Talented dude...should be up there with the likes of Otile and Arrowbwoy but he disappeared for a while. Guys from Coast are really talented musically even when you look back to the 60`s when Sal Davis, Slim Ali and Kelly Brown were popping. Release music more often and you`ll be Kenya`s biggest thing Alhamdulillah
@wabsjustus11406 жыл бұрын
True
@wabsjustus11406 жыл бұрын
@254 Tv TRUE
@RitahTasmaniah5 жыл бұрын
Very true😍😭🎶🎶
@monicanjeri73535 жыл бұрын
We Mucheru Sidney umenikumbusha Kelly Brown. Masauti, Otile B, Makadem, Cannibal, Sharama, Vera Sidika , Luwi C. and almost all Nairobi diaries cast, Janet Mbugua, Gogo simo na wengine wengi Rep. coast. Hujaingia Malindi where everyone talks Italian like its swahili.
@DrElaantz275K5 жыл бұрын
mapenzi kujua namna ya kumpandisha nyege mwanamke kupitia unyayo na vidole vya miguu fungua link hapa kzbin.info/www/bejne/rWSzaYlojJ56ppI
@Okemwamichael-dk3dpАй бұрын
2025 mko wapi mapema ndio best 🙏
@stevekim3082Ай бұрын
Tuko hapa 😀😀
@BakariMwashambi-kk7feАй бұрын
😂
@baraka254safari29 күн бұрын
🔥
@Samuelkasamuel11 күн бұрын
Tumefika
@felix_empereur4 жыл бұрын
This song should be on one million plus views, wakenya wacheni kupeleka views bongo.. sheeeenzi Sana!
@nicholasvuyala4688 Жыл бұрын
❤ walai
@christineekutan5736 Жыл бұрын
❤❤❤
@fridnamusembi1019 Жыл бұрын
True ❤️❤️ I love these song since 2020
@Amax-o9j Жыл бұрын
Wana like ngoma z ulumiinatiiiii😂
@joelosinya5054 Жыл бұрын
Wakenya hatupendi wasani wetu
@evangai1730Ай бұрын
Yaani 6years na nmeiskia saa hii navile ni tamu
@DICKENKIMATHI-m6zАй бұрын
Ii Ngoma naipenda mpaka kesho ❤ unatuwakilasha vizuri Mzee wangu
@Dantehcryptos11 ай бұрын
😢😢😢this is an international song yawa mbona mko na wivu ivo😭😭😭 let's support our own please
@mbaruksaid57752 жыл бұрын
Vedeo iko smart na clear🔥🔥🔥🔥
@MagixEngaOnTheBeat6 жыл бұрын
🔥🔥🔥 Noma sana
@davidtimothy55806 жыл бұрын
Magix Enga picturing yuh two in one project ..thats an anthem
@ELISSKGTV6 жыл бұрын
Na wewe ni mkali wao... You plus him mazey ni mazishi, na og hapo ndani
@silasmurangiri4295 жыл бұрын
Magix Enga
@ryanfernandez31105 жыл бұрын
kabisa
@esbonmburu36975 жыл бұрын
Magixs pia amekubali
@sbdennovevo-zoukstar5 жыл бұрын
bado nipo hapa masauti Kenya boy nice song
@aleekay43995 жыл бұрын
Uko juu mkali
@kevoocoastboy94495 жыл бұрын
Mwanangu nipo kukupa full support #001 #masauti
@bonieranjiiri21735 жыл бұрын
Uko juu kuliko otile
@stellabii20143 жыл бұрын
This guy is totally underrated.. The voice, vocals ooooh my God🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@scolasticawambui18605 жыл бұрын
Mistari ya masauti na sauti inanimalizanga penda ww sana kaka... may God protect you wherever u go much love #masauti
@itsmeMM2544 жыл бұрын
Ndio tumeanza kukujua vizuri Masauti!!!sasa nikupepea kabisa
@victorinechelimo725511 ай бұрын
2024 anyone?
