@Craig-qw6gl
@Craig-qw6gl 10 ай бұрын
I agree
@rosewachera97
@rosewachera97 7 ай бұрын
I agree with you
@GeoffreyWandera-s7x
@GeoffreyWandera-s7x Жыл бұрын
Wimbo tamu Sana na yenye kumpa mtu nguvu ya kusonga maishani❤❤
@ClareRisper
@ClareRisper 9 ай бұрын
Nice song big up🎉🎉
@sabrinabdi2210
@sabrinabdi2210 Жыл бұрын
This song has changed me in many ways may Allah help, protect and remember me and whoever has ever come into my life
@AmungaOmbunga
@AmungaOmbunga Жыл бұрын
I must listen to this song everyday. It gives me strength and reasons not to give up. Good song
@mrprideofficial2879
@mrprideofficial2879 Жыл бұрын
Acha niache comment yangu hapa 😮mzingo ukiruka nipate likes 😢😊
@ThomasMwengere
@ThomasMwengere 3 күн бұрын
wimbo hùu unanikumbusha mengi sana maana nikipindi ambacho watu waliniwinda kwa njia zote ila hakika huyu mungu ni mkuu sana
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 4 ай бұрын
Woooooh thank kaka God bless you wimbo huu nimeujua mda ila huwezi amini ndo nacoment to day so thanks much kaka ❤❤❤🤲🙏🏽
@RomanRommy-g2z
@RomanRommy-g2z 4 ай бұрын
Yaan ipo so fantastic xanaa
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 4 ай бұрын
@@RomanRommy-g2z kabis
@feliciarosamondmendy5723
@feliciarosamondmendy5723 Жыл бұрын
First time visiting Arusha, 🇹🇿 and I just love this song even though I don’t speak Swahili! (It just appeared on my KZbin playlist) God bless you and continue to give you more inspiration.
@joachimhancemwakoba8283
@joachimhancemwakoba8283 Жыл бұрын
Nyimbo inatuliza sana❤❤ ilikua niende kunywa pombe ila nimeishia njiani narudi nyumbani sasa,.nyimbo inasema yenyewe tusikate tamaa
@IbrahimNyumba-cg6xg
@IbrahimNyumba-cg6xg 7 ай бұрын
Mungu naomba umjalie mama angu namp3nda sana ❤
Obby Alpha Ft Guardian Angel -Pigana na Mungu  FOR Skiza Dial 6936423 To 811
4:05
🔴END OF YEAR 2024 GOSPEL  SONG - DJ P BOY254 GREATEST HIT🔥 VIDEO MIXTAPE
1:03:21
DEEJAY P BOY254🇰🇪
Рет қаралды 391 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 12 МЛН
NIMEPENDA REMIX - Guardian Angel  .x. Deus Derrick ft. Sammy G
4:15
Guardian Angel Global
Рет қаралды 20 МЛН
BEST OF OBBY ALPHA BORA KUMSHUKURU MIX PLAYLIST
29:03
DJ COLLITER TV
Рет қаралды 65 М.
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 2,3 МЛН
Calender  Ya Mungu by Koppa Gekon
3:19
Koppa Gekon
Рет қаралды 3 МЛН
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi (Official Video) Worship Song
16:16
Erick Smith
Рет қаралды 8 МЛН
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 861 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН