No video

THE CLASSIC MIKE TEE 1: MASTER J ALINITIMUA STUDIO/MIAKA 26 KWENYE GAME/BEEF NA ADILI

  Рет қаралды 20,293

KuviFacts

KuviFacts

6 ай бұрын

Moja ya Rappers waliopata mafaniko makubwa Bongo ni Mike Tee ambae alikua na style ya kipekee kabisa,lakini nyuma ya mafanikio yake kuna hadithi za kusisimua,hii ni sehemu fupi ya maisha yake.

Пікірлер: 81
@osiahstimah
@osiahstimah 9 күн бұрын
Elimu nzuri ilimsaidia mike tee
@benjaminolubuyi3353
@benjaminolubuyi3353 4 ай бұрын
That's true you are legend who brought bongo flavour to limelight your number one fun from Kenya since 2000
@tonyi6807
@tonyi6807 5 ай бұрын
Yuko smart sana ...#Wanyalu tunavyoishi#🎶 P.Funk ni mwongozaji mzuri tangu mpk Sasa....Jamaa ana sound kama One the incredible
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 6 ай бұрын
Wana malenga wanalia machozi wakihofia Muda wa mabadiliko umewadia Mnyaru kutengana na nduguze kisa Mali Kujiona fahari Apitapo kila maali
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 6 ай бұрын
Mike Mwakatundu classmate wangu wewe ni LEGEND katika Tasnia hii and I'm Proud of you. 🙏🙏🙏🙏
@benjaminolubuyi3353
@benjaminolubuyi3353 4 ай бұрын
Wonderful broh
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p Күн бұрын
Respect kwenu🙏🙏
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p Күн бұрын
The true legendary mike t''
@ericktona3638
@ericktona3638 6 ай бұрын
Back in the Days Mikocheni kwa Nyerere 2003 or 2004 nilikua nakaa nae karibu Aisee nilikua nikimuona anatoka anatembea kwenda Dukani Nilikua namshangaa sanaaa 😂😂😂
@victaboy7273
@victaboy7273 5 ай бұрын
Ulikuwa mshamba wewe
@oscanyakunga
@oscanyakunga 6 ай бұрын
Kamwene mnogage wewe❤❤❤❤🎉🎉🎉mnyaru
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 ай бұрын
Mike Mwakatundu home boy🎉🎉🎉🎉🎉
@johnmwaisunga2339
@johnmwaisunga2339 6 ай бұрын
Albamu yangu ya kununua ilikuwa ya MiKe Tee, tukichanga hela tukiwa shule olevel na kwenda mtoto mmoja alikuwa wakichua sana kwenda kusikiliza.
@casablancastudioarusha775
@casablancastudioarusha775 5 ай бұрын
Nakukubali sana Mike T #Since nimekujua mwamba kweli unajua Bonge la msanii
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 6 ай бұрын
🇰🇪Nilipenda sana lyrics za Mike Tee. Asante kumleta. Naomba sana kumcheck pia D knob nilipenda different style yake ya flow
@francismboma6839
@francismboma6839 6 ай бұрын
D knob alikwsha okoka na hajiusishi na miziki
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 6 ай бұрын
@@francismboma6839 Asante kwa taarifa hii
@SleepyBooks-oj3gu
@SleepyBooks-oj3gu 5 ай бұрын
Ila sio zambi aje tu tumsikie d knob elim ya mtaaa
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 5 ай бұрын
​@@SleepyBooks-oj3gutayari alishakuja itafute interview yake
@emmakiwaya4607
@emmakiwaya4607 6 ай бұрын
Mike Tee, smart!
@daniellewiskubojakuboja7427
@daniellewiskubojakuboja7427 6 ай бұрын
Mnyama sana MikeT
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 6 ай бұрын
ni kweli mike tee alikua moto ssna enzi zile
@albartdastani3412
@albartdastani3412 6 ай бұрын
Mnyarooo
@kamuogo
@kamuogo 4 ай бұрын
Namkubali sana uyu jamaa
@user-oq6hp4rd1f
@user-oq6hp4rd1f 6 ай бұрын
Unazingua bro weka interview nzima
@echagwhy4442
@echagwhy4442 6 ай бұрын
🔥🔥🔥 kubwa kuliko
@guelordmuyenga8365
@guelordmuyenga8365 3 ай бұрын
Mike ❤
@Chemba67
@Chemba67 6 ай бұрын
Kuvi tuletee SOS -B aliyekua anawakilisha Mabaibo[MABIBO]😃😃😃
@abushiridachie6865
@abushiridachie6865 5 ай бұрын
Kumbe ni ya muda sana, JPM in there
@user-up1li4hl9u
@user-up1li4hl9u 5 ай бұрын
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 ай бұрын
Mike T unaongea sana mzee subiria masuali bhana ah
@johnsilomba902
@johnsilomba902 5 ай бұрын
Master Jay Kawaida Yake Kudhalau Watu Kumbuka Hata Harmonizer Alimfanyia Hivi Hivi
@wazirihamdu6106
@wazirihamdu6106 6 ай бұрын
Hao ndoo walikua wasanii sasa
@alfavahaye4102
@alfavahaye4102 6 ай бұрын
Ane na p mawenge
@anoldnicholaus5271
@anoldnicholaus5271 6 ай бұрын
Hapo Hyati Magufuli sijajelewa ......interview inaonekana ya kitambo sanaaaa daaaah sio poa
@smarty1064
@smarty1064 6 ай бұрын
ilkua kwenye album naona wameamua kuiacha
@managergoa6798
@managergoa6798 5 ай бұрын
Noumaa sana
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 6 ай бұрын
The Legendary mwenyewe mzee wa Manow Seminary
@kazikazini1042
@kazikazini1042 6 ай бұрын
The legend
@ahmedsa3374
@ahmedsa3374 6 ай бұрын
💥💥💥
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 5 ай бұрын
Nimekaa NAYE kata moja......kamwenee be
@newbillionaire701
@newbillionaire701 6 ай бұрын
Mlete juma nature bana 😢😢😢
@chire4574
@chire4574 5 ай бұрын
Anarap sana uyu jamaa
@alvinsamir2013
@alvinsamir2013 6 ай бұрын
#KUVI na #WASIKILIZAJI na #WATAZAMAJI kama Mimi ukisikiliza #WASANII wengi utagundua #PFUNK ni Mtu aliwasaidia na kuwatoa #WASANII wengi sana . ..
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 6 ай бұрын
Master jay anaziguaga sana hanaga subra c unaona ata kw Jeshi na saii Jeshi amekua mkubwa
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
mimi mwenyewe nilifika kwake master j kwenye studio yake pembeni kurikua na kontena masaki kwao mastar j arinipoteza ira mpaka leo naandika music master kuma sana
@zachariafrancis
@zachariafrancis 5 ай бұрын
Ukimuona Master J mwambie kamwene mnogage
@hasanoshohilali10
@hasanoshohilali10 5 ай бұрын
Kama,,,tunaitaji video
@user-tt3nz7yv5f
@user-tt3nz7yv5f 5 ай бұрын
KuviFacts naomba ttuleetee na FEROOZ-KIZEE
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Pitia interview za nyuma Ndio ya kwanza Kbs kwenye hii channel
@loner_wolf
@loner_wolf 5 ай бұрын
Kipindi hiko kingereza kukikuta kwenye lyrics ya kibongo ni kama imegency tu......bado CIO issue hata makocho sio wengi kama SAA hii.
@user-ti7nf4jc8g
@user-ti7nf4jc8g 5 ай бұрын
Tafadhali mlete pigi black
@John-ky4cx
@John-ky4cx 6 ай бұрын
Mike Tee Mnyalu, kitambo sana
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 6 ай бұрын
namkumbuka mike tee cbe..mtu poa sana...alikua na demu wake eva..alikua anajisikia balaa eva ss hv mlevi mbwa morogoro😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Hahaaa uyo eva karingia watu kashindwa kuiringia pombe😂😂😂
@arlonmwaka8077
@arlonmwaka8077 6 ай бұрын
😂😂
@abubakarkassanura3515
@abubakarkassanura3515 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@kelvinkurgat7005
@kelvinkurgat7005 4 ай бұрын
Hata kama myalu nasikika kwenye tv
@benjaminolubuyi3353
@benjaminolubuyi3353 4 ай бұрын
Hata kama naonekana kwenye TV
@user-cu4er9oy2q
@user-cu4er9oy2q 6 ай бұрын
Kuishi na wanyalu inahitaji moyo mugumu moyo paka kama huwezi unaweza kunywa sumu,
@stevenmbosa99
@stevenmbosa99 5 ай бұрын
Kwanini unasema hivo?
@frankkinyaiya.8217
@frankkinyaiya.8217 4 ай бұрын
Huo n moja wa mstari uliopo kweny nyimbo yake ya HALI HALISI aliomshirikisha mkongwe mwanadada LADY JAY DEE
@dicksonabdon656
@dicksonabdon656 6 ай бұрын
kaka unatunyima haki za msingi interview siku hizi zinakuwa nusu nusu tunaomba tuangalie kwa jicho la tatu
@user-zp7ky7lj1m
@user-zp7ky7lj1m 6 ай бұрын
Wanamalenga Wanalia Machozi ya Kuhofia Wakidai Mda wao WA Mabadiriko umewadia Mnyalu kutengana Na Nduguze kisa Mali kujiona Tahari apitapo kila Mahari Baba mama maswali mpenzi naye Maswali😂😂😂😂😂Ilikuwa Pambe Sana Kamwene Mnyaluu
@francismwakalile2310
@francismwakalile2310 6 ай бұрын
Jabil apa amebaki D Knob
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf 6 ай бұрын
Bado wengi kaka suma g vituko uswahilini
@salumjumah5648
@salumjumah5648 6 ай бұрын
Mike T mnyalu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 6 ай бұрын
Interview za wasanii wa zamani ziko poa, hawa wa sahvi vichwa vibovu
@josephk90
@josephk90 6 ай бұрын
Interview ya mwaka gani hii Mike anataka kukutana na Rais JPM?😮
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 6 ай бұрын
Nadhani hii INTERVIEW ni ya Kitambo saana ila haikuwa Aired kwa sababu Mbalimbali. But all in all bado ujumbe umefika AU? 🙏🙏🙏
@MackameHassani
@MackameHassani 3 ай бұрын
Master-j kavu kwl yaaani😂😂😂😂😂😂😂😂
@agustinopaulo8416
@agustinopaulo8416 6 ай бұрын
Kama 😂😂😂
@amoskagika8884
@amoskagika8884 6 ай бұрын
Hii interview ya lini Jabir naona anatajwa Hayati Magufuli
@SebastianDaniel-es4rf
@SebastianDaniel-es4rf 6 ай бұрын
Sikiliza madin achan n usinich huo hata ukiambiwa y leo itakusaidia nn
@amoskagika8884
@amoskagika8884 6 ай бұрын
@@SebastianDaniel-es4rf duuuh ndugu yangu mbona makasiriko
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Kuvi big up show yako ni fascinating ila hakikisha unauliza na sasa msanii yuko wapi na anafanya nini
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
Nadhani muwe mnawafautilia tu hawa wasanii Kama mnawapenda sababu Mike ni kiongozi wa juu wa Chama cha muziki wa kizazi kipya (TUMA) na tunashare mengi so kwa hapo nkimuulzia yuko wapi nadhani haikawi sawa sababu watu wake wananjua anachofanya kwa sasa ndugu
@shabanponera2895
@shabanponera2895 6 ай бұрын
Daaah! We presenter unazingua sasa, Sasa tutawafatilia wapi kama sio kwenye vipindi kama hivi?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
@@KuviFacts no bro mi ni die hard fan wa vipindi vyako sizungumzi Mike t anejulikana yuko wapi vipi kina pig black na wengine wengi ulowahoji ambao hatujui wanafanya nini sasa nasema hivyo coz iyo ni observation yangu hao watu tumekua tangu wadogo tukiwapenda so bado tunataka hata kujua recently nini wanafanya apart from music ambao pretty much Hawako tena kwenye spot light.
@Isy9146
@Isy9146 6 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474 hayo ni maisha binafsi brother so wengine hawapendi izo mambo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
@@Isy9146 kumuuliza mtu sasa unajishughulisha na nini na akajibu nalima au nafuga kuku nayo ni shida?
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 32 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 10 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
THE CLASSIC SOLID GROUND FAMILY: STORY YA BUSH PARTY/KIBONGE
14:13
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 32 МЛН