@aminajuma39267 ай бұрын
🙋
@joelosinya50546 ай бұрын
Niko ❤
@FabbyDeyah20245 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎧💯💪👌
@mmboneannet4 ай бұрын
niko
@edgarmweu44613 ай бұрын
I'm here 😊
@scolasticawambui18605 жыл бұрын
Tamu sana masauti zakimapenzi
@amnemabrukmabruk29 Жыл бұрын
My favourite 😍
@sadiagalgalll745 жыл бұрын
My favorite song ever ❤️ piga like wa kenya
@Mrpeace19005 жыл бұрын
Huyu chali ni mkali, nimekubali kwa asilimia yote
@barakamaulidy59215 жыл бұрын
hii nyimbo nmesikiliza siku nzima ya leo, bonge la ngoma
@aishaabdulaziz46572 жыл бұрын
Wallah tena
@mercyryan69615 жыл бұрын
I wonder why this song hasn't hit 1M views.. I'm so in love with his songs.. This are the kind of songs we should debate to played on Kenyan stations. Love you masauti
@wellingtoneoyugi88265 жыл бұрын
Even me
@issajohn89835 жыл бұрын
Me nilivyo sikiliza nilijua ni mtanzania. Maana alivyo uwa hongera sana broo ipepelushe kenya msaidie otile na og nimekuelewa sana kaka kenyan Boy East africa itabaki kuwa juu chiiiii
@maggieadea57943 жыл бұрын
You make me go gaga Unanimaliza sana Ninapokuona kwa tv ungejuwa jinsi gani unaniacha hoi Uzuri wako yani Mia kwa mia umeniteka Kenyan boy Vipicha vyako Ig Vyenye vifilter unapendeza kaa mdoli We ni my crush girl All day All day Najuwa we miss kigogo Unajulikana kote Wanakutambua wengi lakini kwako sikati tamaa Nipe nafasi kidogo Yaani kidogo Nijieleze mi kidogo Vile nimezama mama Oh oh ooh you make me go gaga (baby baby) Oh oh ooh unanimaliza sana (baby baby) Oh oh ooh you make me go gaga (baby baby) Oh oh ooh unanimaliza sana (baby baby) You baby girl Cant you see eh (aah) Run for your love girl eh eh Nipe nafasi kidogo (baby girl eh) Run for your love girl eh eh Si ati kwamba nimechizi Ila moyo unashindwa kujizuia Ata kama anijui Nikimuona moyo wangu unatulia I'll rather go blind when I see you with another man Cause you are my crush darling All day All day This feeling you give me (mhh) Am falling For you yeah I am falling for you yeah Oh oh ooh you make me go gaga (baby baby) Oh oh ooh unanimaliza sana (baby baby) Oh oh ooh you make me go gaga (baby baby) Oh oh ooh unanimaliza sana (baby baby) You baby girl Cant you see eh (aah) Run for your love girl eh eh Nipe nafasi kidogo (baby girl eh) Run for your love girl eh eh You baby girl Cant you see eh (aah) Run for your love girl eh eh Nipe nafasi kidogo (baby girl eh) Run for your love girl eh eh Si nitadeka mi nikiwa na wewe mamaa Mi nitadeka nitadeka Si nitadeka mi nikiwa na wewe mamaa Mi nitadeka nitadeka You make me go gaga Unanimaliza sana You make me go gaga Unanimaliza sana
@markkiprono-r2x6 ай бұрын
On top ❤
@AlphaBoyie Жыл бұрын
Tiktok brought me here,,,,,love this song for real😊😊
@6.3bviews896 жыл бұрын
Masauti Tafadhali bro nakuomba uonge na management yako... wasukume muziki wako kwa ma radio station, na kwingine ili watu wakujue vizuri...you’re very talented trust me, hii porojo ufanye sijui colabo na Otile Brown ndio ujulikane wacha nayo. You can do it on your own believe me. U have everything that can make you hit the pinnacle. I am enjoying the music & the video quality is on point. All the best bro 👊
@wabsjustus11406 жыл бұрын
TrueD@
@florencetairo39586 жыл бұрын
Kweli kabisaa... Ana kipaji beyond bodars.. Wamfanyie promo. Otile hamfikii mziki wake unavuka border
@lillyndirangu45126 жыл бұрын
kweli nyimbo zake Iko juu saana,itambae kila mahali maredioni,Runinga pia kotekote atambulike kama star mkubwa namna hii.big up MASaudii🙌
@irenewavinya63256 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@talestold595 жыл бұрын
Jalango apewe hiyo kazi.
