No video

Obby Alpha - Nimewasamehe For SKIZA SMS 69312229 To 811

  Рет қаралды 347,648

Obby Alpha 🏅

Obby Alpha 🏅

4 ай бұрын

Ndivyo Baba yangu wa Mbinguni atakavyowatenda ninyi,msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake, (Mathayo 18;35).
Ni maombi yangu kwa Mungu aunyooshe moyo wangu,wanaponikosea wengine nisiishie kusamehe na nikabaki na machungu moyoni.Mungu akaseme na wewe pia kupitia ujumbe huu AMEN.
Producer - Mixing Doctor
Director - Avie
Lyrics
Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.
Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.
Hivi ni nani daktari wa ugonjwa wa moyo nimjue,
Anitibu tafadhali huu mzigo mzito niutue.
Maana maumivu ni makali nahitaji ukweli niongee,
Kusamehe mi sijali ila kuachilia ndo nashindwa.
Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau.
Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau.
Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari.
Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.
Baba wapo wale niliowakopesha wakanidhurumu
Tena wapo wale hawakujua kosa wakanihukumu
Baba wapo wale niliowapenda wakanisaliti
Tena wapo wale niliowapa siri wakazisambaza eeh
Haya ni maombi yangu Baba yangu eeeh
Nikisamehe ponya maumivu kwenye moyo wangu,
Hata nikiwaona nisije kukumbuka mabaya yao.
Pia ni maombi yangu Baba yangu eeh
Pia wanisamehe kwa yote mabaya nilotenda,
Hata wakiniona wasije kukumbuka mabaya yangu eeeh.
Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau.
Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau.
Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari.
Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.
Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Пікірлер: 929
@nehemiahedward
@nehemiahedward 4 ай бұрын
Mathayo 6 : 14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
@lukiopictures
@lukiopictures 4 ай бұрын
Mungu nifundishe kuachilia 😢
@SamwelInnocent
@SamwelInnocent 4 ай бұрын
Kwa sababu ndiyo mapenzi ya mungu, kwamba kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu; kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya,(...) PET 2: 15-16
@patggggh
@patggggh 4 ай бұрын
🔥🔥🇰🇪
@winnieasiko5084
@winnieasiko5084 4 ай бұрын
Kusamehe ni rahisi ila kumbukumbu
@olverabel5106
@olverabel5106 3 ай бұрын
an uko vizur bro kazana
@TitohAmri
@TitohAmri 4 ай бұрын
Kama hii nyimbo imekugusa kabisa tuwe na moyo mmoja achilia like✋✋🎸🎸comment👇👇❤
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc 4 ай бұрын
wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu kwenye wimbo wa Alpha please 🙏🙏🔥🙏🙏🏼📖📖
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Amen
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@abroadmediatv8090
@abroadmediatv8090 4 ай бұрын
Kama unaamini yesu ndiye daktari nipe likes 400❤❤
@uiptv365
@uiptv365 4 ай бұрын
Mungu nifundishe kuwasemea wote walio ujeruwi moyo wangu 😢 Ni wakati wakuacha ya kale yapite 🙌🏽🙌🏽
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Hakika
@Vee_money
@Vee_money 2 күн бұрын
Zamani nlikuwa mwepesi sana kisamehe na kiachilia kabisa lakini gafla nkajikuta nmekuwa mgumu kisamehe jaman😢 sipendi kubeba watu moyoni😭 kupitia wimbo huu Jehova usinipite, niwasamehe watu nanl kuachilia kabisa. Amen
@user-mx2xl6qo4j
@user-mx2xl6qo4j 4 ай бұрын
kwa kweli Mungu akubariki sana kwa huu wimbo wapo wengi walio tuumiza mioyo yetu wakaipiga misumari wakatuacha tukingangana kuitoa misumari hiyo mioyo yetu bado inamwaga damu maumivu na majeraha mengi
@deboraleonard-b6l
@deboraleonard-b6l Ай бұрын
Wow wimbo huu umenifunza mengi mno katika maisha ninayoishi kiukweli Mungu atusaidie tuwe wepesi wa kuachilia ee Mungu utufundishe kuachilia 🙏🏾 be Blessed #Obby Alpha#
@BlessednyashaOfficial
@BlessednyashaOfficial 4 ай бұрын
how many agree that this video needs millions of views!
