Рет қаралды 934
OHOO! VITA ya MKOLA vs BWANGA Yafika PABAYA, MB DOGGY Aingilia, MATAJIRI Wajitokeza Kumsapoti MKOLA!
BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na mwanamuziki Mb Doggy kuelekea pambano la 'DAR BOXING DERBY' amesema ana uhakika Said Mkolla atamchakaza Said Bwanga kutokana na uwezo wake mkubwa katika ngumi na tayari matajiri wameshajitokeza kumdhamini ili kumpa nguvu.