@leonedady27725 жыл бұрын
Great!! au sio..
@warrensantana15703 жыл бұрын
Masauti niachie huu wimbo broo naupenda sana,😭😭😭
@GeorginaMmboshia11 ай бұрын
Hii ngoma nllkuwa naipenda nikiwa high school 2018 Stll hit ❤❤❤❤❤❤ 2024 My favourite song
@gracey_rhylee6 ай бұрын
nawatch nikisema the same thing
@newtonsimba79303 жыл бұрын
Nice one
@dmweks6 жыл бұрын
For the love of masauti, let's support this pure talent 🔥 🔥
@mugambikaburia37265 жыл бұрын
this video deserves a million plus views. I don't know why we are so obsessed with Tanzanian music which is not any different from what Masauti is offering. this guy is really talented
@Sean18775 жыл бұрын
Mugambi Kaburia @ Not different coz he been imitating Rayvaansz style
@brianochieng19715 жыл бұрын
Masauti,,,,una sauti kweli!!!!☺☺☺nice one ,,
@single-p-kenya6 жыл бұрын
Tanzania watajua hawajui. Masauti you are a big talent. Fireeeeeeeeee
@carolinemasaki97205 жыл бұрын
Yaani there is a kenyan who can sing like this.. Airplay assap. May your stars keep looking up
@yulemwinjilisti6 жыл бұрын
masauti.we uko ligi yako peke yako.you make me go gaga
@BadoMartense6 ай бұрын
I can say masauti is my favorite artist in Kenya
@DogoCharlie5 жыл бұрын
Mi msanii na sina wivu,i swear hii song iko dope kivyake @officialmasauti mi hupenda nyimbo zako sana na unaniinspire sana,najua hutakubali virahisi kufanya kazi nami coz niko chini yako but i know kuna day and we shall revisit this comment, goo gooo brooooo am nyuma yako coming
@godyjackson98935 жыл бұрын
Umetsha xana masaut
@chiwayamruche9415 Жыл бұрын
Favourite of all time
@meenkakyermeenliekak91066 жыл бұрын
Kweli imekubali hii ngoma bro endelea vyema nthng 'll kam on ur way
@gracemuthoni87144 жыл бұрын
Nice music.....Masauti love you.....watching it in 2020.....who else is watching it on 2020......likes za masauti ziko wapi......you make me go gaga.......
@scolasticawambui18605 жыл бұрын
Remix ya hii ngoma na papa Jones inaweza kuwa hot hot zaidi
@jamesmachuma35673 жыл бұрын
Have never listened to a song like i do to This
@DennyGitau-jm1yh5 ай бұрын
Hii ngoma niliikubali since day one and still listening to it till to date , big up masauti ,kenyan boy
@JIMBO_MEDIA6 жыл бұрын
Go gaga. Mofaya. From Ukunda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@joycekimani81194 жыл бұрын
Am shocked... I never thought this was Kenyan...Eishh
@majorkeytvtrendings57976 жыл бұрын
dawa ya otilee na harmonize🌴
@bettymasitsa44256 жыл бұрын
Majorkey TV Trendings kabisa
@BigZhumbe6 жыл бұрын
Eti Hermonize???? Monaiz anaimba sana jamaa kumfikia akaze sana
@BigZhumbe6 жыл бұрын
@@johniekak8213 Mziki ni deep messages.... Otile anajitahidi ila kwa Monaiz bado sana
@faithndambuki16865 жыл бұрын
Yes mahn
@florencetairo39586 жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa nausubiria sanaaa .. Asantee. Bonge la nyimbo
@nevillegregory27516 жыл бұрын
Noma sana
@martinomondi54684 жыл бұрын
of all your songs this is my favourite.
@ahmedsallah86514 жыл бұрын
Me too
@nelsonmandela92034 жыл бұрын
@@ahmedsallah8651 sure, this is really a good one.
@newtonsimba79303 жыл бұрын
Kweli . Nzuri sana. But the views so low. Don't understand.
@delphinmulinga4133 жыл бұрын
@@newtonsimba7930 number one nalingiyo mingi
@kindman25422 жыл бұрын
Huu wimbo hunikumbusha mbali tafadhali wakenya support kenyan music
@naisijoy6 жыл бұрын
Masauti you're headed for greatness if you stop resting !
@sheilahwanjohi10505 жыл бұрын
The best kenyan artist ever.so proud of you.for once i get to enjoy kenyan jams..mad respeck👊
@philiposhilingi72886 жыл бұрын
nice nimeipenda sana
@thebonniehs740116 күн бұрын
2025 anyone?
@paulinemoraa94146 жыл бұрын
This song literally makes me take my attention off whatever am doing. I like the passion and talent shown in this song. Much love your way,keep dropping such music.you have a fanbase now.
@newtonsimba79303 жыл бұрын
True. It's a great song.
@DancehallMombasa6 жыл бұрын
And then we still pay Tanzanian artists millions at the expense of our MASAUTI .
@augustynestynes94456 жыл бұрын
Ndio ameenza Tz musicians are creative then Kenyan thats for a fact...
@peteog33365 жыл бұрын
Charity begins at home...but Wakenya wanafikiri home ni pale kejani
@Sean18775 жыл бұрын
At least now Kenyan artists have learned from Tanzanians when it comes to quality videos
@simonishija80875 жыл бұрын
Acha wivu wewe"that's jealous ,maisha ni kupanda na kushuka ipo siku kenya itakua juu"kimuziki u mean tusiwapokee..roho mbaya hiyo
@johnstonegathogo99194 жыл бұрын
Shxx Mza acha ujinga
@Chachez.6 жыл бұрын
Kali sana bruh
@ammirsammir20056 жыл бұрын
Kali sna....video pia kubwa..masauti kaza buti broo uko vzuri
@mpendamuziki4 жыл бұрын
Masauti usibadilike you’re 👌. Don’t let fame and fortune change your humility. Your style of music is crazy good, your humility is added advantage to make you to die for
@shunilcareytv Жыл бұрын
Am back here again,2k views ni zangu oeke yangu wakuu cz ike design napenda huu wimbo walai❤❤
@kamaaog52816 жыл бұрын
Kenya tuko na wasanii wakali sana we just need to support them...guys Subscribe to his youtube channel ndio akitoa ngoma unaitizama ukiwa wa kwanza.
@IddiSinger6 жыл бұрын
Safi sana bro.. 💯🔥💯👊
@djbunduki2546 жыл бұрын
ni motoooo saaaaaana!!!!
@davidtimothy55806 жыл бұрын
DJ BUNDUKI 001 music to the world
@KIZOB6 жыл бұрын
the best singer so far nimekubali from 254 ..masauti aka mavoko fire
@officialwakungwimark37976 жыл бұрын
This guy huwa Ako tuu sawa... I like your music Bro
@TheForthallDuke5 жыл бұрын
Mwanamuziki wa kwanza Kenya mwenye nimemkubali kutoka Kenya.
@wbairi795 жыл бұрын
Kenyanboy....umetisher mbaya kabisa!!!
@luckyfondo38636 жыл бұрын
Masauti umeua baba👍👍
@melvinwafula63796 жыл бұрын
Huu mwaka kaka nyota itang'aa inshallah!!
@omarhamisi61445 жыл бұрын
Akuna mtu amenilazimisha niskize mziki kama huyu jamaa huu mwaka....congrats...ooh oooh oooooh....umenimaliza sana
@J_JVlogs6 жыл бұрын
Watching the 10th time back to back. Kichupa kimetulia KaKa. A big tune.
@Felix-sc8ku6 жыл бұрын
Wimbo Mzuri sana.shida ni beat iko down
@saidabud32196 жыл бұрын
Katikaa Zotee umeuwaa kabisaa ikooo 🔥
@tatianahshee4892Ай бұрын
Am sorry just hearing this for the 1st time from somewhere in tiktok and I this is my song loving it soo much💋💋Dec 2024 am making memories with this song💋💋💋I wish I can like 100times❤
@ngishjimg88036 жыл бұрын
masautiiiii sauti ishakubalika ngoma kali sana keep up bro
@stephennderito57666 жыл бұрын
Since I knew Masauti Tanzania music stays. In Tz
@melvinwafula63796 жыл бұрын
Say that again..we are talented we hv our own musician who cn sing better thn those from tz
@Sean18775 жыл бұрын
Better than🤔sweet dreams
@keithsambu31974 жыл бұрын
Hey bro, I lack word to express your game.... You're soaring high, you're a star.... Above all God protect you buddy
@morrisomondi51722 жыл бұрын
Sure sana jembe nakubali mashairi hayo.wape mashavu bamdogo
@maryw2157 Жыл бұрын
I find myself playing this song over and over. 👍
@eddieranksmccapello95866 жыл бұрын
Naaminia bro....kazi safii sana hii...unapanda pole pole...waambie wakupishe upite
@martinmutugi88842 жыл бұрын
Masauti never disappoint can't get enough of this song my favourite artist🔥🔥🔥🔥🔥
@yovitayovita6022 Жыл бұрын
From first day ulianza kuimba nilikuwa najuwa wewe ni Tanzanian,but vile uliendelea kuskia nika pata wewe ni mkenya I was happy, then nika kwambia naomba ni kuwe vixen wako one day natamani tu,hiyo time tulikuwa tuki chart on Instagram,ukasema one day utaniita but ikuwa fika,but its OK,I love all your music.
@mtunecessary6 жыл бұрын
Masautiiiiiiii umetisha kama kawaida mzee...vibe tu sana hii kaka #KisumuPresident
@candela28266 жыл бұрын
kaka nakutafuta...0700071306
@mtunecessary6 жыл бұрын
@@candela2826 nipate huku 0719119596
@geepsjakablack67056 жыл бұрын
Kali sana brother
@Pawlinemedia6 жыл бұрын
Noma Sana!
@Jane-ie9ul5 жыл бұрын
Every song is tip top. Bravo Masauti.
@itsgazla6 жыл бұрын
Nimekuelewa sana hapa masauti....kazi safi sana...
@RealCrimeBusters6 жыл бұрын
outa Uk...namkubali huyu mnigga
@husseinkakaa6886 жыл бұрын
King of Masauti kali sana bro
@hollymore49046 жыл бұрын
From tanzania🔥🔥🔥🔥🔥 1.otile brown 2.Arrow boy 3.masauti 4.nai boy 5.khaligraph 6.ndanda micasah & spizo 7.prezo 8.nameless 9.madin classic 10.timmy t datt. 🔥🔥🔥🔥Hao ndio wana bang kwa huku
@twalibramadhan2939 Жыл бұрын
Still wondering why this song haven't hit million views upto now 😢😢
@amoremarucha74546 жыл бұрын
Kazi safi bro..
@carolyneolivia73353 жыл бұрын
Kenya nimekubali hatupendani kweli, yani hii song haijawai fika hata 1m nimerudi kuiwatch nikidhani iko mbali, tuwacheni ubaguzi ya kupeleka viewers bongo let's support our own.
@stevekimsey8262Ай бұрын
Someone tell masauti we need this kind of hits.
@sautisafifilm94666 жыл бұрын
Big up mdogo wangu jooooo....
@mjukuu25436 жыл бұрын
wazi my hommie mziki mkubwa huu gtreatness to go far watapata tabu sana
@victorsongore17156 жыл бұрын
Bravo bro,,,ngoma zikam back to back sasa.
@rindez25456 жыл бұрын
Kazi safi bro
@theproces3 жыл бұрын
Kumbe msanii akikua star anaimba ujinga masauti huku ulikua ukiimba siku hizi umeanza kuingia gengetone