Asante sana lakini nauliza kama hapa penye nko akuna hiyo maji ya asili naezatumia ya kawaida
@tabibulois25 күн бұрын
@@Ladymish-41saze ndiyo
@vevevechou-yu5gk25 күн бұрын
Citron
@mankalodi579625 күн бұрын
Ss ambao choo ndo bafu tunaweza ogea huko?
@danielmwadomukavuta781618 күн бұрын
Nakama mtu huyo alijifungia sitakurudia wwe?
@user-eg9ne2sb9c25 күн бұрын
Zaburi 35:8
@Collinsoluka-u4u25 күн бұрын
Nawezaje kupata hiyo dawa ya KKK. Nairobi, Kenya. Na ni pesa ngapi? (Kenyan shillings.
@tabibulois25 күн бұрын
@@Collinsoluka-u4u utanipigia Namba Iko hapo, kenya natuma kwa bus
@AwesaIsmail22 күн бұрын
Sasa kama ni muislam unasoma kitabu gani na kama mtu hajuwi kuisoma quruan anafanyaje?
@tabibulois22 күн бұрын
@@AwesaIsmail angalia video nyingine
@elimikasasa64325 күн бұрын
Lkn Dada Lois unacheza na akili zetu. Mbona kila kitu ni dawa?
@jullynkwabi941823 күн бұрын
ukipenda amin ikama hutojali ila nijuavyo kila kitu ni sababu chini ya jua . maana hata mate tu ni dawa tope nalo ni dawa na tope hlilo ni makazi ya samaki kambale.