Tunaofurahi kuwaona wanandoa hawa tujuane❤na kama umeona Nenga kaua sana humu tujuane
@MawazoKiza3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@DonJose-i7x2 ай бұрын
Nakubali San ombilangu naomba zamana najua Tunga nakuomba shida wakunihik naomba jama
@MonicaMbilinyi-u8p3 ай бұрын
Kikubwa nilichojifunza ni kuwa,ktk dunia uciangalie watu watasema nn hvyo inakupasa upige moyo konde kwa mapito yote na pia nimependa sana the way mlivyovaa uhusika wa wimbo hakika mmeutendea haki! Mmetupasa hamasa wanandoa kumbe kufanya kitu kwa pamoja inawezekana cha msingi tujue kuwa muda wa kazi ni kazi hvyo imenijenga sanaa!! Na pia ukifanya kazi na mwenza wako kuna uhuru fulani unakuwa nao na ndo maana nyimbo imebamba sanaa!!Mungu awape kibali cha maisha ya ndoa milele by Monica
@RoseNtanduАй бұрын
Yeah❤❤❤❤❤❤❤to you monica umeandika kitu muhimu kwa maisha ya binadamu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍💎💎💍💍🥰🥰😘
@AnneyLissu3 ай бұрын
Hongereni Sana kwa kupiga hatua nawatakia furaha na baraka ktk ndo yenu, nawapenda sana
@FransiscaRasptsosКүн бұрын
Nawapenda sana jaman naomba muww mfano wa wanandoa wa wasanii mana wasanii siku hizo ndoa Leo kesho washaachana love youuuuu wapendwa
@NicahLaviee-du6df3 ай бұрын
Kama umesikiliza zaidi ya mara moja gonga like hapa❤️
@trendz_25483 ай бұрын
Nimekubali sana hii I say.Tamu sana keep winning together. 254 in
@GustaveLajoya3 ай бұрын
Mon couple préféré 🇨🇩🇨🇩 ngoma kali sana mpaka naona wivu
@DorcasMacharia-u2v3 күн бұрын
Bill Billnas na Nandy wanafaana sana na nyimbo zenyu ziko lit
@maulidisimoni79512 ай бұрын
Hii couple itafika mbali sana sio kwa hayo mapenz mnayo oenesha kwa kila mtu anae wazunguka nimepnda sana mnavyo ishi na huyo mdada mungu awajaliee maisha marefu
@RoseNtanduАй бұрын
Mungu atawapa Amen!!!!❤❤❤ by rose
@AjOzias3 ай бұрын
alie rudia huu wimbo zaidi ya mara2 naomba aweke like kwenye hii comment🙌🏻😘
@DianamussaalexMapunda3 ай бұрын
Kama umefuraia nyimbo yapamoja kati ya bilinass na nandy gonga like ap🎉🎉🎉🎉
@ShughuliSalim-gp8gh3 ай бұрын
Hivi hizo like huwa mnazikula au
@frizzy67663 ай бұрын
Nenga katesaa sana 👌🏾hata wakoge madawa hawakufkii hapendi pesa ana nipenda tu ❤️🔥❤️🔥😌
@sarafinaidabaga6023 ай бұрын
Melody ya sauti iko powa na mazingira yakuvutia.
@FaliduHamidu3 ай бұрын
Top ten hii ngoma lazima iwe 1 tulio ikubali like jaman
@Ericksamweli-tt4ov3 ай бұрын
Oooooh jamn jamn kati yanyimbo zang bora mwaka huuu nahiii imo nipen sas like zang fasta
@amrishipour2 ай бұрын
Yani iyi nyimbo 🎙️ nayipenda sn t kl❤️❤️km Kuna ungine ana penda iyinyimbo like apa tujuwane 😍😍pls
@user-Dida2463 ай бұрын
Narudi na hit tena, nikiachana na wewe mapenzi sirudii tena@Billnass🔥 🙌
@irenejoseph84883 ай бұрын
Nandy na billinas walikutana mwaka2016 studio za mziki huko THT (Tanzania House Of Talent) Dar es Salaam wote walikuwa wana rekodi nyimbo zao na ndipo walivyo anzisha urafiki wao na mwisho kuwa wapenzi
@RoseNtanduАй бұрын
Yes Irene❤❤❤❤👏👏👏👍
@alicemwankili3 ай бұрын
Nimekosa laki 2 naomba tu furaha yngu nikuona mpo pamoja na Mungu anawasimamia katika shughuli zenu na maisha yenu❤
@FavourAgripa2 ай бұрын
Mimi nakupenda tu Nandy MUNGU AKUBARIKI SANA
@SajoSamwel-i2v3 ай бұрын
Jamani leo nimewahi mm wa 57 nissipopata like kwa ngoma kali kama hii naji…….
@FrankChalula-hz6dn3 ай бұрын
Likes za Nini nyie
@SaidiKimbali3 ай бұрын
Umelizika
@EmeldaShangwe-q3p3 ай бұрын
Session
@WILLIAMSYLIVESTERMASAI3 ай бұрын
Nandy) na Bill Nass mlikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2010, mkiwa katika chuo cha muziki cha Tanzania House of Talent (THT) huko Dar es Salaam. Wote mlikuwa wanafunzi wa muziki kwenye chuo hicho, na ndiko mlipoanza kujenga urafiki wenu, ambao baadaye ulipelekea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na ushirikiano wa kazi za muziki. 8
@JackyEsta-of4pq3 ай бұрын
😅umelipwa
@josebrigton81933 ай бұрын
Mmekutana katika chuo cha CBE
@calvados49043 ай бұрын
Sauti nyororo lake Nandy😍nalipenda❤ Kama na wewe unalipenda sauti lake Nandy weka like kwenye comment 😉
@IrakozeKercy-cg9lo12 сағат бұрын
I like this song and this couple ❤❤❤
@kilimanjarotv2553 ай бұрын
LIKE 1 KAMA UNAMPENDA MUNGU
@FatmaAlly-w7p3 ай бұрын
Me nawependa tn wakiimba pamoja lazima nyimbo iwe nzuri❤❤❤❤
@jibranrajabu76163 ай бұрын
Kama unamkubali nandy gonga like apa
@ChristinaJackson-g6r3 ай бұрын
Naku kumbali nandy unajuwa 2:01
@MagritaGabriel25 күн бұрын
Kali
@DarcBulongo14 күн бұрын
❤❤
@ElizabethDaudi-b6v3 ай бұрын
Wimbo mzuri,mtamuuuu,hongereni bb na bwana
@ZiporaKitunga3 ай бұрын
Mungu awalinde milele
@khamisimbogha6153 ай бұрын
Nyote mko sawa kila mtu aliimba kwa hisia zake Well done 🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🔥🔥
@auntiemylee31573 ай бұрын
🎉🎉🎉
@frankmodest97373 ай бұрын
Nenga nakukubali Sana bro ishi kama unavyo ishi bro Nani kafanya nn fanya vile moyo wako unavyo taka kufanya
@SelineDeprinces3 ай бұрын
Mnapendeza sana Mungu awalinde na kuwapa neema daima
@AUGENSYLIVAND-rq7hz3 ай бұрын
Nimependa mume na mke kuona mmeimba wote na kushuti wote mungu awabariki sana 🙏🙏🙏🙏🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼
@piasonedom12153 ай бұрын
haya sasa Team nandy tupo hapa
@kichecheBurund3 ай бұрын
Mumenamke .....❤❤love kwawingii❤❤kama unapenda this couple dondosha like❤❤❤
@ushindidikisoni-np1tt8 күн бұрын
I really love this couple
@evazakayo11263 ай бұрын
Nandy festival ilianza mwaka 2019 tamasha la kwanza lilifanyika katika mkoa wa songea Tanzania
@khamisimbogha6153 ай бұрын
Hii halwa bana ❤❤❤ mungu awape maisha marefu. Na mimi muniombee pia niweze kuwasikiliza
@OfficialNandy3 ай бұрын
ASANTEEE
@khamisimbogha6153 ай бұрын
@@OfficialNandy mimi sina mengi ya kwangu duah ruu tuu 🤲🤲 mungu awaepushe na mengi kwenye hii dunia inshallah
@denissdenis6109Ай бұрын
Salute from Kenya 🇰🇪❤️. mtoto mchele mchele
@InnocentMwinami3 ай бұрын
Like wapi wazee dah ngoma tamuu ii
@zakariaedward498623 күн бұрын
Chef ndo mm hapooo,hatar San hii ngomaaa
@ikramjackson39123 ай бұрын
Naisikiliza hiii nyimbo machozi yananitoka😢 mapenzi ni matamu sana ukimpata wa kuendana nae mungu awabariki nandy na billnass mmejua kunifurahisha❤
@inothkivuyo51812 ай бұрын
Confidence ya memo na pia inaonyesha ni jinsi gan unamthamini memo your good boss lady I proud of you
@boisikiptoo3 ай бұрын
Hii ni moto number 25 kuview from Kenya
@devotamutayoba93733 ай бұрын
Duh hii Ngoma Kali ya mwaka colabo bomba,yaani Nandi na Bilnass mmetisha
@NeemaNey-k9xАй бұрын
Wimbo umenoga mahaba upendo Kama wote nawapenda Sana muishi miaka mingi nizidi kuwafuraia jamn💕🥰
@saraphinaSamweli-rv7bv3 ай бұрын
Kama unashauri, ngoma ijayo wapige wakiwa na binti yao Naya gonga like apaa, maan wametisha saan
@Emily-k983 ай бұрын
Kabisa leo mumenipa nguvu za kupambana jamaniiii pendashana my dear songa mbele penzi linoge🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MaryTesha-le2ql3 ай бұрын
Nmesubiri hii nyimbo mpk nlitaka kulia🤸🤸🤸✅✅😍😍❤️❤️ but nice Song cc
@SaluMaige-sc8bm3 ай бұрын
Ovyo
@JosephKimaro-u7d3 ай бұрын
Huu wimbo wa mwaka big up 2024 number one song ✨✨billnass umeua na Nandy🔥🔥
@MrWandiba18 күн бұрын
Hamna baya mkifa amuwoziiiiiiiiiiiiii watot wa kinondon oyeeeeeeee
@CarolineKessy-r6k3 ай бұрын
Wimbo huu nimeupenda kwa sababu unafaa kwa wapendanao❤️🙌🏽walio dumu na kuaminiana
@furahakandaga25863 ай бұрын
Ucsahau wanandoa harari kabisa❤❤
@ChenchiKing3 ай бұрын
Kam Unamkubali Nenga Gonga Likes Hapa Ngoma Kali Hii🔥🔥🔥🔥
@MkamiMahiri3 ай бұрын
Sana Dada nakaka wamewezawameweza tena
@frizzy67663 ай бұрын
Raha sana nenga ka tesa ka tesa 🥰🥰
@AMURIAMBRI10OFGOD3 ай бұрын
Kwanini Mna tupahofu kubwa wapenda naho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sijuwi mna nihelewa🎉🎉🎉🎉🎉
@starbig22693 ай бұрын
Nandy Festival ilianza mwaka 2021 na mkoa wa kwanza kuandaa tamasha hili ulikuwa Kigoma Tamasha hili limekuwa likifanyika kila mwaka na limeendelea kuvutia mashabiki wengi wa muziki nchini Tanzania.
@athurconc10913 ай бұрын
Shabiki wa Nenga like hapa
@siphombele3 ай бұрын
My totoriiiiim My totoriiin❤❤❤❤
@MweneRamadhani2 ай бұрын
Nimependa mashair na video kali sana bigappp
@WilsonOdongo-2 ай бұрын
Amazing vocals, Great sounds & smooth rhythm.Love ❤ from Kenya. Masterpiece. 👏
@SammyElijah-u7z24 күн бұрын
Nakubali umeua Nandy
@luckyluchano13 ай бұрын
Kama unaikubali hii couple ya power gonga like hapa❤😊
@thegreatfamilyproductiont.8623 ай бұрын
Mkondo umeuchukua,karibuni kuzaa mengi...piga hizi collabo mingi,next tupe from nigeria dada..nfurahia zako miziki
@jonathankatula7433 ай бұрын
Tia like kama ili ngoma unalikubali !
@pendogodwin12223 ай бұрын
Nandy festival ilianza mwaka 2019 mkoa wa dar es salaam na lengo ni kukuza na kuonyesha vipaji vya muziki kutoka Tanzania.
@joycejohn77543 ай бұрын
2020 Sumbawanga na walipanda dongo janja, bilinass,whozu,barnaba! Nakumbuka mvua ilinyesha kubwa sana dah!
@mariamariavicety40063 ай бұрын
Jmn nandy nakupenda hadi nakupenda tena mungu awaride
@InnocentiKadazimaАй бұрын
Nimepend jinsi mnavyopendan kuna kitu cha kujifunza hapo kwenu couple hii ni kali sana
@EliaMalegetaАй бұрын
Mmepoteza sana mungu awape maisha marefu yenye baraka na mafanikio makubwa
@neemaiddy934Ай бұрын
Nyimbo nzur San hongren xan mungu awap maisha marefu yeny barak n furaha
@VictoriaMvellah3 ай бұрын
Kwa Mara ya Kwanza mlikutana mwaka 2016 katika studio za THT Na kazi yenu ya sanaa ndio iliyowakutanisha....kupitia hapo uhusiano ukaanza kukua😊🥳 bilnass alifunguka zaid siku mliyokuwa mnaenda tour...kwenye hiyo video nimependa mandhari😍😍😍
@mc_mrope3 ай бұрын
Wimbo mzuri saaaaaaaaaaaaaaana 💌
@cristaproduction70333 ай бұрын
hii ndio nyimbo yangu ya mwaka.... nakupemda nandy
@BarakaWilifred-f5e3 ай бұрын
Mara ya kwanza kabisa @nandy & @billnass mlikutana katika chuo cha biashara CBE Dar es salaam mwaka 2016
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Wow mashallah na mjengo wenu nafurahi sana kuwaona pamoja❤❤❤
@JosephAginga-hn1hq3 ай бұрын
Ii nayo ni Moto kama pasi.Mnafanya ni tamani kupenda mtu ya ukweli❤️❤️❤️❤️🤭🤭🤭🇰🇪🇰🇪🇰🇪😉❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Titititi! Inabamba vinoma🔥🔥🔥
@JoyceKazimoto3 ай бұрын
Kitu nlichokipenda you guys mmechangamka mnafuraha ,na billnass ashajimaliza tayar na mahabaa teleee mungu aendelee kuwasimamia Kwa kwel hakuna kinachoshindikanaaaa ❤🎉
@jasminmatovu78262 ай бұрын
kpnz.!! i jxt love the positive energy ur emitting...🔥🔥 . itoshekusema unajuaaa jmn
@jumanneelias-mc7sw3 ай бұрын
💯💯💯💯bigUP xn nice couple na mungu awabarik xn
@MwajSibonja-t5o3 ай бұрын
Ngoma Kali sana aseee heshima kwenu😘😘😘😘😘mandhar mazur mavaz mazur, Beat Kali nyie wenyewe wakal mmependeza mbayaa mpaka nawaonea wivu hakii...Mungu awalinde😘😘🙏🙏Ndoa tamu ee naona Bilnas shavu linazd kitoka😃
@AndrewFundi3 ай бұрын
Nice one 🎉 Congo 🇨🇩 tukutane apa
@RuthMosha-d4n3 ай бұрын
Jinsi ambavyo mmeweza kupangilia mashairi ya historia yenu ya mahusiano. Huba lenu lilisakamwa na vihoja vingi vya walimwengu ila mkachagua kuziba masikio na kufikia hatua njema ya ndoa. Mandhari ya video hakika imezingatiwa vyema, ikiambatana na beat, sound zimetulia kinoma noma, mwisho mitupio ni unyama sana. Na mpo kulisongesha huba lenu🥰 MY TOTORIMI💫
@ireneimbuhira77593 ай бұрын
Love is sweet ❤
@omarhamisi-n3f3 ай бұрын
HII SONG NI YA MOTO🔥 SANA BIG-UP SANA AFRICAN PRINCESS 👸🏽🥰YANANOGA MAPENZI 🌹❤️
@michaelchris3653 ай бұрын
Like za producer s2kizzy aliyepiga mdundo zote ziwe hapa
@PuritySifa-db4qu7 сағат бұрын
nimependa bil ananyo kuambia akiacha na wewe hapendi Tena much love Mandy❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@EmmanuelSamson-nv5dv3 ай бұрын
❤️❤️ wahoooooo ibweeee ibweeee mmeweza ❤️❤️❤️❤️ bila vita
@AbuubakaliSalehe3 ай бұрын
❤❤❤ mke namume inapendeza
@mwanaidikingazi42223 ай бұрын
Aloooooh haya nyi wanyama pori kusanyikeni turudi nyumbani 🔥🔥🔥🔥
@caesarfranc2 ай бұрын
Best of this year. Best couple mpaka wengine wanajimada 🇿🇦
@stellahwilfred57623 ай бұрын
MUNGU naomba Tunza hii ndoa ❤❤ Macho ya ya wabaya yasiwaone..