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
It’s a blessing 😊
@christineamuku1254
@christineamuku1254 17 күн бұрын
Sure 🙏🙏🙏
@CastorMabway
@CastorMabway 2 ай бұрын
Kuna watu mwimbaji kuwagusa kabisa, wapitia katika hali hii, kama ndo wewe, wimbo huu ufanyike daraja la kutoka kweny hiyo hali unapitia. Kama unaamini sema ameni
@NasialiCylus
@NasialiCylus 4 ай бұрын
Listening and watching from Kenya... Wapi likes za wakenya.
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 4 ай бұрын
kiukwel nimesamehe ila nikikumbuka moyo unadunda Ti Ti nyimbo hii ni kubwa sana naitabilia makubwa sana hongera sana obby umetukumbusha tumuombe MUNGU atupe karama ya kusamehe na kuaschilia,
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 4 ай бұрын
Asante Kwa ujumbe hatimae mrisi. wa Joel rwaga na clemnent. Ni wew
@catherinechristopher5926
@catherinechristopher5926 3 ай бұрын
Nimelia sana huu wimbo umenigusa sana😭
@missjosephs95
@missjosephs95 4 ай бұрын
Vile mimi hustruggle kuwachilia😢 though nasamehe but kuwachilia inanishinda kabisa.. haya ni maombi yangu pia. Nifundishe kuwachilia.🙏
@directorkali5245
@directorkali5245 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PaulMwakyusa-vz7ee
@PaulMwakyusa-vz7ee 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@veroniquegershomu9197
@veroniquegershomu9197 3 ай бұрын
Mungu nifundishe kuachilia Mimi mtoto wako 🙌🙌
@user-sq5db9bn8e
@user-sq5db9bn8e 3 ай бұрын
Kwa welii msamaha si kitu rahisi manake wanao tujerui mioyo ni wale watu wa karibu nasi tulio watarajia tukiwa nao watatuongezea furaha, amani, na upendo, ila hao hao ndiyo walivuruga ata kale kaamani tulikua nako nakuacha mioyo yetu ikivuja damu. Mm nilitendwa na rafiki kwa kuninyanganya mchumba wangu nilimsamehe ila nikimuona akipita moyo unalia machozi ya damu😭😭😭😭 yani nikimuona nakumbuka alivo nitenda nakosa amanii kabisaa. Mwenyezi tusahidie kuwasamehe na kusahau 🙏🙏🙏
@pierrerock.5949
@pierrerock.5949 4 ай бұрын
Ni ukweli mtupu kusahau imekua tatizo sana Mungu atusaide
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Mungu atuokoe
@rogathennko7894
@rogathennko7894 2 ай бұрын
Powerful song nmerudia kuckiliza mara nyingi barikiwa sana nyimbo zako zote ni nzuri sana zinagusa maisha yng
@Kiokogee
@Kiokogee 4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪tumeikubali 🔥🔥💯
@DeborahDeus
@DeborahDeus 4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi na azidi kukuinua kwa viwango vya hali ya juu hakika umenigusa siwezi kusahau mapito yote niliyoyapitia, nimewasamehe ahsante Yesu
@EnockZakaria-np9gh
@EnockZakaria-np9gh 4 ай бұрын
Hakika watasema tupate wapi tena mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@mgandikadesire
@mgandikadesire 4 ай бұрын
Kaka kiukweli nakosa pakuanzia kabisa nyimbo zko zote zinanigusa sana🎉🎉🎉🎉#desiremgandika❤
@mikaellusambi8483
@mikaellusambi8483 4 ай бұрын
Amini tatizo ni kuachilia Mungu nisaidie niachilie
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ShalomB2d
@ShalomB2d 4 ай бұрын
Kabisa🎉
@nickytymer3027
@nickytymer3027 4 ай бұрын
My Broh hii me mwenyewe nimewasamehe ❤️🔥🔥🙌
@estercharles2339
@estercharles2339 4 ай бұрын
Haujawah kufeli kaka obby Mungu aendelee kukutumia zaid
@WitnessSuki
@WitnessSuki 4 ай бұрын
Honger mabrother hakika unajua NMEWASAMEHE
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Nomaaaa sanaaa 🎉
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 4 ай бұрын
Wimbo bora wa mwaka 2024,,,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Glory261
@Glory261 4 ай бұрын
Ohol! Nimewasamehe wotee moyo wangu mweupeee kabisaaaa❤❤❤❤❤
@Techguru-org
@Techguru-org 4 ай бұрын
Kenya imekutambua bro, vijanaa na injili
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
Obby never disappoints🎖️
@Scania925
@Scania925 4 ай бұрын
Nifundishe kuwachilia mungu,,, nimewasamehe,,, Barikiwa kaka Obby
@mokidmofugiz6529
@mokidmofugiz6529 4 ай бұрын
Ngoma nzuri sanaa❤❤❤❤❤
@dicksonwakristo5385
@dicksonwakristo5385 4 ай бұрын
Shikamooo kakaa obby mwanangu unajuwa really
