Clam pole unaumwa kwa kwerii sauti imegeuka gafla ila wacha mungu akupee shifaa ya alaka insha'llaah 😘😘😘😘
@gabrielhabwa Жыл бұрын
Mnaigiz vzur me namuelew kicheche anajua kuchekesha Clam unavotengeneza mdomo wako na unavyoongea ukishalendemla mdomo wako yan ckuelew hat kidg upand wang naon ubdrish styl
@mpapaofficial5114 Жыл бұрын
From KANAIRO Kenya
@emmanuelmasika567 Жыл бұрын
Ningeomba sana muniingize katika filamu hizo zenu nmekua nazitamani sana
@ramadhanialmasi2779 Жыл бұрын
Shado ushauponza tayli😂😂🏃🏃
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Nice clam haupoi na havy content, God bless more brother
Oy boy vevo unataja sana tanga vip wwe wa kihom boy
@user-eh8hp1to7p9 ай бұрын
Clam bwan hatri usimpige😂😂😂
@jamessamwel9456 Жыл бұрын
Kiuhalisia kicheche aliweza hata kutoka akiwa full confident na kusema tuu alikuwa amebanwa na haja kubwa akaingia kushusha, sema kwakuwa lengo ni fumanizi sawa😂
@SimonKibabila-jj4ck9 ай бұрын
baba clam umepatwa baridi unapata🇨🇩😭😭😭😭😭
@FrancisEiton8 ай бұрын
dear 😘😘
@allymatanda16143 ай бұрын
clam umemaliza vibaya badili iyo staili ya kuvuta vidole na kulegeza somo watu wamechoka kila mahari,umefanya tofauti kwenye big bos pale ulijalibu kuwafuta watz machozi yamuda mlefu watu wanapenda vitu vizuri
@MohammedJumaa-mj8sh24 күн бұрын
Kijana pole nakusikia waongea na mapua
@allymatanda16143 ай бұрын
tunakufatilia sana Ila iyo stail ya utaila imetuchosha muone gumbo na bailam wamefanya kitu kikubwa nawaelewa sana