Wachuja Nafaka Feat. KSouth | Mapato

  Рет қаралды 20,237

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

Күн бұрын

Wachuja Nafaka ni moja kati ya makundi makongwe ya Hip Hop kuwahi kutokea Tanzania. Kundi hili liliundwa na Wasanii watatu ambao ni JUMA NATURE, KR MULLAH & DOLLO.
Wimbo huu wa MAPATO ni kati ya nyimbo zinazopatikana katika Album yao ya UKWELI NA UWAZI ambapo waliwashirikisha kundi la K SOUTH kutoka Kenya.
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

Пікірлер: 58
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 Ай бұрын
Wachuja Nafaka ni moja kati ya makundi makongwe ya Hip Hop kuwahi kutokea Tanzania. Kundi hili liliundwa na Wasanii watatu ambao ni JUMA NATURE, KR MULLAH & DOLLO. Wimbo huu wa MAPATO ni kati ya nyimbo zinazopatikana katika Album yao ya UKWELI NA UWAZI ambapo katika wimbo huu waliwashirikisha kundi la K SOUTH kutoka Kenya.
@collinsmaina9963
@collinsmaina9963 Ай бұрын
🤣🤣🤣..hapa umeniweza..😅
@stephenmwangi3084
@stephenmwangi3084 Ай бұрын
Bamboo was dope
@harrizmusyoka3491
@harrizmusyoka3491 Ай бұрын
mh apaa
@Boog_Apparel
@Boog_Apparel Ай бұрын
Kama umeletwa na Mwaf kutaja Bamboo na hii song kwa Obinna show, anguka na like👇🏿
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 Ай бұрын
Ni hio kweli
@shayovictor-yo6ed
@shayovictor-yo6ed Ай бұрын
how the fuck are humans so predictable🤣🤣
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 Ай бұрын
@@Boog_Apparel Mwaf ni nani??
@Magicaleastproductions
@Magicaleastproductions Ай бұрын
@@oldskuladimuzabongo8873 Mwaf from iko nini pod.. was hosted by Obina yesterday.
@Boog_Apparel
@Boog_Apparel Ай бұрын
@@oldskuladimuzabongo8873 Iko Nini podcast
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 Ай бұрын
Kweli bamboo alikuwa mambo mbaya kitambo, big up @mwafreeka
@DonKhalifah
@DonKhalifah Ай бұрын
Came from Obinna TV as well. Mwaf knows his Hiphop
@sjfilms254
@sjfilms254 Ай бұрын
Mwafreeka brought me here.. Bamboo ni mnyama kweli
@churchilldemba1059
@churchilldemba1059 Ай бұрын
Mwaf amenileta hapa
@manasehotieno31
@manasehotieno31 Ай бұрын
This is the lethal Nairoberry sequel/ which feeble lyricists usually try to equal/ after the Dj connect the vinyl with the needle/ cats be filled filled with jealousy, fellas be filled with evil/...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 bars!
@WestChoma01
@WestChoma01 2 жыл бұрын
P funk sina neno la kumuelezea
@izhizki
@izhizki Жыл бұрын
Aliyapika mabiti sana.Alitisha
@momanyisamwel1591
@momanyisamwel1591 Жыл бұрын
Mungu amzidishie pfunk maisha
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 3 жыл бұрын
K south from Kenya Yap mliwakilisha kipindi kile watu kibao pale kwa mbowe bills canas posta big up
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 3 жыл бұрын
Kitambo sana
@saidiabdalla8070
@saidiabdalla8070 Жыл бұрын
Nakubali majani
@omarymakungu1520
@omarymakungu1520 6 ай бұрын
Sir nature greatest of all time
@pekelemilele5331
@pekelemilele5331 2 жыл бұрын
Bambooooo aliua .period
@El49973
@El49973 Ай бұрын
Here after Mwaf mentioned the song on Obinna's show
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 Ай бұрын
@@El49973 who is Mwaf?
@dripslick44
@dripslick44 Ай бұрын
@@oldskuladimuzabongo8873 Mwafrika ni former radio presenter huku Kenya. Alitanja huu wimbo katika interview akihojiwa kwa Obinna TV Live
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 3 ай бұрын
OLD SKULI mko vyema sanaa...DAH! ALMOST KILA NYIMBO AISEE. Kazi nzuri Bandugu 👊👊👊
@husseinmkwizu
@husseinmkwizu 3 жыл бұрын
Beat kali
@deidrim86
@deidrim86 3 жыл бұрын
hii beat naskilizaga asubuhi mpaka jioni. 🔥
@SoFrii
@SoFrii 2 жыл бұрын
Mkono wa P Funk... Ni shida...
@EdwinAdAstra
@EdwinAdAstra 10 ай бұрын
Majani super duper producer. Mikono mfululu. He defined that 2000s TZ sound
@manasehotieno31
@manasehotieno31 19 күн бұрын
Shout out to P-Funk Majani
@josephbizzy1813
@josephbizzy1813 2 жыл бұрын
Muziki ulikuwa zamani siku hizi mataputapu tu***.(old iz gold)
@frankkalanda872
@frankkalanda872 2 жыл бұрын
Za ukweli basi tu!
@kentarus
@kentarus Ай бұрын
P funk majani
@thechairman.1215
@thechairman.1215 9 ай бұрын
Bamboo aliona dah!! Kwa mara ya pili
@michaelstone1647
@michaelstone1647 10 ай бұрын
Came for Bamboo 🙌🏻
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 Жыл бұрын
bamboo moto..
@orengealex
@orengealex Ай бұрын
Mwaf
@FGSoundz
@FGSoundz 9 ай бұрын
Bamboozled!!!
@ellymwatee8505
@ellymwatee8505 Жыл бұрын
No competition for real
@collinsmaina9963
@collinsmaina9963 Ай бұрын
Production pia hatari...🔥🔥
@gacoyakori
@gacoyakori 6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@doctrine_ridge_Ke
@doctrine_ridge_Ke 2 жыл бұрын
aaah yesssssssss
@GeraldGspack
@GeraldGspack 9 ай бұрын
P funk majani ogopa Sana mi mnyama wa beats
@afterx3172
@afterx3172 Жыл бұрын
Album ya MZEE WA BUSARA
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Wachuja Nafaka Feat. Fid Q | Ukweli na Uwazi
5:36
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 21 М.
Manyema Family - Jinsi Tulivyo
5:25
Dj Jas Mix
Рет қаралды 77 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 14 МЛН
Umoja wa Tanzania (feat. Prof. Jay)
5:55
JUMA NATURE
Рет қаралды 7 М.
Squeezer ft Nature - Naja
5:27
msizaki
Рет қаралды 449 М.
Heshima ya Bongo Fleva - Wachuja Nafaka | Planet Bongo
41:02
EastAfricaRadio
Рет қаралды 11 М.
Gwear ft juma nature & KR-msela audio
3:56
Jerome INK
Рет қаралды 65 М.