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Hakika 🎉
@IsackKivuyo
@IsackKivuyo 4 ай бұрын
Mungu nifundishee kuachiliaaaa😔
@highlightboy255
@highlightboy255 4 ай бұрын
NIMEWASAHEME😓🙏 ILA TATIZO KUACHILIA EEH MUNGU NIFUNDISHE KUACHILIA🙏
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Hakika anipe vyema kuachilia
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@yopasiamselabuye7456
@yopasiamselabuye7456 4 ай бұрын
Amen, huu wimbo unamaombi halisi ya moyo wangu,🙌🙌🙌😌😌
@chebusjohn8311
@chebusjohn8311 3 ай бұрын
Hello
@yopasiamselabuye7456
@yopasiamselabuye7456 3 ай бұрын
@@chebusjohn8311 yes hellow
@mercytalu6052
@mercytalu6052 22 күн бұрын
Mwenyenzi Mungu nifundishe kuachilia na kusamehe 🙏
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
There's power in forgiveness ❤️‍🔥
@mildredliambilah2605
@mildredliambilah2605 4 ай бұрын
Dear Lord nifundishe kuwaachilia walio nitendea maovu😢
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Amen 🎉🎉
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Amen
@johnmmasa
@johnmmasa 4 ай бұрын
Mungu Nifundishe kuachilia 🙌🏾🙌🏾😭
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@agusjohnny9039
@agusjohnny9039 3 ай бұрын
This guy be another thing on the gospel industry❤
@TravionKish
@TravionKish 4 ай бұрын
Once again victory from our boy
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
King of gospel music in Tanzania and east Africa generally 🎖️🎖️🎖️
@chrisofflcial
@chrisofflcial 4 ай бұрын
Pamoja sana kak
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 4 ай бұрын
Waiting
@georgedavid8358
@georgedavid8358 4 ай бұрын
Huu wimbo ni WA moto sana hata Mimi nimewasamehe🙏
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Hata Mimi pia
@Sarambikiofficial
@Sarambikiofficial 4 ай бұрын
Nimewasamehe ila tatizo kuachilia Mungu nifundishe tu kuachilia🙏🙏
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@juliethelizeus4425
@juliethelizeus4425 4 ай бұрын
Waoooooooow good song
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@maulinambwilo8563
@maulinambwilo8563 20 күн бұрын
Kusamehe ni rahisi ila kuachilia inahitajika neema ya Mungu kutuwezesha
@georgekinabo2201
@georgekinabo2201 4 ай бұрын
Hakika nyimbo nzuri sana
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Sanaa
@ShalomB2d
@ShalomB2d 4 ай бұрын
Kabisa
@doncolionthereferee254
@doncolionthereferee254 4 ай бұрын
Blessed are thoes who lessened to this song cuz it reminds us of the prayer Be blessed y'all
@neemamwakasitu3124
@neemamwakasitu3124 2 ай бұрын
Ameee😊🎉
@anjelambasha7908
@anjelambasha7908 3 ай бұрын
Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari Baba nikumbushe kuachilia,Baba wapo wale niliowakopesha wakanidhulumu😢 Nipe moyo wa kusamehe na kusahau
@merydavis3860
@merydavis3860 3 ай бұрын
hili ndilo ombi langu kwa Mungu siku zote , anifundishe kuachilia maana mimi nashindwa kusahau kabisa😢 eeeh Mwenyezi Mungu nifundishe kusahau nimechoka kumeza dawa za Pressure katika huu umri mdogo .
@ministertimmy254
@ministertimmy254 4 ай бұрын
Moto sana i love the reverb
@directorkali5245
@directorkali5245 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥
@estermgoma7451
@estermgoma7451 4 ай бұрын
Yaan kaka upo vizur wimbo mzuri
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉
@ChristinaCrenzi
@ChristinaCrenzi 22 күн бұрын
Napend nymb zako zinanipa moyo sssaan ubalikiwe saan🎉🎉🎉🎉c😂❤❤
@lydianamusia4380
@lydianamusia4380 2 ай бұрын
MUNGU wangu naomba unisaidie nisamehe na kuachilia 😭😭
@arwezgiftsman
@arwezgiftsman 4 ай бұрын
Naomba likes nirudi nicommenti ❤
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-pw5mi9mw3s
@user-pw5mi9mw3s 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@ellyxplatnumz5655
@ellyxplatnumz5655 4 ай бұрын
Obby htr xn🎉
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@IsackGibson
@IsackGibson 4 ай бұрын
Always ulikua ukifanya kazi nzuri na yenye baraka...hujui kukosea...an unatenda haki kwa kila nyimbo...UBARIKIWE SAN KK!