@SamsungA03core-tz7sz3 ай бұрын
Amen Yarrabb
@stellahwilfred57623 ай бұрын
@@SamsungA03core-tz7sz Ameen
@RoseNtanduАй бұрын
Amen!!!❤❤❤
@FrankPeter-vw3be3 ай бұрын
Chakwanza nyimbo nilikua sijaisikiliza kumlazi pili mmejiachia Sana aisee hii ni Zaidi ya bugana mmeua Sana video qaliii pia haichoshi❤❤❤
@sittymnengwe50573 ай бұрын
Jamani hawa love birds wameanza and kufanana kuoendana raha wanaosema hampendani mara oh nandy anamfosi billnass washindwe jomon❤❤
@sophiamsala56863 ай бұрын
Wanawivuuuuu 2 awooi
@luceafricana22329 күн бұрын
Haki Mungu awape nguvu na endele ku waprotect,manake walimwengu hawapendii,nandy wewe ni queen sio princess tena, African queen ❤❤❤
@randomtube30023 ай бұрын
tumepata tena couple nzuri ya wasanii hakika hii combination nzuri kama ya Nahreel na Aika msituangushe ndoa Zina changamoto lakini hakuna mahali hapa Duniani hakuna changamoto ila zinatofautiana tuu love u guys mnaifanya Bongo flavor kuvutia zaidi ❤️❤️❤️❤️
Mmekutana mwak 2017 kweny gari lililokuw limebeba wasanii kwaajil ya tour(FIESTA) I think ndipo ulimfaham billnass sabab ulikuw unaskia anakupenda sana
@festomtewele43 ай бұрын
Nandy) na Bill Nass mlikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2010, mkiwa katika chuo cha muziki cha Tanzania House of Talent (THT) huko Dar es Salaam. Wote mlikuwa wanafunzi wa muziki kwenye chuo hicho, na ndiko mlipoanza kujenga urafiki wenu, ambao baadaye ulipelekea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na ushirikiano wa kazi za muziki.
@hezronmwanjenga18333 ай бұрын
Swimming pool yetu nzuri sana na wewe na Nenga mlikutana Bugana kwenye kuogelea mkajikuta wote mnapenda mziki ndo dedication kubwa ya hiyo swimming pool!
@FideleEjoniheza7 күн бұрын
Hatakama nilichelewa jameni. Nipeni likes kutoka burundi
@apollinairendayiragije7217Ай бұрын
Kutoka Burundi🇧🇮Namshabiki Sana wa African Princess Nandy
@MtendaShatun3 ай бұрын
Nandy festival ilianza mwaka 2019 Mkoani kigoma🎉
@princeogwelofficial46823 ай бұрын
Sauti nyororo tena tamu kama asali, dah..!!❤️ & 👌
@OfficialNandy3 ай бұрын
NIAMBIE NINI UMEPENDA KWENYE WIMBO HUU
@daxmedia93 ай бұрын
Mumeo billnas kaua sana kwenye kionjoo.... 2:32 2:33 2:34
@leilaharuni29453 ай бұрын
Wimbo upo fire couple iliyotulia kbx❤
@Arlicious5553 ай бұрын
Kila kitu😁😁🥰😘
@SabraJoseph-xn7ql3 ай бұрын
Saut yko bby❤
@philipogemway3 ай бұрын
Mashairi yamenivutia sana very fascinating and interesting song❤️❤️