@julietmmbone5889
@julietmmbone5889 3 ай бұрын
Kwa kweli yesu ni daktari🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu nifundishe kuachilia ,iliniweze kuwasamehe wote walio nikosea 🙏 Good song
@realentertainment7703
@realentertainment7703 4 ай бұрын
Big shout out to the producer too💓💓💓💓
@Chachkid
@Chachkid 4 ай бұрын
Kabisa
@bethuelsabibi
@bethuelsabibi 4 ай бұрын
Thanks for a touching music, melody and lesson 🙏 be blessed Man of GOD go higher 🙏🎉
@godwingodfrey2955
@godwingodfrey2955 4 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema na aendelee kukubariki kufikisha neno lake na kuelimisha kupitia nyimbo nyimbo zako.
@nehidermallya5878
@nehidermallya5878 4 ай бұрын
Mungu naomba unifundishe kusamehe na kuachilia kila nikikumbuka walivo nijeruh moyo wangu naumia sana😢😢😢 Barikiwa Kaka
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
Oyaaa ankooooo 🚨🚨🚨🚨
@roymutie5266
@roymutie5266 4 ай бұрын
A great vocalist you’re 💯💯💯💯
@merydavis3860
@merydavis3860 3 ай бұрын
Nahisi ni mimi tu ndie nilieusiikiza huu wimbo mara nyingi kuliko wote .
@user-xi3vc2cq7h
@user-xi3vc2cq7h 4 ай бұрын
Nani daktariiiii jamaniii,,,, dah kweli nimesamehe lkn kusahau ndo tatizoooo
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Wimbo mkali sana
@gwakisamwandalima344
@gwakisamwandalima344 4 ай бұрын
Hata mimi nimewasameheeeeee
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@RiquitoManuel
@RiquitoManuel 12 күн бұрын
God bless you!🙏
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
Amen
@tabithanderitu8241
@tabithanderitu8241 25 күн бұрын
Nimekimbia apa kwaajili ya Chilambo..wimbo WA baraka juu🙏
@kennykibzofficial
@kennykibzofficial 4 ай бұрын
Wimbo coool kabisa... Nina hakika wakenya watafika hapa tuufikishe over a million views
@RaymondTarimo
@RaymondTarimo 4 ай бұрын
There's power in forgiveness ❤️‍🔥🔥🔥
@JudicaelleGatali
@JudicaelleGatali 4 ай бұрын
Ndabakunda Cyane mufite umwuka w'Imana ❤❤❤kusamehe inahitaji nguvu🙏🙏🙏📖📖📖 amina amina great work
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Imana ishimwe
@IsackKivuyo
@IsackKivuyo 4 ай бұрын
🙏🙏🔥🔥🙌🙌 nimesameh
@IsackKivuyo
@IsackKivuyo 4 ай бұрын
Mungu nifundish kusameh
@patamusicmsvangi6835
@patamusicmsvangi6835 3 ай бұрын
Toko Congo DR msanii wa gospel naku penda zaidi n'a nyimbo zako
@user-xe5ek7oz1t
@user-xe5ek7oz1t 2 ай бұрын
Huyu mshkaji yuko vizuri,nyimbo zake zinanigusa xan
@robertsaul1743
@robertsaul1743 2 ай бұрын
Tatizo kuachilia mungu nifundishe kuachilia 🤦🏽‍♂️❤️nikisamehe nifute nakusahau
@monicawanyoike1778
@monicawanyoike1778 3 ай бұрын
Aki woiye this song is mine aki naomba tu niweze kuwasamehe
@veromwanji
@veromwanji 2 ай бұрын
Mbalikiwe sana watumishi nyimbo zenu zinatufundisha sana
@dorcasbalozi1249
@dorcasbalozi1249 4 ай бұрын
Kusamehe ni rahisi ila kuachilia yahitaji neema ya mungu mungu ni fundishe kuachilia🙏
@Mt_mathius
@Mt_mathius 3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mtumishi, God bless you 🙏🏻🙏🏻
@sarahmtindo2373
@sarahmtindo2373 4 ай бұрын
The song 🔥Mungu nifundishe kusamehe
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
🙏🏾
@kaijagetv9643
@kaijagetv9643 4 ай бұрын
Kusamehe Huwa tunasamehe shida ipo kwenye kuachilia na kusahau hapo tu ndo Kuna tatizo. Mungu atusaidie tuweze kuachilia na kusahau 😢😢😢😢
@CasaTech_Tz
@CasaTech_Tz 4 ай бұрын
Nakukubali sana jamaa yangu....Mungu akupe maisha marefu tuendelee kufurahia huduma zako 🙏🙏🙏
@ibrahgee1
@ibrahgee1 4 ай бұрын
Ni kweli kakangu.. umenigusa M❤YO sana, ni kama huu wimbo ume direct Mimi, ubarikiwe sana 254 all the way ..!!
@user-xk5we1iz6c
@user-xk5we1iz6c 4 ай бұрын
Mungu nifudishe kusahau,si rahisi ila nimewasamehe,powerful message...man of God
@meraburaymond-it6tk
@meraburaymond-it6tk 4 ай бұрын
Mungu nifundishe kuachilia yote niliyoyasamehe🥺🙏
@paulinandalu2502
@paulinandalu2502 4 ай бұрын
Amina,tukisamehe tufute na kusahau japo kibinadamu mmmh,Mungu tusaidie
@willymasautiofficial
@willymasautiofficial 4 ай бұрын
Another banger from🇹🇿🇹🇿 ur friend willy from 🇰🇪🇰🇪won't stop supporting u Hadi mbingu zifunguke...wasemee to the world.
@ggfashions8225
@ggfashions8225 4 ай бұрын
Amina… wimbo wenye injili na ujumbe wa msamaha… ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@TKOTUPDATESTV
@TKOTUPDATESTV 4 ай бұрын
Tupige likes kwa Mkuu. Hii ni kali sana.
@kamauskitske9821
@kamauskitske9821 4 ай бұрын
Its so amazing gospel. Glorious to God.... Nice gospel song bro. 😇😇😇🙏🙏🙏🤗👌💯💯💯
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Amen 😊
@dianamwatonoka9286
@dianamwatonoka9286 4 ай бұрын
Nmemsamee😂 kwa huu ujumbe🙏👍
@MaryMtalimbo-yl1qk
@MaryMtalimbo-yl1qk 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo za mtumishi huyu Obby
@Jane-ml8od
@Jane-ml8od 2 ай бұрын
Nimesamehee lakini kuachilia siwezi jamani Mungu anisaidie
@daudinzunda8739
@daudinzunda8739 4 ай бұрын
Wewe dogo ni great thinker🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Bwana akupeleke mbele zaid
@ByarugabaJovan
@ByarugabaJovan 4 ай бұрын
Hakika
@paulcharles5536
@paulcharles5536 3 ай бұрын
Niliowapa sili nao waka zisambaza duh inaumiza sana huu wimbo
@KobeloChapombe-dx8wp
@KobeloChapombe-dx8wp 3 ай бұрын
Ee mungu naomba nijue kuachilia pale ninapo wasamee
Obby Alpha - Niokoe [ Official Video ] .For SKIZA SMS 69312230 To 811
4:47
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 156 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
Obby Alpha - Happy  For SKIZA SMS 69312227 To 811
3:45
Obby Alpha 🏅
Рет қаралды 35 М.
Kusah - Mungu Tu (Official Video)
3:27
Kusah
Рет қаралды 1,7 МЛН
Barnaba feat Joel Lwaga - SAYUNI (Official Music Video)
3:56
BarnabaClassic
Рет қаралды 3,4 МЛН
Asagwile - Ndoa (Official Music Video)
5:13
Asagwile Official
Рет қаралды 497 М.
NIMEPENDA REMIX - Guardian Angel  .x. Deus Derrick ft. Sammy G
4:15
Guardian Angel Global
Рет қаралды 15 МЛН
Obby Alpha- Washangaze (official Video) FOR SKIZA SMS 9514302 TO 811
4:38
Obby Alpha - Niokoe For SKIZA SMS 69312230 To 811
4:40
Obby Alpha 🏅
Рет қаралды 483 М.
Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video )    SMS SKiza 9841777 to 811
5:09
Paul Clement Official
Рет қаралды 4,5 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН